NJOONI TUSEMEZANE na ( Thomas Baraka Mashibe )
Вставка
- Опубліковано 23 січ 2024
- KWAYA YA BIKIRA MARIA MKINGIWA DHAMBI YA ASILI
PAROKIA YA BIKIRA MARIA MKINGIWA DHAMBI YA ASILI -DONGOBESH
JIMBO KATOLIKI MBULU
Wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu unaoitwa
NJONI TUSEMEZANE
Song Description
Wimbo: NJONI TUSEMEZANE
Mtunzi: BARAKA THOMAS MASHIBE
Audio:HOLY TRINITY STUDIOS
Video:HOLY TRINITY STUDIOS
Mawasiliano
Kwaya:+255 786 749 898 | +255 784 302 285
bmmadongobesh@gmail.com
Studio
Holy trinity studios:+255 775336511 +255672528073
Huu wimbo unanifariji sana.... Utulivu wa hali ya juu sana... Hongereni sana wote mlioshiriki kufanikisha kazi hii. Mbarikiwe sana
Asante sana Frt. Bathlomeo.
Tunamshukuru Mungu Kwa Zawadi hii tuzidi katika utume wetu.
❤
Mungu aendelee kutupigania ktk utume huu
Amina dada Sesilia
Mungu awabariki katika utume wenu .hongereni sana mama zangu,baba zangu,kaka zangu ,na pia dada zangu.niwatakie utume mwema ❤❤❤❤
Amina sifa na utukufu zimrudie mwenyezi Mungu🙏
@@KWAYAYABMMA-DONGOBESH-qx5uzağm😅9kqoeeejļ
Hongereeni kwa kupiga hatua.
Asante sana Tumshukuru Mungu
woow wimbo mtamu saana 🔥
Asante sana🙏
Asanteni Sana Kwa hakika mmenibariki Sana, Mwenyezi Mungu awazidishie Maharifa zaidi ya Kuhubiri neno lake Kwa njia ya uimbaji.❤
Asante sana Mungu akubariki
Hongereni Kwa utume ndugu zangu Kila siku mmekuwa mkitupa vitu vizurii Kwa kazi viwango vya juu sana💯💯 hakika Mungu awabariki Kwa yote mzidi kuishi katika utume mwema🙏🙏
Asante sana kaka Martin Tunamshukuru Mungu na pia tuzidi kuombeana katika utume wetu🙏🙏
Hongera sana kwaya yangu, mapendo daima
Asante sana Tumshukuru Mungu🙏
Hongereni sana Kwa kazi nzuri ya uinjilishaji Kwa njia ya nyimbo (uimbaji)
Asante Sanaa🙏🙏
Mbarikiwe sana kwa kazi hii njema
Amina🙏🙏🙏
Hongereni wapendwa🎉🎉
Asante Sanaa 🙏🙏
Bwana mashibe nakuiga sana ....❤❤❤
Hongereni sana wapendwa. Narudiarudia kuitazama kazi yenu nzuri. Mungu azidi kuwainua
Asante sana Mwl. Ndibalema. Tumshukuru Mungu kwa Kwa Zawadi hii🙏🙏
Mungu Awabariki Sana waimbaji wezangu kutoka ndogobeshi Mungu awabariki Sana
Asante Sana majirani zetu. Tumshukuru Mungu🙏🙏
Kinanda tumetumia cha parokiani kwenu, asanteni
Wimbo mzurii sana, hongeren kwa uinjilishaji kwa njia ya nyimbo ❤❤❤❤
Asante sana
Great job👏be blessed
Amen🙏
Kudos 👏!!! Mungu azidi kuwabariki
Amina 🙏🙏
Kazi njema......nzuri sanaaa Mungu awabariki mnooo
Amina🙏
Hongereni sana
Asante sana🙏🙏🙏
Itoshe kusema mnajua ❤️❤️🥰🤗
Asante sana
Mungu awatunze daima hongereni sana kwa utume hakika mpo vizur❤
Asante sana tunakushukuru kwa kututia moyo
Tisha sana Wana wa dongobesh mpo vizur
Asante sana
Hongereni Sana Wana bmma mungu awalinde daima tunawapenda sana❤❤🎉🎉
Asante sana
Hongereni sana. Kazi njema kabisa❤
Asante Sanaa🙏🙏
Here comes Baraka. Njooni tusemezane. Thanks so much kaka for this great song. Asanteni wanakwaya for the good singing
🎉❤thanks so much for this great song 👍🙇
Thanks so much🙏🙏
❤❤❤ mungu awabariki katika utume wenu
Amina
Kazi safi
Asante 🙏🙏
1:47 1:51 @@KWAYAYABMMA-DONGOBESH-qx5uz
Mbarikiwe sana
Amina
Amina
Kazi njema
Tumshukuru Mungu 🙏🙏
❤❤❤❤❤❤
🙏🙏
❤❤❤
🙏🙏
Waoo
Hongereni Kwa kazi nzuri
Asante sana 🙏
🙏🙏
❤❤❤
More blessings my dearest.Hakika utume wenu umetukuka mm na wengine tunabarikiwa sana.Mungu awape nguvu muendelee zaidi kwenye huu utume.Madame Pamela kisela na Mr Vumilia nimefurahi sana kuwaona kwenye huu utume
Amina dada Salome🙏
Mbarikiwe
Amina🙏
Wimbo mtamu sana,nota nitapataje?
❤❤❤
Safisana 🎉
Thanks ❤❤❤
ASANTE MASHIBE HAPO UMEFANYA MALIPIZI YA KWELI.....ASANTE PIA KIJUU KWA LINK HII
Asante sana kwa upendo wako
Karibu Manyara, Dongobesh
Kazi njema
Asante 🙏🙏