Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

KIREDIO ALIVYOWAIBUKIA STUDIO COUPLE YA MEET US, TAZAMA TIMBWILI LILILOTOKEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2024
  • www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 666

  • @shuweikharashid4175
    @shuweikharashid4175 6 місяців тому +149

    Huyu demu atakuja kupigwa na kitu kizito sana emu km umepigwa na kitu kizito gonga like hp

  • @CarthyGod
    @CarthyGod 23 дні тому +14

    Single mother wote gonga like apa jmn man mmh tuna tetewa mno jmn

  • @yohanamussa4134
    @yohanamussa4134 6 місяців тому +32

    Wanalazimidha interview kujisafisha. Kiredio fanya kazi yako

  • @myTanzanianplate
    @myTanzanianplate 6 місяців тому +72

    Kiredio wewe ni wetu na tupo pamoja...fanya kazi yakoo❤❤

  • @MphilipinoFilmsTv-bs4mw
    @MphilipinoFilmsTv-bs4mw 13 днів тому +3

    ILO dada ni jinga Sanaa aiseee,, shenziiii sana

  • @atienograce7564
    @atienograce7564 6 місяців тому +17

    Hata ndoa badoooo mambo yameshakuwa moto!! Tutafika kweli?...🤠

  • @MwajumaSeif-ry1kt
    @MwajumaSeif-ry1kt 5 місяців тому +10

    Ni kweli uyo mkaka ni Muong kiredio yupo perfect

  • @NuruNgolle
    @NuruNgolle 23 дні тому +2

    Mimi nimpe mme wangu 💯 siwezi ng,o ukisali ktk roho na kweli Mungu anatuonyesha live kwahiyo maumivu tunayajua lakini tunamshukuru Mungu kwakutuonyesha so kama usali utakutwa na kitu kizito alafu unapanik heri tunaojionea tunajua jinsi yakubeba maumivu ndoa iendelee ndugu amua kumwamini mwanaume utajinyonga ndugu acha hawa wanaume waendelee. Mungu anatutetea sana wanawake tukitulia ndie anabeba maumivu yetu

  • @MarthaJoseph-pp6ir
    @MarthaJoseph-pp6ir 6 місяців тому +34

    The guy anaonekana kabixa Yuko na fear kweny muonekano wake hayuko stable nimuongoo masikin we dada 😭😭💔 utakuja kumia vibaya

    • @user-qh8kl9mu5w
      @user-qh8kl9mu5w 6 місяців тому +4

      Dada anajikuta kakolea, bt nimemsoma huyo dada sio mjinga😢😅😅

    • @hoglamumbee344
      @hoglamumbee344 4 місяці тому

      His body and facial language speaks alot

  • @armanichicandow1225
    @armanichicandow1225 6 місяців тому +22

    Huyu demu ndo amependa, na hana pa kwenda akiachika. 😀😀😀 mwanamke anateseka sana huyu

  • @SobiTz
    @SobiTz 6 місяців тому +57

    Kiredio tuko pamoja naww 😅✌️

    • @nedcopascal4640
      @nedcopascal4640 5 місяців тому +1

      Tunasubiri tupo pamoja 😂😂😂

  • @paulmutailuka2417
    @paulmutailuka2417 6 місяців тому +15

    Huyu jamaa aise anamna kuna jambo linaendelea kwakweli ktk mahusiano yake.

  • @eddyeddy2907
    @eddyeddy2907 6 місяців тому +8

    Namba uliyoisevu unaweza kuiblock then utaikuta very simple. Ila huyu Dada inaonekana ni mgeni kwenye mahusiano.

  • @user-ef8jh7ql7z
    @user-ef8jh7ql7z 6 місяців тому +18

    Kiredio n wetuu......pambana brooo tunakukubalii sana

  • @JemimaMdota
    @JemimaMdota 4 місяці тому

    Wanaume hoyeeeeeee🙌🙌🙌🙌🙌 nawasalie mie huwa najua kitu kimoja chamsingi heshima na kutoa rahana

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 6 місяців тому +55

    Huyu dada mpuuzi sana, Unatia huruma mwanaume unaweza lala nae ukamka nae na bd akakusaliti fatilia

    • @user-us1ne8hu1l
      @user-us1ne8hu1l 6 місяців тому +2

      Tatizo hamna mwanaume ambye acheat lkn akikuhexhm nakukutunza xhukuru mungu

    • @gastonamnon7005
      @gastonamnon7005 6 місяців тому +2

      Jidanganyee 😅😅😅😅 Wanaume sisi tunafanana 😂😂😂

    • @LuluMtalika
      @LuluMtalika 3 місяці тому

      Kabisa yan

    • @Irene-bt6tv
      @Irene-bt6tv 2 місяці тому

      Hawa viumbe hawaaminiki kbsaaa wapuuzi woteee🙌🙌🙌🙌

    • @shedy_marie
      @shedy_marie Місяць тому

      Iyo mambo ukiyawaza huez olewa dear mengine Bora uko na aman

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc 6 місяців тому +18

    Huyu dada anajikaza tu lkn usikute hana amani ya moyo 😂😂 na pia blacklist unaweza kuifuta usikute jamaa alifuta tu kule

  • @SarahShalua-ij8qg
    @SarahShalua-ij8qg 6 місяців тому +6

    😂😂😂😂😂kiredio ndugu yangu we noma yan ona sura yake haina nuru ni kweri kabisa huyo dada hana ile nuru kabisa yan ila huyu dada atakuja kulia kweri

  • @sarafinahprince4265
    @sarafinahprince4265 5 днів тому

    Kiredio na Mr UK fanyeni kazi bana tunawapenda

  • @pikolaizaog7303
    @pikolaizaog7303 6 місяців тому +12

    Hahaha 😂😂😂"lazima hili penzi liharibike huyu anamdanganya huyu dada" kiredio😂😂😂

  • @beatuskamanyisa7611
    @beatuskamanyisa7611 2 місяці тому +5

    Huyu dada apewe ulinzi😂😂😂

  • @user-vk1xj2nl1j
    @user-vk1xj2nl1j 6 місяців тому +10

    Dida uyo mwanaume kabla ajawa na usiano na huyo dada akuwahi kuwa na husiano nyuma ?asijifanye mwaminifu huyo tunawajuwa sana wanaume ndani nje

  • @NuhHamisy
    @NuhHamisy 6 місяців тому +3

    Daaaah jamaaaaa katupigaaa 😅😅😅😅😅 kiredio watete tyuh wanawake

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 6 місяців тому +2

    Wanaume waooo😊

  • @bhokesaid3264
    @bhokesaid3264 6 місяців тому +7

    Siku ile aligoma leo kishaweka mazingira sawa anakubari kirahisi...rahim kicheche na anaonekana tu Katika mazingira ya kawaida dada ana kazi ya ziada na anajua hilo

  • @user-sx5ep3cz9g
    @user-sx5ep3cz9g 6 місяців тому +10

    Jaman dida nampenda uyu dada hatak unafki

  • @RosemaryEdward-yw9tv
    @RosemaryEdward-yw9tv 6 місяців тому +8

    Huyu dada awajui wanaume vizuri jamani mh namuonea sana huruma mwanaume wake mwenyewe macho juu juu.

    • @maimunaulotu2075
      @maimunaulotu2075 6 місяців тому +1

      😂😂😂😂bora angelala nyumbniiiii.........maaan hawajui kbsa

    • @user-sd8cq3ds7n
      @user-sd8cq3ds7n 6 місяців тому

      Kuweni makini na wanaume weupe😂

    • @nehemia397
      @nehemia397 3 місяці тому

      ​@@user-sd8cq3ds7ntumefanyaje mkuu

  • @zayvanclassic7960
    @zayvanclassic7960 6 місяців тому +3

    Mambo niyapendayo 😅😅😅😅😅nyiee simuamin mtt w mama mkwe😂😂😂😂😂

  • @DianaRichard-bu9tz
    @DianaRichard-bu9tz 24 дні тому +2

    Kiredio utafute baunsa maana natamani niendelee kukuona ukiwa powa siku zote 😂😂😂😂maana wasije kukupiga siku moja nitaumia sana 😅

  • @levi_wane
    @levi_wane 6 місяців тому +5

    Mmejisumbua kuangalia block Kwan kabla hajaja hapo haja futa namba Wala ku unblock?

  • @diva_20162
    @diva_20162 3 місяці тому +3

    😂😂😂dida hakwepeshi uwiiii😊😊 ila huyo dada atakuja kupigwa na kitu kizito 😂😂😂

  • @majaliwamajaliwa4407
    @majaliwamajaliwa4407 6 місяців тому +13

    Pia block list unaweza kumtoa mtu asie jua kutoa anipigie nimpe maelekezo kiredio yupo sawa

    • @owdenisaga4361
      @owdenisaga4361 6 місяців тому +2

      Utamtoa mtu number itarudi but kwenye iOS hata uki unblock number bado inabaki kwenye block list

    • @hadijaabdallah8614
      @hadijaabdallah8614 6 місяців тому +1

      Futa halafu nenda kwenye block list utaikuta ipo imetulia😂

  • @shedy_marie
    @shedy_marie Місяць тому

    Nawapenda km couple goal mmeamua kuweka online bas mm nan nipinge god bless you 🎉❤

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 6 місяців тому +7

    Amna mapenzi hapo,

  • @getruda-oy8mo
    @getruda-oy8mo 2 місяці тому +1

    Humu nimempenda mama Dida nimesema mamaa bicoz miminimtoto kwake japo hajanizaa but hua akusemaa kitu jua nikweel💯👁️

  • @dayvanny_graphics2172
    @dayvanny_graphics2172 6 місяців тому +5

    Pole sana mbwa wewe😃😃we wanaume hautujui vizuri

  • @rukiammanyi-qm9iz
    @rukiammanyi-qm9iz 6 місяців тому +5

    Sasa kama.hamjui Irene sku ile ya challenge kwa nn akimbie kuonyesha ile blocklist yake kama sio kweli

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 6 місяців тому +10

    Kiredio Songa mbele achana nanhao watu Upendo unanguvu sanaaaa hawawezi kukuelewa leo

  • @godlistenobed9299
    @godlistenobed9299 6 місяців тому +1

    Ugombanishi tu😊

  • @catherinedeogratiusmgumba6183
    @catherinedeogratiusmgumba6183 6 місяців тому +1

    Rahimu kujisifia sifia ndo zake😂😂pole sana candy

  • @eliambowe2576
    @eliambowe2576 6 місяців тому

    Hahah hii ya moto mbona kama mwenetu wamemweka kitimoto 😅

  • @magdalenabenedict2089
    @magdalenabenedict2089 6 місяців тому +33

    Huyu jamaa amepanick thats means ni kweli alichofanya

    • @samaloyce6982
      @samaloyce6982 6 місяців тому

      kupanic sio kipimo cha kusema hlo jambo n kweli, hali hyo hutokea katika jambo lolote usilolitarajia

    • @victoriaanthony717
      @victoriaanthony717 23 дні тому

      hata wew mtu akija Kwa niaba ya kukuaribia furaha yako utaniacha salama mbona mnaona mtu alifanyiwa unyama mnachukulia poa ila mkifanyiwa nyie ndio mpanik km mm uyo kiredio cmpendi kwakuwa anajifanya kuwachalenge watu je yeye katulia achit mnamuamini km ni mungu bwn

    • @victoriaanthony717
      @victoriaanthony717 23 дні тому

      ​@@samaloyce6982ni Bora ulivyomjibu alafu wanamuamini Sana uyo kiredio mm cmuelew hata kidogo kwan yeye achit mpaka awafanyie wenzie ivyo mwenye akili ataelewa lkn wenzangu na mie wenye mihemko na mapenzi wanamuelewa vby ila mm cmuelew hata

  • @ashaahmad720
    @ashaahmad720 6 місяців тому

    huyu kaka bn kwann utengenezewe stor wew

  • @user-zq8tu4ed1c
    @user-zq8tu4ed1c 5 місяців тому

    Mwenye maneno mengi siku zote ni muongo🙌

  • @mussaayubu1167
    @mussaayubu1167 6 місяців тому +6

    Niko pamoja na hawa wachumba kwann kuwafuatilia kiasi hiki Kwan shida nn alafu kiredio ni mwanaume kwann anamuandama mwanaume mwenzetu kiasi hiki hapa nahisi kuna kitu tofauti na haya tunayoambiwa

    • @Raj-gs2oj
      @Raj-gs2oj 6 місяців тому

      Wanaytak c wametka waixhi kisanii

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 6 місяців тому +8

    Ila kiujumla watu wanapenda mahusiano ya watu yavunjike.Watu hawapendi watu wakipendana.Kama huyo dada amemridhia huyo kaka pamoja na infidelity zake ni sawa tu.

  • @user-se9xi3kp4f
    @user-se9xi3kp4f 6 місяців тому +22

    Hawa ndo wale wanajifanya kwenye social media Wana enjoy lakini ukija kwenye real life inaonekana kabisa huyu dada anajifanya ana amani lakini hana amani

    • @NeemaAbdul
      @NeemaAbdul 25 днів тому

      Kabisa anaonyesha nje ndani anajitetea tu hapo

  • @DickPoul-re3lr
    @DickPoul-re3lr 6 місяців тому +3

    Kiredio nitakutengenezea sanamu no one can do what u can do na kama akitokeaa kuna vitu vidogo vidgo ata kosaaaa upewe maua yakoooooooo

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 6 місяців тому +1

    Hivi wapi wanatuma voice huyo candy ataumbuka vibayaa

  • @angelketya
    @angelketya 6 місяців тому +11

    Mdada ataumia vibaya mno 😢😢
    Yaani alivyosema mtoto tutalea hiyo anaumia sana

    • @LuluMtalika
      @LuluMtalika 3 місяці тому +1

      Tena snaa anumia wanaume hawaaminiki kabisa yan kipenzi

    • @Lee-ng5wh
      @Lee-ng5wh 24 дні тому

      Bomu litalipuka soon

  • @pinkyg8861
    @pinkyg8861 6 місяців тому +1

    Wanajuana hawa

  • @rahultz_
    @rahultz_ 6 місяців тому +6

    😂😂😂😂kama kuna mtoto anakuja tutampokea😂😂😂kuna kitu nishashtuka

  • @marthabuhele8429
    @marthabuhele8429 3 місяці тому +4

    Pole Dada wadada tunatakiwa kupenda mwisho asilimia 50,80 zote hizo za nn utalia mumy na aibu juuuuuu

  • @marthababere2444
    @marthababere2444 5 місяців тому

    Huyu dada Ana wazazi🙄🙌, wanajiskiajeee..!
    Huyu kaka amelipa mahari, amemuoaa? 💔 Woiiii

  • @sadagodfrey8439
    @sadagodfrey8439 6 місяців тому

    Duuh this man 😂😂😂😂 Anjiknyngaa

  • @ceciliamsesa179
    @ceciliamsesa179 6 місяців тому +12

    Simsimamii yeyote but huyo Rahim mshamba , blacklist namb inafutwa vzuri tu . Na huy dada mwanaume so wa kumwamin kias icho apo anakuona kajinga flani tu 🤣🤣

    • @ashaahmad720
      @ashaahmad720 6 місяців тому

      subir kimlambe hakijamramba bado

    • @ceciliamsesa179
      @ceciliamsesa179 6 місяців тому

      @@ashaahmad720 Yetu macho🤣🤣

    • @paskaziasholla7471
      @paskaziasholla7471 6 місяців тому

      Mimi na block kila siku na ukianblock unaifuta vizuri

    • @ceciliamsesa179
      @ceciliamsesa179 6 місяців тому

      @@paskaziasholla7471 Yaa ndo ivo

  • @SaidyHamza-it1tg
    @SaidyHamza-it1tg 6 місяців тому +2

    Mwana umme anamuaa mwana umme mweziee duuh

  • @HappyMkami
    @HappyMkami День тому

    Ila kiredio uvuja mahusiano yawatu sanaa

  • @WinfridaJohn-rm6gc
    @WinfridaJohn-rm6gc 6 місяців тому +2

    Yaani kiredio kakasirika kabisa

  • @muh4225
    @muh4225 6 місяців тому +2

    Atalia vibaya huyu dada

  • @JOHNJOHN-pu7wb
    @JOHNJOHN-pu7wb 6 місяців тому +3

    Kiredio hana point 😢😢😢

  • @ProsperAmad
    @ProsperAmad 6 місяців тому +2

    Duuh kiredio umepata aibu 😂😢kweli

  • @user-sj7gj3xl1u
    @user-sj7gj3xl1u 6 місяців тому +3

    Mmmm 🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @oscarhumphrey7692
    @oscarhumphrey7692 6 місяців тому

    We fala Sana

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 6 місяців тому +7

    NJAU unafurahisha sanaaaa, et hili penzi lazima livunjike😂😂😂😂

  • @aminaabdalla-uo9zq
    @aminaabdalla-uo9zq 3 місяці тому +1

    Wanaume weupe suukari ya warembo uyo broh uyoo ahh mchumba t uy dad unashare😂😂 mwanmme ili atulie atakiw akufee apo nd atatulia akiwa hai sahau😂😂 dydy

  • @favouredlizzy3124
    @favouredlizzy3124 6 місяців тому +11

    Huyu rahim anaongea sana ni tapeli huyu na candy atalia mnooooooo tuko hapa 😅😅😅😅😅😅😅

    • @nyakimimbiyalimba2705
      @nyakimimbiyalimba2705 6 місяців тому +1

      Mimi bwana angu nilikua nafanya nae kazi muda wote tupo wote sijui ata ali cheat saangapi nyie nakuja kushtuka mtoto ana miaka3 uyu Dada mbona kama kapenda sana

    • @pendombinga3584
      @pendombinga3584 6 місяців тому +1

      Jman mwanaume kucheat ni kawada sna kwan shida hk wp wazee wt walikuwa wanawanawake nje ya ndoa zao lkn muhimu upendo ma heshima tu jmn waache mahusiano y wtu

    • @stellahsimon4460
      @stellahsimon4460 6 місяців тому

      Kbsss

    • @hamidawamba
      @hamidawamba 6 місяців тому

      @@pendombinga3584kusema kucheat ni kawaid ndio kunawafanya wacheat

  • @chingaboy1149
    @chingaboy1149 6 місяців тому +7

    Sasa hapo mzozo wanni wahusika wanakataa mbea anashadidiaa tatizo nni kama usenge huyu kiredio

  • @user-iw1qp1cu8u
    @user-iw1qp1cu8u 6 місяців тому

    ❤❤❤kiledio

  • @MustymediaTv
    @MustymediaTv 6 місяців тому +5

    Dawa ya kiredio ni kula demu wake yule mwenye shepu

  • @SuzanaSanga-hi6ss
    @SuzanaSanga-hi6ss 2 місяці тому +2

    Yaan nataman siku nije nijue ukwel zaid ya huyo 🍭🍭🍭🍭🍭🍭🍭

  • @komasavatz
    @komasavatz 6 місяців тому

    Niliiiwaaaambia mm

  • @imanuelzakayo8703
    @imanuelzakayo8703 6 днів тому

    Kaka amefurah sana baadaa ya kukosa nambaa ya airen lkn hapo kuna kaukweli hapooo

  • @user-ws3cj2td2q
    @user-ws3cj2td2q 6 місяців тому +1

    Duuuh kiredio had unakeraa

  • @user-nz7ln2yw4i
    @user-nz7ln2yw4i 6 місяців тому +14

    Uyu dada atalia vibaya mnooooo😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 6 місяців тому +6

    Mwanangu bado haujaishi usiwaamini sana wanaume hata baba zako wametutenda sana cendi mwanangu usiwaamini utajajuta

  • @RachelJulius-fh9nl
    @RachelJulius-fh9nl 6 місяців тому +4

    Jmn kiredio waachani watu wa watu....kama wanadanganyana watajua wenyewe

    • @JudithAdonis
      @JudithAdonis 6 місяців тому

      Yaan, cjui huyo kiredio anapata nn......maana amekazana

  • @user-jo6fv1nc8b
    @user-jo6fv1nc8b 5 місяців тому

    Raheem just agree kuwa unae ustake kukataa kubali candy ni muelewa mtoto ni baraka usimkatae

  • @zamdabatezi3766
    @zamdabatezi3766 6 місяців тому +2

    Inaonekan uyu kaka kafuta namba kwanini ambiwe yeeye

  • @user-tb9ju7wc2y
    @user-tb9ju7wc2y 5 місяців тому

    Pamoja kiredio

  • @user-if8oh2rm3p
    @user-if8oh2rm3p 6 місяців тому +7

    Dida mm mpk chooni nilikuwa napelekwa na nachambwa😅😅😅😅lkn mama uyo dada aweke akiba ya maneno

    • @MgeniOmmy
      @MgeniOmmy 6 місяців тому

      😂😂😂

  • @twahakalyasa5305
    @twahakalyasa5305 16 днів тому

    Hii stori iliishia wapi?

  • @MercyMariki
    @MercyMariki 6 місяців тому +2

    Dida nakupenda bureeeeee ❤❤❤

  • @user-km5fr7co1w
    @user-km5fr7co1w 6 місяців тому

    Jamn hiz comment mm nachk sanaaaaaaaa tuu ilaaa wanaumee awaa so wakuwaamkn asilomia mia mia

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 6 місяців тому +2

    Huyu kiredio ni muongo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂sasa DM mbona haonyeshi…?

  • @washededeh7377
    @washededeh7377 6 місяців тому +1

    Imagine hao wote apo wasafi wanatumia iphone na wanatoa ushahidi wa uongo regards kublock number, eti haifutiki.. kama hamjui si mseme hamjui😅

  • @user-li4ii9tn1l
    @user-li4ii9tn1l 6 місяців тому +2

    Dada usimwamini mwanaume hivyo dear kubari nitumia nafasi yako kipenz kijanja anaweza tamani njee

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 6 місяців тому +2

    Mimi cha kuwashauri mtafuteni big man stivo mwenye UA-cam channel inaitwa comrade flavor….anauwezo wa kurudisha txt zilizofutwa

  • @nuratynurdin-vd7zw
    @nuratynurdin-vd7zw 6 місяців тому +5

    Dada kaza wew ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe japo wanasema hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja wasikuvurugie furaha yako kipenzi nawapenda sana inshaallah mwenyezi mungu awape maisha marefu na yenye furaha endelevu

  • @user-yg3sw9go6q
    @user-yg3sw9go6q 6 місяців тому

    Atakujaaa kuliaa uyooo

  • @redtk2971
    @redtk2971 6 місяців тому +1

    Kiredio leo kina chengaa antena imekatika🤣🤣

  • @sirmwita3351
    @sirmwita3351 6 місяців тому +1

    Waache wapendane, kiredio waache jamani.

  • @user-su2dc8kf6c
    @user-su2dc8kf6c 6 місяців тому

    wew kiledio wew koma unataka kutuvulugia mambo

  • @Dareaziz
    @Dareaziz 6 місяців тому +19

    Kiredio Hana lengo baya

  • @marrystellagoodluck4268
    @marrystellagoodluck4268 6 місяців тому +1

    Mmmh huyu kaka muongo Ana tetemeka na pressure juu

  • @Naju645
    @Naju645 6 місяців тому

    Kiredio muongo mbona na chart hana

  • @joeljoph6575
    @joeljoph6575 6 місяців тому +2

    kufuta unaweza na haichukui ata dakika 1

  • @MariamMiraji-sh9fv
    @MariamMiraji-sh9fv 6 місяців тому +3

    kiredio aibu yako😂😂

  • @lydi791
    @lydi791 6 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂kiredio Leo kimekulamba

  • @user-gj3bo3uu6g
    @user-gj3bo3uu6g 6 місяців тому

    Wew Dada kwann umekubali kulea mtoto akati ushasema unamwamini Rahim?