@@RenataSulley heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
Vp kuhusu mwanaume ambae lakifi ake Alikutongoza ukamwambia ukweli kua wew ni mpenzi wa rafiki ake ila huyo rafiki ake alipoenda kumuuriza kua yule Dada ni mpenzi wako uyo mpenzi wako akakukana mbele za watu kua wew si mpenzi wake kisha badae akakupigia sm na kusema nakupenda sana ila nilikukana sababu jamaa aliniuriza mbele za watu wengi ivi ipoje brother
Shukran sana unafahamisha vizuri . Kweli uliposema wanaume wengine unapohitaji kuamua jambo flani kujifundishe yeye anakuvunja moyo inauma sana maana apo maneno tele utaambiwa hujui , huwezi , utashindwa
@@IreneSantu-fd7kb jamani mm mwanaume hata asipo nipa mia ila awe na UPENDO LUKUKI KWANGU WALLAH SINAHAJA YA MIA YAKE , YAN ANIJALI TU UKO WAPI MAMBO YAKO YALIENDAJE UNAENDELEAJE, YAN WANAUME WOTE WAMEKAA KUDANGA TU SIKUHIZI UPENDO HAWANA NGUVU ZA KIUME HAWANA , HELA HAWANA SA SIJUI UNAHAMASIKAJE MTU KUTOA HELA WAKATI HANA CHOCHOTE HAHAHAHAHAHAA AAAH JAMANI
@@mbekitv693 yeye ananipigia cm ila sijajua anamashaka ya nn tukionana haongei chochote ananihudhi tutaonana tutaongea hata sio vya maana then tunaagana anaondoka au kama mm ndio nilienda naondoka Kunasaa nikawaza au hana hela anahofia nikawa nawaza nimpe ila sasa naogopa kumpa sasa mbona haongelei mambo ya mahusiano yetu ye anajichekesha tu mmmh so nawaza naweza muacha kumbe akawa mtu powa sana....
@@tausimustapha1019 heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
M Wangu mpk awe Na shida zake ndo akupigie cm Na kuhusu uaminifu no no no muongo kupitiliza Na hata umuambie hili kosa hakubali wee Bora ukaushe au useme Kisha uombe musamaha tu😅😅😅😅
Me nina mpenzi kwanza mzinzi,pili anapenda kunihusisha mambo yake yote.ila me sijamuelewaga pia anapenda twende mahali pamoja ila tu sikuhizi apendi kunipa raha. Pia sijui hatima yetu
Kaka naomba ushauri wako,mimi nina mume na tuna watoto watatu lakini kinachonisumbua mimi kwa mume wangu,kila kosa hata kama ni kidogo analikuza na baadaye wewe umejua yameisha kumbe kapiga simu kimya kimya anakuchongea kwa wazazi wangu na baadaye wewe ukishajua kwamba kakuchongea kwa wazaz hadi kwa marafk zako anadai huyu mtoto wenu amenishida
Nisaidie kwa ushaur huyu ana malengo kweli,maana mara hatak anione kwenye matukio ya jamii misiba au shereh sijui shida nini,halafu kila unachomshaur hajal anajijal mwenyew
Kwa mara ya mwisho kaniambia nakupa kazi tokea tuoane nani huwa ni chanzo cha migogoro wakati huo ww unjua kabisa chanzo ni yy sasa mm nimeona nikisema ni yy kitawaka,nilichomjb nikamwambia hii kazi ni ngum siwez kuifanya akakaa kmya
Ahsante Kwa mafundisho mazuri
@@SabasabaSeko karibu sn
Asante nimefurahia mafundisho yako
@@RenataSulley heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
@mbekitv693 Asante
Kuanzia leo nitafuatilia video zako ni nzuri sana sana jaman kaka ubarikiwe
@@Haji-yr9db asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
ASANTE kwa ushauri mzur Mr GOD bless you AMEN
@@selina-tm7hv amina mpendwa😊🙏
Hii video ndio kwanza nimeitazama leo tu lkn nimejifunza vingi sana we ni zaid ya mwalimu asante sana ubarikiwe
@@Haji-yr9db asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
Somo zur sana jaman
@@AnastaziaEmiry asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
Ubalikiwe nimependa vidio zako nami napenda niwe mwana family
@@RahimaHamisi-z3i karibu sana🤝
Napenda shauri zako ongela sana
@@BenimanaJeannette-b3r asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
Ahsante sana brouh nimejifunza
@@TilferMtiga good😊💪
🙏🙏🙏🙏🙏haya mafundisho ukiya sikiliza unavukaaa kbsaaa❤❤❤
@@Yuvilath asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
@@Yuvilath asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
Twafaidika sana mungu akulind
@@fatumakale7004 amina amina mpendwa😊🙏
Asante Kaka Mbeki,wewe ni mwalimu mzuri sana,nabarikiwa na vipindi vyako
@@IreneSantu-fd7kb asante sn mpendwa. Usiache ku subscribe🤝😊
JE HII VIDEO IMEKUSAIDIA?
Mnoo
Imenisaidia sana shukuran ❤
Vp kuhusu mwanaume ambae lakifi ake Alikutongoza ukamwambia ukweli kua wew ni mpenzi wa rafiki ake ila huyo rafiki ake alipoenda kumuuriza kua yule Dada ni mpenzi wako uyo mpenzi wako akakukana mbele za watu kua wew si mpenzi wake kisha badae akakupigia sm na kusema nakupenda sana ila nilikukana sababu jamaa aliniuriza mbele za watu wengi ivi ipoje brother
@@omankafa1555 unauliza nini ndugu yangu wakati jibu lipo wazi akutaki
Ndiyoo san asant kwa ujumbe mzuri
Aminaaa ubarikiwe sana
@@delinevamwakapasa6948 asante sana mpendwa 😊🙏
Shukuran Kwa ujumbe huu
@@Wattingalby karibu sn sana😊🙏
Ndio imenisaidia asant
@@GraceSteven-qq5hn good😀👏
Shukran brother god bless u ❤❤❤❤❤❤❤tunajifunza mengi
@@Tatufadhili-ud6se asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
Sana tu brother 👌💯
@@fatumakale7004 safı👏😊
asante san kaka
@@RehemaKiswago asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
Shukran sana unafahamisha vizuri .
Kweli uliposema wanaume wengine unapohitaji kuamua jambo flani kujifundishe yeye anakuvunja moyo inauma sana maana apo maneno tele utaambiwa hujui , huwezi , utashindwa
@@MuniraAhmed-m7o yaaani ni changamoto kwakweli
Asante kwa somo 🎉
@@fathiyahmuzney7367 karibu saaana 😀🙏
Asante Kaka Mbeki,mmh nimemuacha mwanaume wangu hanisapoti kwa lolote na pesa zangu anachukua za kwake sizijui kabisa😭
@@IreneSantu-fd7kb duh😰
@@IreneSantu-fd7kb jamani mm mwanaume hata asipo nipa mia ila awe na UPENDO LUKUKI KWANGU WALLAH SINAHAJA YA MIA YAKE , YAN ANIJALI TU UKO WAPI MAMBO YAKO YALIENDAJE UNAENDELEAJE, YAN WANAUME WOTE WAMEKAA KUDANGA TU SIKUHIZI UPENDO HAWANA NGUVU ZA KIUME HAWANA , HELA HAWANA SA SIJUI UNAHAMASIKAJE MTU KUTOA HELA WAKATI HANA CHOCHOTE HAHAHAHAHAHAA AAAH JAMANI
Imenisaidia sana....
@@rahmasuleiman7888 woow vizuri sn👏
Me mwanaume wangu ana sifa hizi sana t sema ana shida moja anapenda sana kununa kitu kidogo t kazira
@@DiannaJumanne-de1kk kuna matatizo mengine yanakuwa kama maumbile, kwamaana ndio wamekuwa katika tabia hiyo tangia wakiwa wadogo.
Naomba na mimi niunge kwenye group kaka Mbeki
@@judithmwambe4767 nicheki whatsapp
Shukran cna
@@HawaaMkubwa karibu sn😊
Nilikua na mwanaume, jamani mimi ndo wakumpa zawadi, mimi ndo wakumpigia simu , nikimuhitaji mpaka nimbembeleze kaaah , niliamua kuachana nae,
Me too
@@LightnessMnyanga-uj4yx mmh
@@joycehaule9717 eeh
Dada Poleee
@@mbekitv693 yeye ananipigia cm ila sijajua anamashaka ya nn tukionana haongei chochote ananihudhi tutaonana tutaongea hata sio vya maana then tunaagana anaondoka au kama mm ndio nilienda naondoka
Kunasaa nikawaza au hana hela anahofia nikawa nawaza nimpe ila sasa naogopa kumpa sasa mbona haongelei mambo ya mahusiano yetu ye anajichekesha tu mmmh so nawaza naweza muacha kumbe akawa mtu powa sana....
Samahani kaka mwanaume atakiuwende popote je ni sahihi
@@nurugeogri inategemea na maisha mliyoyachagua cos mahusiano ni ya wawili hayafanani
Wangu aki saidia familia yangu ugonvi kidogo basi yote yana tapikwa uta fikiri shetani kaja
Pole
Asante Sana bro
@@bettymariga karibu sn😊❤️
@@mbekitv693 nimekaribia bro
Nimejifunza mengi sana katika video hii 🙏❤️
@@tausimustapha1019 heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
Kaka unaushauli mzur ahsate
@@AnatoriaGregory karibu sn mpendwa. Usiache ku subscribe
😂😂😂😂😂😂
@@AishaMohamed-q3l 😊
Wakora
@@AkitakaHuwa 🤣🤣🙌
Mtu anekuoa lakini hakushilikishi kitu chake chochote na haongelei kitu cha maisha yenu anakupa hela ya kula 2 ila anakuona kama hujitambui
@@AnjelNgongo basi jitathmini..
M Wangu mpk awe Na shida zake ndo akupigie cm Na kuhusu uaminifu no no no muongo kupitiliza Na hata umuambie hili kosa hakubali wee Bora ukaushe au useme Kisha uombe musamaha tu😅😅😅😅
@@Wattingalby mmmh hii sio nzuri
Me nina mpenzi kwanza mzinzi,pili anapenda kunihusisha mambo yake yote.ila me sijamuelewaga pia anapenda twende mahali pamoja ila tu sikuhizi apendi kunipa raha. Pia sijui hatima yetu
@@JacqulinedeogratiusKahwa myb anaenjoy kampani yako tu nothing more. So endelea kuangalia masomo yangu yaliyopita hapa hapa yanaweza kukusaidia kumjua vizuri
Nimekupata kipenzi
@@MwanaShesha good👏
Ddio nimehiyelewa
@@nurugeogri vizuri sna😀👏
Hamna mtu muleeeee.hakuna
@@priscerjohn5788 kuna nini tena😀
Kaka naomba ushauri wako,mimi nina mume na tuna watoto watatu lakini kinachonisumbua mimi kwa mume wangu,kila kosa hata kama ni kidogo analikuza na baadaye wewe umejua yameisha kumbe kapiga simu kimya kimya anakuchongea kwa wazazi wangu na baadaye wewe ukishajua kwamba kakuchongea kwa wazaz hadi kwa marafk zako anadai huyu mtoto wenu amenishida
@@PaulMihayo pole sn, karibu whatsapp
❤❤❤
@@neemajumbe5802 ❤️❤️❤️❤️
Nisaidie kwa ushaur huyu ana malengo kweli,maana mara hatak anione kwenye matukio ya jamii misiba au shereh sijui shida nini,halafu kila unachomshaur hajal anajijal mwenyew
Amna kitu hapo maamuzi ni yako uendelee naye au uachane nae
Kwa mara ya mwisho kaniambia nakupa kazi tokea tuoane nani huwa ni chanzo cha migogoro wakati huo ww unjua kabisa chanzo ni yy sasa mm nimeona nikisema ni yy kitawaka,nilichomjb nikamwambia hii kazi ni ngum siwez kuifanya akakaa kmya
Akisafr yeye anachojal amekuachia matumiz,hana mda wakuwajulia hali hatakama mtu anaumwa
@@PaulMihayo mh pole sn
Niunge kwenye group maana nimeipenda mafunzo yko plz niunge kwenye group
@@scolastikavictor 0659152333
Namna gani naweza kujoin group
@@SylvierMugure nicheki whatsapp
Kaka ninamsiba usio isha kwangu naomba n0 Yako nikutafute in box maana sina wakumwelezea maana ktk maisha yangu sinaga rafiki
@@PrisilaGwakisa-no6kx pole sn mpendwa 0659152333
@@mbekitv693 Asante kaka
Halafu kila anachokifanya lazima ashirikishe marafk wala hajal kuhusu wewe,
@@PaulMihayo dah pole sn
Bro jamaa ana kila ktu ila ndoa hataamki yaan yupo tayar kuzaa hapo inaa maana gan
@@amneally4135 ongea nae ili ujue
@@mbekitv693 hahahahahahaa anakuuliza wewe utadhani ndo muoaji hahahahaha kweli watu wamevurugwa
Naomba uniad kwenye group la wasap
@@DorkasDaudi-m5k nicheki whatsapp
Nijb kka
@@EvePatrick-u7m Nicheki whatsapp 0659152333
Brother naitaji kujiunga kwenye groupe ila nimeshindwa sijuwi nikutumiye namba zangu uniunge please. Napenda mafunzo yako kwa ulefu
Mh so kwa huo mchupi uliotoboka
@@magnibrondi3152 0659152333
@@ommy1246 🤣
Je mwanaume Ambye anakuambia wenzako wanajtaftia mavaz wenyewe na apo una kichnga hauwz ktafta n boraa
@@EvePatrick-u7m sijakuelewa
vipi akisema bado kitogo
@@rizikimikidadi6879 kidogo nini?
𝑵𝒂𝒑𝒂𝒕𝒂 𝒘𝒂𝒑𝒊 𝒏𝒂𝒎𝒃𝒂 𝒛𝒂𝒌𝒐🙏🙏
@@SharlineSidi 0659152333
Asante Kaka Mbeki,mmh nimemuacha mwanaume wangu hanisapoti kwa lolote na pesa zangu anachukua za kwake sizijui kabisa😭
@@IreneSantu-fd7kb pole sn😓
❤❤❤❤❤
@@WanjaAthuman-v2c ❤️❤️