ENGINEER: "Tumekuta Club Inaishi Manzese, Cost Zote Alikuwa Anabeba Ghalib | SALAMA NA ENGINEER PT 1
Вставка
- Опубліковано 18 гру 2022
- #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
Kama kichwa cha habari kinavyosema, Engineer Hersi ndo chachu ya furaha kwa mashabiki wa moja ya timu kongwe kabisa ya Taifa hili, timu ya wananchi, timu yenye mataji mengi zaidi yaani mabingwa wa ki historia. Nikiwa kama shabiki wa Simba Sports Club basi sina la zaidi la kufanya ila kumpa mtani wangu Hongera ya kuongeza taji jengine kwenye historia yao na pia kumsifu round hii kwa kutuzuia kuchukua ubingwa kwa mara ya tano MFULULIZO.
Engineer Hersi Ally Saidi aliingia pale kwa njia ya mdhamini (GSM) ila baada ya kuonekana kazi nzuri ambayo ameifanya kwa kipindi cha miaka miwili, Yanga sasa inaingia katika mchakato wa kuifanya timu iwe na muekezaji na mchakato huo yeye ndiye ambaye anauongoza. Kama mshabiki wa klabu, suala la GSM kuwa mdhamini mkuu kulileta chachu ya yeye kuweza kuongoza mabadiliko hayo ambayo yataanza hivi karibuni. Na yeye ndiye anatabiriwa kuwa Rais wa klabu yake pendwa baada ya uchaguzi ambao utafanyika mwezi ujao.
Narudia tena, kama shabiki wa SIMBA, mchakato ambao watani wetu wanaenda nao mmoja anaweza kuwa kakaa mbali na kutamani tu yale ambayo yanaendelea na kuomba (kwa nia njema) wenzetu wafanikiwe zaidi ya pale ambapo sisi tulifika kwenye mabadiliko hayo. SIMBA ndo ilikua timu ya kwanza kwenda kwenye mchakato huu ila inaonekana kama kuna sehemu zoezi limekwama na maswali mengi yamekua yakijitokeza na kuulizwa na baadhi ya mashabiki, mashabiki ambao pia wengi wao ni watu wenye vyeo na mamlaka. Tena, yangu matumaini wenzetu wataweza kukamilisha zoezi hili mpaka mwisho ili wengine waweze kujifunza.
Engineer pia ni Engineer, Baba, Kaka, Rafiki na mtu poa sana, mfanya biashara pia kwa upande wake mwengine wa maisha. Ametoka katika familia ambayo ilihakikisha anapata elimu na kuwa mfano bora kwa jamii ambayo inamzunguka. Amekua Baba mzuri kwa watoto wake watatu, Engineer mzuri kwenye kazi yake, moja ya kazi yake ni ile HQ ya GSM pale mtaa wa Samora na kiongozi BORA mbele ya macho ya wana Yanga Afrika.
Niliongea nae pia kuhusu maoni yake kwenye suala la mfupi wa elimu hapa Tanzania na kama huwa anasaidia maoni yake hasa kwenye kitengo cha elimu ya ufundi zaidi ukichukulia yeye ni mmoja wa uzawa wa shule za ufundi.
Yangu matumaini basi uta enjoy na kujifunza jambo kama ilivyo kawaida yetu.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm
ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
UA-cam Link bit.ly/UA-camSalamaNa
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz - Розваги
Huyu Engeniar ni mungu alimleta. Mungu akubariki endelea Kua mweledi unaweka Alana ambavyo itakumbukwa. Badae utakuja Kua MTU mkuubwa Sana nchi hii nakuombea Kwa mungu
Amen
Sema nimegundua watu wenye hela wana uongeaj flan hiv hauna makelele 🙌🏻🙌🏻🙌🏻utulivu wa hal ya juu
This man is very humble, even when you meet him 🙏🙏🙏🙏🙏
Mimi ni Simba damu, but the guy is good example for young people in Tanzania.
Huyu tunaweza,kumuongeza ktk watu wenye akili pale uto😊😊😊
Nice interview nimejifunza mengi asa kama shabiki wa yanga sc
This is my best Show,from Nakuru city Kenya
Waswahili wanasemaje sio kwa ubaya
Kusifia kazi bora inayofanywa na Yanstone town, Great job
So calm and Collected, this Man genius aisee, so educated and so professional, Wananchi tunajivunia wewe sana Engineer 🙌🙌🙌
Tulichelewa wapi kumpata mtu kama huyu big up Eng Heris Mungu akulinde na uwe na maisha matefu. Daima Yanga mbele nyuma mwiko.
Tunakwenda vizuri. Yanga has gifted a president from God. #vivayangasc
Mie mwanasimba lakini namkubali Sana hers yupo kisoka Hana maneneo machafu ya usimba na yanga mungu akupe umri mreefu Kaka unajielewa mnoo
Viva Rais engineer Hersi said 💥🔥💚💛💯
5:00
Mwenyezi Mungu atubariki wanaume wote tunaopambania familia zetu tusibaki na madeni kwa watoto wetu
nimeipenda sana hii kauli
Mzee wa watu Mungu amrehemu sana
Amefariki huku akiwa amejitahidi kama Baba... Hadi kusikia mtoto anasema Baba amefariki lakini Hana deni..Hatumdai chochote
Na kina mama pia ❤
Sasa mlienda lalaliga kufanyaje wakati huo ndio mfumo wa Simba eng ? 49 wanachams 51 mmiliki?
@@ellsonmkonyi1319 bus lenu liko wapi
this guy is a total genious! a true engineer
Big up Eng. Hersi Said. Akili kubwa
Huyu ni kijana WA maana sana. Vijana tujifunze kutoka kwake. Yanga Kwa mfumo huu tuko makini na mbali lazima tufike
Business Technical Strategist 💫 naisubiri ya Big Joe
Fantastic interview!! Tunamuomba Jimmy mafufu dada salamaa
Wanachama 40,000, kwa club kubwa kama Yanga sio nzuri. We need over 500k members contributing to the club anually
Salama mlete doctor rick abdalah mchambuz wa soka nampenda sana
Salama sjaionaa interviews na masoud naiptjee nisaidien
Uyu mtu ana uwezo wa kuliongoza ata taifa 🟢⚫🟡
Hongera da Salama kwa kazi nzuri
Uyu mbona mstarabuu sanaa
Kazi nzuri
I salute you man🙏
Jamani nisaidieni Enginia alishawahi kufanya kazi Simba
From unguja town ningependa sisy umlete mezani feysal salum abdallah fei toto fundi kijana #hometownzanzibar
Feitoto nani wewe mama mwambie akuite wewe
Fei toto ni mchezaji wa mpira team ya yanga pia kma atanialikaa mezani nitaenda inshaallah
Engineer 🙌
Think Tanker.... Engr you are the best
my President, my Club 💛💚🖤🟡🟢⚫️
Salama jabir anajuwa
Natafuta jina zuri la kusifu hii "interview" naona kama yanapelea.
Mzee msomali tumeishi nae mailimbili dodoma
Simba na yanga zimekutana live, ila hers nimemfahamu sababu ya interview yako na manara alimwita hamnazo😀😀😀
Bigup Eng😂
Japo mimi sio Yanga but jamaa anaeleweka sanaaaa kuna mengi yakujifunza kwake
Salama waandishi wengi wanapaswa kujifunza kwako the way unauliza maswali.
Mambo vipi salama naomba mahojiano yako na mzee zorro
Alishamuhoji
Dope
🔥
👏👏💚🖤💛
Tatizo ni MFUMO.....Hili jitu naliekewa
Engineer anahojiwa na Kolo
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Jemedari kasikia bila shaka
MGAA GAA NA UPAWA HALI WALI MKAVU (Yaani ukikaa karibu na mwiko huwezi kula wali bila mchuzi)
Maana ya io methali ni ukipitapita pembezoni mwa mwambao wa habari (upwa) huwezi kosa kitowewo cha samaki ikakupelekea kula wali mkavu
Basi naomba nisaidie niweze kupata itazama
Kaaah, kumbe engineer hersi ,mumetukosea mashabiki kumficha sura Mimi nilifikilia engineer wa mjengo wako
😂😂😂😂😂
Anavyoongea yani hata kama kiziwi utaelewa anamaanisha nini maana anaongea kwa vitendo kweli uyu jamaa ni Engeniar aliye nyooka.
Mahojiano yangu bora ni Haya na Master J mpaka sasa.
1 to comment
Respect Big Boss Hersi nimekuhelewaa
Engineer gan mbona anaongea sana unakosa la kuulza
Tuletee Barbara Gonzalez Pia
Yeah
Rojoooo 😂
#SalamaNaDr.Leaky
Engineer👏👏👏
Safi sana
Rojoooo😂
Unyama
Nice engineer…. Sema the most successful club in the World sio Real Madrid bali ni Al Ahly SC ya Cairo…alafu kuna watu kadhaa alafu ndio Real Madrid.
Duuuu
@@kinthermedia6164 ni mwongo huyu jamaa Al Ahly ya Cairo ndo iwe most successful in the world
Rais wamabingwa
Salama ufanye uolewe sas khaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Muoe wewe
Mimi nataka nitoe posa,hapo
Kwan bado hajatolewa? 🙄🤔🤔
Kakuambia hajaolewa?