AHMED ALLY AONGEA KWA UCHUNGU CHAMA SIO MCHEZAJI WETU TENA SIWEZI KUMUONGELEA FEI NDIO MBADALA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
    Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
    Na kulike facebook page Bongo trendy online

КОМЕНТАРІ • 142

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 3 місяці тому +20

    Huyu jamaa yuko smart Sana siyo wale oya oya ndiyo maana halisi ya semaji la CAF nakubali semaji one love❤❤❤❤

    • @cosmasmwaitete5004
      @cosmasmwaitete5004 3 місяці тому +2

      Yuko smart anaacha kuhojiwa anaulizia kula hahahaaaa

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 3 місяці тому

      @@cosmasmwaitete5004 kajambe 😂

    • @CeciliaTimotheo
      @CeciliaTimotheo 3 місяці тому

      Simba nguvu moja, hata mm namkubali sana Ahmed Ally🦁💪🙏

    • @isakajunior7139
      @isakajunior7139 3 місяці тому +1

      Unajua maana ya smart? Huyu si ndo alimpromote Feisali kwenye page yake? Akamhoji mayele mchezaji wa timu nyingne? Huyo ni smart ktk level ya umbumbu kwasabbu huwa anakurupuka sana ktk vitu vingi sana

  • @milikimbembela8670
    @milikimbembela8670 3 місяці тому +8

    Unaongea kisomi sana bro nakubali✅✅✅

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 3 місяці тому +1

    Miaka 3 chama yuko simba hakufa chochote ila migongano na coacher au wachezaji bora ameenda ndo maana alitaka mkataba wa miaka 2 maana umri umeenda ale mshahara wa bure pesa aliyotaka yy tunaleta wachezaji 2 na vijana bado maana tumeondoa kirusi ktk simba utaona simba bila yy ni bora

  • @RamsonAloyce
    @RamsonAloyce 3 місяці тому +4

    J.mtale yupo msiwaze semaji liko sahihi.

  • @AmiriHamisi-s5z
    @AmiriHamisi-s5z 3 місяці тому +3

    😂😂😂😂 zima mzk semaji linaongea

  • @RenatusFumbuka-gw4jo
    @RenatusFumbuka-gw4jo 3 місяці тому +12

    Ronaldo kaondoka Madrid na bado wanatamba TU sembuse chama

  • @EvaNtalwila
    @EvaNtalwila 3 місяці тому +2

    Semaji la chama langu, upo vizuri sanaaaa❤❤❤

  • @ZAMZUNZAMIRU
    @ZAMZUNZAMIRU 3 місяці тому +8

    Mi ni simba forever mie sio mshabiki wa chama mi ni shabiki wa simba

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 3 місяці тому

    Semaji uko vizuri ila tuna omba viongozi wawa sajili fesali na fisitoni mayele fuledi Hana uwezo wa kuchezea simba naye aende au mukopeshe kwa mkopo

  • @gnasnassary9475
    @gnasnassary9475 2 місяці тому

    Ase katika hatua Simba tuliyopiga ni hii ya kumnasa Ahmed Ally aka kispika 😅😅😅ana piga shuti la kuwanyamazisha midomo wapinzani lenye spidi ya treni sgr😂😂😂

  • @florianhaule4757
    @florianhaule4757 3 місяці тому +2

    Nakukubali Sana mashine yetu ya kuongea

  • @bonifacemgaya3448
    @bonifacemgaya3448 3 місяці тому +3

    Acha aende kazingua sna, utaniambia mziki tulionao Simba usajili huu utafurahi mwenyewe, Kila dirisha ana oandisha dau, sasa uko alipo enda uta niambia!! Nipo palee nakaa

    • @JoslinMwakasonda
      @JoslinMwakasonda 3 місяці тому

      Ata kuandika aujui..ndo maana aueleweki

    • @bonifacemgaya3448
      @bonifacemgaya3448 3 місяці тому

      @@JoslinMwakasonda Bora wewe unae jua mungu amekubariki,

  • @SwafaaSaid-s5y
    @SwafaaSaid-s5y 3 місяці тому

    Wapo wapi kinaokwi kagere sembuse huyo chama aende tyuu

  • @Laurentjoseph2001
    @Laurentjoseph2001 3 місяці тому +3

    Watakuja wengene tu na mtamsahau chama, Simba nguvu moja

  • @charlestesha4202
    @charlestesha4202 3 місяці тому

    Simba ndio imemtengeneza chama maana chama ametambulishwa na Simba naamini tutapata mfalme mwingine km chama wangap wamepita na bado Simba ipo imara Simba nguvu moja

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 3 місяці тому

    Mwacheni chama aende , kule yanga watu wanafuata pesa za tozo, zinazotolewa na waziri wa mshiko

  • @protaspessa8615
    @protaspessa8615 3 місяці тому +5

    Bora ameondoka kelele zipungue ndan ya simba
    Simba kubwa kuliko mchezaj yeyote

  • @EddyMundo-j5x
    @EddyMundo-j5x 3 місяці тому

    Siku zote hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho tupo kwa ajili ya kutengeneza timu na si kumnufaisha mtu

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 місяці тому

    ILA NYIE MNASHANGAZA SANA KWANI CHAMA NIWAKWANZA KUHAMA TIMU?WAMEHAMA AKINA MESSI NA RONALDO NA MBAPPE HAO NI BAADHI TUU CHA AJABU NNN? WACHA WAPOTEZE MUDA WAO. HAWANA KAZI HAO. SASA ANGEKUWA MBAPPE BASI WAN NI MBAPPE INGEKUWAJE? C WANGETEMBEA NCHI NZIMA TUJIFUNZE KWA WENZETU HAWANA KELELE

  • @renatusmwanakatwe-gl9xb
    @renatusmwanakatwe-gl9xb 3 місяці тому +1

    watu wa mtaani kwangu nimewaambi yanga kumsajili chama ni mwanzo wa kuharibika kwa yanga ni mtazamo tu maana sajili yake ni ya kisiasa hivi.

    • @stellaassaa7141
      @stellaassaa7141 3 місяці тому

      unaweza kuwa na akili sana wewe na mtazamo wa mbali sana

  • @KisadoMasta
    @KisadoMasta 2 місяці тому

    Hakuna kitu kibaya Kama kujikaza kwenye maumivu makolo kulia ni dawa sio majungu Kama mlimucha talabu za nini mwaka lobo

  • @FadhirHemedy
    @FadhirHemedy 3 місяці тому

    Wale walio haidi ahadi basi watekeleze ahadi zao chonde chonde

  • @AminaMohamedmgomba
    @AminaMohamedmgomba 3 місяці тому

    Mwache aende si kaamua mwenyewe habembeleze yeye nani ? Lakini atajuta

  • @BejaoneAtupele
    @BejaoneAtupele 3 місяці тому +1

    Kaka wewe ndio fulaa yetukwasasa unatu weza😂😂zimamziki

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 3 місяці тому

    Mm nataka simba wahame wote wote wote libaki neno simba tu basi mm nabaki na simba

  • @DevidMarhias
    @DevidMarhias 3 місяці тому +1

    Inabidi tumuache tu kwani hata yeye alikuwa na kero zake nyingi sana

  • @charlesmarera3497
    @charlesmarera3497 3 місяці тому

    Kwangu sina shida kabisa aende tu alikuwepo umefika muda wake sasa.

  • @oceanmarkcompanylimited4863
    @oceanmarkcompanylimited4863 3 місяці тому +6

    Umechemka sana. Kuondoka kwa Chama unakufananisha na kufa kwa Mtume Muhammad. Acha ujinga huo.

    • @saidsalum6101
      @saidsalum6101 3 місяці тому

      Wewe ndiyo mjinga wamwisho kwani chama nawachezaji wengine wanautofauti gani alikuwepo mwamba okwi na alikuwepo mbwana samata na kaipa pesa nyingi sana simba kauzwa mala mbili nzima nasimba ikafaidika kuuzwa kwake

    • @AllyHamisi-c7j
      @AllyHamisi-c7j 3 місяці тому

      Hujamuelewa alivyo ongea na alicho kimaanisha ahmedi,msikilize vizuri.

    • @mussakarata6650
      @mussakarata6650 3 місяці тому

      Mbn kaongea vizur kabsaaa na katoa mfano usio na haja ya swali Wala comment

    • @buruhanusongoro7535
      @buruhanusongoro7535 3 місяці тому

      Hapo alichokosea ni kuwa alitakiwa kusema "aliyekuwa akimuabudu Muhammad (s.a.w), Muhammad amekufa na aliyekuwa akimuabudu Allah(s.w), Allah yupo na hafi milele kwa maana anayepaswa kuabudiwa kwa haki ni Allah pekee. Na msemo huu ulitolewa na Swahaba Abubakar(a.s) baada ya Mtume kufa na baadhi ya maswahaba wakitaka kukataa taarifa hiyo ya kifo.
      Hivyo mfano wa Chama hauingii hapo hata kidogo, chama ni mdogo mno na hajulikani na wengi pia hajafa

    • @ZachariaMalugu
      @ZachariaMalugu 3 місяці тому

      Ww kumbe ni chizi chama ni nani ww au chama na Simba Nan mkubwa usiishi kwa kukalili muache akatfte masilahi yake hata kama ungekuwa ww

  • @AthumaniKiyaka
    @AthumaniKiyaka 3 місяці тому

    Asei amedi aliy unajuwa kuongea we kwali mashine

  • @DeodathChinyamba
    @DeodathChinyamba 3 місяці тому

    Nina imani na Simba yangu na sikuwa na imani kwa chama peke yake

  • @AbdullahChuma
    @AbdullahChuma 3 місяці тому

    Mue mnaelewa ni mfano katoa wa kidini kujenga hoja yake

  • @HgguHhij
    @HgguHhij 3 місяці тому +1

    😂😂😂kaaaaa emmanuelmayunga 1518 nimecheka mbaka basi chama anakomwe kama kipaa kwakweli mwamba tunampenda tusijidanganye inatuumasema kujibalaguza

  • @TheobardMtakyara
    @TheobardMtakyara 3 місяці тому

    Semaji uko sahihi kwani wao mayere je

  • @kulwahemedi1110
    @kulwahemedi1110 3 місяці тому

    Dah uyu hanamfano hapa bongo apewe maua yake

  • @AbdullahChuma
    @AbdullahChuma 3 місяці тому

    Kuweni makini yule mungine ni oya oya

  • @DeodathChinyamba
    @DeodathChinyamba 3 місяці тому

    Timu isiishi kwa kumtegemea mtu. Simba itakuwa bora tu hata bila chama

  • @MuhibuHaji
    @MuhibuHaji 3 місяці тому

    Kwele ndokwanzaleo umeongea p

  • @UbapaMchoroa
    @UbapaMchoroa 3 місяці тому

    Eilm ipo semaji ujawai kukosea

  • @IssaSeleman-b2t
    @IssaSeleman-b2t 3 місяці тому

    Msemaji mwenye akili timamu

  • @IddMMhina
    @IddMMhina 3 місяці тому +2

    Chama anaumuhimu wake Simba tumepoteza mtu sana..hata tusemeje lkn tumechemka.

    • @makejamaduhu7618
      @makejamaduhu7618 3 місяці тому

      Watu wanajifariji tuunila ukweli umesema na akitupiga TU hata goli Moja ndo tutakapoumia yaani wewe acha tuu. Sisi tuwabebea kichwa wao morson lakini wao wamepiga pakubwa

    • @andekisyenasibu312
      @andekisyenasibu312 3 місяці тому

      Chama ameisaidia nn ssc tangia arudi kutoka Rs Bekane? Mfate

    • @abiaslaurian9331
      @abiaslaurian9331 3 місяці тому

      Football ni biashara hizi mambo ni kawaida tu hakuna pengo wala mwanya

    • @somonmumba9577
      @somonmumba9577 3 місяці тому

      Maisha yanawezekana bila chama ndugu wacha kuishi kwa kukariri

    • @shaabanmaziku9045
      @shaabanmaziku9045 3 місяці тому

      Sema umepoteza sio tumepoteza.. kama vopi hameni nae

  • @BabamankerPresenter
    @BabamankerPresenter 3 місяці тому

    Nakukubali semaji la caf

  • @Hbboban
    @Hbboban 3 місяці тому +1

    Kumlilia chama tu kumlipa aaah😂😂

  • @suleimansalum4049
    @suleimansalum4049 3 місяці тому

    Huna lolote wewe mbona ulipokua misri ulimtafuta mayele na kuongea nae kwani yule alikua mchezaji wenu.....?????
    Inawauma..

  • @johnurassa3209
    @johnurassa3209 3 місяці тому

    Acha siasa mpira ni sayansi vunja mikataba mliowaleta kwa pacent zenu hatumtaki Jobe ,onana,abubakarsir,,Fred,kanute,

  • @AllyHamisi-c7j
    @AllyHamisi-c7j 3 місяці тому

    Hakika mwaka huu ligi ni ngum,simba fanyeni usajili kweli maana bila upendeleo yanga iko vizuri,kwa safu yao,ukiangalia Aziz k,pakome,chama,gwede,mzize,max,chama,hakika inatisha,sasa pamoja na kuleta dam changa lakini kama tutataka turudi kwenye ufalume wetu lazima kutafuta wachezaji wenye uzoefu na wenye uwezo wa hali ya juu,kwa hyo nilazima ufanyike usajili wa gharama.

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 3 місяці тому

    Kaondoka medi kageree

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 3 місяці тому

    Jobe hatumu taki eende

  • @KakeSimba
    @KakeSimba 3 місяці тому

    Simba nguvu 1 chama ndonani

  • @richardmwaibula1582
    @richardmwaibula1582 3 місяці тому

    SIZITAKI MBIVU HIZI.

  • @SalumAbdallah-u8t
    @SalumAbdallah-u8t 3 місяці тому

    Acha kufuru wewe

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 3 місяці тому

    Timu kubwa sikuzote lkitaka mchezaji sehemu yyte anachukiliwa tu unasemaje??

  • @tobadinamhegele8055
    @tobadinamhegele8055 3 місяці тому +1

    Inauma lakini mtasahau kama Sisi tulivyoumia kuhusu mayele, lakini ilifika mda tulikubali na kuelewa kua timu Ni kubwa kuliko mchezaji ..mjipe mda mtasahau tu

    • @KakeSimba
      @KakeSimba 3 місяці тому

      Nikweli mtani Hilo neno

  • @abubakarishariff8489
    @abubakarishariff8489 3 місяці тому

    Kama jobe yupo Simba Amna kitu kwasasa wala sipati tabu yakushaingilia timu yetu ya wababaishaji

  • @aishakamota6012
    @aishakamota6012 3 місяці тому

    Wapo zaidi ya Chama Chama aliikuta Simba na ametoka atakuja mwingine atatoka mwingine tena atatoka kikubwa umakini kwenye usajiri ili kumsahau aliyepita unahitajika hatutaki kubahatisha usajiri huu

  • @yajuxFinaliste
    @yajuxFinaliste 3 місяці тому +5

    Mbona sauti Dongo .nipe like zangu kwaza ,🇨🇩🇨🇩

  • @ElizabethSararajeck
    @ElizabethSararajeck 3 місяці тому

    Simba nguv 1 Simba nikubwa kuliko chama acha aende zake mbn Simba ijayo inafurahisha

  • @MashakaMaduhu
    @MashakaMaduhu 3 місяці тому +1

    Hamna. Noma. Shehe❤😂😢😮😂❤

  • @wambulamatale-ch5wj
    @wambulamatale-ch5wj 3 місяці тому

    Kiukwel mm binafsi chama kaniuma kwenda yanga Bora angeenda Azam au biashala au nje ya nchi kulko yanga dah yaan naskitika kama vile kaaga dunia😂😂😂😂😢😅

  • @lusajomwakajoka4955
    @lusajomwakajoka4955 3 місяці тому

    Mimi nilisema simba ilitufke sehem nzur lazima cham aondoke amezeeka mguu mbovu kama majinjah aseeee anakimbia kama kilema na wakati n mzima

  • @YohanaMadaha-y8l
    @YohanaMadaha-y8l 3 місяці тому

    Sahivi unajishauaa tu ! Jana ulisemaje weeeee ! Hahahaha 🤣🤣 kolozidaaadi nyiee 🤣🤣

  • @Kim19onlinetv
    @Kim19onlinetv 3 місяці тому

    Sasa kakosea nin kwa kunukuu kauli ya saydina Abuu bakar sema yey kakosea sentence isimayo aliye kua anamubudu Allah Allah yu hai

  • @KarimMatua-u1d
    @KarimMatua-u1d 3 місяці тому +2

    Iila harmonize

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 3 місяці тому

    Chama ni binadam km wengine ,, hta asingetoka ipo siku angestaaf,,

  • @JosephCharles-b8b
    @JosephCharles-b8b 3 місяці тому

    Yani mnamwachia chama kwenda kwa yanga mmenifanya nikumbuke zile gori 5 kila mda

  • @FadhirHemedy
    @FadhirHemedy 3 місяці тому

    Wale ambao walitoa ahadi tunaomba itekelezwe jamaniiiiiii!!

  • @stellaassaa7141
    @stellaassaa7141 3 місяці тому +1

    bila kuficha nimeumia sana na nadhani wapenzi wangu wameumia kama mm, lakini mwache aende japo tulimpenda sana, viongozi wanapaswa kulaumiwa kushindwa kumbakiza chama. yawezekana chama alichoka na kero za uongozi labda.
    lakini angalizo kwa chama wachezaji waliokuwa vipenzi vya timu hz 2 ukuhamia upande wa 2 mafanikio huwa kidogo. but tumtakie kila la heri huko mbele ya safari.YAKIMSHINDA TUMWAMBIE ARUDI SIMBA NI KWAKE

  • @CatherineJohn-co7lw
    @CatherineJohn-co7lw 3 місяці тому

    Huyo nae ana usimarti gani sasa au hunataka kitulazimisha tucheke😮😮😮

  • @EstherMagan-v1i
    @EstherMagan-v1i 3 місяці тому

    Tulimpenda lakini kaamua kuondoka imetosha tutafute mubadala wa kutuvusha

  • @EmmanueljalamoEmmanuel
    @EmmanueljalamoEmmanuel 2 місяці тому

    Kwel

  • @skullboy_karimh
    @skullboy_karimh 3 місяці тому +2

    Kwenye jina langu ongeza chama jr hapn mbelen🎉🎉🎉 I love you yanga 💚💛💚💛💚

  • @HancDeking
    @HancDeking 3 місяці тому

    Aende Simba ni kubwa kuliko yeye so
    Always simba❤

  • @NerriaGeorge
    @NerriaGeorge 3 місяці тому +1

    For real it's more pain Chama to go to Nyuma mwiko 😢😢but any way let us to forgot him

  • @roberttagaya9098
    @roberttagaya9098 3 місяці тому

    Ila Ahmedally bana. Eti mashine ya kuongea😂😂

  • @drallan6879
    @drallan6879 3 місяці тому

    we have failed greatly Ahmed;no chama the gap is obvious;bad enough :wale uliwaita Madeni Fc wametupiga mchana peupe

  • @alikokayange1089
    @alikokayange1089 3 місяці тому +2

    Ni kweli Kama anayempenda chama kuliko Simba ssc,amfuate Aliko hamia.

  • @mirajidrissa9139
    @mirajidrissa9139 3 місяці тому

    Ameingia kwenye kumi na nane ya watu😂😂😂😂

  • @SalminiMussa
    @SalminiMussa 3 місяці тому +1

    Hakika simba kubwa kuliko chama

  • @CatherineJohn-co7lw
    @CatherineJohn-co7lw 3 місяці тому

    Huyo nae ana usimarti gani sasa au hunataka kitulazimisha tucheke😮😮😮

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 3 місяці тому

    Unahojiwa unawaza kula Daah hili kenge kweli li Amed ally

  • @allykagawa
    @allykagawa 3 місяці тому +1

    Ila huyu jamaaa 🙌🙌

  • @erickmsigomba5340
    @erickmsigomba5340 3 місяці тому

    Aende tu akahongwe vizuri

  • @KaifaAlly-f4q
    @KaifaAlly-f4q 3 місяці тому

    Msimu ujao Simba itashika nafasi ya tano

  • @MerryGaspa
    @MerryGaspa 3 місяці тому

    Ongera sana semaji lakafu ❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @MohamedMustafa-id5gr
    @MohamedMustafa-id5gr 3 місяці тому

    Pa omar jobe bado yupo sana simba 😂😂😂 dah' simba yangu

  • @Itselars77
    @Itselars77 3 місяці тому

    Semaji kafurah chama kwenda yanga😂😂😊

  • @ibrahmenard
    @ibrahmenard 3 місяці тому

    nasibuu vipiii punguza mziki bhanaa😂😂😂😂

  • @elimbotoraphael3940
    @elimbotoraphael3940 3 місяці тому

    Ishu ipo wazi..chama kwenda Yanga ndiyo inayosumbua.not otherwise

  • @RamadaniThabiti
    @RamadaniThabiti 3 місяці тому

    Muache aende kama ameamua kwenda .

  • @locksterabdon
    @locksterabdon 3 місяці тому

    kabisa

  • @MagaliAmani
    @MagaliAmani 3 місяці тому

    Chama siokitu acha aondoke

  • @amanifadhi
    @amanifadhi 3 місяці тому

    Huyujama anaakilikubwa

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 3 місяці тому

    Daa CHAMA NI KAMA MTUME MOHAMAD

  • @Aisha-h1t4e
    @Aisha-h1t4e 3 місяці тому +2

    Semaji Leo umeongea vzr San kwasababu yey ni Nani kwenye simba tuaze maisha mpy

    • @DidahsMisana
      @DidahsMisana 3 місяці тому +1

      Yyy

    • @Aisha-h1t4e
      @Aisha-h1t4e 3 місяці тому

      @@DidahsMisana wangemuacha saidoo wamutoe Chama mim nimeumia na said huyo Cham aende 2 teen namtakia safari njeem

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 3 місяці тому

    Chama ndio kaamua kuondoka simba kuanzia viongoz, mashabiki na simba woote; hawakutaka kabisa chama aondoke kafuata mpunga mnene lkn wasijipe moyo wameumia sanaaaaa

  • @neemadaniel3173
    @neemadaniel3173 3 місяці тому

    Kila la kheriii kwake

  • @hasanimohamedi279
    @hasanimohamedi279 3 місяці тому +1

    maskin umekuw mpoleee😂😂

  • @Shedrackh
    @Shedrackh 3 місяці тому

    Simba nguvu moja

  • @RajabYussuf-m2m
    @RajabYussuf-m2m 3 місяці тому

    Mbape yupo free..

  • @AbrahmanSaid-v1k
    @AbrahmanSaid-v1k 3 місяці тому

    Jmn Nasibuuuuuu😂😂😂

  • @hasanimohamedi279
    @hasanimohamedi279 3 місяці тому

    😂😂😂😂mbn sion bwebwee😂😂😂😂