DIAMOND PLATNUMZ AMJIBU ALIKIBA KUHUSU VOCAL NA KU-COPY NYIMBO ZA NIGERIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 472

  • @AlvinaAlvin-f4u
    @AlvinaAlvin-f4u Рік тому +25

    Kuna huyu mnyama Simba afu kuna hao wanyama wengine 😂😂 kuleni hicho chuma 😂

  • @hobeatv9723
    @hobeatv9723 Рік тому +27

    Kwa huu moto wa simba kuna wadogo zetu wamekosea kuchagua upande😂😂

  • @talents7934
    @talents7934 Рік тому +39

    Wasikuzingue SIMBA hata kucopy nako ni sanaa,Anayesema umecopy mtume nae akacopy kisha tuone viewers wake,Waambie ivii Wacopy Afu na wewe copy kisha mtafutane kwenye Viewers 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 Рік тому

      Yan washindane kuimba vya kuiba? 😂😂e

    • @DanielAmos-eg7bh
      @DanielAmos-eg7bh 5 місяців тому

      We matako2

    • @DanielAmos-eg7bh
      @DanielAmos-eg7bh 5 місяців тому

      Ujiskii unachosem ww

    • @talents7934
      @talents7934 5 місяців тому

      @@DanielAmos-eg7bh Tuliza Tako mboro haiitaji mawenge,Afu kwanini siku izi unauzaga matako huko Mombasa? Kwani sisi hatuna pesa ya kununua ama?

  • @ramadhankondo4643
    @ramadhankondo4643 Рік тому +33

    Hapo kwa Burna boy umelenga kabisa coz sio kwa sauti ile na bado miziki yake inapenya mpaka majuu.

  • @TZ255TZ25
    @TZ255TZ25 Рік тому +14

    Hii nibomu halafu mwamba anaongea kwakujiamini kama zakayo wakati akipambana na goriati weeacha tu nampendaga sana

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ Рік тому +38

    Hii video ya Refresh naiona ikiingia trending

  • @zbmavumba
    @zbmavumba Рік тому +46

    𝙒𝙚 𝙨𝙞𝙢𝙗𝙖 𝙡𝙖 𝙢𝙖𝙨𝙞𝙢𝙗𝙖 𝙙𝙖𝙣𝙜𝙤𝙩𝙚𝙚𝙚𝙚🤣🤣

  • @PizzoBeatz
    @PizzoBeatz Рік тому +27

    Amina 😂😂😂😂 Simba msalimie Amina

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no Рік тому +22

    😂😂😂😂 Huyu ndo JAY-Z wa EA

  • @adolfmathew9698
    @adolfmathew9698 Рік тому +37

    Ukimkubali diamond basi ujue unampenda na Ali kiba

    • @abdulnaseer8017
      @abdulnaseer8017 Рік тому +1

      Umeongea point ya msingi Sana ndugu

    • @babuumtumaki3730
      @babuumtumaki3730 Рік тому +1

      Allow kwel broo mana mi nilikuwa namkubal kwel kiba lakin kwa yeye kwenda Simba Mimi nimeamia kwa mond mjomba namwelewa mond acha na ukichanganya na ngoma zake tatu za mwisho allow mond mtu

    • @adolfmathew9698
      @adolfmathew9698 Рік тому

      @@babuumtumaki3730 haha sindio ila tufanye hivi muziki na mpira inatuleta pamoja tufurahi tu no hard feelings

    • @adolfmathew9698
      @adolfmathew9698 Рік тому

      @@abdulnaseer8017 yeah bro tusiwe siriaz sana na hizi team kiba na timu mond ni ishu za kiburudani na furaha sio ugomvi

    • @abdulnaseer8017
      @abdulnaseer8017 Рік тому +1

      @@adolfmathew9698 yeah your very right maana at the end of the day ni entertainment tu

  • @giztony2009
    @giztony2009 Рік тому +26

    Diamond platinumz! Nimecheka sana

  • @kilungahamis1270
    @kilungahamis1270 Рік тому +20

    Ushamla Amina wa Kiba😂😂 Mond alijua kumshusha kiburi jamaa yetu😂😂😂

    • @AAAm-l5u
      @AAAm-l5u 8 днів тому

      Na pia Kiba alikula Dada wa mondi so mchezo iko draw

  • @luxurious6616
    @luxurious6616 Рік тому +27

    Me bora nienjoy music ❤😂Simba 🔥

  • @robsonwisdom1994
    @robsonwisdom1994 Рік тому +20

    Ila diamond platinum niwaajabu sana kawatolea uvivu😂😂😂😂😂😂😂we nyokoooo wanyooosheeeeee😂😂😂😂😂😂

  • @phillphilipo5153
    @phillphilipo5153 Рік тому +24

    Hii itaenda trending 😂😂😂😂

  • @razackpaulo6375
    @razackpaulo6375 Рік тому +8

    Mondiii atakae kupingaaa ni mchawiii hunabayaaa mjombaaaa ww ni Nuru ya mzki wa Tanzania yetu

  • @jamesonwiz9612
    @jamesonwiz9612 Рік тому +20

    Simba ni Simba Ata ale nyasi 🦁 hatawai badilika #diamond fans from🇰🇪🇰🇪 .

  • @dianamonyo1960
    @dianamonyo1960 Рік тому +22

    Unauhakika simba uliongea na hao wasanii wenye beats zao, mm sitaki tuaibike jamani🫣

    • @alliymohamedalliy6524
      @alliymohamedalliy6524 Рік тому +2

      🤦‍♂️ 😂😂😂Kama hana uhakika yye mwenyewe na mwenye wimbo Hashemi kitu, unataka upate wap uhakika! 😇, unaji umiza sana! 😂

  • @PesMessiah
    @PesMessiah Рік тому +7

    Big ups Simba from DRC. Acha awo wa Nigeria wa seme. Wanakuogopa tu Simba🫡

  • @dylan.254
    @dylan.254 Рік тому +9

    He just called 21 savage, mzee ishirini na moja😂😂

  • @mbwaralali5049
    @mbwaralali5049 Рік тому +29

    Ukweli uwa naenjoy mondi akifanya interview

  • @tienzorealfancy6393
    @tienzorealfancy6393 Рік тому +15

    Wanigeria wanaandika subtitle sahivi kwenye hii interview😂😂wakshaelewa ohoooo🔥🔥🔥

  • @naufalmustafa565
    @naufalmustafa565 Рік тому +27

    akili mingi sana hili simbaaaa

  • @pascalmusana2137
    @pascalmusana2137 Рік тому +9

    😂😂simba umenifurahisha sana

  • @jessiedaizx1611
    @jessiedaizx1611 Рік тому +9

    Napenda hapo kwa kula chuma hiyo😂😂😂😂

  • @ngonde255
    @ngonde255 Рік тому +16

    Mnyama chibu dangote tunajivunia wewe kaka kwakubeba nembo ya taifa mimi nasema hakuna tz kama wewe hongera sana kaka🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 Рік тому +9

    😂😂😂😂😂😂😂 broh kivumbi…!!!!!kula chuma hichooo😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @Khalist_Tz
    @Khalist_Tz Рік тому +3

    😂😂😂 mzee golira

  • @sebbywekesa2933
    @sebbywekesa2933 Рік тому +15

    Much love kwa simba

  • @NaylovePaulo
    @NaylovePaulo Рік тому +4

    Acha waongee ila wanakukubal sana

  • @mickelfashion2193
    @mickelfashion2193 Рік тому +16

    Unyama nimwingi snaa🎉🔥🔥🔥

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Рік тому +6

    Utakuwa simba mpkmwisho hakuna wakukufikia watAbaki na wivu wao

  • @Valline-u1z
    @Valline-u1z Рік тому +29

    Simba kama Simba dangote wanao mkubali Simba naombeni like zenu 💯💯💯

  • @ellieellie1469
    @ellieellie1469 Рік тому +19

    😂😂😂you take your Reign back King of the Jungle🦁🦁🦁

  • @AlhajiRocky-xd5vl
    @AlhajiRocky-xd5vl Рік тому +8

    Nakubali Broo huboi wala huchuji sikuzote upo apo apoo Big Up broo

  • @erqmusic5973
    @erqmusic5973 Рік тому +21

    Oyaaaa kaka Kula chuma iyoooo kivumbi 🔥🔥🔥🔥

  • @dammynaizer
    @dammynaizer Рік тому +3

    Hahahaah kaka kulachuma Iko kivumbi

  • @neemammbaga227
    @neemammbaga227 Рік тому +2

    Yan diamond usimpe nafasi akaongea😅😅hutoboooi

  • @oyay2821
    @oyay2821 Рік тому +7

    Zombi ndio S2keeyz?

  • @jamilarashid89
    @jamilarashid89 Рік тому +4

    Kula chuma iko kivumbi😂😂😂😂😂

  • @karokaro7435
    @karokaro7435 Рік тому +18

    I just love this guy with his music he's just talented sanaa tuseme tu ukweli tuache ma issue na tusema tu ukweli this guy is another level

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz Рік тому +9

    Bomba sana kizazi #tellaaxistz

  • @FAMILYSIMBA
    @FAMILYSIMBA Рік тому +3

    😂😂😂😂😂😂 MKALI WAHILI GAME

  • @4ktime587
    @4ktime587 Рік тому +9

    Oya weee kapita vizur na msitar wa lukamba 🔥🔥😁

  • @FranceBedon-ee1db
    @FranceBedon-ee1db Рік тому +40

    Simba wetu sindiyo uyu❤❤

  • @mikadaniel9350
    @mikadaniel9350 Рік тому +2

    Ulipoa san sas umenguruma hatun maswal ya kujiuliz tena

  • @lordmafya
    @lordmafya Рік тому +1

    Diamond kumpe comedian pia 😂😂 yani nime cheka 😂

  • @MussaKitulanya-ys5ez
    @MussaKitulanya-ys5ez Рік тому +3

    Et kakaa kula chuma ikooo

  • @djumariaabasi9115
    @djumariaabasi9115 Рік тому +10

    Simbaaaaaaaa la ma simbaaaaaaaa gangote🎉😂

  • @roi2553
    @roi2553 Рік тому +11

    Simbaaaaaaaaa

  • @hamzasogodo
    @hamzasogodo Рік тому +80

    Huyu ndio diamond 💎 ninae mjua,,tafsiri halisi ya mtoto wa kimaskini aliezipata. Full of majigambo

  • @Brian_MG
    @Brian_MG Рік тому +3

    6:55 Mzee gorilla na mzee ishirini na moja😅😅😅😅

  • @MessiBaba-xf2sb
    @MessiBaba-xf2sb Рік тому +15

    The one and only de best of Tz

  • @hamidekille9621
    @hamidekille9621 Рік тому +21

    Simbaa ❤❤❤simba wa masimba dangote❤❤ s2 noma baba

  • @edwarddastani3691
    @edwarddastani3691 Рік тому +36

    ❤mamae bado hawajasem na watasema yan mpaka waseme😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Simba LA ma Simba dangote

    • @kawanga0073
      @kawanga0073 Рік тому +1

      😂😂😂😂 watachemaaaa tu 😂😂😂😂😂

    • @RIO-jf9mo
      @RIO-jf9mo Рік тому

      Edward we ni kuma tu

  • @sadickramadhan3496
    @sadickramadhan3496 Рік тому +8

    Simba kasema 🌟

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ Рік тому +6

    Duhhhh.........content sasa

  • @shariffadhil1767
    @shariffadhil1767 Рік тому +7

    Sanaa ni ubunif hata kucopy ni ubunif pia

    • @shariffadhil1767
      @shariffadhil1767 Рік тому +1

      Hv mnajua kitu tusichokijua wengi wetu ni kumshindanisha mtoto wa maskin na mtoto wa tajir. Eti unauliza nani mpambanaji. Endapo wote wana magari mazur ya kifahali, wana nyumba za kifahar, wana majina wote hata kama mtoto wa tajir atamzidi kidogo mtoto wa maskin basi ushindi anapaswa kupewa mtoto ambae wazazi wake ni maskin

    • @shariffadhil1767
      @shariffadhil1767 Рік тому +1

      Kuna wajinga wanapambanisha wizkid, davido, burnaboy kuwa diamond hawafikii hata robo. Kwangu mimi diamond ndie the real hustle kuwazid hao wote. Kwa fact zifuatazo. Nchi yetu inazidiwa sana uchumi na nigeria, inazidiwa wingi wa watu, inazidiwa hata uwezo wa kuongea kingereza, iko karibu na chi zilizoendelea zaidi kutupita sisi, iko karibu na nchi zinazojua miziki zaidi kutuzidi sisi. Haya nambieni. Ni lini nchi yetu tutaweza kuizidi nigeria japo katika, mpira, muziki, na mambo mengine. Kwa asilimia kubwa wanabagua sana ngoma zetu. Pili wao wako wengi ulaya kutuzid sisi. Ivyo ni rahisi sana kujipromote wao na kuturudisha sisi chini. Kitendo cha diamond, rayvany, eddykenzo na wengine kuwa nomineted BET. Ni ushindi tosha. Amini ndugu zangu. Hv unaweza amini kuwa dunia kwa sasa inamtambua rema kuliko diamond.😑, hamuoni kuwa huu ni ushubwada wa muziki duniani. Muziki pia fitina zipo nyingi. Tuamken tukubari wanachofanya vijana wenzangu. Honestry i appreciate them, mimi ukiniambia rema na marioo nachagua mario. Mimi naujua muziki. Ila watu ambao ni vipof wa muziki wanaweza sema rema ni bora kuliko marioo

  • @nurdinibrahimu7312
    @nurdinibrahimu7312 Рік тому +4

    Mifano ya plutnum nimeelewa barnaboy,davido sautizao zakawaida ila Sasa Wana mellod

  • @omanoman-ir1ez
    @omanoman-ir1ez Рік тому +5

    Hahahahahahaha mondi unanifuraisha sana unasema kweli kweli tupu

  • @AhmedAhmed-jn4is
    @AhmedAhmed-jn4is Рік тому +4

    Mzee kapanic story ya vocals 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Davida-vi7ef
    @Davida-vi7ef 3 місяці тому +1

    Staili ya kuongea afu mfatilie Chris brown speech zake utaona kuna staili zinafanan yan kuongea kwa upole afu kwa hisia za ndani kongore chbu😮

  • @Babudicky-zn1kp
    @Babudicky-zn1kp Рік тому +8

    Nakubari simba la masimba dangote

  • @kingkittah6748
    @kingkittah6748 11 місяців тому +1

    MONDI AKILI NYINGI SANA MUNGU AMUWEKE SANA HII VIDEO TUMEOKOTA VINGI SANA HUMU.!! 🙌🙌🙌🙌🙏🤟

  • @KylaRodriguez-df2se
    @KylaRodriguez-df2se Рік тому +5

    simba kama simba mbana pua wao kaishiwa

  • @hozambura5488
    @hozambura5488 Рік тому +8

    Diamond ana akili sana 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @loisenjoki3434
    @loisenjoki3434 Рік тому +8

    I just love this guy.. Diamond is a big blessing to Africa.East Africa And in Tanzania..wwwooo..this guy knw hw to answer in an interview ❤❤❤❤mob love to Tanzania

  • @omariswara5593
    @omariswara5593 Рік тому +8

    Nimekuelewa simba💥💥

  • @milazoomilazoo4494
    @milazoomilazoo4494 Рік тому +5

    Za kichwaaaa nakubaliii simbaaaaaaa

  • @breezy_innoofficial1393
    @breezy_innoofficial1393 Рік тому +8

    Mondi ni msenge nyie😂😂😂

    • @amanimapenzi571
      @amanimapenzi571 Рік тому +1

      Sana yaani kiba hamuwezi huyu ni mswahili ajabu

  • @mmangaabas2416
    @mmangaabas2416 Рік тому +7

    Huyu ndo diamond tunaemjua

  • @allykassim3145
    @allykassim3145 Рік тому +1

    Huyu mwamb hata kwny interview zake huw anauwa san😂😂😂

  • @john-ke5838
    @john-ke5838 Рік тому +23

    Even Nigerians copy and sample from Americans...musimuingilie sana...ni ku copy na ku twist🤗🤗🤗🇰🇪🇰🇪🇰🇪Twampenda nyimbo za Mondi sana huku Kenya...Twaisupbiri official video ya ENJOY🎉🎉🎉🎉🎉

  • @charlesluzegea6721
    @charlesluzegea6721 Місяць тому +1

    Mond Mungu akubariki sana Piga kazi achana wenye Midomo Tanzania 🇹🇿 Miaka 💯

  • @gelishonkinunga
    @gelishonkinunga Рік тому +5

    Simba la masimba dangoteee 🥶🦁😅😂

  • @BabaKubwa-po3wy
    @BabaKubwa-po3wy Рік тому +8

    😂😂😂😂😂 daaah noma sanaa

  • @Alphertv
    @Alphertv Рік тому +2

    jina langu na lako mond ni moja so mm. na wee ni familia okay mond namjua huwa afanyi kitu kwa hasala utaona hata simba day atakuwepo bisha uone...🤣🤣🦁🦁🔥

  • @hassankhamis7380
    @hassankhamis7380 Рік тому +1

    Eti msani wa kwanza angelikua Wema sepetu bro big up sana wakuache wanao sema ume copy wafanye ngoma zao na wenyewe kwanza tuone wanafikiria kuimba ni maharage utachagua dakika chache uya tenge jikoni 😅😅😅😅😅😅😅

  • @mwljuliuskiwovele
    @mwljuliuskiwovele Рік тому +6

    Majibu ya mwisho ya interview hii ni yenyewe na nimeyaelewa sana .🎉🎉🎉🎉maua yake kwa Mond

  • @jumastephano2688
    @jumastephano2688 9 місяців тому +1

    Saf sana simba la masimba dangote

  • @Bgnew-t7f
    @Bgnew-t7f Рік тому +6

    Nikivumbi

  • @januarykasongo9298
    @januarykasongo9298 Рік тому +2

    Oyaaa weeeh.. SIMBA ni mmoja2😂😂

  • @kottaflavour7055
    @kottaflavour7055 Рік тому +5

    We zombie 🧟‍♂️

  • @chrisk.efreestylerofficial149
    @chrisk.efreestylerofficial149 Рік тому +4

    Huyu jamaa anajua mpaka anakera

  • @dicksontheobald874
    @dicksontheobald874 Рік тому +4

    Simba

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu Рік тому +6

    Tamos juntos!

  • @suzanaladin1921
    @suzanaladin1921 Рік тому +3

    Mm naomba tu wakubali diamond ni kaka yao amewaz kila kitu😄☺😊

  • @maishailiyasi2935
    @maishailiyasi2935 Рік тому +4

    DIAMOND 💎 NAOMBA CHENI MOJA

  • @DirectortristanKevin_POKOTTV
    @DirectortristanKevin_POKOTTV Рік тому +6

    Kalii sanaaa 🔥

  • @YohanaShedrack
    @YohanaShedrack 7 місяців тому +1

    Yan ukinikata mwili wangu kitakachotoka ni simba mnyam kaka unatixha xana namim naomba mung akupe kibali uixhi miaka mingi xana nkukubali broo

  • @moustaphanundu
    @moustaphanundu Рік тому +2

    Kaka kula chuma icho kivumbi 😅😅

  • @AidamomadeNatiquia
    @AidamomadeNatiquia Рік тому +1

    Wapeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
    eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeedawa

  • @salitosofo5561
    @salitosofo5561 Рік тому +4

    Mkorogo umekubali😅

  • @wakigochi1023
    @wakigochi1023 Рік тому +4

    Sumu still best song

  • @DanielAmos-eg7bh
    @DanielAmos-eg7bh 5 місяців тому +1

    Mshamb2 uyo kondeboy for everybody

  • @avitrujweka2113
    @avitrujweka2113 Рік тому +6

    SIMBA 🦁❤️💯🔥🌍🔥

  • @TZ255TZ25
    @TZ255TZ25 Рік тому +3

    Hhhhhhhhha 🤣😂😂😂😂😂 kaka kulachuma iko ase

  • @HusseinAmiri-pp8dy
    @HusseinAmiri-pp8dy Рік тому +2

    wapi like @Kula chuma hcho😅

  • @djabuga7597
    @djabuga7597 Рік тому +3

    Mimi nakutambua simba.
    Talanta unayo baba.

  • @RobertBazicha
    @RobertBazicha Рік тому +5

    *hatali sana😅😅*