PART 2 : Maeneo 7 Ambayo Kiongozi Anatakiwa Kuwa Nayo Makini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 51

  • @MO.MLEMBE
    @MO.MLEMBE 2 роки тому +2

    ubalikiwe na mungu brother Joel kwa kweli nguvu inayotoka ndani yako inatupatia speed kubwa Sana ya kujitambua tunatakiwa tufanye nini. kwa wakatigabi na wapi I'm really so proud to have you in our country

  • @neophitalukiringi8260
    @neophitalukiringi8260 Рік тому

    Asante sana Maisha yangu yanaendelea kubadilika kupitia mafundisho unatotoa. Mungu akutie nguvu na kuendelea kukubariki sana.

  • @amirihemed804
    @amirihemed804 3 роки тому +2

    Ajionavyo mtu nafsin mwake ndivyo alivyo (best quote ever)

  • @cardodemellor8046
    @cardodemellor8046 3 роки тому +4

    Allah akuongoze akuzidishie hekima na busara tunajifunza sana kupitia wewe kaka

  • @amonasimwe4075
    @amonasimwe4075 Рік тому

    Mpaka nijiuliza kwann sikukujua mapema jamniiiiii what amazing motivational words from Ur mouth bro!!!!!!??

  • @tharcissenareme
    @tharcissenareme Рік тому

    Thank you so much DEAR JOEl.
    I follow you FROM BURUNDI

  • @LeornadMarco
    @LeornadMarco 3 місяці тому

    Thank you my brother ubarikiwe kwa mafundisho mazuri

  • @edendehazard5416
    @edendehazard5416 2 роки тому

    Your the best mentor in my life @joel nanauka

  • @paschallusana335
    @paschallusana335 3 роки тому +1

    Uko vzr sana, God bless you

    • @bosstz4581
      @bosstz4581 3 роки тому

      Wewe ni kiongozi ndugu

  • @KaburaAbediKapangaAbdulRahmans
    @KaburaAbediKapangaAbdulRahmans 3 місяці тому

    Ongera kaka joel nanauka
    Ni mimi Kabura Abedi kapanga sabiti swaburi

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 3 роки тому

    Umenisaidia sana ktk safari yauongozi

  • @omarizuberi1225
    @omarizuberi1225 3 роки тому +1

    Mungu akubariki kaka Kwa kazi nzuri unayoendelea kuifanya.

  • @anastasiamainaministries2700
    @anastasiamainaministries2700 3 роки тому +5

    Yaeeyeee am the first one today. Following from Kenya,,, joel God bless you 👏💘💘

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 роки тому +1

      Thanks Anastacia, let's keep on learning🙏

    • @anastasiamainaministries2700
      @anastasiamainaministries2700 3 роки тому

      @@joelnanauka thank you sir.. may God's grace b upon you now and forever 🙏👏♥️

  • @giselamassawe8292
    @giselamassawe8292 2 роки тому

    Hello kaka nakukubali sana .Mungu akubariki sana uzidi kukua

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 8 місяців тому

    Asante kaka yetu.

  • @piusgiringa8234
    @piusgiringa8234 3 роки тому

    Kaka Nanauka hakika wewe wewe Kiongozi Bora Mungu akutangulie ili uendelee kutupa elimu hiyo Adimu💪💪💪

  • @ismailkatala4792
    @ismailkatala4792 3 роки тому +2

    Ni kweli kabisa..hata John C. Maxwell kwenye kitabu chake "21 Irrefutable Laws of Leadership" amemchukulia mother Teresa kama icon kwenye law of influence.

  • @MO.MLEMBE
    @MO.MLEMBE 2 роки тому

    Natamani siku muja uje kua president in TANZANIA🙏

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 2 роки тому

      Hawa wa hivi wakipewa nafasi huwa hawawezi kuongoza ila huo ndio wajibu wao walioitiwa na Mungu.

  • @dominicemanuel748
    @dominicemanuel748 3 роки тому

    Hahahaha dah!!!! Unanifunza mengi sana kaka

  • @hamadicharles3152
    @hamadicharles3152 3 роки тому +2

    bro samahan naomba kuonana na wew

  • @daudielia3340
    @daudielia3340 3 роки тому

    Barikiwa zaidi na zaid Kiongoz

  • @iconboy8733
    @iconboy8733 3 роки тому +1

    Asante sana kaka....Semina zako km hizi za Kuongea kwenye majukwaa Yanatufundisha vitu vingi sana...naomba uendelee kuappload videos km hizi Mara nying zaidi ili tujifunze zaidi

  • @helenamusa432
    @helenamusa432 3 роки тому

    saf sana Joel umeongea Pont nzul ambao wengi hawajui

  • @stephenjonas4866
    @stephenjonas4866 3 роки тому

    Mwendo ule ule broh Joel,,, mpaka kieleweke

  • @huseinmlaponi674
    @huseinmlaponi674 3 роки тому

    Safi Sana kaka Joel kwa somo zuri

  • @jacksonmelubo526
    @jacksonmelubo526 2 роки тому

    Hongera sana kaka

  • @mwl.frankmadembo7472
    @mwl.frankmadembo7472 2 роки тому

    Thank you

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 3 роки тому

    Nakukubali sana kaka

  • @johnharaba9064
    @johnharaba9064 2 роки тому

    Nice

  • @maombifranco
    @maombifranco 3 роки тому

    Nmebarikiwa na mafundisho haya, ntafanyia kazi...

  • @BalumileMataba
    @BalumileMataba 3 місяці тому

    Duuh mwal umenigusa na kunifungua aisey

  • @limixfilamu
    @limixfilamu 4 місяці тому

    Asanteh kak

  • @maulidympembeta6045
    @maulidympembeta6045 6 місяців тому

    Kaka Joel vip naweza pata namba yko ya simu ? Kutokana na mada zako Kuna muda Huwa nakuwa na maswal

  • @josephmandelapenet4587
    @josephmandelapenet4587 3 роки тому

    Very powerful

  • @Dr.Seif_tz
    @Dr.Seif_tz 3 роки тому

    Good

  • @denisrukangula7086
    @denisrukangula7086 3 роки тому +1

    mimi wa 7

  • @ernestkiula2549
    @ernestkiula2549 3 роки тому +1

    Ubarikiwe sana

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 3 роки тому

    Kama hukubali kupatwa mbinguni achia like

  • @zuhuramike1399
    @zuhuramike1399 3 роки тому

    Amen

  • @uncleb9294
    @uncleb9294 3 роки тому +3

    ✊✊

  • @evancezuberi1548
    @evancezuberi1548 3 роки тому +1

    Thanks

  • @ibzangabriel68
    @ibzangabriel68 3 роки тому

    Perfect

  • @davidmkama3830
    @davidmkama3830 3 роки тому +1

    uko vzuri kaka

  • @MrRolandVlogs2
    @MrRolandVlogs2 3 роки тому

    Muzuri kabisa

  • @ObaChristopher
    @ObaChristopher 3 місяці тому

    Sf

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 3 роки тому

    Kama hukubali kupakatwa mbinguni achia like

  • @ObaChristopher
    @ObaChristopher 3 місяці тому

    Sf