KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024
  • KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 8 місяців тому +56

    Big up sana Wasafi TV.Dotto Magari leo umetuvunja MBAVU ,wewe ni mwisho makosa haswa.Naona bado Dotto magari unampenda mzazi mwenzako🎉🎉

  • @Topos4kphotography
    @Topos4kphotography 27 днів тому +2

    Mwanamuke adabu akuna merry mdomo imesha muponza wdada wafupi wanakula sana elfu kumi Kila siku duuuuh
    Dotto achana naye uyo njaa tu anayo ww dotto Mungu akupe maisha marefu kk all the best nipo Kenya Nairobi nafata kipindi but dotto Ubarikiwe zaidi kk

  • @EVENTSPORTAL
    @EVENTSPORTAL 8 місяців тому +42

    Watching from Kenya 🇰🇪 Dotto magari just proved that he has been providing and the lady with her exaggerated prices highlighted how money minded she is.

    • @KenedyMwaipaja-n8w
      @KenedyMwaipaja-n8w 8 місяців тому

      Tatizo na ww doto ulikuwa umuweki sawasawa😢 uyu ungemlaluwa vizuri angekuheshimu sana wala asingekuita babu, sa ukipanda kidogo umeshuka ndo maana anajiita mbabu😂😂

    • @KenedyMwaipaja-n8w
      @KenedyMwaipaja-n8w 8 місяців тому

      Anakuita babuu!!😂😂😂

    • @kelvinkiangokipingu370
      @kelvinkiangokipingu370 8 місяців тому

      Mwanamke mdomo mdomo tu 😠

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 8 місяців тому

      @@kelvinkiangokipingu370mwanaume je?

  • @kalamajefwa3581
    @kalamajefwa3581 7 місяців тому +4

    Shukuru mungu sana dadangu.kama ungeigia Tisa yangu ungekosa kila kitu sure from 254

  • @teddyndungurusabnu4792
    @teddyndungurusabnu4792 8 місяців тому +24

    Doto ni mwanaume nimempenda kweli hataki mambo mengi huyu ni mwanaume ,, sema merry ni mwanamke mwenzangu ila anamdomo sanaa yani kapanic sanaaa hana nidhamu kiasi

    • @rachelmnyimwa4192
      @rachelmnyimwa4192 8 місяців тому +1

      Yani huyu merry kapitiliza uswahili😊😊

  • @DxbYae
    @DxbYae 6 місяців тому

    Big up kwa doto upo vzr.....sema marry ana mdomo sn punguza mdomo wanawake anatakiwa kujishusha

  • @queendollie8792
    @queendollie8792 8 місяців тому +57

    Dotto ungeenda hapo shule ukaelezewa vizuri, ujue mtoto wako anasoma mazingira gani, ujuane na walimu n so forth, inshort participate in your child’s life, huyo mtoto hatokumbuka pesa but your presence, ndio maana watoto wengi wanaonaga mama zao ndio kila kitu which is not bad but it’s because wanaume wengi mnazani kutoa pesa ndio kila kitu, mama anaenda kulipa na kununua vitu anampa mtoto then mtoto anasema Asante Mama while baba ndio katoa ela, so mtoto anakua akijua mama ndio provider wake, Anyways ni maisha yenu nipunguze ushauri.

    • @levinaasenga2794
      @levinaasenga2794 8 місяців тому

      Dotooooooo

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 8 місяців тому +1

      Nikweli kabisa ,umesema cha maana.

    • @petermangama330
      @petermangama330 7 місяців тому

      Utashinda na mtoto KAZI unafanya Sana ngapi? Mama ana jukumu la kumenta mwanaye juu ya uwepo wa Baba na KAZI nzuri anayoifanya Baba

    • @nehemia397
      @nehemia397 7 місяців тому

      DOTTO mwenyewe shule hajaenda haelewi hata pesa anatoa kwaajili ya vitu gani

  • @noelsanga6853
    @noelsanga6853 7 місяців тому +1

    One of my best interview

  • @witnessmlay7415
    @witnessmlay7415 8 місяців тому +32

    Huyo dada ana mdomo sana, Dotto mchukue Mtoto umlee mwenyewe. Lasivyo, utajua hujui

    • @hassansalum2572
      @hassansalum2572 8 місяців тому

      Mdomo wake Nini ?

    • @Faridkhalid-z3p
      @Faridkhalid-z3p 8 місяців тому +1

      Wee tetea mwanamke mwenziyo mpumbavu wewe, anampigania mtoto wake mdomo unatoka wapi, subiri yakukute na wewe jinga wewe

    • @gracemoshi4362
      @gracemoshi4362 8 місяців тому

      Umri wake mdogo mahakama haitoruhusu mpaka akue kidogo

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 8 місяців тому

      Mdomo wapi ww ungekubar

    • @allvibes211
      @allvibes211 8 місяців тому +1

      Baadhi ya wanaume bila mdomo matunzo ziro

  • @naahhemed1270
    @naahhemed1270 8 місяців тому +6

    aiii kama ni daycare mama ajipange buana lakin kama ni primary school ni sawa lakin 2yrs watoto wamatajiri ndio uanza shule sasa doto anapesa gani wanawake sisi mungu anatuona

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 7 місяців тому

      Si chawa😂😂😂😂

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 8 місяців тому +36

    Mwanamke mdomo mrefu sanaaa

  • @annakattoa7502
    @annakattoa7502 8 місяців тому +24

    Marry unguza hasira na mdomo mwanamke mwenzangu shukuru huyo baba anatoa hela wengine hawatoi kabisaaa acha hio jeuri mama

  • @ibrahimkhatib760
    @ibrahimkhatib760 8 місяців тому +4

    Waching from china
    Bother doto hongera umeweza kuonesha kua unatoa huduma zote muhimu kwa mtoto huyu mdada izo cost anazopiga hapana na hazilingan kwa mtoto wa miaka 2 1/2
    Dada hizo hela anaend fany vikoba

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 8 місяців тому +15

    Doto umemaliza kiume,safi sana

  • @amoonatnzani9834
    @amoonatnzani9834 8 місяців тому +16

    Akitoka hapo cha kwanza kwenye vikoba Mm nipo nimekaa pale

  • @BernardMazimba
    @BernardMazimba 7 місяців тому

    I'm viewing from Zambia, dotto is very wise and caring man, some men don't even give it all, to the women you learn to be good wife and understand life when situation is going well in the house, to us men sometimes life it is hard we go through many obstacles, but crazy women like Mary and Claire do not understand, because they don't have bright eyes thoroughly well into our future, now is Mary she is regretting over she did to dotto by breaking up with a ⭐ star, the all secrets she knows well the pain of losing the great man like dotto, this now because a great lesson to women Lean to be patience, when a man is looking for the way out in our daily life.

  • @EnockSalapion
    @EnockSalapion 8 місяців тому +16

    Wadada fanyeni kazi, yaani unaenda kumkabia mwanaume kwenye media kisa ni influencer! Wanawake wajibikeni wanaume sio maduka.

    • @Chimamy5242
      @Chimamy5242 8 місяців тому +2

      Kitabu gan kimeandika mwanamke awajibike? Na nyie mkitaka kuitwa baba ingieni leba sisi sio machine ya kufyatua tofali af mkome kutupa majukumu mawili hayo ya kuwajibika ni ya kwenu hakuna kukwepaaaa

    • @MsNajma-e6e
      @MsNajma-e6e 8 місяців тому +3

      Na wanaume watimize majukum Yao sio mwage mbegu zenu Kisha mzigo wote muachie mma majukum yenu mnayakwepa

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 7 місяців тому

      ​@@Chimamy5242asante❤kunywa soda ntalipaa

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 7 місяців тому

      Wanawake tutafte hela hakuna mwanaume anaetoa hela skuizi Wala hakuna mwanaume anaetaka majukumu ya kulea Kaz kutoa mimba TU na kukimbia halaf mtoto bdae akiwa mkubwa anajiweza kama hahudumii baba yake wanaanza kuskitika kwenye media, na wanaume mukome kutongoza wanawake wa nje ikiwa hamuna malengo nao pumbav nyiee!

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 6 місяців тому

      😂😂😆😆😆😆

  • @JustinMwakalukila
    @JustinMwakalukila Місяць тому

    HAPO DOTTO ULIBUGI mwanamke anaongea km cheleani duuuh,all in all kumkwepa huwez mshazaa nae no way out bro...mtaonana tyu😂😂😂❤❤

  • @AbrahamMwakifungwe
    @AbrahamMwakifungwe 8 місяців тому +6

    Proud of you Dotto you are a Big man indeed

  • @ramadhanmkorogwe1798
    @ramadhanmkorogwe1798 7 місяців тому

    Huyo dada anakupenda sana brother tatizo doto una wivu sana na one day inaonekana mtakuja kuishi tena pamoja kwasababu mnaonekana mnapendana ila kila mmoja ana hasira sana

  • @muhammadhussain449
    @muhammadhussain449 8 місяців тому +30

    Uyo dada jeuli sana

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 7 місяців тому

    Wanawake wengi ni wabongo sana wanapenda kujifanya wanaweza maisha bila waume

  • @ThadeoJoseph
    @ThadeoJoseph 8 місяців тому +24

    Ndio shida ya kuzaa na watu wa uswahilini njaaa tupu mtoto anakula elfu kumi tangu lini

  • @mararegiononline3457
    @mararegiononline3457 7 місяців тому +1

    Ila Dotto anafurahisha sana namkubali sana anajibu kwa kujiamini sana

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 8 місяців тому +20

    Dotto we chukua mtoto wako umlee mwenyewe nko kenya kakangu nakushukuru kwa upole wako wanakufanyiajee mahesabu hawa wanahabari na mtoto ni wako bro

  • @saudaaddey7402
    @saudaaddey7402 8 місяців тому +2

    Wasafi Media ni kweli kabisa namshauri Mary anapo tafuta haki yake apunguze mdomo.
    Mary ana mdomo mkali sana inabidi Dida uwe somo mfunde sana Mary.
    Namshauri Doto aendelee kuwa mvumilivu ili mtoto aendelee kuishi vizuri watoto hawachelewi ipo siku utafikia kumchukua mtoto wako.

  • @MwonekanoTv
    @MwonekanoTv 8 місяців тому +13

    Mungu anisaidie nizae na mwanamke sahihi😮

    • @Chimamy5242
      @Chimamy5242 8 місяців тому +3

      Hata wanawake wanaomba wazae na wanaume sahihi na sio pasua kichwa vile vile

    • @machozukumuda6596
      @machozukumuda6596 5 місяців тому +1

      Kama unataka mwanaume sahihi kua mwanamke sahihi.....
      Usije ukawa katika category ya only for sex....
      Na ukishika mimba wwe ndio umeruhusu.
      Wanawake kuna sehemu mnachemsha hata uweje you can be wife material or for sex olny.
      Kama ukipata mimba 💯 percent wewe ndio umeruhusu ikae

  • @HamisDienga-qj2uw
    @HamisDienga-qj2uw 2 місяці тому

    Dada dida tunajuana siku nyingi sana bosiwangu doto jamaa yangu mtoto mm rafikiyake au Babu anajita akiniona tu Babu ananyita mwanamke ananyita baba nikiwa jirani kipindi kizuri doto mdogo wako nakuja sana embu jitaidi kuzuia hii aibu mungu akujarie doto Lea mtoto wa kizimkazi

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 8 місяців тому +31

    Mdada ana penda sana ela kuma make sizai na wanawake wa skuiz njaa zme wazidi

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 8 місяців тому +7

    Doto nnavyokupendaga bora ungezaa na mimi yani ningekupendaje ❤❤❤❤

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 8 місяців тому +31

    hata kama mama wa mtoto wako ni kichwa ngumu huwezi muonesha dharau na ujinga kama hivi, kwa heshima ya mtoto mwanaume uwe na nidhamu, tatizo dotto umetoka katika maisha ya umaskini

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 8 місяців тому

      Kwa hiyo mtu akitoka kwenye familia ya kimaskini anakuwa mshenzi

    • @smarty1064
      @smarty1064 8 місяців тому +1

      we bado hujakutana na vichwa ngumu, omba yasikukute, omba sana Mungu akuepushie ... kuna watu wapo duniani na hawajui wanataka nini kwny maisha yao kila heshima unayompa yeye anaona ni advantage ya kukutukana sababu ya uungwana wako, weee hujakutana na vichwa vibovu 😀😀😀

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 8 місяців тому +2

      Mwanamke kichwa box

    • @shaabanramadhan6770
      @shaabanramadhan6770 8 місяців тому +1

      Mwanamke mwenyewe anamdomo

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي 8 місяців тому

      ​@@shaabanramadhan6770tena sana

  • @WitnesYusuph
    @WitnesYusuph 8 місяців тому +3

    Nitumie namba ya doto nimecheka san

  • @masoudjuma8974
    @masoudjuma8974 8 місяців тому +3

    Daah wanaume tujifunze uyo mwanamke noma sana

  • @charlesfundisha6376
    @charlesfundisha6376 2 місяці тому +1

    Yani wanaume uwa tunayakanyaga kuna mademu awafai kwenye maisha yetu wanaweza kukuponza

  • @Kidia-yt3bm
    @Kidia-yt3bm 8 місяців тому +5

    Dodo magari mpole sana huyo dada ni jeuri hasa,Doto magari chukua mtoto kalee mwenyewe

  • @machozukumuda6596
    @machozukumuda6596 5 місяців тому

    Ivi kama mtu akiamua kutompeleka mwanae miaka 2.5 daycare kuna shida gani..?
    Naona kama bado mdogo sana kwenda day care anyway ndivyo yalivyowakuta...
    Dotto angemaliza haya maswala katika chombo cha kisheria na utaratibu wa transactions kwa uhalisia vingeonekana tu.
    "" ALIPANDA MBEGU SHAMBA BOVU""
    BIG UP MA MEN DOTTO

  • @heritier8236
    @heritier8236 8 місяців тому +6

    Mahakama za tanzania hazina kazi tena, ko kila kitu redioni duh!

  • @mzungumahenge305
    @mzungumahenge305 8 місяців тому +3

    Kwa kweli mungu anakupa wa kufanana nae.

  • @LiberatusRaphael-be8hi
    @LiberatusRaphael-be8hi 8 місяців тому +15

    Doto upo makini sana hyo sio mwanamke ni malaya sana mshenzi sana mpumbavu sana mjninga sana kanamdomo sana jinga kbsaaa mshamba kwelii sana

    • @faithjonathan3845
      @faithjonathan3845 7 місяців тому

      Ushalala nae au maneno yanakutoka tu😢😢 wanaume sku hizi mna maneno kuliko kina mama

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 7 місяців тому +1

      ​@@faithjonathan3845Kwl kwani na ww hujaona

  • @Topos4kphotography
    @Topos4kphotography 27 днів тому

    Dotto magari big up sana kaka Wang wee mwamba sana na kukubali kwakweli
    Kusema kweli ume Tisha sana na uko wazi na life Yako ila merry apunguwe wizi wake wanawake wa fupi walai mbinguni awafiki 😅daaah Yani dotto wewe nakukubali sana ume tupa eshima kubwa brother atajuta bahada ya miaka mbili uyo merry 😂

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 8 місяців тому +8

    Mmmmh huyu dada mswahili ana mdomooo du.
    Dada siupambane tu na maisha

  • @mrsab303
    @mrsab303 8 місяців тому +7

    This best one today ❤❤❤❤

  • @starjay3052
    @starjay3052 4 місяці тому +3

    sema nimefrai dotto kajitoa sana mzee ✅🙏🙏

  • @lastsimbatv1497
    @lastsimbatv1497 8 місяців тому +7

    Dadeq mtoto hari elfu10 kwa siku huyo dem kaja kuchkua mpunga t angekutana na mswahili kam mimi ndo angejua mtoto anakula shingapii

  • @rashidiabongyo
    @rashidiabongyo 8 місяців тому +12

    Dada merry imezidisha nawewe, Dotto ni baba mzuri

  • @AdmiringNautilus-ew9wh
    @AdmiringNautilus-ew9wh 7 місяців тому +1

    Duuuh hadi kula wallah kaaah inamaana yy anachikula hawwz kumpa mtoto akala? Loooh mhhh me nna watoto 2 na wote wadogo siku napewa elf10,7 hadi elf5 nahakuna hamna lolote linaloemdelea na sipigi kelele na siku napewa siku spewi na nimetulia kaaah hatar wakiumwa naumiza kichwa mwanangu wa kwanza anamiaka 2na nusu nampeleka shule mwenyewe nnavyojua leo kaemda kesho haendi maisha yanasonga ika huyu dada mdomo anao na vitu anataka😂

  • @faithmapondo7370
    @faithmapondo7370 8 місяців тому +3

    Dah nngepata mwanaume anipe hata hyo 5000 kwa sik nisingejarb kujb hvyo na ada juu loooh

    • @issamsunye1880
      @issamsunye1880 8 місяців тому

      Pole sana

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 8 місяців тому

      M nna watoto wawil lkn mwanaume anaweza kukaa miez 9 halfu anakupa lak au 50

  • @MariamSaidy
    @MariamSaidy 27 днів тому

    Yani tanzania 🇹🇿 masomo.ya watoto ni Hali hivi akienda primary inakuwaje jamani ?

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 8 місяців тому +25

    DADA ANAONGEA KAMA KAMEZA MEMORY CARD DAAAAH!NDIYO MANA MLISHINDWANA.TUANGALIAGE !!!!!!DAAAAAH

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 8 місяців тому +3

      Mmmhh kweli hapo hakuna mke ni chuma ulete

    • @BerthaModest
      @BerthaModest 8 місяців тому

      Yan😂😂😂

    • @smarty1064
      @smarty1064 8 місяців тому

      😀😀😀

    • @faithfaith-zr6gz
      @faithfaith-zr6gz 8 місяців тому +1

      Mary anaongea Sana mpk kichefuchefu, Kafanye kazi acha ujinga wa kutegemea mwanaume, je Akifa Leo utapata wapi hela..

    • @superwarema2309
      @superwarema2309 8 місяців тому

      Ana majuto yaliochanganyika na hasira. Atakuwa halali usingizi mzuri akimuwaza jamaa.

  • @theresiamwandara7990
    @theresiamwandara7990 6 місяців тому

    Da! Huyu mzazi mwenzie na Dotto ni full makasiriko. Wanaume punguzeni nyege.

  • @jaspinbrasio674
    @jaspinbrasio674 8 місяців тому +3

    Amna mwanaume anaweza kukaa na mwanamke mwenye mdomo wa hivi hata siku moja

  • @starjay3052
    @starjay3052 4 місяці тому +2

    sema wanawake mda mwengine wanazingua mimi adi mtoto wangu nimemchukua anatumia mtoto kama fimbo ili kukuumizia

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 8 місяців тому +3

    Mmmh hyu mwanamke aonesha mshenzi kweli kweli ana mdomo mpk doto mwenyewe ame blow

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 8 місяців тому +1

    Mchawi pesa......big up bro....umemfunga mdomo kbsa..ata ukataka round moja kwke anakupa tatu

  • @RithaWimba
    @RithaWimba 8 місяців тому +3

    Huyo dada awe na shukurani, apokee hata hiyo 5000, mwanae anakula 30000 kwa sku? hamuoni mwenzie chanuo wa madebe hajapewa hata mia na anashukur lakni yeye anapewa kila kitu na analeta dharau khaaaaaaa...😮😮😮😮 Wanaume angalieni wanawake wa kuzaa nao😅😅😅 ebu gonga like kama unakubaliana na mie

  • @AthumaniMohamed-gd9pr
    @AthumaniMohamed-gd9pr 6 місяців тому +1

    Mwanamke ana mdomo hatari😢😢

  • @bakaromar8135
    @bakaromar8135 8 місяців тому +5

    Nakubali doto

  • @MalakiGerald-bh5jv
    @MalakiGerald-bh5jv 8 місяців тому +2

    Mpeni asome!!!

  • @JacquilineNoah
    @JacquilineNoah 8 місяців тому +2

    Wanaume ni waongo jmn mm naona kwa mwanaume wang analiaga mpka machoz utasema anaonewa🙌🙌🙌

  • @wilsonmwamuramwamura1953
    @wilsonmwamuramwamura1953 8 місяців тому +1

    Sijapenda kabisa huyo mama mtoto na huyo mwanaabari wakike walikuwa kitu kimoja wamemdhulumu dotto ala mungu atamzidishia hela zaidi

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 8 місяців тому +7

    Dada choko mswahili sana aiseee

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 8 місяців тому +2

    Mwanamkeee wa kinondoni...uyoooo doto mchkueee mwanaooo uyooo anakuchunaaaa wanawake saizi wameweka wanaume biashara....watto 2nanunua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😅😅😅😅😅

  • @drharoonshaarawytv6840
    @drharoonshaarawytv6840 8 місяців тому +4

    Wanawake msiwe na pupa za maisha , msiwakimbie wanaume kwa ugumu wa maisha ninyi ni washauri kwa waume zenu , sasa hapa kinachoonekana Doto Katoboa sasa anaanza kujutia , ujinga mtu mwanamke utatatarika kama umekula Bisi

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 місяці тому

    Shukuru Mungu doto mpole
    Mwingine hupati ht mia

  • @kebbymody5606
    @kebbymody5606 8 місяців тому +10

    Mtoto akikua akiangalia anaona jinsi wazazi wake walivyomdhalilisha kwenye malezi yake INAUMA niiiiii😭😭😭😭😭😭

  • @hellenshayo3454
    @hellenshayo3454 8 місяців тому +1

    Mhhhh......Doto mtoto akifikisha miaka 7 mchukue tuu huyu dada siyo kwa kweli

  • @gamatv2111
    @gamatv2111 8 місяців тому +11

    Iyo Pesa Yakula Qmamae Me Nisingetoa, Ningeenda Kununua Unga Na Maharage Mwenyewe😂 ALAFU WANANGU HAPA TUJIFUNZE, TUPUNGUZE KUZAA NA MADEMU WA USWAHILINI, HILI NI TATZO QMAMAE😢

    • @EdwardAnthony-c7u
      @EdwardAnthony-c7u 8 місяців тому

      Hii point sana

    • @iscoonline514
      @iscoonline514 8 місяців тому

      Kabisa kaka 😂

    • @NaomiRafael-r5x
      @NaomiRafael-r5x 8 місяців тому

      😅😅😅

    • @tonnnieghm
      @tonnnieghm 8 місяців тому

      Mwanangu chukua beer apo nalipia umetoa point mamaqe

    • @gamatv2111
      @gamatv2111 8 місяців тому

      @@tonnnieghm Weka Number Baba, Izo Beer Sio Zakukosa😆😆😆

  • @manchesterunitedembassy5088
    @manchesterunitedembassy5088 5 місяців тому

    Dada mpambanie mwanao hongera sana ❤

  • @ZainabSimith-ey6vm
    @ZainabSimith-ey6vm 8 місяців тому +7

    Khaaa mwanamke heshima hakuna eti analingana na baba yake alimpendea nini mpaka kuzaa nae duuu unatwa Babu Bado unatoa Hera hahaha dida mbaya sanam

  • @BahatiRutumo
    @BahatiRutumo 3 дні тому +1

    Tuta kumiss sana dida😢😢

  • @nanahmekaupbeautifu237
    @nanahmekaupbeautifu237 8 місяців тому +6

    Mhhh uyo dada ana mtaka bado doto nilicho kiona

  • @KhalidOmary-j4y
    @KhalidOmary-j4y 7 місяців тому

    Uyo Malaya ashaona kapata mtaji Kwa dotto Kwa sababu sasa hv anapesa kama Mimi Kwa mdomo wake hapati ata mia alafu jeuri ana mdomo sana dotto Bora ulivyomuacha maana ulikuwa na kazi kubwa sana

  • @AliMkumbukwa
    @AliMkumbukwa 8 місяців тому +7

    Kazi ipo wadada awa

  • @kabeyamediatz
    @kabeyamediatz Місяць тому +1

    Tufikie pahala tujaribu kwenda na sheria zinavyosema kwenye katiba. Ifikie sehemu nyingine wanawake muwe na huruma. Nachukia sana kudhalilishana hivi.
    Tubadilike, hapo mke anatafuta kunufaika tu ashaona Dotto kala shavu duh😂.

  • @oyay2821
    @oyay2821 8 місяців тому +12

    Amejaribu kutaka kumiharibia brand ya Dotto lakini Dotto amekua smart.

    • @jaffarymwinyi1080
      @jaffarymwinyi1080 8 місяців тому

      Huyo dada katumwa afanye hivyo ...ila kafeli kamkuta doto mwenyewe ni mtoto wa mjini

  • @husseinsaid8021
    @husseinsaid8021 8 місяців тому

    Mtoto Anakula elfu 10 kwa siku??

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 8 місяців тому +4

    Idris kitaa big up nahisi huyo dada umemshtukizia tapeli kidogo😅😅

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk Місяць тому +1

    Kupatikana kwa dotto magari

  • @witnessromward6875
    @witnessromward6875 8 місяців тому +6

    Demu ajui kula na kipofuu doto mungu akubariki

  • @theresiamwandara7990
    @theresiamwandara7990 6 місяців тому

    Wanaume wanapitiaga mengi pia jamani

  • @HamisMberwa
    @HamisMberwa 8 місяців тому +5

    Safi sana

  • @shomarisangari-rt6le
    @shomarisangari-rt6le 8 місяців тому +1

    Mtoto wa Mama Kizimkazi Pole sana huyo siyo mwanamke wa kuzaa nae ulijichanganya mtoto wa mjini.wewe na apo ipo mwenzio na Hapa zipo.

  • @SaidOmar-yp7uv
    @SaidOmar-yp7uv 8 місяців тому +9

    Huyo dada lengo lake amzalilishe doto ila hapo kachemka

  • @TadashiTadashidebeDebee
    @TadashiTadashidebeDebee 6 місяців тому

    Ingekuwah mimi nisingetoa kkumake uyu demu jau anq uhurumq wauni tuangalie wanawke wqkuza nqo😢

  • @willbardmacha7885
    @willbardmacha7885 8 місяців тому +73

    Mtoto wa miaka miwili na nusu sheria ya Tanzania haruhusiwi kwenda shule

    • @kelvinsauveur6264
      @kelvinsauveur6264 8 місяців тому +2

      Wewe muto waselekali. Nini ?

    • @EmanuelPaskal
      @EmanuelPaskal 8 місяців тому

      HIYO SHERIA YA WAPI MKUU

    • @daudajerry6654
      @daudajerry6654 8 місяців тому

      Sheria gani kaka?

    • @angelgodwin2452
      @angelgodwin2452 8 місяців тому +5

      Sijapenda huyo vuvuzela kisura kidogo sijui anajikuta nani mwanamke anaongea Kama chizi chefu 😏

    • @simonjuma2912
      @simonjuma2912 8 місяців тому +2

      Basi hizo shule serikal si wangezifungia kama sheria haziruhusu ....shemesha mtoto acha kukwepa majukum

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 2 дні тому

    Nimekuja baada kifo cha dida ,inalillah wainalillah rajiun hakuna kitachobaki 😭😭😭😭

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 8 місяців тому +13

    Vituko vya doto mdada mwenyewe anacheka

  • @SaidKiganga-i1q
    @SaidKiganga-i1q 8 місяців тому +1

    Pole Sana doto wanaume tunapambana na vitu vingi ndomaana hata kids tunawahi

    • @nasrafadhili7408
      @nasrafadhili7408 8 місяців тому

      Pole sana Dotto yaani mambo yote kumbe umeshindwa matumizi ya mtoto

  • @Edomasawe-er5mw
    @Edomasawe-er5mw 8 місяців тому +7

    Dida sio mtu nzuri

  • @dannylema3125
    @dannylema3125 8 місяців тому

    Sasa kwann wameenda Radioni

  • @malifedhamachimu4882
    @malifedhamachimu4882 8 місяців тому +3

    Wanawake wa dar es salaam
    Maneno yaani

  • @maryamuiddi2795
    @maryamuiddi2795 6 місяців тому

    Ila dotto mstaarabu sana

  • @yagakamsela
    @yagakamsela 8 місяців тому +14

    Ningekuwa ni Mimi nisingetoboa kabisa duh mwanamke mwenye mdomo hivyo ashakula konde kitambo ananundu kila Kona mbona wangeita police mapema sana

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 8 місяців тому

      Sometimes midomo ndo inayowakimbiza wanaume.
      Huyu mwanamke mwenzetu jau.🚮

    • @ZuhuraallyMbawe-zi8hk
      @ZuhuraallyMbawe-zi8hk 8 місяців тому

      Kiukweli uyu dada anamdomo sana, yan mume atakae ishi nae uyu dada anatakiwa awe na moyo sana! Mwanamke unatakiwa uwe na stara ya mdomo bhana

    • @sundaysHassan
      @sundaysHassan 8 місяців тому

      😅😅😅😅😅

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 7 місяців тому

      Kabisa yn ata mm😂😂😂

  • @Ramyyosy
    @Ramyyosy 4 місяці тому +1

    Wanaume kazi tunayo

  • @Torono_95
    @Torono_95 8 місяців тому +33

    kweli Mungu anakupa wakufanana nae doto ni kiredio uyo dem tv😂

  • @JndeedahNdeedah
    @JndeedahNdeedah 8 місяців тому +1

    Inchi ya ajabu sana kwa watu aina hii,na ndo maana Mungu akatuletea mvua kutuangamiza

  • @IsraeliMndeme
    @IsraeliMndeme 8 місяців тому +11

    Kila mtu na mtu wake wa kufanana naye yani, huyo dada na doto wanaendanda sana warudiane bana, doto akileta mdomo anapasuliwa, hapo freshi. Dawa ya moto ni moto.

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 8 місяців тому +1

    Yan....mm sitaoa maishani mwangu never

  • @MussaSongo
    @MussaSongo 8 місяців тому +7

    Mdomo sana huyo dada

  • @mkomacaroline245
    @mkomacaroline245 8 місяців тому +1

    Angemchekea au kumvumilia angeendelea kulea pekeake, na hapo Dotto anaosha kwenye TV😅 mngemdai bila camera mngevunjwa mbavu kwa kucheka anavogoma kutoa hela😂 nimempenda Dotto bure, ila Dada anaongea huyu, sasa hata wanaume watamuogopa maana uuuwi, hakuna mwanaume anapenda mwanamke anaeongea kiasi hicho