Wimbo huu unabariki sana....asanteni nyote kwa kuzigusa nyoyo za wengi....Mola awazidishie neema katika vipaji vyenu vya uimbaji katika kumtukuza Mungu na ulimwengu mzima kwa jumla!
This is a blessing to me especially at this point in time when I'm desperately in need of God's mercy, grace,favor and blessings and in deed naamini kuwa ameitika,sala zangu amesikia na atanijibu kwa wakati wake Amina
John, Mungu ni mwaminifu siku zote. Tuombe ombi hili fupi. Baba katika jina la Yesu Kristu tunakuja mbele zako tukitubu dhambi zetu; Baba wewe ni mwingi wa rehema na fadhili, mkumbuke mja wako John, mfungulie njia iliyofungika ili ashuhudie ukuu wako. Mtendee mema Baba kwa utukufu wa jina lako. Amina.
Lovely gospel song , keep it up Tanzanian brothers n sisters be blessed even though I'm an Adventist but I love this song very much .Mungu awabariki sana
Wimbo mzuri kabisa. Unanibariki sana. Kwa kweli Mungu Ameitika!
Tumuite Mungu wetu ataitika amina
I can't get enough of this song Mashallah!!!Mungu ameitika
Naomba lyrics za wimbo huu kwa yeyote anaye, tafadhali.
Kwa kweli mungu ameitika He has been so faith to me ,My petition has been answered felling so blessed.
Kutoka Italy Roma ambapo nahudumia Mugu kama padre ,mimi ni murundi jarani ya ndugu watanzania.Hongereni kwanyimbo nzuri.Shukrani sana.
@@fidelenzambimana6980 😍🥰
Nyimbo zuri sana Mungu awabariki sana na aendelee kuwaongoza kabisa
Wimbo huu unabariki sana....asanteni nyote kwa kuzigusa nyoyo za wengi....Mola awazidishie neema katika vipaji vyenu vya uimbaji katika kumtukuza Mungu na ulimwengu mzima kwa jumla!
Mungu Katika yote hakika🙏
This is a blessing to me especially at this point in time when I'm desperately in need of God's mercy, grace,favor and blessings and in deed naamini kuwa ameitika,sala zangu amesikia na atanijibu kwa wakati wake Amina
Beatrice, God has already answered your prayer through your faith. You are blessed of the Lord.
Wimbo wangu bora
naamini bwana ataitika siku Moja aniokoe kwa hizi shinda zenye nazipitia,kwa jina la baba na la mwana na roho mtakatifu amen..sitachoka.🙏🌄
John, Mungu ni mwaminifu siku zote. Tuombe ombi hili fupi. Baba katika jina la Yesu Kristu tunakuja mbele zako tukitubu dhambi zetu; Baba wewe ni mwingi wa rehema na fadhili, mkumbuke mja wako John, mfungulie njia iliyofungika ili ashuhudie ukuu wako. Mtendee mema Baba kwa utukufu wa jina lako. Amina.
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.....this song is a hit🔥🔥🔥🔥🔥
Hii kwaya naipenda mnooo mbarikiwe sana mabalozi as Yesu
Very beautiful voices. Congratulations to you all
😁😁😁😁😁😁😁 mwaaaaaaaaaaaaaaa hii nyimbo nimeisaka kilaaaaaa konaa da leo nimeipata
mungu awatangulie maana napenda sana kusikiliza nyimbo zenu
I normally to the song daily before sleep it reminds of how our Lord is merciful.
Nice Job Cecilia,,,,,,,,
Mwenyezi Mungu atu jaliye neema yake kwa kumu tumikiya! Taupe nguvu yaku fanya kazi kwa bidii!
Ndugu zetu Watanzania huhimba vizuri sana
Hakika ni nzuri sana hii nyimbo
Thank you Lord for answering my prayer Amen
pongezi kwako Baraka mashibe kwa kutunga na kupiga kinanda
Ujumbe uliopangwa ukapangika....hongereni
This song has the best message to anyone who has seen God work miracle in his or her life
Felicidades aqueyos que isieron yegar su mucica a mexico
Gracias. Dios te bendiga mucho.
Lovely gospel song , keep it up Tanzanian brothers n sisters be blessed even though I'm an Adventist but I love this song very much .Mungu awabariki sana
Zachariah, music has a way of bringing people together regardless of their denominations. Kindly subscribe to this channel for more.
Nawapenda Sana Hawa Mt Cecilia
Hongera mkude kinanda safi japokuwa kwenye kuimba km kunamawimbi kazi nzr mbarikiwe
Blessed by this song. Grateful to God for the gift of such talent!
Very nice and lovely song .Be blessed.
Nawapongeza Mungu awatie nguvu
indeed despite covid -19,Bwana ameitika,namshukuru kwa baraka mingi alizonionyesha mimi,amesikia sauti nilipomuita,ameitika,Halleluyah
Hakika Mungu anaitika kila siku kila saa na masaa yote.
HAAAAAA WIMBO TAMU ZAIDI, VERY NICE SONG TANZANIA ULINDWE
nawapenda mno
Wimbo mzuri Mungu awabariki
Mbarikiwe sans ✋✋✋✋✋
Ubarikiwe pia Beatrice.
Hongereni sana jamani
Hongereni wana kwaya
This song reminds me so many great things God has done to me and my family
best song in the whole world
💕💥💥
mbarikiwe, nyimbo zenu nzuri sana,
Mkude nmekuelewa, hongereni sana
I love you
Mungu na awabariki Nazi nzuri sana
Mkude you are a master for the way you play keyboard. No one like you in our country. Keep it up God bless you
Mungu ni mwama
Na kwa imani ukiamini Mungu Ataitika..so lovely
Hallo friends. Tumekuletea album mpya kabisa ya Kwaya Kuu ya Mt. Cesilia Arusha iitwayo BWANA AMEITIKA. Tutaongeza nyimbo zaidi hivi karibuni.
Kawa kawaida hawajawai tuangusha. Can I get the disk from ua stores?
Hongera sana kwa kazi nzuri,mbarikiwe.
Amina. Hakika Hongereni sana sana kwa kazi nzuri ya uinjilishaji
I'm blessed by this song nice job st Cecilia God bless you all
Nice
For real Bwana ameitika! Thank you for such a beautiful message!
Baraka tele
Lovely song i can't get enough for it, keep it up and may God bless you 🙏🙏🙏
Wimbo unabariki sana huu
Can't get enough of this... Congratulations
Kumwimbia MUNGU ni raha jamani naona wrote MNA nyusu za furaha na Amani
mkude katika Mashine asanteniiii!
Good songs wanachoir
Great work of the lord, be blessed abundantly
esses corros catolicos sao o maximo it is wonderfull
Naipenda sana kwaya yangu Kmc Mungu ibariki 😘😘
Ruby
I get blessed by your wonderful tourching and blessing song
Soon nitapata nakala yangu au vipi?? Hongera sana St. Cecilia Kwaya
Uko wapi? Asante.
Sweet song💯
Wow..what a nice song
Lovely song
Amina
wow great
God bless you
So nice
Amen hallelujah Hallelujah Amen
Wimbo tamu. Kunavile naweza pata staff or notes ya hii song
Good song
💕
I love the song
Nice song
Burudani yenye utulivu sana! Vipi Nota zake?
🙏🙏🙏
BLESSED VOICES
Nyimbo nzuri ila Sauti inakwaruzi.rekebishebini sauti
Nice
Bagamoyo
Glory, ngoja tufuatilie hili tutakupa jibu muda si muda. Asante.
hogeleni sn
Words
Mmbarikiwe San jamn wimbo mzr na mpiga kinanda pia kajithidi
😍😍😍😍😍🙏
Ok
.
O
T
Mungu na awabariki Nazi nzuri sana
Very beautiful voices. Congratulations to you all
Nice