Asanteh pastor,kupingwa sio sababu ya kudhani unachofanya sio cha kimungu,nilivunjika moyo nilipopingwa na mbaya zaidi hata niliokua naamini wako upande wangu walinipinga.
Mhh asanteh najifunza hapa namimi ndio wale wa kutafuta pesa mahusiano nimeyaweka pembeni,nilifungiwa lango la biashara nikaamua mpk kuondoka Tanzania,nilipokuja nilipo ninaona Mungu ananitengeneza sasa kufunga na kuomba kumekua ni kawaida tofauti na mwanzo kifupi nahisi nimeletwa patimo. Najifunza hapa Pastor najidisconect ktk miungu na roho za kichawi.
Mch unaongea na maisha yangu lakini nikupateje huo mfano wa mtumishi ni mimi kabisa ht mimi imeshindikana kbsaaa kuishi na mume wangu ni mkali balaa huduma imekataatumetengana ni wewe wa kunisaidia mtumishi sipo Tanzania nisaidieni
Yesu Kristo naomba break through Leo uchawi wowote unaofanya kazi kwenye maisha yangu baada ya Maombi haya Yesu unifungue kwa gharama yoyote Ile, katika Jina lako Yesu Takatifu. HAZINA ZANGU ZOTE nazipokea sasa katika ulimwengu wa Damu na Nyama.
Nikiwa binti mdogo nilikua naota naendesha gari na nimebeba familia yangu yote lakini mpk sasa sijawahi kununua gari,mwaka jana ndoto hizo zikaanza tena na nikaona nikwa na kijana wangu hapo ndipo nilipoanza kumtafuta Mungu na kumuomba hazina zangu zilizofichw,Pastor naamini unachozungumza.
Lazima u-comment? Kwani wanaoibiwa wamekulalamikia? Waache watu na imani zao na wewe baki na yako. Ikikupendeza basi usifungue chanel yake. Kuwa na staha!!
Ameen pastor somo nimelielewa yaani nahisi kama hili somo ni langu Mungu akubariki Pastor
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Amen GOD bless you Man of GOD 🙏l salute you 🙏 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu ni mwema kila wakati.
Asanteh pastor,kupingwa sio sababu ya kudhani unachofanya sio cha kimungu,nilivunjika moyo nilipopingwa na mbaya zaidi hata niliokua naamini wako upande wangu walinipinga.
Amina Mtumishi wa Bwana,nabarikiwa sana
Mhh asanteh najifunza hapa namimi ndio wale wa kutafuta pesa mahusiano nimeyaweka pembeni,nilifungiwa lango la biashara nikaamua mpk kuondoka Tanzania,nilipokuja nilipo ninaona Mungu ananitengeneza sasa kufunga na kuomba kumekua ni kawaida tofauti na mwanzo kifupi nahisi nimeletwa patimo.
Najifunza hapa Pastor najidisconect ktk miungu na roho za kichawi.
Kweri
Amen amen amen amen amen amen amen asante yesu kwa ujumbeee huuu
Amen.
26/12/2021
09:25HRS
Nimejifunza mengi kupitia somo hili.
Mimi ni mjane naishi Nairobi Kenya na wanangu nabarikiwa sana na huyu mtumishi wa Mungu naweza kuwasiliana vipi nawe mtumishi?
Amen
ASANTE BALIKIWA
Mch unaongea na maisha yangu lakini nikupateje huo mfano wa mtumishi ni mimi kabisa ht mimi imeshindikana kbsaaa kuishi na mume wangu ni mkali balaa huduma imekataatumetengana ni wewe wa kunisaidia mtumishi sipo Tanzania nisaidieni
Ni kweli mtumishi watu tunaonewa na wachawi lakini kimwilj hatuwaonikwa macho
glory be to the almighty god amen
😊
Yesu Kristo naomba break through Leo uchawi wowote unaofanya kazi kwenye maisha yangu baada ya Maombi haya Yesu unifungue kwa gharama yoyote Ile, katika Jina lako Yesu Takatifu. HAZINA ZANGU ZOTE nazipokea sasa katika ulimwengu wa Damu na Nyama.
Amen 🙏
Ameeeen man of God
Kanisa lake liko sehemu gan na mkoa gan msaada jamani
Lango langu please naliona
Mtumishi hiyo siku ya kuonana na mtu mmjammoja nisiku ipi niko shinyanga
AMEN AMEN
Amen
Nikiwa binti mdogo nilikua naota naendesha gari na nimebeba familia yangu yote lakini mpk sasa sijawahi kununua gari,mwaka jana ndoto hizo zikaanza tena na nikaona nikwa na kijana wangu hapo ndipo nilipoanza kumtafuta Mungu na kumuomba hazina zangu zilizofichw,Pastor naamini unachozungumza.
Amen
tumbo kumbwaa... wizi wa sadaka tuu
Lazima u-comment? Kwani wanaoibiwa wamekulalamikia? Waache watu na imani zao na wewe baki na yako. Ikikupendeza basi usifungue chanel yake. Kuwa na staha!!
Bwana akukemee
utakuwa mchawi wewe anatoa Siri zako 🤣🤣 Pole sana