MCHANGANUO KWENYE KILIMO CHA MAHARAGE :MTAJI NA FAIDA KATIKA HEKA
Вставка
- Опубліковано 24 лис 2024
- 👉Kilimo cha maharage aina ya Soya kina faida kubwa. Fuatilia somo hili kwa mtaji wa Tsh. 667, 000 upate faifa ya 3, 083, 000 ndani ya miezi 4/5 katika heka 1.
HABARI,Nimefurahishwa sana kwa elimu ya kilimo biashara cha MAARAGWE...GOOD JOB...THANKS AND GOD BLESS YOU....Asante.
Amen 🙏🏿 Same too
Asante sana ubarikiwe ila nungependa kujua kilimo hiki kinategemea mvua au umwagiliaji maana nimeona Kama shamba liko ktk mwinuko kidogo
Kote kote kina kubali umwagiliaji na mvua pia🙏
Makala nzuri lakn natoaushauri kupunguza kengere zenu. Mnamtoa mtu kwenye mood.
Asante ndugu✍️🤝
Yani mi nimeacha kuangalia sababu ya hio kengere it’s annoying
Very sorry ndugu. Tutajihidi kurekebisha Hilo tatzo na tuna haidi kwa video zingine halitatokea🙏🏿🤝✍️
Wanaboa Sanna
Samahani ndugu 🙏🏿 ✍️ 🤝
Axant xan kwa kutuelimisha kuhux kilimo
Barikiwa Sana ndugu
Ahsante ndg kwa post zako za faida,naomba kujua hayo maharage ya soya yanafananaje.
Ya njano
@@AGALUSTVmaharage ya soya ndo Yale ya njano?
Asante sana kwa somo zuri nime be inspired kwa kweli 🙏
Karibu ndugu
0
Ip
Nini ndugu
Njinsiya upandaji nzuri WA maharage
Fuatilila video za upandaji wa maharage
@@AGALUSTVziko wapi hizo video za upandaji
@byamungujovitus2326 Andika tu jinsi ya kupanda maharage by AGALUS TV. Apo you tube
Jambo ndugu.nomba kujua naweza kulima handeni pozo. naweza kulima maharage ya soya ?
Yaah inawezekana tu
Nikitaka uwe bwana shamba wangu nta kupataje na garama zako ni shingapi mm Niko Arusha
Tuwasiliane tu tuone tunasaidiana vp
Wasap +255765467484
habar ;naomb nijue faida ya kufungasha na kuyaweka store maharage ipoje
Ni pale utakapo kua unasubiri soko la maharage Lipande
Kilimo cha maharage aina ya Soya kina faida kubwa. Fuatilia somo hili kwa mtaji wa Tsh. 667, 000 upate faifa ya 3, 083, 000 ndani ya miezi 4/5 katika heka 1.
----------------------------------------------------------
___ hesabu hiyo hapo juu unaifikiaje ?
Umejieleza kwa vdeo
Nashukuru
Tupo pamoja ndugu
Tupo PAMOJA NDUGU
Jee! Kila shimo Moja unapanda mbegu ngapi?
2
Upandaji cm ngp mche hd mche?
Sm13/15 kwa sm 50/70
Mkoa wa mara kilimo hichi kinakubali?maana ni ardhi ya mchanga
Inakubali vzur tu
Samahani kiongozi na mbegu bora ni ya aina gani??
Zenye kuzaa vizuri kulingana na eneo lako
🎉kpindi gani cha kilimo hichi bwanna shamba naona umesahau kutuambiy
Mvua zinapo isha TU tunapanda maharage yaani unyevu nyevu uwepo shamba
Kwahy maharage hayataki mvua kabisaa?@@AGALUSTV
Vipimo vya upandaji shimo hadi shimo ni cm ngapi?na mstari hadi mstari ni cm ngapi?
Sm 10 hadi 15 shimo kwa shimo na sm30hadi 45 mstari kwa mstari
Mkoa gani? Mkuu na namba yenu za simu
Mkoa gani una maana ipi?
Dar unweza kulima ? Ndio mana yangu
@sajidkas9503 unaweza tu ndugu. Muhimu kuangalia hali ya mvua au maji kama unamwagilia
Naomba namba za simu za measiliano mkuu
@sajidkas9503 wasap +255765467484
Mda wakuanza kupuliza dawa ya ukungu ni wakat gani??
Ni mara tu majani yanapo anza kuchanganya uku ukiangalia hali ya hewa je Kuna barid?
Je mbolea ya supergro Haifai kwa maharage!nakamainafaa nipe faida yake tafadhali
Sorry. Naomba ukamwone mtaalam au wakala wa izo mbolea anaweza akawa na mengi. Ya kukwambia🙏🙏🙏 kwa zaidi nichek 0786097274
Naomba namba zenu za simu
Ok 🙏
Mm natakaa kujuaa mbolea yamatundaa nitumiee mboleaa ganii
Mbolea zipo nyingi ndugu tuzitaja Majina apa Ata sehem haitatosha ila kwa ushaur muone mtaalam w kilimo aliyekaribu nawe atakwambia eneo unalolima ni mbolea gani itafaa🙏kama utaitaji msaada zaidi tuzid kuwasiliana
Kwa mkoa wa manyara au singida maharage Yale ya njano hukaa muda gan?
Ngoja tufuatilie hali y hewa kw uko ipoje
@@AGALUSTV samahani mpendwa hivi nikipanda maharage Yale ya njano mwezi huu wa kumi na moja katikati yataweza kustawi vizuri na kuiva vizuri,?
Asante nipo mkoani Arusha
Inawezekana kabisa ila mvua sisichelewe au utakua unamwagilia?
Je kilimo cha soya tunatumia mbolea?
Ndyo Zina tumika ndugu
Kulima ni,kuanzia,mwezi gani?
Kila eneo utofautiana ila pale mvua zinapo enda kukatika tu
@@AGALUSTV eno TABORA,nililima,Karanga,nategemea,nikizitoa,niweke,maharage,niombe,mungu,Mandal,mwez,wa,3
BARIKIWA SANA NDUGU
@@AGALUSTV Amiina Kwa sote,no, yako ya, WhatsAp, Kama nitaanza nntakutafuta unipe maelekezo zaid inshallah
Sawa ntakutumia ndugu
Blaza inakuaje man. Ivi kwa Tanzania wapi panafaa zaidi kwa mtu anaeanza kilomo Cha maaalage. Yani no mkoa gani kuliko wote wenye lutuba. Afu mini Tena ujue kilimo nimekikubali japo naishi town man. Niambie bloo nianze mishe
Maharage ya nakubali tu sehemu kubwa nchini ni wewe tu hesabu zako piga
maharage yanachukua mda gani kukomaa?
Miez 3/4
Nimelima heka 2 ngoja niangalie faida Kama itakuwa nzurii
Baraka za Mungu ziwe ktk Kaz yako🙏🏿✍️🔥
Mashamba yanapatikana wapi
Upo wapi
hii imeakaaje mbona Mimi nikilima napata gunia 5 kwa heka 1
Pole sana ndugu mavuno hutegemea mambo mengi Sana. Rutuba shambani, mbegu uzaaji, Hali ya hewa n. K
Mambo
Poa poa ndugu 🙏🏿
Hayo mahage yanastawi zaidi sehem gani(mkoa gani)???
Mikoa ya nyanda za juu kusini
@@AGALUSTV napenda saana kuanziasha kilimo Cha maharage , napenda kuuliza kwamba maharage ya msimu na Yale ya kumwagilia yapi Yana faaa zaidi katika kuvuna mavuno mengi?
@@AGALUSTV napenda saana kuanziasha kilimo Cha maharage , napenda kuuliza kwamba maharage ya msimu na Yale ya kumwagilia yapi Yana faaa zaidi katika kuvuna mavuno mengi?
Hamna namba za WhatsApp kwa maswali na masomo zaid
Kwa sasa haipo ila soon itakuwepo 🙏🏿✍️Endelea kubak na AGALUS online TV
Kengere inakeraaaaaaaaa,kuweni wasomi
Sory mkuu tujajitahidi
Kilimo cha daftari 😂😂😂😂 hicho ingia shambani ndiyo utajua kuwa kilimo kinasemaje
Ok
Nimejifunza kitu mbarikiwe sana
Pamoja ndugu 🙏🏿🤝✍️
Kigoma vijijin hasa wilaya ya uvinza watu wakilima heka akipata sana ni gunia tatu tu
Poleni Sana ndugu. Anza kulima kilimo bora
vipi mbolea ya kumwagilia aka booster..
Nzuri Sana izo
Aina gani mzuri ya maharage?
Maharage yote ni mazuri ndugu cjui eneo lako yapi ni mazuri zaidi
@@AGALUSTV kuna yale ya rangi ya njano ndo yanaitwaje kitahalamu?
Ivyo ivyo maharage ya njano
Sawa lakin hiki kilimo kinafaa sana wap dodoma morogoro au singida au mkoa upi
Mikoa yote Kilimo hiki kinafaa
@@AGALUSTVNi mwezi gan unafaa kulima Maharage
Mvua zinapo enda kuishia
Naitaji namba yako mm ni mkulima
Wasap +255765467484
Mbolea gani inafa kwa maharage
Ya kupandia, kukuzia AU matunda. Maana zote ni muhimu so unahitaji kujua kwa ajiri y Kaz gani apo
Namba ya simu
Okay
Kaaaaaaa izo gharama
Upate tu picha japo zitatofautiana kat y eneo 1 na lingine japo kidogo sana
Mimi niko kagera napenda sana kilimo na mungu akipenda mwaka ujao nataka nijaribu na mm maharage na mahindi kwenye shamba moja itawezekana? Na je una group la WhatsApp
Karibu Sana ktk kilimo. Kwa kilimo chenye tija si vizuri kupanda ayo Mazao mawili ktk shamba 1 maana maharage ya nahitaji Sana Mwanga w jua so itakua ngumu. Pia mahindi ya nahitaji Sana rutuba. Labda uhakikishe shamba lako Lina rutuba y kutosha. Ila kwa kulima kwa lengo la kupata ugali na mboga tu waweza fanya hivyo. Group hatuna bado tunatafuta njia nzuri ya kuliendesha group. Ukiwa na shida waweza ku comment tu AU ukitingwa Sana ntakutumia namba y wasap
Ahsante sana. Kwa mm ninaeanza ni vzr ninunue shamba au nikodishe kwanza? Nipo Bukoba Ila nataka kutafuta shamba karagwe kama unapafaham au unamtu unamjua unaweza kuniunganisha nae
@@azilathabdul1557 ndungu,yuko,wengi,tunaanza maisha,kilimo,ALLA,atuongoze,
Naomba no ya sim
Ok
@@AGALUSTV nahitaji harage sio makavu yani mabichi yanatikana guniya kwa bei gani
Tuwasiliane +255765467484 wasap na. Telegram pekee
Tunaomba majina ya mbolea za viwandani
ZA kupandia au
bolea unawekaje kwenye maharage kama ya meota
Fuatilila video hii y upandaji w maharage
ua-cam.com/video/Dd4ECqyDXK4/v-deo.html
Nimkoa gani
Karibu mikoa yote zao hili linakubali
Ooooo
Karibu
kaka naomba mamba zenu nakufatilia kila zao
Tunashukuru sana Na ubarikiwe sana🙏
@@AGALUSTV kak nahitaj shamb nitapata. huk
Mengi tena mazur sana
Mm naomba nipatieni namba zenu Ili niweze kuuliza maswali elimu nzuri sana
+255765467484 wasp tu
Maharage yamsimu yanapandwa mwezi gani?
Hatujakuelewa kdogo swali lako🙏
Kuna maharage yakumwagilia nakunamaharage yanayotegemea mvua Sasa unasemahayahitaji mvua nyingi Sana ndo nauliza mfano sehemu mvua zinaanza mwezi WA 12 zinakata kuanzia wanne hadi watano Sasa hapa inabidi nipande mwezi wangapi ili kuepukamvua nyingi
Ok miez y 10/11 kwa maeneo maeneo mengi Tz
@@AGALUSTV oky shukrani sana
Pa1🤝🤝
Eka tunapandia kilo ngapi
Nini? Mbegu AU mbolea
🙏🙏🙏
Pa1
sawa
@@AGALUSTV thjt
Nina swali kidog
Karibu Sana ndugu