AINA 7 ZA WATU WANAO MZUNGUKA KIONGOZI - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 27

  • @awalimunishi
    @awalimunishi 11 місяців тому +2

    Yaaani sijui nipataje the rest team member me am visionary

  • @GustaviusBanturaki
    @GustaviusBanturaki 11 місяців тому +3

    Me ni Human resources officer katika kituo cha afya changamoto iliyopo haya ni ukosefu wa innovator na analyst lakini shida kubwa hasa ni top leader kutokuwa tayari kwenda na changes mwishowe we loose our customers and at the end we are struggling financially . Sir please I need you help what can I do?

  • @francjose9596
    @francjose9596 11 місяців тому +1

    🙏🏼

  • @israelzakayo5179
    @israelzakayo5179 11 місяців тому +1

    Ubarikiwe na mungu kaka

  • @maulidnuhu7733
    @maulidnuhu7733 11 місяців тому +1

    Ndugu yangu mimi naona sina kabisa

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 11 місяців тому +2

    Somo limenifikia kwa wakati sahihi, Ahsante sana my friend Joel auther Nanauka

  • @Jackson_Kisanga
    @Jackson_Kisanga 11 місяців тому +2

    Ahsante kaka

  • @evaomondi8218
    @evaomondi8218 11 місяців тому +1

    Mimi ni strategist. Kwa kweli wale wengine bado natafuta.😊

  • @pauljosephtarimo2279
    @pauljosephtarimo2279 11 місяців тому +2

    Hili limenigusa moja Kwa moja

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 11 місяців тому +1

    somo bora sana

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 6 місяців тому

    Asante br Joel hapo umegusa ndipo...kazi tunayo

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 11 місяців тому +1

    Upo sawa

  • @joely22
    @joely22 11 місяців тому

    Samahan brother Kwa mda wa miez kadhaa nkufwatilia nimeipenda San Kaz Yako maan inaelimu ndani yak but naomba ushaur me Nafany Kaz ya kuwajiriwa nikijarbu kupang bajet yangu ya mwez ni kwamba nitabakiwa tu na &1 ya mshahar Wang naomba ushaur,🙏

  • @vitarismujuni6889
    @vitarismujuni6889 11 місяців тому +2

    Ccm hao

  • @hildahmathew7800
    @hildahmathew7800 11 місяців тому

    Well done broo

  • @tumainselestine3398
    @tumainselestine3398 11 місяців тому

    Nipo kwenye kundi la innovator...ninaye ona mbele

  • @eliastanda9825
    @eliastanda9825 11 місяців тому +1

    Me nipo sehemu mbili communicator, pia visions but kweny team yangu sina action member

  • @clarasabutoke6907
    @clarasabutoke6907 11 місяців тому

    Amen

  • @eliastanda9825
    @eliastanda9825 11 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @edithavalelian256
    @edithavalelian256 11 місяців тому

    Somo zuri sana, ila hao marafiki nilionao sijaona mwenye sifa izo hata mmoja 😅😅

  • @newgarden8036
    @newgarden8036 11 місяців тому

    Hujazyngunza watu wanaomwambia ukweli

  • @brotherdanii9700
    @brotherdanii9700 11 місяців тому

    🖊️🙏

  • @masilastahona7010
    @masilastahona7010 11 місяців тому

    Nilidhani nikiherehere kumbe ndivyo ilivyo asnte nimepata kitu kipya Sasa 🤣 asnt kunipa jicho lingine 🙏