JIFUNZE KILIMO CHA MAHARAGE KUPANDA HADI KUVUNA, MBINU ZA KUPANDA BILA KULIMA , CHANGAMOTO ZAKE ...
Вставка
- Опубліковано 10 лип 2023
- #maharage #tarikifyurilo #tari #iringa #arushatanzania #dodoma #dodomajiji #dodomayakijani #daressalaam #kilimo #ruvuma #morogoro #njombe #mufindi
asante kwa somo
Samahan boss me ndo naanza kilimo je naeza tumia mbolea ainagani
Nataka kuja kulima maharage.nije mwezi gani?hata sasa nipo tayari.nipo Dar.
Ahsante ila kilo 600 mpaka 800 ni kidogo
Mbna kama unaogopa
Namba yako tafadhali.
asante kwa somo lako mtaalamu. swali langu ni kuwa nikipanda maharage kwa njia ya matuta sitavuna sawa na ambae hajatumia matuta?
Kak daud napenda kilimo
Tunatakiwa kupanda mbegu ngap kwa kila shimo.
Mbegu 2
Anodijen
Asant kwa somo zur
Sasa huo mziki wa nini?
Nina omba mnipatie naomba ya simu ,na je kila shimo natakiwa kuweka mbegu gani
Napataje mbegu namba ya mawasiliano