KUNGALI GIZA | ATHANAS KIJUU
Вставка
- Опубліковано 4 жов 2024
- KWAYA YA BIKIRA MARIA MKINGIWA DHAMBI YA ASILI
PAROKIA YA BIKIRA MARIA MKINGIWA DHAMBI YA ASILI -DONGOBESH
JIMBO KATOLIKI MBULU
Wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu unaoitwa HORINI
katika kusherekea sikukuu ya kufufuka kwake Bwana wetu Yesu Kristo (PASAKA).
Wimbo: KUNGALI GIZA
Mtunzi: Athanas J. Kijuu
Audio:MOZEN PRODUCTIONS
Video:MOZEN PRODUCTIONS
Mawasiliano
Kwaya:+255 786 749 898 | +255 784 302 285
bmmadongobesh@gmail.com
Studio
MOZEN Productions:+255 746 775 116
Tunawashukuru sana watazamaji wetu mnaotufuatilia kwenye channel yetu ya you tube. Mungu awabariki sana
C to edygzc
Hongereni sana BMMA Dongobesh hakika mmeupiga mwingi
Asante sana
🎉🎉🎉🎉hongerei
Asante sana
Amefufuka kweli kweli🔥🔥
Aleluya aleluya
Hongereni sana Wana Dongobesh big up Mwalim Kijuu
Tunashukuru sana ❤❤❤
Waah 🤗🤗❤️❤️❤️🔥🎉
Asante sana
Kazi nzuri sana Wanakwaya pamoja na Kaka Nazareth Amos, kazi yake iko safi sana
Tunashukuru sana karibu tena
Amina
Na iwe hivyo
God bless you wanakwaya ya wa father Yuda, kazi nzr San mnaheshimisha Jimbo la MBULU chini ya bishop Anton Lagwen
Amina barikiwa sana
Amazing remembering years to years
Thanks u for ur good comment
Aleluya kweli amefufuka🎉❤❤
Amefufuka kweli kweli alivyosema aleluya❤❤❤
Asante sana kiongozi
You did it guys ❤
Thank you very much indeed Elizabeth. Be blessed my sister
Nawapenda sana wana BMMA kazi nzuri sana hii mungu atubarikii❤❤❤
Nasi tunakupenda
💪💪💪
congratulations and alleluia amefufuka
❤❤❤❤❤❤
Hongera sana mwl. Athanas Kijuu, hujawahi kuniangusha, wimbo mtam sana! Hongereni wana Dongobesh.
Asante sana ❤
Asanteni sana kwa wimbo mzuri sana wa Pasaka. Melody, harmony, uimbaji, uchezaji, kinanda vyote vimepatana vema kabisa. Barikiweni mno
Asante sana
Amina ubarikiwe pia
Mmeimba vizuri sana,,,hongereni sana wanakwaya na mwalimu Kijuu kwa utunzi,,, kiukweli kazi yenu imenibariki na nimeipenda sana
Asante sana
Nyce beautiful song.....am I hearing kamenja voice somewhere
Not Kameja voice but Nazareth voice
Hongereni. Kazi nzuriii. Na mmepiga pamba za ukweliii
Hahaha asante sana
Hongereni sana jamani mbarikiwe sana
Asante sana dada Monica
Mko vzr, hongereni sana
Asante sana
Kaz nzuri sana
Asante sana
Mkaka kazi yako safi aisee, hongereni pale sana
Asante sana mkuu
Tunashukuru sana
@@KWAYAYABMMA-DONGOBESH-qx5uz karibu sana
Hongereni kwa kazi nzuri sana hamkufukia talanta mlizopewa ❤❤❤❤❤
Asante sana
Asante sana ❤❤❤❤❤
Good job
Thanks
Utume mwema mungu awabariki
Tunashukuru sana Elibariki
Kila hatua dua Kwa maombezi ya MAMA BIKIRA MARIA MUNGU ATUONGOZE DAIMA KATIKA MAISHA YETU Mwl Kijuu hongera sana Kwa kazi nzuri
Tumshukuru Mungu
Hongereni sana
Asante sana dada Philina ❤❤❤
Ni kwel amefufuka🔥🔥🔥🔥
Aleluya aleluya amefufuka
Sifa na utukufu kwa Mungu hongereni wanakwaya. Brother Kijuu hujawahi kukosea hongera kwa utunzi
Asante sana mwl Levi
Tunakushukuru wewe mrazamaji kwa kuendelea kutufuatilia. Tunakuomba utazame tena na tena. Mungu akubariki
Kiukweli yesu amefufuka Wimbo mzuri sanaaaa
Thanks
Waooooooh 🎉 Hongereni sana najivunia kutaza na kusikiliza wimbo huu
Karibu sana
Big up He gawa na wenzako Mungu awabariki. Una miaka mingapi hivi Kijuu..
Hahaha 🤣🤣🤣🤣
wao!!
Kijuu kama kijuu MUNGU akubariki na akulindie sana talanta yako❤❤❤❤
Nashukuru sana sana
SALUTE SAANA KWAKO KIJUU ..... UMEJUA KUNIBARIKI KATIKA PASAKA HII 🎉🎉
Ashukuriwe Mungu. Asante sana
Wimbo Mzuri Sana
Kweli Amefufuka .......
Asante sana
Hongereni sana na Mungu awabariki..... Kazi yenu ni njema🎉🎉🎉🎉
Amina
Hongereni Sana,kazi nzuri mno, Mbarikiwe.
Amina ❤❤
Hongereni sana jmn wanadongobeshi mko vzr sn,Hongera mwl Kijuu Mungu abariki kazi ya mikono yako daima,kazi nzuri kweli
Asante sana dada
Amina ❤
Hongereni Sana Dongobesh, Kanisa linazidi kukua, zamani lilikuwa na kwaya Moja tuu...
Asante sana
Asante sana
Hongereni Sana wimbo mtamu Sana na mzuriiiii mno
❤❤❤❤❤❤
Bwana amefufka kweli kweli mioyoni mwetu.....aleluya aleluya
❤❤❤🎉🎉🎉
Hongereni sana kwa kazi nzuri ya Kumtukuza Mungu
Asante sana
Safi Sana, hongereni hongereni hongereni tena🎉🎉🎉🎉
Asante sana
Nawapenda San na mmependeza sana jmn ❤
Asante sana ❤❤❤
Kesho nitaiangalia tena, wimbo mtamu kwa kweli
Karibu sana kiongozi
Wimbo mzuri Dana hongeren sana
Amina ubarikiwe pia
Kazi nzuriii sana Wana BBM
Asante sana ❤❤❤
Hongera sana Kijuu, a good song.
Asante sana mkuu
Hongereni kwa kazi nzuri Wana Dongobesh hongera nyingi kwa Mwl Kijuu kwa utunzi safi
Asante sana
Tunashukuru sana mwl Mabogo ❤❤❤
Hongereni Mungu awabariki 🎉🎉🎉
Asante sana ❤❤❤
Kazi nzuriiiiiiii
Asante sana
Amefufuka kwelikweli Haleluya!!🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Hakika amefufuka
❤❤❤
Hallelujah,,,,, congrats sana mwalimu wangu
Asante sana
❤❤❤❤
Kazi nzuri father Kijuu
Asante sana
Kazi nzurii hongereni ndugu zangu wa Dongo❤
Asante sana ❤❤❤
amefufuka aleluyah
Aleluya aleluya amefufuka
Wanakwaya mmependeza sana jaman
Asante sana
Nice
❤️❤️❤️
❤️❤️❤️
Hongereni sana MUNGU AWATUNZE
Amina
🎉Amina madam
Heri ya pasaka kwenu...mbarikiwe katika utume wenu.
Amina
Asante sana
Hongera Sana,wimbo nzuri.
Asante sana
Karibu sana
Hongereni sana mmeweza sana Mungu baba wa mbinguni awatunze nyote muendelee kuinjilisha zaidi na zaidi🙏🙏🙏
Asante sana nasi tunakupenda ❤❤❤
4:27
Kazi Zur Sana ubarikiwe Sana
Asante sana Smart Wizzo
Amina 😅😅
Hongereni sana🎉
Asante sana mkuu ❤❤❤
Andiko limetimia,Ameyashinda mauti🎉
Hakika
Mbarikiwe jmn
Amina, ubarikiwe pia kwa kutufuatilia
He is risen indeed
Thank you very much indeed my friend
Mbarikiwe sana❤❤❤❤❤
Amina
Hongereni San Wana dongobeshi love song
Asante sana
Well
Thanks ❤❤❤
Hogereni Kwa KAZI nzuri
Asante sana
Tunashukuru sana
❤❤❤❤❤❤
Asante sana
🔥🔥🔥
Thanks
Hongeren 🥰🥰
❤❤❤
Kaka Nazareth hongereni sana
Kwaya tunampongeza pia jamaa yuko njema we acha tu
@@KWAYAYABMMA-DONGOBESH-qx5uz aisee, asalimiwe sana pale, tuko Kenya tunatizama
Shangwe alleluia
Kabisa ndugu yangu
Linus linus
Amen ❤❤🙏
Wanakwaya hongereni sana mmeomba vizuri
Asante sana
Tunashukuru sana
Nawapenda sana wana BMMA kazi nzuri sana hii mungu atubarikii❤❤❤
Tunashukuru sana
Nawapenda San na mmependeza sana jmn ❤
Tunashukuru sana
Hongereni kwa utume
Asante sana ❤❤🎉🎉
Hongeren sana
Asante sana
Nawapenda San na mmependeza sana jmn ❤
Nasi tunakupenda sana
❤❤❤