Sheikh Kipozeo: "Sisi Ni Watu Wa Mwisho Wa Dunia, Kiama Bado" | SALAMA NA SHEIKH KIPOZEO PT 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
    Sheikh Hilali Shaweji Makarani au Sheikh Kipozeo ni mtu wa watu, au niseme kama ambavyo tunasema kwetu Uswazi, Sheikh ni mwana wa wana, anaweza kuwapa wana darsa kwa lugha yao na wakawa huru na wao kusema maoni yao au uelewa wao kwa raha na bashasha nyingi na naamini hii imemfanya yeye awe ni mmoja ya Ma Sheikh wanao tambulika zaidi kwenye mitandao ya kijamii nje na ndani ya Tanzania. Lugha hiyo ya wana ambayo anaitumia inasaidia sana kufikisha ujumbe ambao ameukusudia kwa wakati huo na ikapata mpaka majadilioano, majadiliano hayo ndo huzaa majibu ya maswali mengi ambayo wengi hujiuliza.
    Kwetu au kwangu ilikua ni kaji task ambako nilikua najua inabidi nikakamilishe, na jina lake kurejea kutajwa mara kwa mara na watazamaji wa kipindi hiki pia ilichochea dhamira hiyo kwa kiasi kikubwa. Nilikua sijawahi kukutana nae kwahiyo hii nami ilikua ni mara yangu ya kwanza kukutana nae uso kwa macho, shabiki yake? Oh yes, mkubwa tu. Nimekua nikimskiliza na kumuangalia kila nipatapo nafasi ya kukutana na mafunzo yake, kwahiyo hamu ya kutaka kuongea nae ilikua inaongezeka kila siku zinavyozidi kwenda. Wakati ambao Mwenyezi Mungu ameupanga ndo wakati sahihi kabisa. Na naamini huu ndo ulikua muda ambao tulikua tumepangiwa haya mazungumzo kutokea na haikua huko nyuma ambako pengine tulidhani tungemtafuta na kuweza kuongea nae.
    Alikua mkarimu kwangu, humchukua muda pia kuongea kama yule wa kwenye video maana kama Mwalimu nadhani huwa anaangalia spidi ambayo uko nayo na kujua anaenda na wewe vipi ili iwe imekaa mahala pake. Na naam, tuliweza kwenda vizuri, alinifanya nami niwe huru na muwazi kwa yale ambayo tulikua tumepanga na wenzangu kumuuliza.
    Akiwa Baba na mume mpedwa kwa familia yake, Sheikh Kipozeo amekua akipata mialiko sehemu mbali mbali ili aweze kuwapa watu ‘dawa’. Humu zaidi sisi tulitaka kujua jina lilipo anzia na jitihada zake za kufikisha neno la Mwenyezi Mungu kwa wanaohusika. Alituambia pia kuhusu asili yake na ‘urithi’ wa dini ulipotokea. Lini hasa alijua kwamba ambacho anakifanya sasa ndo ambacho alikua anatakiwa kufanya kwenye maisha yake yote?
    Yangu matumaini dawa itaingia na uta enjoy kuangalia au kuskiliza episode hii yetu ya nne.
    Love,
    Salama.
    Support us through anchor.fm/yahs...
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
    Audiomack Link bit.ly/YahSton...
    ‪UA-cam Link bit.ly/UA-camS...
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

КОМЕНТАРІ • 156

  • @albertlokoya7937
    @albertlokoya7937 Рік тому +17

    Interview ya Kibabe sana. Huyu Jamaa ana kipaji cha kuongea na dini imetaraadadi kwake. Big up Salama kwa Kumleta Sheikh Kipoozeo.

  • @jacksonmposindawa2426
    @jacksonmposindawa2426 Рік тому +13

    TUNAOMBA SHEIKH AJE TENA HAPA KATIKA KIPINDI

  • @shaabanikabwe2651
    @shaabanikabwe2651 Рік тому +23

    MashaAllah
    Sheikh Mmoja mfaswaha sana Allah amjaze kheir Sheikh Kipozeo. Allah akuongozee Hekima na busara
    Alhmdullilah.

  • @hellertv1477
    @hellertv1477 Рік тому +29

    Mlete tena salama huyu sheikh bado tunataman kumsikiliza

  • @hassanwaissa2391
    @hassanwaissa2391 Рік тому +2

    MUNGU Akurehem Sheikh. 🙏🙏🙏

  • @frankkarugira4093
    @frankkarugira4093 Рік тому +30

    natamani interview isifike mwisho. Thanks Salama. Invite him again please. the interview is so enlightening.

    • @hamiduhamdun1858
      @hamiduhamdun1858 Рік тому

      Mi niliona status kwa mtu imebidi niingie u tube nicheki

  • @nemestesha7784
    @nemestesha7784 Рік тому +8

    kila mwanadamu anaweza kujifunza chochote kama atapenda na atataka-sheikh KIPOZEO

  • @tassyulimwengu4049
    @tassyulimwengu4049 Рік тому +3

    Sikuwahi kujua Sheikh Kipozeo Hamble kiasi hiki, mwelevu sana huyu mwamba...."he knows almost everything kwenye uislam"... hongera sana Salama...this was the best interview ever! Nashukuru nimemjua huyu Sheikh...

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 Рік тому +7

    Salama good questions big up salama your fun from ug 🇺🇬 since 2005 salama jabir

  • @samsonmwakikuti5318
    @samsonmwakikuti5318 Рік тому +7

    Huwezi choka kumsikiliza amekaa NONDO sana. Ana uwezo mkubwa wa kufundisha

  • @sadiqmwafrica6759
    @sadiqmwafrica6759 Рік тому +8

    Muongezee muda, mrudishe tena please, anahamasisha vizuri sana

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Рік тому +5

    DADA SALAMA,kujua zaidi kusoma, kujiendeleza,kuuliza,kusikiliza na yote hayo WEKA IMANI YAKO KUBWA KWA MOLA WAKO.yaani lmani na VITENDO,baadae utafanikiwa,Kwani utakuwa umejiwakilisha nafsi yako kwa MUUMBA KILA KITU. 🤝

  • @daudhabona8897
    @daudhabona8897 Рік тому +10

    HAKIKA hii interview ni Bora sanaaa. Na tunaomba aitwe tena. Kwa kweli ni kama umeturambisha tu.

  • @mmutajr
    @mmutajr Рік тому +9

    Salama Bado Tunakuhitaji Sheikh Darasa lake ni Tamu sana Mashaallah

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 Рік тому +4

    Salama nimeipenda kipindii y leo sana mashaAllah umefanya ikawa n mabadiliko n vile vile tumepata elmu kw sheikh wetu kipozeo mashaAllah uwe unaleta pia c tu wasanii

  • @salimdibundile4872
    @salimdibundile4872 Рік тому +8

    Salama umeuliza maswali yooote konki.. You are the best interwier hii afrika mashariki na kati.. Maswali tata umeyauliza katika njia rahisi mno..

  • @harounzuberi8179
    @harounzuberi8179 Рік тому +12

    Mashaallah Sheikh Hilaly Shauweji Makalani a.k.a Sheikh Kipozeo

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy Рік тому +8

    Hiyo ndio dini yahaki mashaallah

  • @hassaniabdi3991
    @hassaniabdi3991 Рік тому +3

    Safi sana salama.ikiwezekana awa viongozi wa dini muwe mnawaita sana kuja kutoa muongozo kwakua tunapo kwenda ivi sasa sipo kabisa.

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 Рік тому +2

    Siku ya pili dada salama jishushe mbele ya shekh vaa shungi ingependeza kama anavyopendeza mama yetu samia suluhu

  • @nassorntandu4513
    @nassorntandu4513 Рік тому +4

    Kuna elimu kubwa Sana, kwa Sheikh Kipozeo! Kwanza ana ufasaha wa kuongezea na unyenyekevu katika ulimi wake!

  • @seyyactor1418
    @seyyactor1418 Рік тому +10

    Ila Salama hata shungi your so real ❤

  • @omaryngitu2443
    @omaryngitu2443 Рік тому +12

    Nimezifurahia MB zangu,Ahsante sheikh kipozeo

    • @pilijuma7854
      @pilijuma7854 Рік тому

      Mashallah allah azidi kukuongoza shekhe wetu inshallah

  • @muhammadsalim7179
    @muhammadsalim7179 Рік тому +5

    MashaAllah from Kenya.Big up sana Salama,binafsi nimefurahi kw kutuletea shekh kw In Shaa ALLAH mlete tena kama ulivyo muahidi

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 Рік тому +3

    Masha ALLAH Jazakallahu khair sheikh wewe nimfano mwema wa kuigwa kwenye jamii Umejipamba na Qur-an na Sunnah huu ndio UISLAMU hakika hivi ndivyo hata Mtume Wetu Muhammad S.A.W Alivyokua akiishi Kwa upole na maneno Mazuli, na tabia mzuri Kwa Ujumla.
    Tunamuomba Mwenyezi MUNGU Akutunze Duniani na kesho Akhera Amiin

  • @Karimuabduli2293
    @Karimuabduli2293 Рік тому +4

    Unaweza kumleta tena salama kwa sababu elimu imekuwa sawa sana

  • @advocateishengoma1088
    @advocateishengoma1088 Рік тому +5

    Thanks salama you nailed it 💅 today umeleta mtu ambaye ni kweli watu wengi wanapenda kumsikia

  • @abdallahsaid4503
    @abdallahsaid4503 7 місяців тому

    Aloooo Moja kati ya interview Bora kabxa hii n number 1 nmeipenda mnoooooooooooooooooooo

  • @albertlokoya7937
    @albertlokoya7937 Рік тому +22

    SHEIKH KIPOOZEO ANAWEZA AKAKUFANYA USLIMU NA KUFWATA DINI YA KISLAMU.

  • @stuberjunior3855
    @stuberjunior3855 Рік тому +1

    Assalam Alaykum naomba kushauri kidogo
    Kwa vile kunasomwa Qur an katika interview naomba kupendekeza mungekata music

  • @husseinmaingo5009
    @husseinmaingo5009 Рік тому +4

    Muda umekuwa mdgo sana kwa Kipozeo Inshaallah natumai kuna cku nitakutana nae na tutaongea zaid. Allahuma Amiin 🤲🙏

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 Рік тому +3

    Penda sana shekhe Kipozeo

  • @planbmauwezo4853
    @planbmauwezo4853 11 місяців тому

    Dah mwenyz mungu akuwek san shekh uzid kutuelmisha

  • @azizsaleh9402
    @azizsaleh9402 4 місяці тому

    Mashallah

  • @omaraliali1268
    @omaraliali1268 Рік тому +3

    Kipozeo needs I more time and very Mapema Salama tena ongeza more matayarisho namanisha hata kupitia watu wengine tofauti ya hiyo team yako hapo umesema mwenyewe jamaa kila anachokujibu hukujibu for pasent

  • @immmkiety9000
    @immmkiety9000 Рік тому +4

    Shekhee kipozeo arudishwee lk Zangu pls

  • @dsouzamaguno7006
    @dsouzamaguno7006 Рік тому +8

    Bado tunahitaji mengi kutoka kwake,nimatumaini kuwa atarudi wakati Mchache ujao. Asante kwa Darasa 🙏🥰

    • @zainabsaid3488
      @zainabsaid3488 Рік тому

      Amenitoa machozi sheikh hilali kipozeo kwa maneno mazito aliyokuwa akiyafasili hususani pale alipo muongelea baba yetu Adam . Allah azidi kumlinda sheikh wetu amiin 🤲😍

  • @mussamsella8560
    @mussamsella8560 Рік тому +2

    Sheikh ana hekima sana hasa namna ya kujibu maswali

  • @rashidchimwenda
    @rashidchimwenda Рік тому +5

    Mashaa Allah sheikh Shaweji

  • @ramadhanitwahili6837
    @ramadhanitwahili6837 Рік тому

    Shekhe kipozeo daa anamajibu ya hekma na busala kweli Masha Allah shekhe mungu akulinde na hasadi na husuda,Allah akupe Pepo yake amini

  • @parma786
    @parma786 Рік тому

    MashaaAllah kipindi kizuri kitaongeza imani zaidi upendo zaidi na amani katiyetu zaidi mubarikiwe sana salama na wote as Tim na sheikh wetu mpendwa H S ( Kipozeo) shukrani slm alkm.

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 Рік тому

    Kupenda na kutaka jambo lolote ukitaka kufanya fanya ivi vitu zingatia 🤝, Asante Sheh.

  • @rodneylamai2847
    @rodneylamai2847 Рік тому

    Mimi ni Mkristo ila Nampenda huyu Sheikh sana, anakufanya uione Dini ya kiislam ni nzuri c'se hana dharau kwa Wakristo na kuwaita Makafiri. Mungu amuongoze

  • @AfiSoul103
    @AfiSoul103 Рік тому +3

    Hili suala la mwisho nimelielewa..🔆 la kupenda na kutaka..

  • @gbwile1257
    @gbwile1257 Рік тому +4

    Best interview ever🙏

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 Рік тому +4

    Interview bora kwa mwaka huu

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy Рік тому +7

    Sister Salama ulitakiwa hiyo Hijab uivae wewe na si uvalishe mic

  • @iduelabu4007
    @iduelabu4007 Рік тому +2

    Salam tunakuomba rafiki yetu mlete sheikh wetu tena na umpe mda wa kutosha plz plz plz

  • @jumannematimbwa559
    @jumannematimbwa559 Рік тому +1

    Namkubali sana ayu mzee sichoki kusikiliza

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 Рік тому +4

    Salama tuletee tena please 🙏 ❤

  • @saluyaadamz
    @saluyaadamz Рік тому +3

    ALLAH akuifadh sheikh Hillary shaweji

  • @abuaminmadi9839
    @abuaminmadi9839 Рік тому +3

    kutokea kenya nimependa darasa lako

  • @ashajuma2478
    @ashajuma2478 Рік тому +3

    Salaama tuletee Othman Maalim

  • @hajimaster7624
    @hajimaster7624 Рік тому +2

    Mbona Shekh haujampa kinywaji au kafunga🥲

  • @abdallahomar5868
    @abdallahomar5868 Рік тому +2

    huu muziki muuondoe hapa kuna aya za mwenyezi mungu zinasomwa kuweni makini sana

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 Рік тому

    Salama tafadhali tuleteeni SHEIKH MUHIDDIN MAALIM SIASA NA SABRA MACHANO WATU ZANZIBAR

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 Рік тому

    Shekhe kipozeo🙏ALLAH AKUHIFADHI💟💟💟💟jaman ungemuulza ana wake wangapi.huenda mmoja akaniongeza na mie.mfano wa maziwa kuinama nmecheka 🤣he is genius and humble

  • @jadewynedwards4603
    @jadewynedwards4603 Рік тому

    mashallah this was the best interview may allah bress you salama and shekh kipozeo and all muslim we need more interview like this ameeen

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 Рік тому +1

    Salama 4real u'r doing a wonderful job, God bless u. Keep going girl. Lv from 254.

  • @mhussein2511
    @mhussein2511 Рік тому

    Sunan an-Nasa'i 5388
    It was narrated that Abu Bakrah said:
    "Allah protected me with something that I heard from the Messenger of Allah [SAW]. When Chosroes died, he said: 'Whom have they appointed as his successor?' They said: 'His daughter.' He said: 'No people will ever prosper who entrust their leadership to a woman.'"

  • @aminahkimwana109
    @aminahkimwana109 Рік тому +1

    Hao ndo tunataka hapo tumepata faida kubwa sana mlete tena sheikh ao watafute na ma sheikh wengine siyo kila siku wasani tu haki nimefurahi sana

  • @kiizaabdulmaliki5241
    @kiizaabdulmaliki5241 Рік тому

    Ahsante Mama, kumwalika huyo Mzee Kipozeo!

  • @madrassatqadriyapalma
    @madrassatqadriyapalma Рік тому +3

    Melhor entrevista de final do Ano

  • @kiizaabdulmaliki5241
    @kiizaabdulmaliki5241 Рік тому

    Jamaani niraha saana atasisi Uganda, twapenda kumsikiliza!

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 Рік тому +1

    Best interview ever

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 Рік тому +1

    Tunamuomba tena Shekhe wetu

  • @dullydullahsenior756
    @dullydullahsenior756 Рік тому +1

    Nimefurahishwa na hiii interview, lakini ungependeza zaidi kama ungejitandia , but congratulations 👏🎉

  • @saidathuman2998
    @saidathuman2998 Рік тому +1

    Salama, kama ikikupendeza, please mrudishe tena Kipoozeo…

  • @kanobayirelambert8400
    @kanobayirelambert8400 Рік тому +1

    Masha-Allah

  • @mahmoodkarama47
    @mahmoodkarama47 Рік тому

    Salama please mualike sheikh Walid Al Had imam wa msikiti wa kichangani he is Superior Trust me, Thank you.

  • @hadhaminfadhwil-rab287
    @hadhaminfadhwil-rab287 Рік тому +3

    fantastic masha-Allah

  • @DonDallas
    @DonDallas Рік тому +1

    Umeongea vizur

  • @twizzycannello2482
    @twizzycannello2482 Рік тому +1

    ❤️ mashaallah

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 Рік тому

    Ahsante salama impressed with your latest please bring more of this kind of personality

  • @papaadialoo
    @papaadialoo Рік тому

    Namkubali sana kipozeo

  • @hellertv1477
    @hellertv1477 Рік тому +1

    Mashallah uko vizur sana sheikh wangu

  • @mwanaidimuhindi6671
    @mwanaidimuhindi6671 Рік тому +1

    Mlete tena sheikh kipozeo

  • @abeidabdullwarith8991
    @abeidabdullwarith8991 Рік тому

    Sijamuona jescca kumpelekea kinywaji sheikh kipozeo

  • @idrisakabiliga7131
    @idrisakabiliga7131 Рік тому +1

    tatizo mda hatujamfaidi vizuri

  • @othmanhaji1832
    @othmanhaji1832 Рік тому +1

    Pamoja na uzuri wa interview, ni vyema unapowaalika Mashekhe wetu ukajistiri Dada Salama, kama ulivyofanya kwa Sheikh Mardhiyya.
    Pia tuondoshee huo mziki

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 Рік тому +1

    Baraqallah aleyh 💞

  • @samxx411
    @samxx411 Рік тому +2

    Wallah kisa kidogo cha mtume Suleiman lakini kama umekitoa chote yaani raha kabisa

  • @Derevamkongwe6864
    @Derevamkongwe6864 Рік тому

    Salama umetisha sana kumleta kipozeo, nakuomba utuletee na shekhe Maulana Abubakar huyo ni shekhe wa matablii

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 Рік тому

    Ivi mbna hujamuuliza lile swali kma yuapenda kwl mizingo hyu sheikh

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому

    Shukran sana

  • @sinaloa5698
    @sinaloa5698 Рік тому

    Intive agaaaaaaaaiiiin

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 Рік тому

    salama napenda vipindi vyako

  • @hayfatshaaban5712
    @hayfatshaaban5712 Рік тому

    Salama please interview nurdin kishki or Othman maalim

  • @sinaloa5698
    @sinaloa5698 Рік тому +4

    Bonge la intaview tangu yahstonetown imeanzaa

  • @inviolatangonyani4839
    @inviolatangonyani4839 Рік тому +2

    Tunashkuru ..Pia tunaomba next time salama na Mch.kimaro wa KKKT

  • @yunussera4146
    @yunussera4146 Рік тому

    Mwambie shekh إعملوا فكل ميسر لماخقله

  • @didakalaule7840
    @didakalaule7840 Рік тому +1

    Ukijaaliwa mlete tena

  • @kivuswahilitv6833
    @kivuswahilitv6833 Рік тому

    Hatuja ridhika tuonba part 3 na part 4

  • @husseinmjema85
    @husseinmjema85 Рік тому

    Nimependa mjadala wenu namba umrudishe tena siku nyingine

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Рік тому

    Shekh karukaruka swali kkk swali kwann mungu aweke matabaka kuwe na wema na ubaya ikiwa kilankitu kinaandikwa kbl?

  • @remybuyenzi1856
    @remybuyenzi1856 Рік тому

    Umeeelimika kabisa Salama 😀😀😀😀😀😀😀. Hayo maswali yote unamuuliza anayajua sana na ni mkali sana kwa kujibu. Unapewa jibu la swali haendi uku wala kule. Unapata jibu kwa ufupi basi point.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    🙌🙏

  • @hassanthabit4021
    @hassanthabit4021 Рік тому

    Salama bist du ruhig bleiben

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 Рік тому

    Mimi sikufurahi vizuri leo shekh alivyojibu masuali hasa lile la kadari yaani kwanini mmoja awe mwema na mwengine awe mbaya na hali yakua mambo yote yameshakadiriwa na allah,,,Salama naomba hem njoo huku zanzibari uwahoji mashekh kama Mselem Ali au shekh salum Msabah mambo pengine yatajjibika na yatanoga zaidi

    • @shinnennaazshine896
      @shinnennaazshine896 Рік тому

      Wew Mushkel wako uko wapiii?

    • @rashidomar2771
      @rashidomar2771 Рік тому

      @@shinnennaazshine896 katumia zaidi kujibu hoja kiakili kuliko kutumia aya na hadithi ,,na pia kama kayajibu juu juu tu hivi,,yaani kama hakujitayarisha hivi,,na tunaujua uwezo wa shekh katika kujibu majibu ni hodari sana ,kwa maoni yangu sasa sijui kwa nini kawa mwepesi sana ,,

    • @shamsisaady4029
      @shamsisaady4029 Рік тому

      @@rashidomar2771 kwanza muda ni mdogo wa kipindi, pili mlango wa qadar ni mpana mno na una mkanganyiko mkubwa kwa sababu kila jibu utalopewa linaibua hoja nyengine fikirishi, sasa kwa hekma sheikh ikabidi aende kwenye akili na huru tuliopewa wanadamu, ili kufupisha habari vyenginevyo angejikita katika kujibu swali la salama kama lilivyoulizwa, kuna watu wangejiona wapo sahihi katika kufanya maasi kwa kudhani kwamba ndivyo walivyokadiriwa na Allah...hata mtume maswahaba walimuuliza sana haya mambo ya qadar, mwisho mtume akawataka wasihoji sana bali wajikite ktk kufanya ibada kwn hakuna anayejua amekadiriwa kitu gani...na Allah anajua zaidi.

  • @khalidhashim6082
    @khalidhashim6082 Рік тому

    Sheikh kipozeo arudi bhana arudi bhana arudi tena