Yanga SC 1-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League - 08/05/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024
  • Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar.
    Imeshinda goli 1-0 na goli limefungwa na Mudathir Yahya akipokea pasi kutoka kwa Stephane Aziz Ki

КОМЕНТАРІ • 158

  • @fargakoigip6029
    @fargakoigip6029 4 місяці тому +7

    AZAM wamedhihirisha vita yao dhidi ya YANGA hata kuonyesha goli la YANGA hawataki kweli Azam wanachuki na yanga, YANGA inapambana na Marefa ,TFF Azam TV, Azam FC na Simba duh!,

  • @Tg.7_7
    @Tg.7_7 4 місяці тому +3

    Highlight ya Kiwaki sana hii! Acheni kuonyesha basi kabisa mechi za Yanga😊

  • @ErickJeremiah-ry4pw
    @ErickJeremiah-ry4pw 4 місяці тому +32

    Azam nyie amna tofauti na muamzi wa Leo, sasa inamaana gani ya highlights na goli lililofungwa atuajaona lilivoingia ?

    • @Vichris2237
      @Vichris2237 4 місяці тому

      Wametoa highlits mbili nyingine washatoa fatilia chin utaona

    • @Khmy54
      @Khmy54 4 місяці тому +3

      ​@@Vichris2237highlits mbili sawa hii ndefu ilobeba matukio mazima ya mechi na goli likiwepo, mbona hawakulionesha?? Mnafeli padogo AZAM 😢

    • @mwapachukikombe2083
      @mwapachukikombe2083 4 місяці тому +2

      Wazinguaji sana ao

    • @angolina1768
      @angolina1768 4 місяці тому

      Ajabu kweli

  • @Obertan_coolkid-04_
    @Obertan_coolkid-04_ 4 місяці тому +3

    Ya guede sio offside kabisaaaaaaa....kanyimwa goli mwamba.....gamond ana haki ya kupaniki inakera

  • @EmmanuelKishiwa
    @EmmanuelKishiwa 4 місяці тому +1

    Asipofunga AZIZ KI STEPHANIE BADO pia muda ankooo wa simu Leo ataipata simu yake iloibwa🎉🎉

  • @suleymanisalum2361
    @suleymanisalum2361 4 місяці тому +3

    Wajitokeze wazamini wengine waonyeshe ligi kuu azam HAPANA HATUWATAKIII WABINAFSI

  • @emanueliotto8248
    @emanueliotto8248 4 місяці тому +2

    Leo Yanga imecheza timu 4 na Kagera, Azam Tv, Waamuzi na TFF.

  • @CostaNowa
    @CostaNowa 4 місяці тому +1

    Hivi nini maan ya highlights halafu goli halionyeshwi

  • @ReachOut3004
    @ReachOut3004 4 місяці тому +2

    Historia imeandikwaaaa highlights ya kwanza duniani kutokuonyesha the only goal in a big competition 😂😂

  • @SalumMsafiri20
    @SalumMsafiri20 4 місяці тому +3

    Nini maana ya highlights,inamaana goli lilifungwa sio tukio muhimu kwenye mchezo. Kunapoelekea kila team hiwe na tv yake,azam tumewachoka.

  • @JosiahPeter-kp9nl
    @JosiahPeter-kp9nl 4 місяці тому +5

    Mmekuwa wapuuz nyie Azam vp hata goli halionekan

  • @titojb4703
    @titojb4703 4 місяці тому

    Video sio nzuri goli lenyewe halionekani lilipatikanaje!

  • @selemanmussa3459
    @selemanmussa3459 4 місяці тому

    Congratulations to our lads, it was a tough game but it counts as usual. Keep the energy, we have unfinished business with Azam...We want to make them regret!

  • @tabithakitundu8736
    @tabithakitundu8736 4 місяці тому +2

    Highlights gani goli halijaoneshwa sasa

  • @ezekielalfred763
    @ezekielalfred763 4 місяці тому +1

    Sasa Hilo Gori kwenye ubao hapo mbona hatujaliona likifungwa.... Au na ninyi huwa mnapitiwaa📌

  • @edwinmborrow8056
    @edwinmborrow8056 4 місяці тому +1

    Ila TFF na waamuzi wenu hawa nawahakikishia kunasiku litawakuta jambo na mtakosa wakumlilia...2 goli na hakuna of side.??kweli hazi ipo...

  • @AnnetArnold-lk9ni
    @AnnetArnold-lk9ni 4 місяці тому +1

    Azam mmeanza mambo ya hovyo Sasa itakua mnatuonesha ujinga kama Goli amnjaonesha siwezi Tena nkafungua Azam upande wa utube🏃🏃🏃

  • @eddyrich.3312
    @eddyrich.3312 4 місяці тому +1

    Azam mnatuonea wivu Yanga na mnamuonea wivu Mudadhir, mtambo wa magoli, mmeficha goli la kwanza.

  • @habibukilango7738
    @habibukilango7738 4 місяці тому +1

    Hivi hii mechi iliisha bila kufungana...!? Maana sijaona goal lolote....Azam mnaliwa jitathminini

  • @KHassan-nk4km
    @KHassan-nk4km 4 місяці тому +2

    mbna goli hatujaona shds nin ety

  • @zayed8645
    @zayed8645 4 місяці тому +1

    Oya Azam acheni usenge kwani sisi tunataka kuangalia kosa kosa kenge nyinyi mnakela marusharusha sana Bado goli na mnalirusha

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 4 місяці тому

    Akuna kitu cha nyongeza ni alhamdulillah tu mengine tunamwachia Mungu

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 4 місяці тому

    Allaah Akbar

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 4 місяці тому

    Goal la mudathil halijawekwa kumanina zenu🙌

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 4 місяці тому

    Mpira Gamondi-algentina ❤️

  • @ndelechetv3362
    @ndelechetv3362 4 місяці тому

    highlight si nzur goli la kwanza vip wamepeana ?

  • @KwizeraEppa-bw7gh
    @KwizeraEppa-bw7gh 4 місяці тому +3

    Mie Niko mnyarwanda rakini hiii yanga hifungwe ao bs igawe mutwambie siye banyarwanda

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw 4 місяці тому

      Ok poa banyarwanda tunawapenda

    • @KwizeraEppa-bw7gh
      @KwizeraEppa-bw7gh 4 місяці тому

      @@GeradinaJohn-xh8pw asanteni sana na siye pia tunawapenda wa Tz kwa ujumala

    • @DhulkifliMkiji
      @DhulkifliMkiji 4 місяці тому

      Fresh banyarwanda nimeelewa maneno mawili tu

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw 4 місяці тому

      @@DhulkifliMkiji 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Pantera16-ft5jj
    @Pantera16-ft5jj 4 місяці тому +1

    😂😂😂sehemu ya goli imekatwa

  • @yussufkhamis5909
    @yussufkhamis5909 4 місяці тому +1

    Wasenge essences

  • @trice_yanga
    @trice_yanga 4 місяці тому +2

    mayele tv katika ubora wenu mbwa nyie futeni highlights yote haina maana yyte kwahyo mechi iliisha bila kufungana??

  • @deogratiusjoachim5526
    @deogratiusjoachim5526 4 місяці тому

    Mbona goli lililopatikana halionekani limefungwaje? Azam nanyi mnakuwaje?

  • @mohamedmagongo9348
    @mohamedmagongo9348 4 місяці тому +1

    Inakuwaje offside wakati kabla Guede hajauwahi ule mpira uliyorudi kutoka golini rebound tayari mshika kibendera alishakuwa mbele ya Guede baada ya Guede kufunga goli ndiyo yule kibendera anaonekana kurudi nyuma na kunyoosha kibendera chake juu kuashiria ni offside! Sasa kama Guede alikuwa ni offside kwanini hasionyoosha kibendera pale pale aliposimama mara ya kwanza?!!

    • @Nzota50ty
      @Nzota50ty 4 місяці тому

      Waamuzi wetu ni majnga

  • @JeniphaRobert
    @JeniphaRobert 4 місяці тому +1

    Kipa alivyoingia kwenye nyavu 😂😂

  • @erastosanga1694
    @erastosanga1694 4 місяці тому

    Jifunze kuweka highlights pamoja na goli

  • @DadysBoy.
    @DadysBoy. 4 місяці тому +1

    highlight haina goal sijawai ona.

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 4 місяці тому

    Kipa wa kagera sugar yumo sana.

  • @jonasikigodi7345
    @jonasikigodi7345 4 місяці тому

    Inamaana goli halipo kwenye highlight?????????

  • @jailosibrahim88
    @jailosibrahim88 4 місяці тому +2

    Naona matukio ya wamzi kukataa magol halali yamezidi kuongezeka hivi kalibuni

  • @simonlukiko2850
    @simonlukiko2850 4 місяці тому +1

    YANI SIJAONA HUDUMA YA UDHAMINI YA KIPUUZI KAMA YA HAWA JAMAA INATAKIWA IJE KAMPUNI KULETA USHINDA NI AZAM WANAZNGUA

  • @rajuphotographer2102
    @rajuphotographer2102 4 місяці тому

    Goli lmefungwa na nan sasa ntakuwa siangalii tena highlight zenu tenaa😢

  • @aliykizizy
    @aliykizizy 4 місяці тому +1

    kafungwa mtibwa ila walio umia cyo kolo tu mpk hawa wauza icream 😁😁

  • @deusnyengo9324
    @deusnyengo9324 4 місяці тому

    MB zangu zimeenda bure kwakua target yangu ilikua ni kuona Goal

  • @emmymgonto4110
    @emmymgonto4110 4 місяці тому

    Azamu hawataki kuona mudhathir akiwapigia cm tena kwenye uwanja wao 😂😂😂

  • @Vichris2237
    @Vichris2237 4 місяці тому

    Waamuzi bhna. Sasa offside ya goli la gwede iko api?

  • @Obertan_coolkid-04_
    @Obertan_coolkid-04_ 4 місяці тому

    Azam vyote mmeonesha goli ni kitu Cha kutuficha jmn

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 4 місяці тому +1

    HAWA AZAM WATAKUJA KULETA MGOGORO MKUBWA SERIKALI WEKENI MTAJI KWENYE TV TUACHANE NA AZAM TV

  • @Vichris2237
    @Vichris2237 4 місяці тому +1

    KUMBE NIMEGUNDUA YANGA INA WAPINZANI WENGI. GOLI HALALI KAM HILO UNALIKATAAJE SASA

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 4 місяці тому +1

    Wekeni highlight ya kueleweka kwanza fupi sijui mkoje mbwa nyie

  • @cheafroby_tz
    @cheafroby_tz 4 місяці тому

    Yanga oyeeee..

  • @dulijr8963
    @dulijr8963 4 місяці тому

    Goli mbona halipo??

  • @mwajabukessy3491
    @mwajabukessy3491 4 місяці тому

    Nakodoa macho mpaka yanauma goli hakuna jamani acheni kubana,acheni chuki binafsi

  • @husseinkiswabi1709
    @husseinkiswabi1709 4 місяці тому

    Bola msinge weka highlights au? Kwakua kafunga muda

  • @RamadhaniMshana-gk6vm
    @RamadhaniMshana-gk6vm 4 місяці тому

    Azam acheni usenge, where is gool

  • @joshuachimwejo5892
    @joshuachimwejo5892 4 місяці тому

    Azam tunaomba mjitahidi mlete VAR na Goal line Tech. Hawa waamuzi wetu wanajificha sana kwenyw kichaka cha makosa ya kibinadamu.

  • @yassinchuwa8824
    @yassinchuwa8824 4 місяці тому

    Natamani DStv wapambanie waonyeshe hii ligi, maana naona kabisa kila mfanyakazi wa Azam tv anahujumu avyojuwa.

  • @dullahsaleh8507
    @dullahsaleh8507 4 місяці тому

    Nyie wasenge ni highlight gani hii mnashindwa kuonesha matukio muhimu, kama mikundu inawawasha si museme tu.

  • @DaudyMathayo
    @DaudyMathayo 4 місяці тому

    Azam vp mnakwama wp goli mbona haturioni jamani so haki😮😮😮😮😮😮😮

  • @balakasalim7735
    @balakasalim7735 4 місяці тому

    Goli haliinekani kuingia mbona

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 4 місяці тому

    Angalieni mwamuzi wa Leo kati ya Simba na azm Kuna vituko vikubwa.mwishini mwa ligi yetu waamuzi wanapewa maelekezo kama sio basi wachunguzwe

  • @Zainabkhamis-d2s
    @Zainabkhamis-d2s 4 місяці тому

    Ndo nini sasa Gamond anafanya jamani 😢

  • @LatifaNachia
    @LatifaNachia 4 місяці тому

    Kwani nn jmn ilo goli letu cjaliona hapa

  • @RoseDaudi-is1iw
    @RoseDaudi-is1iw 4 місяці тому

    Mbwa nyie sasa goli lililofungwa nmeonyesha wapi

  • @josephattindi9333
    @josephattindi9333 4 місяці тому +1

    kocha anapambana mpaka inafika pahali anataka ata kurusha ngumi hlf kuna pimbi mmoja atasema yanga wananunua mechi

  • @omarabdallah3883
    @omarabdallah3883 4 місяці тому

    Highlights hii haina maana yoyote

  • @fredytv8177
    @fredytv8177 4 місяці тому +1

    Mmeniharibia MB zangu...washenzi nyie

  • @BraysonLaizer-d3h
    @BraysonLaizer-d3h 4 місяці тому

    Azam azam Azam mnashidaa Gani 😢😢

  • @DhulkifliMkiji
    @DhulkifliMkiji 4 місяці тому

    Kwani hawa waamuzi huwa wanaokotwa wapi

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 4 місяці тому

    Pamoja Na yang a kufanyiwa Gigisu kwa

  • @LiisaMaisha-is1hi
    @LiisaMaisha-is1hi 4 місяці тому

    Yanga.vs.yanga oyee

  • @nasriboe8974
    @nasriboe8974 4 місяці тому

    Mnaliwa na manyani😮

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 4 місяці тому

    Huyu kocha ua anakaza sana.

  • @azorynyenza
    @azorynyenza 4 місяці тому

    sijawahi kuuna msaidizi mwehu kama huyu, hajui kutafsiri offside

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 4 місяці тому

    Marefa na malinseman wanajaribu kuizuia Yanga lakini wapi sasa Yanga ikishatangaza ubingwa utashangaa vitendo walivyokuwa wanaifanyia Yanga vitayeyuka. Hii inaashiria walikuwa wanafanya hivyo makusudi ili Yanga isifanikiwe na kama mbinu ya kutaka kupata kitu.

  • @Nyakamwe
    @Nyakamwe 4 місяці тому

    Mbona goli hamuweki

  • @NehemaRehema-g3t
    @NehemaRehema-g3t 4 місяці тому

    Mimi natoka kagera rakini watoto wasituchezee wache yanga iitwe yanga

  • @Vichris2237
    @Vichris2237 4 місяці тому

    Mbona goli la gwede lipo clear there was no offside

  • @MuhungaMasengo-og3vk
    @MuhungaMasengo-og3vk 4 місяці тому

    Video mmehonesha vipande 2 weka saliyo

  • @Mubablack2309
    @Mubablack2309 4 місяці тому +1

    Waaamuzi wa mchongo hao

  • @BarakahRiziki
    @BarakahRiziki 4 місяці тому +1

    Goli liko wap

  • @azizasoli
    @azizasoli 4 місяці тому

    Hta kama hamjaonyesha gor, yanga daima mbele nyuma mwiko na ndo mtaishia shirikisho tuu labda hao simba wawaachieni point

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 4 місяці тому

    Azam tv wasengeee San 😂😂😂😂😂 goliiii halipoo kumanina zenuuuu

  • @one2tell508
    @one2tell508 4 місяці тому

    Highlights haina goli, kweli wahandishi hawana d mbili

  • @officialsharosharo3062
    @officialsharosharo3062 4 місяці тому

    Azam niwapuuzi sana

  • @EvaristJosiah
    @EvaristJosiah 4 місяці тому

    Nyie wasenge kweli azam

  • @chacha-255
    @chacha-255 4 місяці тому

    Kwanini hamjaweka goli ?? Azam media mnaonesha wazi kabisa mna chuki na Yanga,

  • @MITOBO
    @MITOBO 4 місяці тому

    Mnachelewa saana

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 4 місяці тому

    Wasenge Hawa Bora hata wachukuen
    Dst tu

  • @ibrahimmzito390
    @ibrahimmzito390 4 місяці тому

    yani tukio la muhimu la gori halikuonyeshwa hahaha yani mnachuki nyie azam duuu

  • @mariamshibanda3358
    @mariamshibanda3358 4 місяці тому

    Uyu mzee nidham haba🤣

  • @jessicaanania6326
    @jessicaanania6326 4 місяці тому

    Mnazingua bas ifuteni mnaeka ya nn

  • @HalidMuhammad-gi9qy
    @HalidMuhammad-gi9qy 4 місяці тому

    Yanga inajimudu kwa hivyo azam sio lazima kurusha mechi za yanga.rusheni za simba na zenu.

  • @b.warron4631
    @b.warron4631 4 місяці тому

    Nyiee Azam makengeee Sana kwanini amjaonyesha goal

  • @neosanga1158
    @neosanga1158 4 місяці тому

    Umeshatuona sisi vibwengo wasenge hawa

  • @chembejohn9605
    @chembejohn9605 4 місяці тому +1

    Mtaan atakufa kw haw jamaaah

  • @yassinchuwa8824
    @yassinchuwa8824 4 місяці тому

    Wamekula chuma pamoja na waamuzi wao

  • @RashidyNangungwa
    @RashidyNangungwa 4 місяці тому

    Jamani sio Azam ni awa walio chukua izi krp ndo wamezingua

  • @JosephAntony-ec7vs
    @JosephAntony-ec7vs 4 місяці тому

    Kwan hilo gor vp mbona sielew apa azam mmepigaje apo? Mshaanza ubinafus eeh

  • @EdwinRutunda
    @EdwinRutunda 4 місяці тому

    Zamzam mnazengua sasa hii ndo nini

  • @user-yf2fn9gs1l
    @user-yf2fn9gs1l 4 місяці тому

    Mimi nimerudia Zaidi ya Tamara tatu sijaona goli

  • @yussufkhamis5909
    @yussufkhamis5909 4 місяці тому

    Azam mnafeli sana San sikuizi