Mungu akubariki, na kukulinda Mtumishi wa bwana, Hakika mwenye kusikia na asikie, mwenye kuelewa na aelewe. Madalali wa neno la mungu ni wengi makanisani. Waumini wametekwa kifikra. Asante sana Mtumishi Kwa ujasir na kukemea mawakala wa kuzimu. Laiti taifa letu lingewapata akina Paschal 20 jasir wa kukemea uovu huu.
Only few who believe in the true gospel and trust the word of God can understand the servant of God is talking about or insisting in preaching even through singing.
wallah😭😭😭😭 🛐🛐🛐🛐huwa nahisi kukusikia,l ujumbe wako, pia huwa nahisi kuelewa, sasa kuanzia leo nimekuelewa Pascal Please hapa daa kanisa rako wapi? barikiwa sana mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen 🙌 Mungu atusaidie nyakati hizi ambazo watu Wana penda kumpokea Bwana ila wakienda kanisani wanakutana na pokea gari na mafuta badala ya Bwana yesu
Blessed much mtumishi wa kristo Pascal Cassian kwakweli shujaa wa msalaba azidi kukuinua ktk viwango vya juu kwenye utumishi aliokuitia!damu ya Yesu ikufunike ikutetee sana!
Surely you are the Nehemiah of our generation. Toboa yote bro.Sanity must come back to churches of today. Be blessed n covered with the precious blood of Jesus Christ of Nazareth.Noel from Uganda
Mungu akubariki na azidi kupa maono kwa ajali ya kueneza injili mambo unayosema ni ukweli lakini binadamu hawaoni,kazi nzuri pascal you atrue christian and you stand out because of the truth.
Barikiwa sana mtu wa Mungu ila nijuulize ulikuweko kwenye tamasha la watu wamataifa na waumini? Na yale yaloyo tokea kama wewe mtumishi unaambia watu nini? Pole sana iwapo nitakua nimekukwaza
ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Paschal cassian unasema ukweli kabisa tuna kuhombea sana tu kupitia mahubiri yako nabadilika huu wimbo una nifariji sana tu amen 🙏🙏
Usiogope Mungu amekuchagua kuletachachu ndaniyawale waihubirioinjili yakweli,vitayote ni vya bwana juu maisha yako,simama na BwanaYesu wewe ni chombo kiteule
Asante sana mtumishi wa Mungu, Paschal Cassian kwa mahubiri yako yenye ukweli halisi. Ingawaje vita unavyo kumbana navyo, Mungu wetu atakushindia. Barikiwa sana Baba yangu !
Nakupenda sana kutoka kenya, napenda unavyo sema ukweli na penda na nyimbo zako sana ila penye ulikosea ni hapo penye umeonyesha nika umetundikwa msalabani
Watching online from Nairobi Kenya....I always follow closely your teaching and I really love your spiritual, motivating true gospel with God's anointing and power. I pray to our Mighty God to intervene and fight all battles for you. May our Mighty God lift you higher and protect you and family 24/7
Pascal Cassian, You speak the truth Wanadamu wasikutatishe Moyo kwa Maneno Yao Usiseme Ukweli Let proceed to say the truth Ipo Thawabu Mungu Amekwisha Kuanda Kwa ajili ya watakatifu Wake...
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu, kizazi hiki kina kinakuhitaji. Nyimbo zako zina upako wakutosha ( high anoint ktk nyimbo zako. Nimebarikiwa kuzisikilize
Dunia imeisha jaman tumugeukie mungu wa kweli jaman tusifanye mioyo yetu kuwa migumu tutajuta natutengeneze njia zatu kuanzia leo na majira haya natubu yote mungu nitakase nakufuta ww mungu wa kweli
Aamen mwinjilist,... Ukweli kabisaa, wanadam tunakosa ufahamu ndo tunapotoshwa na hao wenye vituko wakitumia jina la mingu alie binguni, mungu azidi kufunika na damu yake mwinjilist, Amen 🙏🙏🙏
Watu saizi awataki kusikia lakin jaman siku ya mwisho watu wengi mtawalahani hao wachungaji wenu kwamba kwann mlikula sadaka zetu lakin amkutuambia ukweli kutokana na mateso ya jehanam moto unatisha na kinacho sikitisha asa ni kwamba moto wa jehanam hauzoeleki kila siku utakuwa unaongeza makali ndgu zangu usalama ni kumpokea yesu kwel kwel ubalikiwe pascal kwa kujitoa
Roho yangu inaugua Sana kuona kundi kubwa la watu ambao YESU KRISTO amekufa kwa ajili yao linaenda motoni,macho yao yamepofushwa hata wasiuone ukweli, nimeonyeshwa hili lango la rehema karibu litafungwa.
Mungu akulinde siku zote ntumishi, asante
NYIMBO HIZI ZINANIJENGA SANA KAKA PASCHAL, UBARIKIWE NDUGU YANGU🎉❤ 2:02
Amina kubwa.🙏👌🙌 Ujumbe mzuri sana kwa watumishi ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA ❤🙏👌🙌
I love this songs mungu akupe nguvu na hakili yakuwabia ukweli wanao alibu kazi ya Mungu.
Mungu akufiche kwa mbawa zake wakutafute maadui wasikuone
Mungu akubariki Sana kwa kusema kweli isiyopendwa na wengi walio jiingiza kwa Siri kuharibu uhuru wa Wana wa Mungu.
Ahsante sana mwimbaji wangu nyimbo zako zinanibariki sanaa kwa maisha ya Sasa na Dunia ya leo
Amen barikiwa na huu UJUMBE uwafikie hata wasio amini ili wamfate mungu WA kweli 👏👏
Aminaaa Mungu awafungue waelewe
Mungu mwenyezi akubariki sana mtumish kwa nyimbo zenye nguvu za mungu
😢😢😢😢Nalia baada ya kusikia hii
Acha watu muabudu Mungu wa kweli 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen ninapo sikiliza wimbo kama huu naguzwa saidi wacha mungu akupe hio neema edelea Niko Kenya barikiwa
Mungu akubariki, na kukulinda Mtumishi wa bwana,
Hakika mwenye kusikia na asikie, mwenye kuelewa na aelewe.
Madalali wa neno la mungu ni wengi makanisani.
Waumini wametekwa kifikra.
Asante sana Mtumishi Kwa ujasir na kukemea mawakala wa kuzimu.
Laiti taifa letu lingewapata akina Paschal 20 jasir wa kukemea uovu huu.
Barikiwa sana Mtumishi Kwa ujasiri ulionawo Kwa kuwaonya wahubiri.nakuombea Mungu azidi kukusitiri
Wenye macho ya Rohoni tu ndo watakuelewa 😭😭😭
Only few who believe in the true gospel and trust the word of God can understand the servant of God is talking about or insisting in preaching even through singing.
Mungu akubarki sana mtumishi.hata wakuchukie wewe endelea kutangaza injili ya mungu.
wallah😭😭😭😭 🛐🛐🛐🛐huwa nahisi kukusikia,l ujumbe wako, pia huwa nahisi kuelewa, sasa kuanzia leo nimekuelewa Pascal Please hapa daa kanisa rako wapi? barikiwa sana mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏🙏
amen mtumishi wa Mungi.unasema ukweli kbs.Mungu akubariki na akuinuee zaidi na zaidi kwa utukufu wake.sister pheny frpm mombasa
Asante mtumishi wa mungu Kwa mafunzo mazuri,mungu atusaidie tupone maana pekeetu hatuwezi
this message is so touching huo wimbo unapenya mpk rohoni kufanya aaze kutubu na mapema.
Amen 🙌 Mungu atusaidie nyakati hizi ambazo watu Wana penda kumpokea Bwana ila wakienda kanisani wanakutana na pokea gari na mafuta badala ya Bwana yesu
Mwenyezi Mungu atusaidie sana kumjua mtumishi wa kweli wa Mungu siyo rahis jaman!!!
Blessed much mtumishi wa kristo Pascal Cassian kwakweli shujaa wa msalaba azidi kukuinua ktk viwango vya juu kwenye utumishi aliokuitia!damu ya Yesu ikufunike ikutetee sana!
Surely you are the Nehemiah of our generation. Toboa yote bro.Sanity must come back to churches of today. Be blessed n covered with the precious blood of Jesus Christ of Nazareth.Noel from Uganda
Ahsante mtumishi wa mungu Paschal mungu akubariki maana unaifanya kazi ya mungu bila kumuogopa mtu
This is a good song that has strong massage, God bless you Cassian. Keep it up.
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu nitazidi kukuombea pia na watu waokoke.
Mungu akubariki na azidi kupa maono kwa ajali ya kueneza injili mambo unayosema ni ukweli lakini binadamu hawaoni,kazi nzuri pascal you atrue christian and you stand out because of the truth.
Barikiwa sana mtu wa Mungu ila nijuulize ulikuweko kwenye tamasha la watu wamataifa na waumini? Na yale yaloyo tokea kama wewe mtumishi unaambia watu nini? Pole sana iwapo nitakua nimekukwaza
ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Paschal cassian unasema ukweli kabisa tuna kuhombea sana tu kupitia mahubiri yako nabadilika huu wimbo una nifariji sana tu amen 🙏🙏
Ameen Mungu akubariki,MAISHA bila Mungu nuhatari sana
Usiogope Mungu amekuchagua kuletachachu ndaniyawale waihubirioinjili yakweli,vitayote ni vya bwana juu maisha yako,simama na BwanaYesu wewe ni chombo kiteule
Asante sana mtumishi wa Mungu, Paschal Cassian kwa mahubiri yako yenye ukweli halisi. Ingawaje vita unavyo kumbana navyo, Mungu wetu atakushindia. Barikiwa sana Baba yangu !
@@jeniphermyingajeniphermyin8029lll❤😊😢😊
@@christophezichichigohwa1916😊 tx SQ
Mungu aendelee kukutumie Amen amen na damu ya yesu ikufunike uiseme kweli ya mungu 🙏
Barikiwa sana mtumishi
Barikiwa sana mtumishi Mungu akulinde na maadui wote uzidi kutufungua macho na fahamu zetu
Nakupenda sana kutoka kenya, napenda unavyo sema ukweli na penda na nyimbo zako sana ila penye ulikosea ni hapo penye umeonyesha nika umetundikwa msalabani
Barikiwa sana mtumishiwa Mungu akuzidishe zaidiyakuwaandaa watu wa bwana wamajeshi barikiwa sana
Hongera sana MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU BWANA YESU akufiche katika enzi yake ili watu wafunguliwe kupitia wewe
Watching online from Nairobi Kenya....I always follow closely your teaching and I really love your spiritual, motivating true gospel with God's anointing and power. I pray to our Mighty God to intervene and fight all battles for you. May our Mighty God lift you higher and protect you and family 24/7
Mtumishi wa Mungu paschal Cassian unakipaji kizuri sana cha kuimba hakika MUNGU ni mwema yupo pamoja nawe...
Ámen Nipo South africa nyimbo zako zinanibariki sana 🙏🙏🙏🙏
Mungu akuongezee neema na akupe maisha marefu
Nimekupatq vizuri brother watu waambiwe ukweli AMEN AMEN 🙏
waachieni watu wamuabudu MUNGU WA KWELI be blessed mtumishi I like this aong
Ubarikiwe tulikuwatukisubilia wanaosema ukweli.Yesu aliuliwa kisa kusema ukweli😊
Pascal Cassian, You speak the truth Wanadamu
wasikutatishe Moyo kwa Maneno Yao Usiseme Ukweli
Let proceed to say the truth Ipo Thawabu Mungu Amekwisha Kuanda Kwa ajili ya watakatifu Wake...
Ubarikiwe kwa ujumbe mzito na wa kweli mtumishi wa Mungu
Mungu akutunze mtumishi,unasema kweli kabisaa
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu, kizazi hiki kina kinakuhitaji. Nyimbo zako zina upako wakutosha ( high anoint ktk nyimbo zako. Nimebarikiwa kuzisikilize
Nabarikiwa sana na nyimbo zako, Mungu wa mbinguni akutunze daima.
Mungu akufunike mtumishi.
Ubarikiwe sana your songs is so educating
Mungu akulinde na Asante kwa kutufunua macho
Bro nimekubali!!! Wambieni watu muda umwekwisha what atalent
Amen 🙏🙏🙏🙏 ukweli mungu asimamie kabisa maana watu wanapotea
Truth, powerful song. God have mercy upon the church of Jesus Christ
❤❤❤A nice song keep going up to the mark of calling. MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI.
Ubarikiwe sana Paschal god be with you long ever
Mungu akuinue tena, tena.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mungu akubariki mtumishi Kwa kutuambia ukweli kuhusu manabii wa uongo
Sema kweli mtumishi.mungu akubariki sana azidikukuinua mungu
Mungu wajaabu nilikuwa nakusikiliza Sana kwa ukweli wako nakuwa jasiri Cha ajabu ukajashinyanga Tena kwenye zehebu ninalosari kwa machimu
Barikiwa sana mtumishi wamungu Kwa ukeeli Benjamin kutoka kenya
Mungu akubaliki sanaa🗨🙏🏻
Napenda sn maneno yako mazr sn Mungu aliyokujalia 💪💪💪
Mtumishi wa Mungu Paschal unahubiri sana mpaka jasho linatoka watu hawaelewi na hawasikii kabsa wanaenda kwa manabii kwa sana duh Mungu awasaidie
Dunia imeisha jaman tumugeukie mungu wa kweli jaman tusifanye mioyo yetu kuwa migumu tutajuta natutengeneze njia zatu kuanzia leo na majira haya natubu yote mungu nitakase nakufuta ww mungu wa kweli
amen ubarikiwe na bwana kwa ujumbe mzuri
Bwana Yesu akusamehe
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU wa mbingun
Mungu azidi kukupa nguvu uzidikutupa nyimbo zakutuokoa kwakweli mtumishi unajuakuimba
Ujumbe mzuri sana mtumishi mungu azidi kukutunza mtumishi maana vita ni kali sana ata biblia inasema tume esabiwa kama kondoo wa kuchinjwa
Mungu wa mbinguni akulinde mtumishi
Kweli wame waloga watu hawaelewi asante mtu wamungu ubalikiwe sana mungu akuweke sana tujue mengi
Dam ya Yesu ikufunike mtumishi wa Mungu, sema kweli, na Mungu akutie nguvu
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Kwa nyimbo nzr
Hubiri injiri acha ujinga kijana Kwan we ndio upo sawa SS ndio tunawamin hao
Kaka mungu akubariki sana kwa huo ukweli watu wanapotea sana
This song teaches about worshiping idle God bless you paster pascal
Yeyote anayejiona ni mwenye haki au ni mtakatifu awe wa kwanza kupiga wengine kwa mawe✔️
Amen mtumishi Asante 🙏🙏🙏❤️🙏❤️
Glory to lord mwenye macho ya kiroho utaelewa wambeni ukweli pasta
God bless you 🙏🙏🙏 good song with good lesson
This is truth and pure truth,,, watumishi wa Mungu tumeicha njia ya msalaba,,tunapendeza nafasi zetu wenyewe,, Mungu turehemu
Ubarikiwe mtumishi kwa ukwel huo
Aamen mwinjilist,... Ukweli kabisaa, wanadam tunakosa ufahamu ndo tunapotoshwa na hao wenye vituko wakitumia jina la mingu alie binguni, mungu azidi kufunika na damu yake mwinjilist, Amen 🙏🙏🙏
Amina mungu akulinde kak pascal
Mtumish nimebalikiwa sana naomba mungu akupiganie Amina
Amen akika watu wamrudie mungu wakwer na wamwabudu ktk kwer
Nyimbo nzuri sana barikiwa barikiwa sana
Mungu akubariki Sana mtumishi
Pastor endelea kutuambia ukweli na ukweli wa Bwana wetu yesu utatuweka huru. Songa mbele na kazi ya Mungu
Watu saizi awataki kusikia lakin jaman siku ya mwisho watu wengi mtawalahani hao wachungaji wenu kwamba kwann mlikula sadaka zetu lakin amkutuambia ukweli kutokana na mateso ya jehanam moto unatisha na kinacho sikitisha asa ni kwamba moto wa jehanam hauzoeleki kila siku utakuwa unaongeza makali ndgu zangu usalama ni kumpokea yesu kwel kwel ubalikiwe pascal kwa kujitoa
Hubiri injiri kijana acha ujinga we
Kijana
@@yusuphusaimoni4182 acha nionekane mjinga lakin ukweli umewafikia
Pika injiri watu huku tunafunguliwa ndugu hakika tunabarikiwa
❤❤ 🙏
Hatasikuelewi lakn utanisamehe. Bure
Roho yangu inaugua Sana kuona kundi kubwa la watu ambao YESU KRISTO amekufa kwa ajili yao linaenda motoni,macho yao yamepofushwa hata wasiuone ukweli, nimeonyeshwa hili lango la rehema karibu litafungwa.
Mungu akutie nguvu mtimishi nakuombea Sana pia napenda huduma yako Mungu azid kukupa ufunuo mkubwa
Ubarikiwe Mutu wa Mungu,unasema kweli
Mungu akubariki sana
Mungu akubariki na akuongeze siku nyingi za maisha yako ili watu waokolewe
Safi sana Mtumishi wa Mungu Paschal Cassian.
Soit béni au nom de notre seigneur Jésus Christ de Nazareth.
❤ Mungu akupe maisha malefu
Hakika Mungu akulinde na mbawa zake zikuzunguke mikael raguel saraqael na malaika wote waweke wigo pande zote za dunia Amen!!!!
mungu atu samehe tulie enda Kwa mwamposa asamehe nawatoto wetu twakuomba mungu
Mungu akubalisa na akulinde sanaa
Bro, mungu anakutumia napend vyenye unaimba Ata Mimi natamani kuimba kama wewe,, nigaanyie upako