Nyimbo za Sifa na Shukrani Kwa Mungu. Chang'ombe Catholic Singers DSM Tz. Mratibu Aloyce Kipangula

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Mkusanyiko wa Nyimbo za Sifa na Shukrani kwa Mungu wetu Zilizotungwa na Ndugu Aloyce Goden Kipangula, Stanslaus Mujwahuki, na Fr Aloyce Msigwa. Hawa ni Watunzi Mahili wa Nyimbo za Kikatoliki (Nyimbo za Injili au Nyimbo za Dini) Kutoka Nchini Tanzania
    Nyimbo hizo ni
    UKUU WA MUNGU TWAUSHANGILIA,
    NINAYO KILA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU,
    BABA POKEA SIFA NA SHUKRANI,
    MEMA UMETUJALIA,
    MSIFUNI BWANA,
    ASANTE YESU,
    YESU ASANTE SANA.
    Mratibu-wa Uinjilishaji huu ni Mwl Aloyce Goden Kipangula.
    Simu 0754459766/0655459766
    Waimbaji ni Chang'ombe Catholic Singers Dsm.
    KARIBU TUINJILIKE NA TUINJILISHE PAMOJA#kanisakatoliki #catholicmusic#nyimbozainjili#nyimbozadini

КОМЕНТАРІ • 54

  • @JohnMrutu
    @JohnMrutu 10 днів тому +1

    Mwalimu Kuna ule wimbo mwingine unasema umeshibaleo mshukuru mgonjwa usikufuruu nazani waimbaji nihaohao

  • @JohnMrutu
    @JohnMrutu 10 днів тому

    Aaaameeeen

  • @florencemutuku196
    @florencemutuku196 5 днів тому

    Ni. Na ayo sababu ya kumwambia Mungu asante

  • @sr.jovithavincent4119
    @sr.jovithavincent4119 3 місяці тому +4

    Hongera sana kaka kwa kuinjilisha , Nyimbo zako zinatupa uhalisia wa nyumbani hasa tulio mbali na makazi asilia, na kitupatia utulivu wa uwepo wa Mungu kila tunaposikiliza nyimbo hizi. Hongera tena na Mungu akubariki Zaidi na Zaidi

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  3 місяці тому +1

      Asante Sana Mpedwa Sr Jovitha, Asante Kwa Kuniombea, Asante Kwa kunitia Moyo Katika Utume Huu ninaoufanya. Endelea kuniombea Sr Ili niendelee kufanya Kazi ya Bwana kupitia Karama hii aliyonijalia. Wasalimie Wote Huko Italy Rome Msalimie Mama Mkuu wa Shirika 🙏

    • @Michael-fb1tw
      @Michael-fb1tw Місяць тому

      Hongela😅😊😂❤

    • @user-ym7qi8lb4e
      @user-ym7qi8lb4e Місяць тому

      Hongera sana asanteni sana mungu awabariki

    • @FunnyGolfCart-qe1uq
      @FunnyGolfCart-qe1uq 11 днів тому

      😊😊😊😊😊😊❤

    • @FunnyGolfCart-qe1uq
      @FunnyGolfCart-qe1uq 11 днів тому

      😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @ceciliamwaura7468
    @ceciliamwaura7468 3 місяці тому +1

    Team kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 listening

  • @NsayizeyeEmphasis
    @NsayizeyeEmphasis 16 днів тому

    Hiz nyimbo ninzul San wandugu zang ongea

  • @sr.jovithavincent4119
    @sr.jovithavincent4119 3 місяці тому +1

    Utume mwema tunakutakia

  • @mutuaaugustine510
    @mutuaaugustine510 3 місяці тому +1

    Mungu akubariki kwa utume wako na kutuinjilisha💯

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  3 місяці тому +1

      Asante Sana Ndugu Mutua Augustine. Endelea Kuniombea Ili Kristo ajulikane zaidi kati ya watu kupitia Huduma hii ya uimbaji

    • @annancy9917
      @annancy9917 3 місяці тому

      Nyimbo zako ni za kipekee. Na shukuru Mungu kwa kipaji chako kinachotubariki.

  • @Theresia-ps4mv
    @Theresia-ps4mv 3 місяці тому

    Mwenyezi Mungu akubariki Kwa unjilishaji mzuri hakika nyimbo hizi zinaleta amani katika mioyo yetu.

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  3 місяці тому

      Amina. Asante Theresia Kwa kuendelea kutufatilia na Kwa Matashi Mema

  • @reginamosha6606
    @reginamosha6606 3 місяці тому

    Ni kweli kabisa mwl unakila sababu ya kumwambia Mungu sante kwani nyimbo zaka ni nzuri na zinainyilisha
    Hongera sanaaaa

  • @Jimmsuva-be5dc
    @Jimmsuva-be5dc 3 місяці тому

    Mwalimu unaweza kutusaidia ukuu wa Mungu unaweza kuuweka peke yake

  • @kasindimawazondiba8083
    @kasindimawazondiba8083 3 місяці тому

    Santé sana kwa Ku muimbiya mungu hongera sana

  • @Nyimbozamani
    @Nyimbozamani 3 місяці тому

    From states , nyimbo nzuri mno

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  3 місяці тому +1

      Asante Sana Dennis kutoka Marekani, ni furaha Yetu kuona kuwa Kristo anaeleweka kwa watu kupitia Nyimbo hizi, Endelea kuwa Karibu nasi Ndugu Dennis

  • @Modest-of6hv
    @Modest-of6hv 3 місяці тому

    Kristo mungu akutunze🙏

  • @MbathaKenneth-zc5pi
    @MbathaKenneth-zc5pi 3 місяці тому

    Good job... As we sing we pray twice.

  • @msomisikalenyula5337
    @msomisikalenyula5337 3 місяці тому

    Kali nxuri sana. Hongera

  • @chepkoechjudy9138
    @chepkoechjudy9138 3 місяці тому

    A very blessed songs 🥳

  • @wilsonngumbuke4482
    @wilsonngumbuke4482 3 місяці тому

    Kristu! Hongera sana mwalimu! Kazi nzuri mno. Ni tafakari/ Ibada nzuri sana hasa kunapokucha.

  • @Jimmsuva-be5dc
    @Jimmsuva-be5dc 3 місяці тому

    Mwalimu sasa ivi unaweza kuona kawaida ila naamini utakuja kukumbukwa sana badae Ile album ya ninayokila sababu haichoshi hata kidogo nyimbo zote zote. Kinanda na Ngoma za kiasili zilinogesha sana. Ni sala kabisa pia unafanya kitu kuziri sana kuchukua meseji kwa maandiko matakatifu

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  3 місяці тому

      Asanteni Sana Ndugu Msuva Endalea kuniombea Ili kupitia karama hii Mungu ajulikane na Atukuzwe kati ya Watu

    • @Jimmsuva-be5dc
      @Jimmsuva-be5dc 3 місяці тому

      Tunakuombea nguvu kwa Mungu kwa Kazi nzuri. Yaani siyo kua mapenzi Tu ila ni sala hasa sauti nzuri, zimetungwa vizuri pia kinanda kizuri na Ngoma za kikatoliki napenda sana kusikiliza kila asbhi kabla ya kuamka

    • @JohnMrutu
      @JohnMrutu 10 днів тому

      Mwalimu Kuna ule wimbo mwingine unasema umeshibaleo mshukuru mgonjwa usikufuruu

  • @JohnMrutu
    @JohnMrutu 10 днів тому

    Mwalimu Kuna ule wimbo mwingine unasema umeshibaleo mshukuru mgonjwa usikufuruu nazani waimbaji nihaohao

  • @JohnMrutu
    @JohnMrutu 10 днів тому

    Mwalimu Kuna ule wimbo mwingine unasema umeshibaleo mshukuru mgonjwa usikufuruu nazani waimbaji nihaohao

    • @Jimmsuva-be5dc
      @Jimmsuva-be5dc 10 днів тому

      @@JohnMrutu hapana ni the glorious catholic singers pia Familia takatifu mwenge waliimba unaitwa Hakuna kama Mungu wa P. Mboye

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  9 днів тому

      Huo wimbo unaousema hatukuimba Sisi Chang'ombe