Mke wa Alikiba amjibu hivi Diamond baada ya kusema amewahi Kutembea Nae/Amfananisha na Mnyama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Mke wa Staa wa Muziki @officialalikiba , @aileenalora ameamua kuvunja ukimya juu ya kauli ya Staa wa Muziki @diamondplatnumz alioitoa na kumuhusisha kuwa habari za yeye na #Amina #Alikiba anazijua kauli ambayo wengi wameitafsiri kama #Diamond aliwahi kutoka kimapenzi na #Amina.
    .
    Kupitia insta story yake ameweka ujumbe akisema jambo ilo ni la kipuuzi huku akilaani vikali mtu kumkosea heshima Mwanamke bila heshima na kuonesha kushindwa kutofautisha Mwaname na mnyama.
    ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram www.instagram....
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------

КОМЕНТАРІ • 4