DKT MPOKI: MBEGU BORA ZA MAHARAGE HUTOA MAVUNO BORA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2020
  • Dkt Mpoki Shimwela Mtafiti Mwandamizi kutoka kituo cha utafiti Maruku awataka wakulima na wananchi kwa ujumla kupanda mbegu bora za maharage ili wapate mavuno yaliyo bora hasa wakizingatia aina za maharage ambazo zimefanyiwa utafiti na wataalamu wa zao la maharage,
    Amesema hayo leo Mkoani Kagera ambapo wamepokea ugeni kutoka nchi Ishirini ndani na nje ya bara la Afrika katika Utafiti wa zao la Maharage.
    www.radiombiu.co.tz
    #RmSautiYaFaraja

КОМЕНТАРІ •