MANARA ATINGA WASAFI KUWATEMEA SHOMBO SIMBA / ATAMBULISHA WIMBO/ AMVAA REFA WA JANA / AMKATAA DEBORA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 вер 2024
  • 🔴LIVE: WE HUOGOPI YANGA,AZAM WATEMBEZA KICHAPO NGAO YA JAMII!!! SPORTS ARENA - 09/08/2024
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 53

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 Місяць тому +7

    Kwa moment muhimu za kiuchambuzi kama hizi inabid ambangile awepo mwanzo mwisho.. yule ni the best of all the best

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt Місяць тому +3

    Wananchiiiiiioooh 💚💛🖤💥💯🔥

  • @KisheEmmanuel
    @KisheEmmanuel Місяць тому +7

    SIMBA WALISEMA YANGA TUNA WAZE ALAFU WAO WANA VIJANA, ILA WALISAHAU KWAMBA VIJANA WANA KASI KWELI LAKINI WAZEE WANAJUA NJIA

  • @yuzomaneno
    @yuzomaneno Місяць тому +1

    Tuko pamoja sana wasafi fm 🙌🙌

  • @davidmassawe9288
    @davidmassawe9288 Місяць тому +1

    ila nasrii anajua bhana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @musamigabo5601
    @musamigabo5601 Місяць тому +1

    well said El bugati

  • @nelykaaya6503
    @nelykaaya6503 Місяць тому

    😂😂😂munamuogopa manara rediyo sitopowa munagihuhasa sana

  • @musamigabo5601
    @musamigabo5601 Місяць тому +2

    @kitenge kwanini watu wanaionea huruma Simba kwamba wamejitahidi nini kufungwa ni kufungwa tu....mambo ya kusema wamejitahidi hata Red Arrow walijitahidi, kaizerchief, pia na Galax...ki ukweli Yanga tuipe maua yake wako bora sana well organized, team work, ari ya ushindani, and well discplined....maamuzi ya kusajili wachezaji wapya wengi na wageni its not an excuse simba ni brand kubwa aliowatuma kusajili vijana ni nani si professional hao wamejaa ma MVP? huo muda upi wapewe??? Mbona Gamondi alipofika tu kikosi kipya watu wapya na akapata matokeo???......Yanga bingwaaaa💚💚💚💛💚💛💚💚💛💚💚💛

  • @kennethkapanga670
    @kennethkapanga670 Місяць тому

    Manara kaishikwa sanaa

  • @DalalimabwepandeAliko
    @DalalimabwepandeAliko Місяць тому

    Simba oye

  • @user-qh3lb6lp2w
    @user-qh3lb6lp2w Місяць тому

    Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @SaúdemoraMorasaide
    @SaúdemoraMorasaide Місяць тому

    Yanga timu bora África, kutoka Msumbiji Palma.

  • @joachimluhamo3042
    @joachimluhamo3042 Місяць тому

    Redio yenu ukiwa kwenye gali na baadhi ya maeneo kama kunduchi na tegeta tunaipata kwa shida sana

  • @RoseKipimo
    @RoseKipimo Місяць тому +1

    😂😂😂😂

  • @AnordyChavala
    @AnordyChavala Місяць тому +1

    Nawaona leo lavu

  • @aliharoun6213
    @aliharoun6213 Місяць тому +2

    Ubaya ubwege ule

  • @SaidiNyabweda
    @SaidiNyabweda Місяць тому

    Naitwa said nyabweda kitenge yanga kubwa sana kuliko timu yyt tanzania

  • @IsihakaTenge
    @IsihakaTenge Місяць тому

    Wasafi redio ya yanga tunajua

  • @hajisaid1457
    @hajisaid1457 Місяць тому

    Huo mlango pakeni hata rangi 😅

  • @Masengo-su3mf
    @Masengo-su3mf Місяць тому +1

    Kitenge ewe mwe niezi muhumba arh na inchi nina imani dada yangu ata zaliwaa tuta shinda

  • @rashbrown8186
    @rashbrown8186 Місяць тому

    Chuzi huyo

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Місяць тому

    sote tutazeeka ila mwenzetu anazeeka vibaya😊

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 Місяць тому

    Kumbe manara ni shombo!

  • @RoseKipimo
    @RoseKipimo Місяць тому

    Buga mmoja 2

  • @zuberisalum1188
    @zuberisalum1188 Місяць тому

    ila hawa watangazaji wengi wenu mmeshindwa kuzuia mapenzi na ushabiki wenu mkubwa kwa yanga kiasi nawatabiria wapenzi wa simba hawatawasikiliza kipindi chenu

  • @treyvissy9854
    @treyvissy9854 Місяць тому

    Hao makolooooooo😂

  • @IbrahimmashakaMashaka
    @IbrahimmashakaMashaka Місяць тому

    Alisema akifunga chini ya goli nne atawapa miloni milioni vip mmepewa

  • @AnordyChavala
    @AnordyChavala Місяць тому

    Maulid Simba wapo vizuli ila munganiko bado

  • @fahdihasnuu9034
    @fahdihasnuu9034 Місяць тому

    Haji mlevi dakika 40

  • @salamahussein7467
    @salamahussein7467 Місяць тому

    Wananchi wamotoooooo

  • @mapundawilliam370
    @mapundawilliam370 Місяць тому

    Kwani nyie niwaanfishi wa michezotu au,raia tunahitaji kujua inchi inaendaje. Serekali inakoses wapi yapatia wspi.

  • @BarakaAndrew-wj2ci
    @BarakaAndrew-wj2ci Місяць тому

    Manala kasema kwer tm pekee yenye uwezo kukufunga magor na kukufunga mdomo ni yanga tu tanzania

  • @AllyHassan-m3j
    @AllyHassan-m3j Місяць тому

    Manara mhuni sana 🤣🤣

  • @joachimphilbert3655
    @joachimphilbert3655 Місяць тому

    Hhhhhhhhhhh pacome angeuwa watu jana

  • @MwanaishaAkida
    @MwanaishaAkida Місяць тому

    Mwambien Ahmedi Ali kuwapa moyo mashabiki wa simba kua tume fungwa lakin tuna furaha so kwely awambie tu ukweli simba bado mbovu mbona kibu hakupanda basi la time na wachezaji wenzake

  • @ahmedimakope
    @ahmedimakope Місяць тому

    Huyu mzee Kuma sana

  • @JamalAbas-fe5dj
    @JamalAbas-fe5dj Місяць тому

    Ma mc wa yanga wakichambua mechi ya yanga na cmba nini unategemea

  • @Masengo-su3mf
    @Masengo-su3mf Місяць тому

    Kaka yangu haki ujahona? F a Ahukukona?

  • @davidmassawe9288
    @davidmassawe9288 Місяць тому

    Manara anaongea lkn anacho ongea hakitok moyoniii

  • @PiusKidumba-p4b
    @PiusKidumba-p4b Місяць тому

    Anahalibu ladha ya kipindi uyo

  • @user-uj3bg3uf7c
    @user-uj3bg3uf7c Місяць тому

    WACHAMBUZI HEWA NYINYI ETI MNAAMULISHWA NA MTU MNAONGEA UJINGA

  • @elvismabena-dk2nh
    @elvismabena-dk2nh Місяць тому

    sasi upinde tu

  • @RamadhaniEdward-u7b
    @RamadhaniEdward-u7b Місяць тому +1

    Hakuna timu ya kuizuia young African wakitaka kuamin wasubil tarehe 17 mwezi huu watauona. moto unavyoendelea kuwaka nisoma kama lamaboy au baba wa criss kutoka buchosa sengerema mwanza

  • @Masengo-su3mf
    @Masengo-su3mf Місяць тому

    Ila wame tunyima pasakaka sijafurahi wa atakidogo daima mbele nyuma mwiko

  • @EmilyStephano-bf1nm
    @EmilyStephano-bf1nm Місяць тому

    Acheni ujingaaa nyiee watuu mbona manara amekuwa kama meneja wenu?? Mkumbuke nyinyi wachambuzi by professional kasoro Maulidi kitenge chawa wa manara,,, anatafuta ela ya kufungua radio yake at mwaribia diamond marketing yake ya Wasafi FM

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Місяць тому

    Wajinga watupu yaan huyo manara ndyo et mtu wa mpira ni ujinga

  • @SaidHuseni-sv8tj
    @SaidHuseni-sv8tj Місяць тому +1

    Wanangu Wawa safi midia mm said hussein kutoka mkoa wa kaskazini Pemba wilaya ya wete shehia ya utaani ninaomba Kwa heshima mwambieni huyo dada alovaa jezi nyeusi ya yanga kapendeza ila hapo studio Kwa yeye sisehemu mziri kuvaa akiwahapo redio niyetusote ahsantenisana mukovizuri kwenyekazi

    • @samwelngao3201
      @samwelngao3201 Місяць тому

      😢hujitambui ww ndo mana uko vijijini

  • @mosesm1608
    @mosesm1608 Місяць тому

    KAUTAKA MWENYEWE