KMK MAKUBURI: TAMASHA LA EKARISTI TAKATIFU
Вставка
- Опубліковано 25 лис 2023
- Welcome to KMKMAKUBURI,
You can support evangelism through
⭐MPESA TILL NUMBER🇰🇪: 9948385
NAME: EVELYN JEPKEMEI
⭐MPESA LIPA NAMBA 🇹🇿: 5425652
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐MPESA 🇹🇿: +255742000089
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐Bank Name: Kenya Commercial Bank (KCB)
A/C No: 3390899162
Name: KWAYA MT. KIZITO - MAKUBURI
Branch: OYSTERBAY -Dar es Salaam, Tanzania
Swift code: KCBLTZTZ
You're warmly welcome
Ivi mmesikia unono wa ngano ilivyoimbwa 😮❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Vinny mukasa kwenye kinanda, kazi safi!
Wanakwaya wote wakatoliki mbarikiwe
This is so nice. I fear for Zach. Mziki inaeza shika kaka,ucheze,uteleze uanguke. Careful when you conducting standing on a table. Good job .Yesu Asante sana,that's my favourite
Safi sana
My all time choir ❤, I like how the choir director does it well,hongereni kwa kazi yenu nzuri.
Kila la heri katika safari ya uinjilishaji kmk my alltime favorite❤❤❤🇰🇪
Unono wa ngano 🎉
Mbarikiwe mno Watu wa MUNGU hakika mnaifanya kazi ya MUNGU KWA uaminifu mkubwa, Mungu anajitwalia utukufu juu yenu.Nasi tunawaombea utume wenu uzidi kuwafikia wengi zaidi kwajiri ya utukufu wa MUNGU
Simply the best 🎉🎉 God bless you my favorite choir.
Chama la wana. You are always in my heart
Amen my prayers 🙏🙏 am blessed
Mbarikiwe sana nyote
you are the best 🙏
Lovely voices wanakwaya wenzangu🎉
penda sana nyie watu fanyeni basi mpango mkuje na arusha jamani