NYIMBO ZA EKARISTI TAKATIFU.Chang'ombe Catholic Singers.Watunzi S.Mujwahuki/Aloyce Kipangula

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Karibu Kusikiliza na kutazama Nyimbo Muhimu za Ekaristi Takatifu (Komunio Takatifu) Nyimbo hizi nyingi zimetungwa na Stanslaus Boniface Mujwahuki na Wimbo Mmoja umetungwa na Aloyce Goden Kipangula.Ni nyimbo nyepesi sana na uliziimba kanisani zinaimbika na watu wote waimbaji wa Nyimbo hizi zote ni wanakwaya wakatoliki Parokia ya Chang'ombe Dsm (Chang'ombe Catholic Singers). Mratibu wa huduma hii ni Mwl Aloyce Goden Kipangula ambaye katika utume wake na kupitia karama aliyojaliwa na Mwenyezi Mungu anaendeza Kazi ya uinjilishaji Pamoja na Wanakwaya Mahili kabisa wa Muziki Mtakatifu, na Wanajitahidi kuutunza Muziki huu Ili uendelee kuwa na Asili Ile Ile iliyozoeleka Tangu Mwanzo wa Nyimbo hizo bila Kuleta usasa.#catholicmusic #romancatholic #gospelmusic #music #kanisakatoliki #nyimbozainjili #nyimbozakatoliki#nyimbozadini

КОМЕНТАРІ • 39

  • @justakaranja9102
    @justakaranja9102 3 місяці тому +3

    Nyimbo zenu nazipenda sana.Sauti za kupendeza, maneno ya kujaza roho. Na pia kuzishika na kuziimba ni rahisi .Mbarikiwe sana.

  • @BernardBahatiMallya
    @BernardBahatiMallya Рік тому +3

    Yesu I Jina lipitalo majina yote. Linamtisha ueyote yule mwenye kiburi, uonevu udhili nk. kwa wengine. Nguvu ilipo kwenye Jina hili haipo kwenye mamlaka yoyote Duniani.

  • @peterkimani7569
    @peterkimani7569 Рік тому +4

    Oh Sacrament most Holy, oh Sacrament Divine, All praise and All Thanks giving be every moment Thine. Amen🙏

  • @alfredswenya
    @alfredswenya Рік тому +1

    Nakupenda yesu,ninaomba na Nina hamu na njaa Kali sana Mimi,ninaomba hicho chakula we yesu.

  • @angelamakokha1254
    @angelamakokha1254 Рік тому +2

    Blessed be Jesus in the most blessed sacrament of the altar

  • @gidionmibaluro7085
    @gidionmibaluro7085 3 місяці тому

    mfalume wa mbigu na nchi...napenda sana kuimba wimbo huu....tnazidi kubalikiwa....

  • @stephenmwanisenga7068
    @stephenmwanisenga7068 10 місяців тому

    ❤Mungu wangu na uzima wangu! Ishi nami milele na milele! Amina

  • @jamesmboyi30
    @jamesmboyi30 Рік тому +1

    Tumshukuru Mungu,najivunia kuwa mkatoliki

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui Рік тому +1

    Asante Yesu Mwema.

  • @theonasprotas5144
    @theonasprotas5144 Рік тому +1

    Yesu utusamehe

  • @GauthierKweshi
    @GauthierKweshi Рік тому

    Eh YESU wangu Aksanti kua Muili wako mtukufu Nilipo pokeya asubuyi za Léo, Uni chunge imara pa Ali Pote Amen 👃

    • @user-ho3xc7lu8x
      @user-ho3xc7lu8x Рік тому

      The iove òf God to as is every where on earth

  • @davidogegaNyamora
    @davidogegaNyamora Рік тому +1

    I love Jesus my Lord

  • @Samson_Collection-ps2pd
    @Samson_Collection-ps2pd 9 місяців тому

    Najivunia kuwa mkatoiliki

  • @dennismlula5019
    @dennismlula5019 Рік тому +1

    Kwa nyimbo hizi utukufu naona upo nami

  • @alfredswenya
    @alfredswenya Рік тому

    Ninaomba hicho chakula yesu wangu

  • @methuselafelix4983
    @methuselafelix4983 Рік тому +1

    Barikiwa ❤

  • @nathanototo8393
    @nathanototo8393 7 місяців тому

    Bwana wangu na Mungu wangu ntakulipa nini kwa wema Wako Juu Yangu? nakupenda, nakusifu, nakusujudia na ninakuabudu katika Hostia takatifu ambapo Umo Mzima Mwili, Damu ,Roho na Umungu

  • @alfredswenya
    @alfredswenya Рік тому

    Nakupenda yesu sana

  • @dennismlula5019
    @dennismlula5019 Рік тому

    Kweli MUNGU NI KILA KITU

  • @michaelnzyoka8702
    @michaelnzyoka8702 10 місяців тому

    asante Yesu

  • @CollethaJames
    @CollethaJames 6 місяців тому

    😊😊😊😊❤❤❤

  • @BoscoDavid-zi6em
    @BoscoDavid-zi6em 7 місяців тому

    Kwaya

  • @josephonyango3125
    @josephonyango3125 Рік тому

    God bless Chang'ombe Catholic singers. And all of us.

  • @AnnMakhoka-zl4ko
    @AnnMakhoka-zl4ko 11 місяців тому

    🎉😢🎉
    🎉🎉🎉🎉😢😢😢

  • @philipmugagolo2878
    @philipmugagolo2878 8 місяців тому +1

    Ndugu Aloyce Kipangula na wanakwaya wote wa Changombe Singers mpate kubariwa kwa hizo nyimbo zenu tamu za Ekaristi kwani najivuniya kuwa MKatoliki.

  • @BoscoDavid-zi6em
    @BoscoDavid-zi6em 7 місяців тому

    Baalveel

  • @alfredswenya
    @alfredswenya Рік тому +1

    Ndy chakula Cha uzima wetu,kuliko chakula chochote.

  • @njukuwanzetse8241
    @njukuwanzetse8241 Рік тому

    allow me to add an L to your middle name between o and d. you deserve it.

  • @lucianotodeschini
    @lucianotodeschini Рік тому +1

    Najivunia kuwa mkatoliki