Kumbe hawa sometimes ni kuwapiga mabanzi tuu ndio akil ziwakae😂😂😂😂... maana asingepata ile kerebu siku ile bado wazimu wake ungeendelea kuwepo.... kata kerebu matata mpaka akili ikarejea mwakeee😅😅😅
Kiukweli watoto wasiokua na adabu wapo wengi, Mungu atuepushe lkn iwapo litatokea kwangu,siokweli mtoto wangu aitawale nyumba yangu mpaka mimi mwenyewe nimuogope,,,ataozea jela na hilo iwapo haitakua jibu tosha hata kuuawa kunamuhusu kabla hajaniua mimi.
Ee mola bariki kila mmoja anaye soma comment hii ❤❤
Amen
Ameena
Amen
Magumu hapo
SEMA nini Wapopo wanaupiga mwingi ❤❤❤,am happy to See MS King of Nollywood,Ruth Kadiri,Unayetafsiri umefanya Kaz nzur
Uyo mwanaume anaitwa nani
Oyooo unajuwa kutangaza nimekufoll❤❤ raha najisikiy
Eeh Mungu bariki kila mmoja ❤❤
Huyu ndo anatafsiri vizuri nmependaa😂😂😂😂😂😂
Kumbe hawa sometimes ni kuwapiga mabanzi tuu ndio akil ziwakae😂😂😂😂... maana asingepata ile kerebu siku ile bado wazimu wake ungeendelea kuwepo.... kata kerebu matata mpaka akili ikarejea mwakeee😅😅😅
Mwanamke pekee aweza kubadilisha mwanaume
wale wa jumba la mwijaku tujuane kwa like tafathali
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
Hahahahahaha
@@reginasedekia-nc2tg1qq
😂😂😂😂😂😂
Kweli maisha ni safari ndefu hongera kwa hadithi yako mungu akubariki
Umetafsiri vizuri bro hongera sana jina la muvi
Hii flam Iko poa❤❤ nimepanda
Safi sana mwana dada, sinema nzuri ❤❤😂😂
Nampenda mourice sam na Ruth kadiri bure❤
NAOMBA JINA LA MOVIE HII TAFADHALI ❤
Inaitwa "Fond of you" by Ruth kadiri
KAZI nzuri braza🤝👏
❤❤❤wow nzuri sana kweli
Hahaha nimekipenda kichapo
EE nzur San
Sana
Chapa uko vizuri. nimependa
Movie Kali sana ❤
Hapa mmi nakubali kbsa kijana kafanya kazi nzuri
Kabisa bana weee😂😂😂❤
Kaka nampendaga huyu bac tu Mungu akuweke
Dah filamu nzuri sanaaa nimeipenda 😊
jumba la mwijakuu😂😂😂
Tamu hii❤ 🎉 muendeleo
Nawapendaa sanaaa
Kaka hiiyo kali sana❤❤
Jamani hiyo salam😢😢😢 hatakama ndo mama wa kambo, lakini nimependa kelbu hadi heshima
Nimeipenda sana
Jamani naombeni kujua je wadau wa ankojei mupo umu ndani ya muvi hivi? kama mupo likezenu na na hili tujuwane
Mtangazaji unaubunifu mkubwa et basata msifungie😂😂😂
Mara jumba la mwijaku😂😂😂🔥🔥🔥🔥
Umeona 😂😂
Umetisha kaka
Waooh kazi poa
Wow! Very exciting story.
Keee ilo kofiii 😂😂😂 lazma cm itoke atakama sijaiba😂😂
@@AnnahKikot 😂😂😂
Kaka unaweza
Wazazi hakumfundisha adabu kijana
Salute kwako story nzuri sana
Whaooooo ninzuri sana
Movie nzuri❤
Ahhhhh kudadadeki nimechek san
jumba mwijaku la billion 1 😂😂😂😂
Jumba la mwijaku😂😂😂😂😂😂
Nimechekaaa kama chizi simba kawa swala😂😂
Chapa Lapa 🎉🎉🎉
best story imenigusa ❤
The first
Nimeipenda hy mov inamafundisho
Hongera San bint nimeipenda bure kweli nzur San kazi kuna mda inabidi kupambanie heshim yako
Nimeipenda mno jamani story tamu❤❤❤❤
Safi Sana pongezi kwa kazimzuri
Nikweli watoto ambao awajalelewa na maadili wanashida
nakubali saan kaka
😂😂😂 kichapo sio
Chapa❤❤❤❤😂😂
Hii ni moto kali kama kisu🥰🥰🥰
Hi ni nzuri sana
Aki hii movie imefanya boss akaniambia kesho nisikuje kazi.. Niende niwatch mamovie kwanza.. But ni tamu. Heri nifutwe lakini niwatch hizi movie pana.
Wana vyo pigana na ijoy tu😂😂😂
Nimeipenda xan hyo
unatafsiri vizuri kweli mwamba
Mi nimependa kichapo alichotembezewa bos mtoto😂😂
😂😂😂mpak akili imemkaa sawa
😂Yani mm kanifulahisha
Ni kwa nn upede kuonelewa mwenzio kwa bila hatia
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Nimeipenda mno ,
Tamu sana❤❤
Ya moto sana 🙌🏻
Ipo vizur❤❤❤❤❤
Kweli kichapo ninafundisha sana jama katulia
Kichapo kimenifanya nicheke kwa sauti🤣
Wahoo very intressant ❤
Wewe jamaa nimecheka kisengeeee😂😂😂😂😂 eti jumba la mwijaku
Hahahaha safi sana
Nzuri nimeipenda inafundisha sana
Mzuri sana!!!
Nime Enjoy balaa 😂😂😂 ❤
ico kicapu nimecheka hadi natoa machozi 😅😂😅😂😅😂😂😂😂😂
Nzur sana 😂😂
Akika nimeipenda
😂😂😂😂😂😂nimecheeeeka😂😂😂😂😂
Kwann manzese jmn😂😂😂😂😂
Kali sana movi
Safi sana hii umeichapa haswa
Tupe nyengine kali
Nimependa sana hiyi movie
😄😄😄😄😄😄😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💘Jamani mie😁😁😁
Nimecheka 😅😅sana hapo kwa bilimbili😅😅😅 but imekuwa tamu sana😅
Basata wasiingilie kabisaaa😂😂😂
Hakuna ugomvi usio na mwisho
😂😂😂 duh! Dada bondia
Kichapo😂😂😂😂😂😂
😂😂unyama umetembea nimecheka yangu yote😂😂😂
Naomba nyengine nimeipenda SN Yani moto❤❤❤
Matajili kitu kikipotea anaedaiwa kua mwizi ni mfanyakazi 😢😢
Story nzuri sna, broo
Kiukweli watoto wasiokua na adabu wapo wengi, Mungu atuepushe lkn iwapo litatokea kwangu,siokweli mtoto wangu aitawale nyumba yangu mpaka mimi mwenyewe nimuogope,,,ataozea jela na hilo iwapo haitakua jibu tosha hata kuuawa kunamuhusu kabla hajaniua mimi.
Kitu icho😅😅😅😅
Kali snaaa
Hahaha kijana kayatimba
Kichapo safi mno 😂
❤❤❤😂😂😮😮😢😊😊😅 hii kali
Nimependa kichapo🤣🤣🤣
😂😂😂kichapo tu nimecheka
Ila we kaka unaenda kupat zambii unamutesa san dad😂😂😂😂😂
What a lovely and educative movie