UMENIBARIKI(Official video)||Baraka T. Mashibe||Kwaya ya BMMA-Parokia ya Dongobesh
Вставка
- Опубліковано 9 жов 2024
- KWAYA YA BIKIRA MARIA MKINGIWA DHAMBI YA ASILI
PAROKIA YA BIKIRA MARIA MKINGIWA DHAMBI YA ASILI DONGOBESHI
JIMBO KATOLIKI LA MBULU
Wimbo UMENIBARIKI ukiwa ni utunzi wake Baraka Thomas Mashibe na kufanywa na studio ya HOLY TRINITY STUDIOS Audio na Video
KARIBUNI SANA
#Umenibariki#kwayakatoliki#Holy Trinity Studios #Mozen production #Kwaya ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili Dongobesh#HT#Mbulu#kmk#nyimbompya#goodvibes
Umenibariki Mungu Mimi nitakuimbia,umeibariki na nyumba yangu asantee 🙏🙏
>Kwenye mitego migumu ya kutisha nilivuka salama hata katika mapito magumu nilivuka salama.
>Hofu ilipotawala moyo wangu,ulinitia nguvu,hata shida nilikata tamaa ulinishika Bwana.
Karibuni sana wote tuunganike na kwaya ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili -Dongobesh ambao wametuimbia wimbo mzuri unaoitwa UMENIBARIKI uliotungwa na Baraka Thomas Mashibe. Usisahau ku subscribe, kucomment,ku like na kushare pia na Mungu atakubariki sana🙏🙏
Asante sana
Nzuri
Asantee Sanaa🙏🙏
Wimbo mzuri sana
Asantee Sanaa 🙏🙏
. Mungu awabariki na utume wenu namuedelee kumsifu bwana
Amina
Asanteeeeee 🙏 wimbo mzuri Mungu ameshawabariki kama mlivyoimba
Asantee sanaaa
Asante sana Mungu akubariki 🙏
Aman aman jamny wimboo mzuriii kwakwel tuendeleee kumwimbia mungu wetu wana Dongobesh by JOEBOY
Amina tuzidi kuombeana 🙏🙏
Hongereni kwa wimbo mzuri
Asantee Sanaa Agnes tunamshukuru Mungu 🙏🙏
Mungu awabariki Kwa utume wenu. Wimbo mzuri sana
Asantee sanaaa🙏🙏
Wimbo mzuri mnoo umenibariki hongereni
Asantee Sanaa 🙏🙏
Hongera sana Bmma
Asantee Sanaa tunamshukuru Mungu 🙏🙏
Hongereni Sana mungu awa nanyi katika utume wenu
Asantee sana dada Stella🙏🙏
Safiiiiiii
Asantee sana 🙏🙏
Hongereni sana kwa utume Mwenyezi Mungu awatie nguvu mzidi kumtukuza
Amina Tumshukuru Mungu 🙏
Hongera sana Juhudi zako mwalimu kijuu najua uliwanoa vizuri sana hata mashibe kaupiga mwingi hongereni sana pia wanakwaya wangu kazi nzuri kwa kuwasikiliz walimu mafanikio yake haya sasa jitahidini kusudi Mungu atukuze ndani mwenu 🙏🙏kwako mtunzi
Asantee Sanaa kaka Timotheo sifa na utukufu tumrudishie Mwenyezi Mungu🙏🙏
Mwl kijuu yupo jamani nimemsahau alitufundisha upadrisho 2005 maghang
@@fransiscakirway3246 yupo karibu sana Dongobesh
@@fransiscakirway3246 yupo karibu sana Dongobesh
4 xurely be blessed
Hongereni sana
Hongereni sana watumishi wa mungu kazi nzur ujumbe nimeupata
Asante sana 🙏 🙏
Hongereni sanaaaa Dongobesh mmeupiga mwingii
Asantee Sanaa 🙏🙏 Tunamshukuru Mungu
Hongereni mmeitendea haki mbarikiwe
Asantee sana kaka Edwin 🙏🙏
Hongereni sana❤Mungu awainue viwango vya juu.
Aminaa 🙏
Hongera Mwl Kijuu
Asante sana
Hongereni for sure wimbo ni nzuri mungu awabariki nyotee
Asantee sana tunamshukuru Mungu 🙏🙏
Hongereni sana sana ,Mwenyezi Mungu azidi kuwapigania ktk utume wenu 🙏🙏
Amina🙏🙏
Hongereni sana.
Wimbo mzuri sana.
Mungu awabariki kwa utumishi uliotukuka.
Asantee Sanaa 🙏🙏 sifa na Utufuku tumrudishie mwenyezi Mungu
Hongereni Sana mungu awabariki Sana kwa kazi nzuri ya kitume.
Amina🙏🙏
Amina kazi nzuri mbalikiwe watu wa Mungu
Aminaa tunamshukuru Mungu 🙏🙏
Kweli mmebarikiwa hongereni kwa utume
Asantee Sanaa 🙏🙏
🤍🤍🤍🎉imboru nawapata barikiwa sana
Asantee Sanaa 🙏🙏
Mungu awatangulie mzidi kumtumikia siku zote za maisha yenu
Amina🙏🙏
Wow! congratulations to you MUNGU awatie nguvu mara dufu! amaizing sanaaaaaaa!!!
Thanks much Romy Tango🙏🙏
Kazi nzuri MUNGU awabariki
Asantee Sanaa🙏🙏
Hicho kinanda Cha kugusa Kwa miguu nifundisheni
Karibu tukufundishe
Hongereni Mungu awajaze mapaji katika kumwimbia
Asantee Sanaa dada Lucy tunamshukuru Mungu 🙏🙏
Hongerenji Sanaa jamaaan nawapendaa
Asantee Sanaa nasi pia tunakupenda
Wimbo mzuri sana jamani❤
Asantee Sanaa🙏🙏🙏
Hongeren sana Mungu awabariki
Amina Mungu ni Mwema Kila wakati🙏🙏
Kaz nzur
Asantee
Hongereni sanaaa Kwa wimbo Mzuri kweli mmetubariki sote
Amina, tumshukuru Mungu
Nzuri mno
🙏🙏
Big up
Thanks🙏🙏
Hongereni wapendwa
Asantee Sana. Ubarikiwe 🙏🙏
Kazi nzuri🔥🔥🔥
🙏🙏🙏
Wamependeza mungu awaongoze
Napenda kwanya yangu
Asante sana Paulo🙏🙏
Mungu azidi kuwa jaza neema
Amina 🙏🙏
Hongereni sana wanakwaya,wimbo mzuri umenibariki mungu awatie nguvu nawapenda sana
Asantee Sanaa 🙏🙏 Tunamshukuru Mungu
Hongereni sana
Asantee Sanaa 🙏🙏
Hongereni sana Kwa wimbo Mzuri umetubariki sote Sifa na utukufu zimrudie mwenyezi Mungu 🙏
Asante sana
Hongereni sana kwaya yangu, mi mwanachama mniite hata wimbo mmoja 😅
Asante sana kaka Gabby🙏🔥 karibu sanaaa
Asantee Sanaa🙏🙏
Wimbo mzuri Sana kwa kuusikiliza tu tayari nimebarikiwa, well-done mbarikiwe sana
Asantee Sanaa dada Alicia🙏🙏
AMINA MUNGU AWABARI KI
Tunamshukuru Mungu 🙏🙏
Hongereni sana ndugu zangu hakika mmebarikiwa Kwa hili
Asante sana kaka Robert Tubarikiwe sote🙏🙏
Kila siku nahisi kubarikiwa sana na wimbo huu
Amina Tubarikiwe sote 🙏🙏
Hongera sana waimbaji Mungu awabariki sana
Asantee Sanaa 🙏🙏
Nice❤
Thanks 🙏 b
❤Umenbariki😅
Amina🙏🙏
Good job
Thanks
Kazi nzuri 😊
Asantee Sanaa 🙏🙏
Hongereni sana mmetubariki Kwa wimbo mzuri,sofa na utukufu Kwa Mungu
Amina kaka Charles🙏🙏
🔥🔥🔥
🙏🙏
So amazing..hongereni sana
Asantee Sanaa 🙏🙏
Hongereni sana kwa Kaz nzur❤
Asante Sanaa 🙏🙏
Asanteni sana kwa wimbo mzuri hakika mnatubariki pia
Amina Tubarikiwe sote 🙏
Asanteni nyote
Hongereni sana vijana wa Fr Gaare
Asantee Sanaa John🙏🙏
Much love from Bashay
Thanks 🙏🙏
Kazi nzuri mbarikiwe👏👏👏
Amina🙏🙏
Hongereni sana wimbo mzuri
Asantee sanaaa🙏
Hahah mashibe bana....🔥🔥🔥 Hongereni saana kwa kazi nzuriii
Asante sana kaka Laurent Msakila🙏🙏 sifa na utukufu zimrudie mwenyezi Mungu.
Asante sana
Asante sana
🎉🎉Very good
Thanks
Aman aman ❤❤
Thanks 🙏
Hongereni kwa utume
Asante sana
Hongereni Watumishi WA Mungu kazi nzuri sana
Asante sana 🙏 🙏 Tubarikiwe sote
Asante sana 🙏 🙏 Tubarikiwe sote
Ongereni sana
Asantee sana 🙏
Hongeraaaa jamani wapendwa katoka Bwana wimbo huu ni mzuri sana
Asantee sana dada Rightness Tumshukuru Mungu 🙏 🙏
Hongereni
Asantee sana.tunamshukuru Mungu 🙏🙏
Asantee sana.tunamshukuru Mungu 🙏🙏
Safi Sana
Asante sana Naomba msaada wako wa kusubsicribe wimbo huu ili tuingie sokoni
Hongereni kwa kazi nzuri Mungu awatie nguvu
Asantee sana kaka Paschal🙏🙏
hongerenii Wana wa home
Hongereni sana.. kazi njema sana
Asantee sana Frt Bathlomeo.Sifa na utukufu zimrudie mwenyezi Mungu 🙏
Hongereni watu wa Mungu ,wimbo wenu umenibariki🎉🎉🎉🎉🎉
Aminaa Tubarikiwe sote
Hongereni sana Wana mungu
@@sabinasurumbu2684 Asante sana🙏🙏
Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yenu na utume huu. Wimbo wenu umenibariki sana.
Asante Sanaa dada Veronica sifa na utukufu zimrudie mwenyezi Mungu.
Hongereni sanaa
Asantee sana.. tunamshukuru Mungu 🙏
❤penda sana wote yesu awabariki na kuwalinda
Amina
Mungu awabariki sanaa
Amina🙏🙏
Nimeipenda
Asantee 🙏🙏
Kazi nzuri mnoooooo
Asante sana kaka Ambroce🙏🙏
Wimbo mzuri 🤩
Asante sana
Good job🙏🙏
Asante sana
Mmependeza
Asantee Sanaa 🙏🙏
Hongereni sana Wana BMMA-DONGOBESH Kwa wimbo mzuri Mungu aendelee kuwabariki katika utume wenu.🔥🔥🔥
Amina
Asante sana
oiko vizuri
Asante Sanaa 🙏🙏
Hongereni
Asante sanaaa
@@KWAYAYABMMA-DONGOBESH-qx5uz hongereni Sana wapendwa wimbo umetubariki mno,,pokeeni maua🌹🌹🌹🌹🌷🌷🌺👏👏👏👏
Kazi nzuri sana ,,,Mungu awabariki
Asante sana ndugu yetu Anthony Tippe. Karibu Dongobesh
Hongereni wanakwaya kwa wimbo mzuri nimebarkiwa sana❤❤❤
Asante Sanaa. Tubarikiwe sote 🙏
Good
Thanks
Good job👏👏👏
Thanks Rose
Wow hongerenii sana mungu awabariki 🙏🙏
Asante sana kaka Martin 🙏🙏
Hongera sana.
Asante sana kaka Julius🙏
Asante sana kaka Julius🙏
👍👍👍👍
Waahoo nice song be blessed .T mashibe congrats I like the way u play the organ in all your songs ubarikiwe tu sana
Thanks🙏🙏
Thanks🙏🙏
Mungu awabariki sana nimeupenda sana
Asante sana mwl.🙏🙏
Asante sana 🙏
🎉
🙏🙏