MAKALA YETU EP: 25 | FAHAMU KUHUSU KILIMO CHA MAHARAGE (BEANS)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лип 2023
  • Maharage ni moja kati ya mazao jamii ya mikunde, kama kunde, mbaazi, karanga, soya na choroko. Zao la maharage linapendwa na wakulima wengi kwa sababu linachukua nuda mfupi kukomaa na halina gharama kubwa katika uzalishaji wake. kufahamu yote haya na mengine mengi yanapatikana katika video ya makala yetu hii sehemu ya 25.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ •