MZEE PINDA AMFICHULIA RAIS SAMIA SIRI NZITO, KILICHOTOKEA AKIWA WAZIRI MKUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 45

  • @msamanga2277
    @msamanga2277 Місяць тому +5

    Amazing man. Huyu ni mtu anae weza kupiga sim ikulu isikataliwe bado anaunga mstari kama wananchi wengine wakawaida hongera kwake!

  • @mussaharun7257
    @mussaharun7257 Місяць тому +4

    Nakukubali sana Mh PK Pinda. Una busara kubwa Allah amekujalia, una haiba ya uongozi, msikivu, Mzalendo na huna majigambo. Kweli umewatetea Wakulima. Unafaa kugombea urais

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Місяць тому +1

      Ni kweli yuko vizuri maelezo hayo asingeweza kuongea maneno hayo

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 Місяць тому +4

    Kazi iendelee, lets the work continue Kazi njema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Kila la kheri na mafanikio. Tazama ramani utaona nchi nzuri !!!🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 Місяць тому +4

    Hahahaha dah nimependa sana pozi la mama Mheshimiwa Dr Samia Hoyeeeee 🎉🎉😂😂

  • @eliasboniphacekidanha7596
    @eliasboniphacekidanha7596 Місяць тому +4

    Mama naomba ufanye Royal tours awamu ya pili

  • @amanikudeli5297
    @amanikudeli5297 14 днів тому

    Safi sana

  • @maligiretongora3333
    @maligiretongora3333 Місяць тому +2

    Wanaofaidi wanamuelewa sana

  • @user-xc3yo4ke4p
    @user-xc3yo4ke4p 16 днів тому

    Mama upo kazini na wanao tunakuona,na tunakuunga mkono mama ni mama 5 tena.

  • @MarbleBaswige
    @MarbleBaswige 24 дні тому

    Mh wiziri mkuu mstafu Mungu aendelee kukulinda na akubariki sana nakumbuka utumishi wako ulikuwa mgumu sana enzi za mauwaji wa albino

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Місяць тому +3

    Kachuo kapo

  • @maryamsharif6926
    @maryamsharif6926 Місяць тому

    Good job mhe pinda

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 Місяць тому +1

    Kwani kampeni imeanza?, wabongo shida sana.

  • @francisMhulula
    @francisMhulula 29 днів тому

    Mzee pinda salaamu alekumu mm nauliza vp ile campuni ya deci pesa zetu

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 Місяць тому +2

    Namshauli mama wilaya ya korogwe iwe mkoa sasa maana imekua kubwa

    • @abdulhajiahmed8735
      @abdulhajiahmed8735 Місяць тому +1

      Wilaya ya Korogwe haina maendeleo kubali usikubali Old Korogwe na Manundu bado kupo nyuma sana kimaendeleo. Ingawa katika historia wakati wa kilimo na biashara ya mkongwe Korogwe ilivuma sana na mkoa wa Tanga kwa ujumla nakumbuka anatoka marehemu Shaban Robert mzee wa fasihi ya kiswahili, mara yangu ya mwisho Korogwe ni karibu miaka 35 iliyopita lakini naona katika habari na UA-cam

    • @rashidkinyasi5645
      @rashidkinyasi5645 Місяць тому

      ​@@abdulhajiahmed8735 Shaban Robert alitokea Wilaya ya Pangani......na Wilaya ya Korogwe SASA hivi ina Halmashauri mbili....ambazo...ni...Korogwe Mjini na Korogwe vijijini....

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 13 днів тому

    Mpingwe wamenuna…….

  • @user-rn9og1rk3l
    @user-rn9og1rk3l Місяць тому

    Hiyo hela uliyo fund ya kujenga shule wewe Pinda iliipata wapa kama siyo hela ulizoiba za ESCROW.??????
    SHAME ON YOU

  • @akibabautunzi2393
    @akibabautunzi2393 26 днів тому

    KAMA KIGOMA MPO NJOONI TUMUSAIDIE YUNUSA GAMBO MIAKA 20 YUPO NDANI ANAPATIKANA MANYOVU WILAYA YA BUHIGWE KIJIJI MWAYAYA KITONGOJI RULOLO

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im Місяць тому +3

    Kumbe pinda kisukuma hujuwi. Mzee pinda mwambie Rais ukweli. Wanaomusifu ni wengi wanamuziba macho. Tanzania haiendi vizuri kwa ufisadi. Wizi umeshika kazi. Hakuna wa kulkemea

    • @NDEWARA
      @NDEWARA Місяць тому

      Pole 😂

    • @bernardjosephmulokozi3901
      @bernardjosephmulokozi3901 Місяць тому +1

      Wewe umeibiwa nini?

    • @huyu1993
      @huyu1993 Місяць тому

      Tukuulize wewe umeibiwa nini?

    • @huyu1993
      @huyu1993 Місяць тому +1

      Wacheni majungu nyinyi .fitina mbaya

    • @user-mp4hk1vv1u
      @user-mp4hk1vv1u Місяць тому +1

      Sema wewe na wajinga wenzio
      Tulio weng tunampenda kwa kuifanya Tanzania Ina amani na maendeleo ya naenda bila kugombana Wala kukatipiana
      Uwezo wake na wanaomsaidia ni Mkubwa sana anatengeneza mifumo ya kumanage bila kutumia nguvu nyingiiiii
      Moumbavu hawez kumuelewa huyu mama ila waelevu wanamuelewa

  • @jackisonmlaari4556
    @jackisonmlaari4556 Місяць тому

    Acha sifa za kijinga mzee.huyo mama kafanya nini kipindi hiki kama siyo kutuletea madeni ya ajabu

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 Місяць тому

    Wajinga watampa tena kula na familia yake

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Місяць тому +1

    Mmh

  • @MarcoNtobi
    @MarcoNtobi Місяць тому

    Mno
    L😅lu l

  • @titoamani-e8b
    @titoamani-e8b Місяць тому +1

    Tunaomba Samia akataze Harmonize kuharibu accounts za Wasanii wa Diamond kwenye UA-cam na uchawi🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 Місяць тому

    Kumbe magufuri alikutingisha na wewe dah! Yule kweli kiboko