WATANZANIA WAMEVURUGWA NA MASUALA YA PETE ZA MAJINI, ELIMU KUHUSU PETE HAWANA SHEIKH NURDIN KISHK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 41

  • @RajabuLabu
    @RajabuLabu 9 днів тому

    Hakika shekh wetu kishk Allah akujaalie mwisho mwema maana ameifundisha jamii ya kiislam Mambo mengi Sana

  • @RajabuLabu
    @RajabuLabu 9 днів тому

    Jazakalau khayra shekh, kishk Allah akujaze kher

  • @Shamsudeen-h5o
    @Shamsudeen-h5o Місяць тому +6

    Jazakallahu khyrañ ....bora umetia neno shaykh naamini wengi tulikuwa twangoja taalik yako ktk hili janga

  • @FadhilChai
    @FadhilChai Місяць тому +4

    Aslm alaykum ya sheikh, wallah, tumeshukuru sana kwa kuwazindua wakislam, Allah akutilie Barka kwenye ilimu ya dini

  • @user-wr5ce6lu8q
    @user-wr5ce6lu8q Місяць тому +1

    Nakupenda Kwa ajil ya Allah ❤❤❤

  • @RajabuLabu
    @RajabuLabu 9 днів тому

    Usichoke shekh kishik ukiwa Allah amekupa pumzi , na uhai itumikie dini hii Allah mwenye sifa zote hakika atakunusuru na Adhabu zake

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 Місяць тому +2

    shukrain sheikh wetu kwa kutufuza ALHAMDULILA
    ALLAH azidi kuwapa afya njema mashekh wetu ALLAH azidi kuwa weka THUMMA AMIN AMIN 🤲🏼

  • @AbedPonda
    @AbedPonda Місяць тому +1

    Allah akujalie umri mrefu wenye manufaa kwako skekhe kishk(mhadhir wa kimataifa)

  • @user-mt4sd6cj5y
    @user-mt4sd6cj5y Місяць тому

    Na ndio maana naupenda uislamu kila kitu kina asli yake na jibu lake.Allah barik

  • @khalfaankauga294
    @khalfaankauga294 Місяць тому +1

    Mashaallah Allah Akuhifadhi shekh wetu

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk Місяць тому

    Aslam alykum cheikh wangu. Aksanti sana kwa mafunzo haho. Mungu wangu akulipe kila laheri.

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b Місяць тому +1

    Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh umesemakweli kipenzichetu dr sule hana elim yadini ila anaelim yakuwatumikisa majin napete ambavyo viakupelekea kuamchawi kwakifupi niwachaw

  • @user-yy2rk4wi3p
    @user-yy2rk4wi3p 26 днів тому

    Walkum salama warahmatullah wabarakatuh karma kweli

  • @BadruHisha
    @BadruHisha Місяць тому

    Jazakallah khayl

  • @NiyonkuruYazidi
    @NiyonkuruYazidi Місяць тому

    Shukran sheikh wetu

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg Місяць тому

    Mashaallah tabarakaallah tunaelimika

  • @AmadeSalimoSalimo-gw8ij
    @AmadeSalimoSalimo-gw8ij Місяць тому +1

    🎉🎉🎉 mashaalaah

  • @Ayuminchasi
    @Ayuminchasi Місяць тому

    Alhamdulillah

  • @rafikindugu4674
    @rafikindugu4674 Місяць тому +1

    Kuvurugwa kwa watanzania kuhusu pete za majini; sababu ni kuwa ,1 imani ndogo
    2 ushabiki
    3 umaskini kati ya raia wengi ambao wamekata tamaa.

  • @user-fc4vl8zi4r
    @user-fc4vl8zi4r Місяць тому

    Shukran

  • @user-rk1cp5qs9d
    @user-rk1cp5qs9d Місяць тому

    Asalam alaykum 🙏🙏💯

  • @user-fd5pb1dt4j
    @user-fd5pb1dt4j Місяць тому

    S,a,w❤❤❤❤

  • @user-cd9nk8yz2h
    @user-cd9nk8yz2h Місяць тому +1

    Ikiwa kuna haramu na halali imeandikwa kwa kuruani mpaka kuhusu ushirikina na majini na mashetani na binadamu wanyama wadudu na vinginevyo vyote viliumbwa na allah tuu.

  • @ruqiyanasir7141
    @ruqiyanasir7141 Місяць тому

    Wabie hao wafunga majini halafu wanapotowa watu kwatama zao naja walozi weka bele halafu wakajifanya mashekhe wanaijuwa ndini

  • @zuhuraMangapi
    @zuhuraMangapi Місяць тому +1

    Huyu Sasa ndyo shekh na sio sule mtumiya majini

  • @user-oo7yr5zq6g
    @user-oo7yr5zq6g Місяць тому +1

    Shida hap nilivy elewa ni mtume je wengine sio manabii Kila mtume amkuja kisadikish yalio nyuma au sio hivy ,

    • @universitylink
      @universitylink Місяць тому

      Katika masuala ya kisheria na si mambo ya mubahaat au mapambo na Mtume hasadikishi yaani lazima afanye yote aliyafamya nabii Suleiman.
      Yaani kusadikisha si lazima afuate.
      Na mambo ya Nabii suleiman alipewa mambo yanayomuhusu yeye tu

  • @baqirmkilindi9369
    @baqirmkilindi9369 Місяць тому

    Tupe hadithi sahihi inayoonyesha kuwa Mtume alivaa pete mkono wa kushoto.

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 Місяць тому +2

      Nyie majadida bwana
      Ivo vitabu alivotaja hujasikia au
      Yaani nyie masalafia jadida kazi yenu ubishii tuuu

  • @fauznuhu9981
    @fauznuhu9981 Місяць тому +2

    Nabi sulemani petezake zilikuwa zanini?

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 Місяць тому +2

      Kigezo chetu waislamu ni Mtume Muhammad.
      Kuna mambo yalikuwa halali kwa uma zilizopita lakini ikawa haramu kwa zama za mtume saw and vice versa

  • @baqirmkilindi9369
    @baqirmkilindi9369 Місяць тому

    Mhhh.toa dalili kuwa chafya ya kujitakia harehemew...

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Місяць тому +1

    Mtajijua Wenyewe bora tushwali tu?

  • @HemedyKhamisi
    @HemedyKhamisi Місяць тому

    Mtajiju

  • @BushDoctor-dw8el
    @BushDoctor-dw8el Місяць тому

    Swali langu la kijingajinga ni hili.
    Yaani hii kuvaa pete ni katika dini?
    Au tu ni uzushi wenu?

    • @salamaalladini
      @salamaalladini Місяць тому

      C ktk dini c umemskia xhkh ntumie altumia km muhur