Eeh yesu wa ekaristi ninakusii nakuabudu unisaidie kufanya vizuri kwenye maisha ya Kikristo eeh yesu hii ni sala kutoka kwangu Eeh bwana nakuomba unisike
EKLESIA KATOLIKA. MY ANCESTORS FROM BOTH DAD AND MUM SIDES WERE BAPTISED IN THE CATHOLIC CHURCH IN 1870. THANKS BE TO THE LORD OUR GOD FOR HIS GRACE; WE HAVE MAINTAINED THE FAITH UP TO THE PRESENT 2024. NO ONE HAS GONE ASTRAY BOTH IN TANZANIA AND ZAMBIA. LONG LIVE EKLESIA KATOLIKA. THANK YOU LORD JESUS, OUR SAVOIUR.
ewe mwezi mungu muumba aridhi na mbingu nakushukru Tena kwa zawad ya uhai ulio nipa nakuomba unilinde uniepushe na majanga kwenye siku hii ya leo mimi pamoja nafamilia yangu Amina🙏
Mtumishi kipangula Mungu akutunze kwa jinsi anavyokupa uvuvio WA Roho Mtakatifu katika utungaji WA nyimbo hizi PENDWA zinazoponya roho zetu na kumtafakari kristo zaidi
Bwana yesu tunakuabudu katika Sacramenti ya Ekaristia Takayifu From Burundi 🇧🇮
Namshukuru Mungu kwa kulelewa ktka ukristu, napenda na uzao wangu udumu ktk kristo Amina
Eeh yesu wa ekaristi ninakusii nakuabudu unisaidie kufanya vizuri kwenye maisha ya Kikristo eeh yesu hii ni sala kutoka kwangu Eeh bwana nakuomba unisike
Mungu wa ekarist jazs roho zetu zidum ktk bwana,
Ee Yesu uliye mzima moyoni mwangu unihurumie.
Napenda nyimbo za ekarist
Najivunia kuwa Mkatoliki🙏
The best songs ever..proud to be a Catholic
Eeeh Yesu wa Ekaristi Takatifu tunakuomba utulindie watoto wetu na Kila Hila za yule mwovu shetani, na kuwakinga na magonjwa yotee🙏🙏🙏
Proud to be a Catholic 🙏🙏🙏
Yesu Asante Sana kujifanya chakula kutuletea shibe alama ya pendo 🙏🙏🙏
I like the song
Asante mungu wa ekaristi kwa kuniongoza ubariki nchi yetu ya kenya 🇰🇪
Mungu awajalie moyo wa mapendo huwa najikuta natabasam peke angu na aman tere moyon mwangu
EKLESIA KATOLIKA. MY ANCESTORS FROM BOTH DAD AND MUM SIDES WERE BAPTISED IN THE CATHOLIC CHURCH IN 1870. THANKS BE TO THE LORD OUR GOD FOR HIS GRACE; WE HAVE MAINTAINED THE FAITH UP TO THE PRESENT 2024. NO ONE HAS GONE ASTRAY BOTH IN TANZANIA AND ZAMBIA. LONG LIVE EKLESIA KATOLIKA. THANK YOU LORD JESUS, OUR SAVOIUR.
Bwana yesu komboa haja ya moyowangu kupitia siku yaleo imbadilishe mume wangu tuweze kufunga ndoa natuwe na amani bwana nakutumainia🙏🙏ameena
Ubarikiwe mama kwa ujumbe mzuri. Yesu wa ekaristi ATAKWENDA KUTENDA, AMINA
Its enjoyeable to sing the euchrist songs in swahili,being blssd alot.🎉
Mungu wabariki Sana wanakwaya
Nawe ubarikiwe
Asante Yesu wa Ekaristi takatifu tunaomba utuokoe na hili janga la covid-19 na udumishe amani ya mioyo yetu na taifa letu🇹🇿👏
Amina
Amina 🙏🏾
Questions
@@AloyceKipanguladid it
Zero turn mowers for coming
Super Proud of being a Roman Catholic...Am really blessed while listening to catholic songs🙏
🤗✋
I like catholic songs they comfort me
So sweet song
Yesu wa ekaristi naomba ufungue njia zangu ili nipate kujongea altare yako tena. Amina
Yeye ni mwema "UKIMTUMAINIA ANAFANYA" vp ulisharejea mezani kwake?
Asante bwana yesu kwa kila mema unayozidi kunijalia naomba niongoze vyema hata niweze kuijongea upya meza yako
Munga naomba unisamehe makosa yangu alafu ukae ndani yangu milele n milele amina🙏🙏🙏
Brought tears to my heart....how i wish to love you Eucharistic Lord the way you love me....MY LORD AND MY GOD
🙏
So God blessing your@@AloyceKipangula
Yesu cakula ca uzima kwa wenye moyo safi utukuzwe ee mwili na damu ya kristu
Asante yesu naomba healing to my body and my family
May God provide healing soon for your family. 🙏
Oooh Lord I pray that you have mercy on my family ,,secure it from the earthly demonic believes
Nyimbo ntamu kabisa,mungu awabariki🎉🎉
Asante Yesu wa Ekaristi.Nakuomba Yesu wa Ekaristi takatifu nipate ajira ya kuwa mwalimu.
takatifu.Nakuomb
Amina na ikawe hivo 🙏🙏
Amen na mungu akubariki na ajibu maombi yako
Saaaaaafi kabisa. Tumsifu Yesu Kristu...
Milele na Milele amina
Natamani kupata maneno ya wimbo YESU ASANTE SANA
I'm so delighted all the time when I listen to these nice hymns
Jesus in my heart always...Longing for this Holy Eucharist...waiiting for my wedding day.Amen.
Asante yesu
Hizi nyimbo ziko na upako wa roho mtakatifu kweli
Nyimbo Nzuri sana hizi...zinagusa nafsi ya ukatholic wangu/wetu!
Amina sana🙏
Asante Yesu kwa Yote Unayotutendeà na Kutubariki ,
Yesu wa Ekaristi tawala maixha yetu ili tupate Neema ya ukombozi katika Mapito yetu hapa Duniani
Amina
Ngoma kali sana
Yesu ni mfalme daima
Asante yesu wa Ekaristi,. Ninani kama bwana yesu mfalme wa mbingu nanch anaetualika sote kwenye karamu aliyoiandaa Bali tuwe na moyo Safi
By
@@DoniceMwachia666667j
😊@@DoniceMwachia
Ibariki nchi yetu❤Tz
Eeeh yesu wa ekaristi naomba uwe ndani ya maishi niongoze na kusimama kazi za mikono,watoto na ndoa yangu na uchumi wangu
Asante mungu,wimbo unanisisimua sana,hata nakuwa mwepesi ktk kumtumikia mungu.
🙏
ewe mwezi mungu muumba aridhi na mbingu nakushukru Tena kwa zawad ya uhai ulio nipa nakuomba unilinde uniepushe na majanga kwenye siku hii ya leo mimi pamoja nafamilia yangu Amina🙏
nawazaaa ingekua vp kaa nisingekua mkristu mkatolikiii......nawazaaaaaaa
EE BWANA WE NICHAKULA CHA UZIMA
Yesu kipenz nakupenda sana❤
Na sala zangu zikufikie ee mungu wangu amina
Yesu wa ekaristi nakupenda sana.
Im proud to be a catholic
Those songs they remove all the stress from me and think about God who created me.
🙏
Amen
Barikiwa
@@AloyceKipangula me
@@AloyceKipangula me know if just both know know o
Karibu bwana Yesu kristu moyoni mwangu,
Asante mungu kwa sikuu Hi I🙏🙏
❤❤catholic
Chakula cha bwana ktk maisha yetu ni mwili na damu yake takatifu.
❤❤❤❤ JESUS OF NAZARETH, MY WAY, MY TRUTH AND YOU ARE THE LIFE OF MINE!! NINAKUABUDU❤❤
🙏
🙏🙏🙏🙏🙏nabarikiwa San nisilizapo kwaya za Romani katolik
🤝
Congratulations... Ayekoo choirists. Nice songs, beautiful voices. May God richly bless you all n the composers. Always I admire Tanzania choirs.
Thank you
And God bless you
Mungu apewe sifa
Mtumishi kipangula Mungu akutunze kwa jinsi anavyokupa uvuvio WA Roho Mtakatifu katika utungaji WA nyimbo hizi PENDWA zinazoponya roho zetu na kumtafakari kristo zaidi
🙏
wooow,,nice songs,God bless as all
Very nice and touching songs.Iam proud to be a catholic.Be blessed
AMINA
Blessed
Asante Mungu
I always be blessed with zs good songs
Asante mungu kwa kutuamsha salama mm na familia yangu
Asante yesu kwa baraka zako Sina cha kusema zaidi yakusema Asante San
Very proud being a Catholic, am so blessed.
Nzuri kabisa
Love this song
Hasante sana wana kwaya mungu qwabariki na awatie nguvu
Amina
Yeesu,yeesu wewe n mungu wetu tumekuja kukuabudu,katika maumbo haya matakatifu....,love it!
Tunamshukuru Mungu
Hongera sana mwl nilikua simjui mtunzi wa nyimbo hizi balikiwa sana
Asante yesu wa 🌾
🙏
Tumsifu mungu kila siku
Nawapenda sana wainjilishaji wote ktk shamba la bwana, Mbarikiwe sana na Bwana.
Asante Sana. Teresia Dastan
O kaa nssiktk neno lako Kaa nasi bwana waumini wako,ktk ekalist
Ni nani kama yesu mfalme wa mbingu na nchi🍁
🙏
AMINA MUBARIKIWE NA MUNGU................KAZI NZURI
Tumshukuru Mungu
❤❤❤🎉 AMINA
Emungu asate kwakila jambo linalonisonga apaduniani niaombanakikuamini
Amina 🙏
Asante YESU
All these songs remind me my mommy 😢
asanteni kwakutuwakilisha kwanyimbo nzuri wana katoliki mbalikiwe kwakaz ya bwan
Tumshukuru Mungu
Amina
Asante pdr Mungu akuzidishie maarifa🎉🎉
🙏
Nimewalisha kwa unono🔥🔥 👍👍
Asante sana Ndugu John sadiki. Je ni wewe ndiye John sadiki Kilaka au mimi nimechanganya?
Naenjoy sana kanisa lang katolik chang'ombe r.i.p mujwahuki
togethersister
All glory be to the most high 🙏
🤝
Amazing
Soft voice, sweet song, keep blessed!
Amen 🙏🙏🙏🙏♥️
The Eucharist, body and blood of Jesus Christ
Amin
Asante Yesu kwa kutulisha tumekuita umeitika tumepiga kelele umetusikiliza tumegonga umtufungulia ñakuomba uzidi kutulisha asali
Holy Eucharist..
@@AloyceKipangula how do you enjoy the Eucharist Songs in Swahili..
Asante yesu wa ekarist
A nice song anyway
Upadisho bumbire
catholic forever
I love this song
I❤ aRC
Des belles chansons suis trop fan d'elles
Am Blessed
Asante kwa nyimbo nzuri sana
🙏