LIVE: MISA DOMINIKA 29 MWAKA A PAROKIA YA K/NDEGE - DODOMA
Вставка
- Опубліковано 21 жов 2023
- Welcome to KMKMAKUBURI,
You can support evangelism through
⭐MPESA TILL NUMBER🇰🇪: 9948385
NAME: EVELYN JEPKEMEI
⭐MPESA LIPA NAMBA 🇹🇿: 5425652
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐MPESA 🇹🇿: +255742000089
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐Bank Name: Kenya Commercial Bank (KCB)
A/C No: 3390899162
Name: KWAYA MT. KIZITO - MAKUBURI
Branch: OYSTERBAY -Dar es Salaam, Tanzania
Swift code: KCBLTZTZ
You're warmly welcome
Mmetisha makuburi ❤ mnaimba kwa hisia na Mungu atatega sikio kweli kama mlivoimba kwenye wimbo wa mwanzo
Hongera KMK nimesikiliza Kryie kwa makini.Aisee nyie ni shida.Mungu awabariki sana
Leo nawasikiliza mara ya nne sasa,,,mmeupiga mwingi na nabarikiwa sana na nyimbo zenu,,❤❤❤❤
I love the african worship - it touches the heart - greetings from Austria (Europe)
Pamoja na uimbaji wote huu bado utapata watu wengine wamekaa ni kama wanaumwa dah watu ni wa ajabu sana, hongereni wanakwaya mbaimba ni kama hamtaimba kesho na ndiyo inavyostahili the energy the zeal the choreography mbarikiwe sana na uzao wenu, much love from Mombasa Kenya my dream is to visit soon so help me God
Hapo umenena
Noo, watu wanabarikiwa mnoo hujui tu..
Mko vizuri want dodoma
Mvumo wa sauti🔥🔥
Kwaya ya mfano aisee.. ni mnaimba aisee, Mungu aendelee kuwatunza.. 🔥 juu ya 🔥
Nyiieeeee hiyo kyrie kama mpo na Malaika, kazi nzuri sana
Wow, st. Joseph njooni tujifunze namna ya kuimba kyrie hapa, hongera sana KMK mmeweza sana
Hiyo kyrie ni ya misa inaitwaje mkuu?
Misa ilinibariki sana
Hii❤️wana k ndeg tunawapenda
Dar Glória a Deus
Aseee hongereni sana napenda sana hii kwaya yani mnaimba vizuri sana kwa hisia❤
Mpeni bwana utukufu nanguvu duu nimeijilika sana
Beautiful voices kmk 👏👏👏
❤❤upendo mwingi from Kenya
Kila mnapoenda mnafanya vzr Mungu awabariki kwa kila mlitendalo.
Hongereni KMK tunawangoja sana Mombasa
Nawasikiliza mara ya kumi sasa
Hongereni sana kwa Jumapili
Nawapenda nawapenda nawapenda nawapendaaa
Mtu anisaidie muziki za hio Misa tafadhali, that utuhurumie part
❤❤❤
❤❤❤🎉
❤❤
Timebalikiwa na ibada ya leo
Big up
Did you stop recording the mass on sundays good people
Misa yenye mmeuimba ni Misa upi?
Utukufu hii inapatikana wapi mtu adownload
Misa Matilda.