NEEMA YA KUMALIZA (DAY ONE): PASTOR SUNBELLA KYANDO
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- KANISA LA REALITY OF CHRIST MINISTRY (ROC) LILIPO DODOMA LINAONGOZWA NA MTUMISHI DISCIPLE GODFREY BENJAMINI KEHOGO
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0742 222 282
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Subscribe our UA-cam: / @realityofchristdodoma
#PastorSunbellaKyando #PastorJohnSembatwa #DiscipleGodfreyBenjamini
Mtumishi naomba msaada yaan mahubiri yote haya unanisema mm naomba nafasi ya kuonana, maisha yangu Sio mazuri bali na umaskini, kudharauliwa Sana hata na watoto wadogo, tafadhar nisaidie
Ubarikiwe saana
AMEN
Ubarikiwe baba pastor Kyando!
Nami naelekea kileleni katika Uchumi wangu!
Mathayo 16:21-23
Nafika kileleni 2025
Nitapigana mpaka kileleni
Wakolosai 1:13-14
Amen!
Am going to the top
Luka 4:1-8
Vitu vitatu ambavyo shetani anavitumia sana.
1. Mtu wa watu
2.Ndoto
. Maono
Luka 22:3-4
Mtumishi nisaidie mim tangu niokoke kweli pesa nashika nyingi tu lkn hakuna chamaana ninachofanya zaidi yapesa kuisha tu @reality of Christ
Karibu kanisa
Kam unataka kuwa wa kawaida basi usipigane vita
Kama unataka kufika kwenye kilele chako lazima upigane vita