PROFESA JANABI ATUA ARUSHA KUONGEZA KASI KAMBI YA MATIBABU YA RC MAKONDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 чер 2024
  • ARUSHA: Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari bingwa na Mbobezi kwenye magonjwa ya Moyo amewasili Mkoani Arusha usiku wa Jumatano Juni 26, 2024 tayari kuhudumia wananchi kwenye Kambi maalum ya Matibabu inayoendelea mkoani Arusha kwenye viwanja vya Sheikh Amri Abeid.
    Prof. Janabi ni miongoni mwa Madaktari wanaoheshimika nchini Tanzania na mwenye uzoefu wa hali ya juu katika utabibu na taaluma yake, akitoa mchango mkubwa katika kushauri masuala ya afya pamoja na maboresho ya huduma za afya na ustawi wa jamii, akijitolea pia katika kuelimisha umma kuhusu umuhimu wa lishe na mtindo bora wa maisha
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: habarileo_tz?ig...
    SpotiLeo: spotileo?igshid...
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09

КОМЕНТАРІ • 9

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Місяць тому

    WATANZANIA MUANGALIENI SANA PROFESSOR JANABA ANATIA WANAUME USHOGA NA WANAWAKE ANAUA KIZAZI ANATUMIKA

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Місяць тому

    PROFESSOR JANABA NI MUUAJI MTU HATARI SANA ANATUMIKA NA MATAIFA YA ULAYA

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Місяць тому

    Professor janaba ni yule aliomuua jpm

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Місяць тому

    Professor JANABA NI YULE YULE ANAYEWABUMBAZA WATANZANIA KWA SUMU

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Місяць тому

    Professor JANABA ALIEMUUA JPM KWA SUMU

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Місяць тому

    PROFESSOR JANABA MSIMKUBARI ANATIA USHOGA

  • @stevensimbakila5383
    @stevensimbakila5383 Місяць тому

    Mbona Kama naanza ku mwelewa mama?

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Місяць тому

    PROFESSOR JANABA NI YULE ALIOSHILIKIANA NA MABEBERU KUMUUA JPM NA MWAWAZI