🔴LIVE: KMKMAKUBURI NDANI YA TAMASHA LA YESU NI MWEMA (TYM-11)
Вставка
- Опубліковано 11 лис 2023
- Welcome to KMKMAKUBURI,
You can support evangelism through
⭐MPESA TILL NUMBER🇰🇪: 9948385
NAME: EVELYN JEPKEMEI
⭐MPESA LIPA NAMBA 🇹🇿: 5425652
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐MPESA 🇹🇿: +255742000089
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐Bank Name: Kenya Commercial Bank (KCB)
A/C No: 3390899162
Name: KWAYA MT. KIZITO - MAKUBURI
Branch: OYSTERBAY -Dar es Salaam, Tanzania
Swift code: KCBLTZTZ
You're warmly welcome
tunawapata vema kabisa tokea nairobi kenya
Mwenyezi Mungu awalinde na kuwabariki kila itwapo leo
KMK Makuburi wako makini sana... sijui wanafanya mazoezi wakati gani. Nawaombea wasije kupata kiburi katika utume huu wa uimbaji
Hakiyamungu natamani kuimba nikiwa nanyi nawapenda sana ❤
kazi zuri. mmebariki wengi nanyi pia barikiweni
The intro was dope
Kazi nzuri sana na yenye kumependeza Mungu...muendelee kutumika vyema kwa kanisa mama mpaka mbingu...one love from LIMA-PERÚ
Nikiskiliza kutoka Mombasa Kenya mpo vizuri
I am getting you well My heart is enjoying here in France
Nawakubali sana nyie watu❤❤❤ from Tanga
Kweli Mungu ametukukaaaaa❤❤❤❤
Yesu ni mwema kweli kweli 🙏🙏🙏🙏
Nairobi twawapenda
Malaika wataimba tu 🎉🎉❤❤
This is amazing may God bless you 🎉 🇰🇪
Tunawapata from Bujumbura
Tunawaenzi sana tukiwa Nairobi
Barikiwa sana
Tamasha zuri sana, Mungu azidi kuwabaliki
Fireeee🔥🤣💪🥰