KMK MAKUBURI PERFORMANCE SEGMENT 2 - TAMASHA LA LEDOCHOWSKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лют 2025
  • All our voices to our Lord God the creator of the universe.We will not stop,THE GLORY AND GREATNESS IS WITH HIM forever and ever,Amen
    Welcome to KMKMAKUBURI
    You can support evangelism through
    MPESA TILL NUMBER🇰🇪: 9948385
    NAME: EVELYN JEPKEMEI
    MPESA TZ : +255742000089
    Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
    *Bank Name*: Kenya Commercial Bank (KCB)
    *A/C No*: 3390899162
    *Name*: KWAYA MT. KIZITO - MAKUBURI
    *Branch*: OYSTERBAY -Dar es Salaam, Tanzania
    *Swift code*: KCBLTZTZ
    --------------------------------------------
    You’re warmly welcome!

КОМЕНТАРІ • 51

  • @odhiamborichard2518
    @odhiamborichard2518 17 днів тому

    2025 mimi hapa asubui na mapema kutoka Kisumu. Kongolo kwa kazi nzuri

  • @kwayayamtakatifufilipo
    @kwayayamtakatifufilipo 10 місяців тому +3

    Nataka number yenu mimi pale Congo mu parokia ya mtakatifu filipo kwaya ya mtakatifu filipo.tunaimba nyimbo zenu, ya Bernard mukasa

  • @peterlevis7110
    @peterlevis7110 Рік тому +8

    Kongole ,,,,tueneze Injili kwa nota na sauti ,,,sauti za kimalaika tumtumikie mungu kwa ufalme wake

  • @janemwangi605
    @janemwangi605 Рік тому

    HONGERENI WANAKWAYA WA KMK KWA NYIMBO ZENU MZURI NA MASAUTI KAMA ZA MALAIKA MUISHI MIAKA MINGI DUNIANI AMINA FROM QATAR BUT KENYAN. NAWAPEDA ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fredinamutheu7671
    @fredinamutheu7671 Рік тому

    Mwalimu baraka zizidi kumiminika kwako.....umeweza....kmk wakenya twawependa

  • @hillary6762
    @hillary6762 4 місяці тому +1

    Powerful performance MKM MAKUBURI

  • @lilianmemusi2875
    @lilianmemusi2875 Рік тому +1

    Much love from Kenya we Love you Kmk so much forever Catholic ❤❤every time I see you people performing I feel good ❤❤❤

  • @lucymarandu4790
    @lucymarandu4790 Рік тому

    ❤ Jamani l am feeling as I in heaven hongereni nipo ufaransa nainjoi mnoo

  • @MaliamunguEdward
    @MaliamunguEdward Рік тому

    Excellent performance. The most gallant choir

  • @johnsadiki2657
    @johnsadiki2657 Рік тому +1

    Kazi kuntu na muziki uliopangwa vyema kabisa. Ninawapenda bure KMK Makuburi❤❤❤

  • @janemwau
    @janemwau Рік тому +1

    Hongereni sana wana kmk nawapenda sana,mpiga ngoma hoyee be blessed all

  • @agripinahillary9008
    @agripinahillary9008 Рік тому +1

    TumwimbIe Bwana ktk roho na kweli🔥🔥🔥🔥💪

  • @peninahsyokau9104
    @peninahsyokau9104 Рік тому

    Much love wana makuburi❤❤

  • @stevewaithanji8204
    @stevewaithanji8204 8 місяців тому

    Hongera na kongole wana KMK. Kazi yenu inadhihilika, mnatupea msisimko na mhemko kwa vibao tamu mnoooo. Pia mwalimu Zack hoiyeee

  • @agostinojoseph1951
    @agostinojoseph1951 Рік тому +1

    🎉🎉 Leo mmeupiga mwingi ❤mungu aendelee kuwasimamia kila hatua na kazi zenu

  • @zillyakoth
    @zillyakoth Рік тому

    Much love from Kenya❤❤❤

  • @gabrielnyambu8287
    @gabrielnyambu8287 Рік тому

    wow! mchaka mchaka song imeweza

  • @anthonyndolo8670
    @anthonyndolo8670 Рік тому

    Mwalimu emanuel nimekuona

  • @juliuskimuyu8420
    @juliuskimuyu8420 6 місяців тому

    Uplifting performance and praising. Much love from Kenya.

  • @EuniceKemuntokenanda-ef4hh
    @EuniceKemuntokenanda-ef4hh 9 місяців тому

    Good jop God Bless u keep it up 🙏👋👍

  • @juliusmushi1279
    @juliusmushi1279 10 місяців тому

    Good perfomance..natamani mtiribu ataribu asicheze

  • @oliver_otieno
    @oliver_otieno Рік тому

    Kazi nzuri
    Twasuburi launch ya #Safari ya Umoja
    Tueneze injili pamoja

  • @bonnychalz3758
    @bonnychalz3758 Рік тому

    Mchaka mchaka safari ya umoja #Kmk makuburi 🔥🔥

  • @MarryLusimbi-fn7ji
    @MarryLusimbi-fn7ji 10 місяців тому

    Nawapenda bureeee

  • @justproductions
    @justproductions Рік тому +4

    Much love from kenya makuburi❤❤

  • @lucykariuki2091
    @lucykariuki2091 Рік тому +1

    my all time choir; Lucy from nakuru

  • @muzikimtamumtakatifu897
    @muzikimtamumtakatifu897 Рік тому

    Hongereni kwa mpangilio mzuri mlionao inavutia

  • @michaelkinyanjui4171
    @michaelkinyanjui4171 Рік тому

    Felicitations Wana makuburi 👏

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx 8 місяців тому

    ❤❤❤weeeeh

  • @cathyemiliana4618
    @cathyemiliana4618 Рік тому

    naipenda sna kwaya ya makuburi,jina la uwimbo

  • @LETSTALKwithNdukuMuinde-wd4qf
    @LETSTALKwithNdukuMuinde-wd4qf Рік тому +2

    Are you recruiting 🤣 coz I am ready🤣much love from Kenya🔥

    • @josephsuwi1994
      @josephsuwi1994 Рік тому

      There are no restrictions in order for someone to be a choir member. Jiunge nao tuu 🤣

  • @agustermapunda4304
    @agustermapunda4304 Рік тому

    Ila nyinyi mnajua

  • @humphreyjoseph2623
    @humphreyjoseph2623 8 місяців тому

    Amen

  • @annamosha968
    @annamosha968 Рік тому

    ❤❤❤much love ❤❤❤

  • @ezekiamsilu4775
    @ezekiamsilu4775 Рік тому

    Naomba mtunz wa wimbo jina lake

    • @AnjelistaMsemwa
      @AnjelistaMsemwa Рік тому

      Mungu awabarki sana Kwa kuinjilisha,mmeimba vizur sana nakiongozi wenu amesomea Kwa umakin sana

    • @lucymarandu4790
      @lucymarandu4790 Рік тому

      Hongereni Sana mbarikiwe

  • @OBEDROTICH-vh1vf
    @OBEDROTICH-vh1vf Рік тому

    Superb

  • @MaryMhagama-nd5oh
    @MaryMhagama-nd5oh Рік тому

    KMK❤️

  • @elizamsonge5506
    @elizamsonge5506 Рік тому +1

    🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @SweegHMs2dio
    @SweegHMs2dio Рік тому

    Nimeupenda sana uwo wimbo wankwanza, niupateaje?

  • @eugenekeragori
    @eugenekeragori 9 місяців тому

    Huu wimbo wa kwanza unaitwaje jameni?nitazame pande zote

  • @deogratiusdominick8882
    @deogratiusdominick8882 Рік тому

    Asante

  • @sammymwangiwaruru5725
    @sammymwangiwaruru5725 Рік тому

    Heko

  • @maxlucky6709
    @maxlucky6709 Рік тому +1

    Kongole🎉...tutaupataje huo wimbo wa kwanza kutoka dakika 5:50 "Mtume by Benard Mukasa"

  • @ezekiamsilu4775
    @ezekiamsilu4775 Рік тому

    Naomba mtunz wa wimbo jina lake