USTADHI KONDOBUNGO AWAUMBUA WACHUNGAJI WANAOTUMIA MAJI YA UPAKO KUWADANGANYA WATU WATAPATA UTAJIRI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лип 2024
  • KATIKA WACHUNGAJI AMBAO WANAONEKANA NI MATAPELI USTADHI KONDOBUNGO AMEZUNGUMZIA UONGO WA WACHUNGAJI HAO AMBAO WANASEMA WANATOA UTAJIRI

КОМЕНТАРІ • 7

  • @allyway999
    @allyway999 6 днів тому

    Shekhe bungo Allah akujaalie kheri amin

  • @nurumasha
    @nurumasha 10 днів тому +1

    Leo wakristo watakua wachache kucomment ila makanisa mengi yanajihusisha na uchawi mkubwa tena wa kafara

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 12 днів тому

    Masha'allah sheikh Bungo kwa kufafanua na kuchambua

  • @yusuphomary7410
    @yusuphomary7410 4 дні тому

    Kwa kweli tumrudie MUNGU ukweli wa kumjua zaidi ili tusiendelee kumshirikisha mwenyezi MUNGU asije akatuadhibu kama alivyowaadhibu umati zilizopita.

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 12 днів тому

    Nakupenda kwaajili ya Alwah _baaraka lwahu fiyka

  • @yusuphomary7410
    @yusuphomary7410 4 дні тому

    Inabidi wanaadamu ama watu wote na tumrudie MUNGU Kwa nguvu zote mambo ya shirki na tuyape mgongo.

  • @jumahenriquesgeraldo9837
    @jumahenriquesgeraldo9837 10 днів тому

    Bali ya maji ya maiti mavi makavu pia. Halafu wanasema mwili wa yesu