Daah,umenena point kabisa pastor,labda kama wapo wanawake waliowaombea wachumba zao na wakawabadilisha waje watupe evidence tuone kama tunaweza kuwaombea😅😅 maana binadamu huwezi kubadilisha binadamu mwenzio zaidi ni Mungu tu
Mimi sijaoa…ila kwa sifa hizi, napata wasiwasi kwa mabinti wa kizazi hiki… mimi najua ndani mwangu mnaupendo na huruma nyingi. Naweza kumpenda mwanamke mpaka akajuta kuchelewa kunijua. tatizo hawa mabinti wa sasahivi wamejaa ungangari. Unajua kabisa huyu akiwa ni mke lazima anitoe jasho. basi bwana. Mungu atusaidie. Asante kwa somo zuri sana. Nukuu ya leo “mwanaume akikupenda akakutawala, sio utumwa..kama hakupendi halafu akakutawala, ni utumwa..” hii nimeichukua……
MCHUNGAJI. UBARIKIWE SANA. TUPE MAELEKEZO. YA KUISHI NA MWANAMME AMBAYE UWEZO WA KITUNZA FAMILIA HANA. LAKINI ANAKULETEA. NDUGU ZAKE KIBAO. UWALEE. KWA KEEP PATO CHAKO. MWENYEWE UNACHOHANGAIKA KUKIPATA. EJ MASECHA
Be blessed a man of God. Nimejifunza kitu kikubwa mno mtumishi hakika Nimefwatilia pande zote umefundisha vizuri Kuna wale akina ngoja nijaribu niusikilize moyo😅😅😅😅
Mtumishi wa mungu naomba plz hii clip jmn hahahahah mwanaume wangu ni level za mbinguni aiseeee ananihudumia na matunzo ananipa hajawah nauliza kuhusu pesa yangu
@@JackilineMoshi ndugu najua coment hii inakama miezi 2 lakin hadi Sasa ninamwezi mimi na mkewangu hatupo pamoja na mtoto kamwacha kwangu hivyo nimemrudisha nyumbani kwa wazazi wangu moyo unawaka moto nashida tunaonana nae lakin Yuko kwake na mimi kwangu
Ni kweli mke anastahili kumilikiwa na mme mwenye upendo wa dhati hivyo ndivyo vilivyo lakini wanaume wa leo wanapenda kumiliki kwakutokuonyesha upendo na ndomana wake wengi wanatumia hivo mwalimu ni kwasababu waume wamejiondowa kwenye uwanaume alisi ndio waliobadilisha mawazo ya wanawake kuolewa shida si wanawake shida imetokea kwa wanaume ndo wamewachanganya wake
Pastor deo asante kwa elimu muhimu sana na imenisaidia sana na nitabadilika Naomba kujua je mwanaume unaweza mnyenyekea ivo na kumsikiliza ni yupi aliekuoa au ata ulie nae kwenye mahusiano! Na je nina haki kumkubalia kumzalia kabla hajanioa anadai akinizalisha kwanza ndo ataenda kwa wazazi wangu itakuwa sawa. Iyo!🙏
1. Usithubutu kumzalia mwanaume ambaye bado hajakuoa achilia mbali kujitambulisha kwa wazazi..ndoa ndio ilete watoto na si vinginevyo 2. Hizo sifa ni za mke sio mchumba..kama bado hajakuoa hana haki na huna wajibu wa kumfanyia hivyo isipokuwa kwa mipaka maalumu ambayo itakuacha wewe salama Kama haoni kama unatosha jinsi ulivyo kiasi cha kukupa masharti ya ziada ili akuoe then HAFAI KUWA MUME WAKO atakuharibia maisha..
Usithubutu Hilo Jambo Kama unataka kuolewa okoka muombe Mungu atakupa mume wa kweli wa Kufunga naye ndoa usizae ukiwa hujaolewa kwa msaada zaidi funga na kuomba Mungu atakujibu
@@DeoSukambiKwakweli mtumishii namm nmiongoni mwa wanawake ambao tunaambiwa tuwazaliee kwanza ndo watuoe, Ahsanteee Mungu kwa kujua na kunifundisha Kupitia ww Mungu akubalik na analazimisha saana kuanzia leo huyo mwanaume namkana na Naomba Mungu aniepushie mbali nae Ahsanteee mtumishii
Mungu anatumia Mtu yeyote kufikisha ujumbe kwa watu wake,,,,,wanawake tulisikie somo hili kimwili,,,kiroho na nafsi,,,tujitafakari hatua zetu na mienendo yetu,,,Mungu anasema na sisi kupitia doctor huyu,,,Mungu yupo hapa kutusaidia,,,,,tumsikilizeni na kufuata mafundisho haya
Hilo nikwr kaka deo me nilipata mwanaume nikipata mshahala naleta nyumban namkabinzi mshahala yonte unayo yasema me ninafanya 2nalundi kw wanaume wamekosa uwaminifu kwenye miti hakna wajenzi😢😢😢😢😢😢me nalia kila siku sipati majibu mungu naomba anisaindie kila siku me nafanya maombi ila bado sijapata naomba sapoti yako 😢😢😢😢😢😢😢
Kaka MUNGU akubariki sana Yani nimekuelewa kias kwamba mpaka nalia hata Sijui nalia nini Mimi kwakweli Men can't be fixed, anatiwa awe tayari kutoka Huko from the beginning kuanzia malezi.
Everyone has born for his/her own purpose. This principles are never applicable kwenye maisha ya kawaida. My friend angalia maisha yako, mazingira yako, uchumi wenu, uwezo wa Mume wako, na malengo ya kuolewa kwako lah! Sivyo unajiandaa kuua watoto wako.
Kama unaongelea Purpose halafu unaongelea suala la kuua watoto then nafikiri unahitaji kujifunza upya kuhusu purpose..labda kama unazungumzia mishe mishe za maisha lakini purpose is self sustaining hakuna aliyewahi kuishi purpose akawa na njaa au watoto wake wakafa njaa. Umeweka vitu viwili ambavyo haviwezi kuchangamana kamwe..purpose na njaa, never
Kaka Deo hari ya asubuhi,Mimi ni mwanamke nimeishi kwenye ndoa miaka 13 mme wangu tunapendana sana lakini nilikkuja gundua mwanamme wangu amezaa nje hapo hapo nikasikia Tena amempa mwingine ujauzito na tayari amefungs nae ndoa nimeumia sana kaka ukiangalia tumepambana kimeisha tukapambana tukafanikiwa lkaka Deo nimeumia sana nakuomba ushauri nifanye nini
Msamehe..ikiwa unakiri kuwa mnapendana basi itoshe tu kuona kuwa mwanadamu anaweza kukengeuka na kufanya maamuzi mabaya..ila kama unaona kabisa kilichotokea unashindwa kukumudu basi tafuta msaada wa kisaikolojia
kaka mimi sielewi hapa anaposema kua wanapendana sana na mume wake. sioni kupendana hapo. ni upendo wa upande mmoja. miaka 13, azae na wanawake tofauti na kufunga ndoa na mtu mwingine bila mke kujua? hakuna upendo hapo. kuna interest fulani huyo mumeo anayo kwako ndo inamfanya asikuache.
Daaaah Pastor mume wangu naishi naye vizuri na ni mume kweli ila Kuna vitu Mimi niliingia bila kuvijua, nimemuonea huruma mume wangu kweli nimemnyanyasa duh!! Mungu anisaidie ninakwenda kubadilika kabisa!!!Barikiwa mnoo
Kunavitu nakuwa sijavielewa mwanaume kazaa watoto wengine nje anachokipata anawekeza kwa wale watoto wake hichi ninacho kutafuta kwenye biashara zangu nimshirikishe kweli daa kwa dunia ya leo mungu atusamehe sanaa
Utii ni mzr sana ila wake wengi pia kimewalamba ktk utii wa tendo wanaumewalioelekea njia ya kishetawani wamewafanya wake zao watii hata makosa lakini kwakuwa mume wangu kataka wacha nitii hii wengi wao wameharibikiwa
Kama mume hana sifa 3 za mume lazima akuharibu..ila tambua kuwa ukigoma kutii hata kwasababu za msingi unapoteza sifa za kuwa mke..so ni kweli wakati mwingine hupaswi kutii ila ukishagoma tambua kuwa umeshapoteza sifa za kuwa mke so inabidi ukubali matokeo ya kugoma kwako
Hongera sana pasta Somo ni zuri sana... Na pia nimecheka sana Kuna sehemu unafundisha najikuta nacheka tu eti mwanamke Kila kitu anafanya yeye kutengeneza tv kuweka bablu Hadi kutengeneza gri😂😂😂😂
Nimekusikiliza kwa makini mno nanimekuelewa baba barikiwa sana asante mungu kwa ajili ya mume wangu
Daah,umenena point kabisa pastor,labda kama wapo wanawake waliowaombea wachumba zao na wakawabadilisha waje watupe evidence tuone kama tunaweza kuwaombea😅😅 maana binadamu huwezi kubadilisha binadamu mwenzio zaidi ni Mungu tu
Mi nimeomba weee
Nimeamua kumuacha maana nimeona red flags sitaki kujitia upofu kisa kuonekana nimeolewa
Kwa mara ya kwanza nimekoment ktk mtandao,umenibariki sana❤
Mimi sijaoa…ila kwa sifa hizi, napata wasiwasi kwa mabinti wa kizazi hiki… mimi najua ndani mwangu mnaupendo na huruma nyingi. Naweza kumpenda mwanamke mpaka akajuta kuchelewa kunijua. tatizo hawa mabinti wa sasahivi wamejaa ungangari. Unajua kabisa huyu akiwa ni mke lazima anitoe jasho. basi bwana. Mungu atusaidie. Asante kwa somo zuri sana. Nukuu ya leo “mwanaume akikupenda akakutawala, sio utumwa..kama hakupendi halafu akakutawala, ni utumwa..” hii nimeichukua……
Umechukua point muhimu sana..changamoto ni kubwa sana kwa mabinti wengi kwa sasa hizi sifa hawana
@@DeoSukambi aisee ni hatari…
😆😆😆mbona Mimi nipo kaka usiogope kuoa.
@@joyceshile8837 kumbe!
Kwakweli mapenzi yalikuawepo ezi zawazee wetu sio sasa kwakweli
MCHUNGAJI. UBARIKIWE SANA. TUPE MAELEKEZO. YA KUISHI NA MWANAMME AMBAYE
UWEZO WA KITUNZA FAMILIA HANA. LAKINI ANAKULETEA. NDUGU ZAKE KIBAO. UWALEE. KWA KEEP PATO CHAKO. MWENYEWE UNACHOHANGAIKA KUKIPATA. EJ MASECHA
Shukran sana Ila naona ninakibaruwa
Aisee hizi nondo ni kiboko Mungu akubariki sana mtumishi
Apo kwenye sifa tatu (3)asante saana ❤❤❤❤ubarikiwe zaidi Amen
Be blessed a man of God. Nimejifunza kitu kikubwa mno mtumishi hakika Nimefwatilia pande zote umefundisha vizuri Kuna wale akina ngoja nijaribu niusikilize moyo😅😅😅😅
Mtumishi wa mungu naomba plz hii clip jmn hahahahah mwanaume wangu ni level za mbinguni aiseeee ananihudumia na matunzo ananipa hajawah nauliza kuhusu pesa yangu
Muombee, shukuru Mungu
Mtumshi wa mungu mimi nimeoa lakin mke wangu katika sifa hizo Hana ata Moja nifanyeje niliingia bila kuangalia hizo sifa
😂😂
@@JackilineMoshi ndugu najua coment hii inakama miezi 2 lakin hadi Sasa ninamwezi mimi na mkewangu hatupo pamoja na mtoto kamwacha kwangu hivyo nimemrudisha nyumbani kwa wazazi wangu moyo unawaka moto nashida tunaonana nae lakin Yuko kwake na mimi kwangu
😂😂😂😂😂😂😂@@JackilineMoshi
Ni kweli mke anastahili kumilikiwa na mme mwenye upendo wa dhati hivyo ndivyo vilivyo lakini wanaume wa leo wanapenda kumiliki kwakutokuonyesha upendo na ndomana wake wengi wanatumia hivo mwalimu ni kwasababu waume wamejiondowa kwenye uwanaume alisi ndio waliobadilisha mawazo ya wanawake kuolewa shida si wanawake shida imetokea kwa wanaume ndo wamewachanganya wake
Mwenyezi.Mungu azidi kukupakauli. thabiti .Mimi nasukuu Ninazo zote tatu(3) Amina
Pastor deo asante kwa elimu muhimu sana na imenisaidia sana na nitabadilika Naomba kujua je mwanaume unaweza mnyenyekea ivo na kumsikiliza ni yupi aliekuoa au ata ulie nae kwenye mahusiano! Na je nina haki kumkubalia kumzalia kabla hajanioa anadai akinizalisha kwanza ndo ataenda kwa wazazi wangu itakuwa sawa. Iyo!🙏
1. Usithubutu kumzalia mwanaume ambaye bado hajakuoa achilia mbali kujitambulisha kwa wazazi..ndoa ndio ilete watoto na si vinginevyo
2. Hizo sifa ni za mke sio mchumba..kama bado hajakuoa hana haki na huna wajibu wa kumfanyia hivyo isipokuwa kwa mipaka maalumu ambayo itakuacha wewe salama
Kama haoni kama unatosha jinsi ulivyo kiasi cha kukupa masharti ya ziada ili akuoe then HAFAI KUWA MUME WAKO atakuharibia maisha..
@@DeoSukambiumepiga kwenye mshono
Upendo 0 uaminifu 0 kutawalika ajeee😊
Usithubutu Hilo Jambo Kama unataka kuolewa okoka muombe Mungu atakupa mume wa kweli wa Kufunga naye ndoa usizae ukiwa hujaolewa kwa msaada zaidi funga na kuomba Mungu atakujibu
@@DeoSukambiKwakweli mtumishii namm nmiongoni mwa wanawake ambao tunaambiwa tuwazaliee kwanza ndo watuoe, Ahsanteee Mungu kwa kujua na kunifundisha Kupitia ww Mungu akubalik na analazimisha saana kuanzia leo huyo mwanaume namkana na Naomba Mungu aniepushie mbali nae Ahsanteee mtumishii
Asante pastor mi nimekuelewa sana,uko sawa kabisa ni ufunuo toka kwa Mungu ndoa zipone manake kizazi cha leo ni majanga tupu.!
Barikiwa sana ndugu
Natural, judicial and Biblical law hii amazing sana Pastor.
Thank you brother
Asante kwa somo zuri,nashukuru somo nimelipata kabla sijaolewa.
Ubarikiiwe Deo,juu nilikuwa na hamu sana na hiking kipindi
Barikiwa
Waooh naimani Mungu atanipa mume mwenye sifa stahiki. Ubarikiwe mno
Mawahidha j mazuri yakujenga familia be blessed pastor
Amen
Nakupenda kusikiliza ukweli maan humuweka mtu akiwa huru,thx pastor
Mungu anatumia Mtu yeyote kufikisha ujumbe kwa watu wake,,,,,wanawake tulisikie somo hili kimwili,,,kiroho na nafsi,,,tujitafakari hatua zetu na mienendo yetu,,,Mungu anasema na sisi kupitia doctor huyu,,,Mungu yupo hapa kutusaidia,,,,,tumsikilizeni na kufuata mafundisho haya
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Mimi natamani mawasiliano yako mtumishi wa Mungu niongee na wewe binafsi,if possible
Hilo nikwr kaka deo me nilipata mwanaume nikipata mshahala naleta nyumban namkabinzi mshahala yonte unayo yasema me ninafanya 2nalundi kw wanaume wamekosa uwaminifu kwenye miti hakna wajenzi😢😢😢😢😢😢me nalia kila siku sipati majibu mungu naomba anisaindie kila siku me nafanya maombi ila bado sijapata naomba sapoti yako 😢😢😢😢😢😢😢
Leo nimejifunza jambo mtumishi! Bora nimechelewa kuolewa! Mungu ananipenda
Amen
Wooo nimefurahi ju ya somo lako mm niko nazo zote tatu ila bado sijaolewa ndiyo Nik na mchumba
Point ya mwisho nimekuelewa kabisaaaaaaaa yaani sanaaaaaaaa
Kaka MUNGU akubariki sana Yani nimekuelewa kias kwamba mpaka nalia hata Sijui nalia nini Mimi kwakweli Men can't be fixed, anatiwa awe tayari kutoka Huko from the beginning kuanzia malezi.
Amen amen
Madini sana umetema mkuu🔥 🔥 Be blessed & keep impacting
Thank you bro
Baba Amina sanaaa sanaaa pia Asante baba jamani mungu akubalikie sana,.
Kaka barikiwa sanaa kumbe nimechelewa KUOA Kwa sababu Mungu ananipenda
Nami nashukuru saana kwa kipindi hiki. Nimara ya kwanza kukufata nimebarikiwa.
Amen amen
Everyone has born for his/her own purpose. This principles are never applicable kwenye maisha ya kawaida. My friend angalia maisha yako, mazingira yako, uchumi wenu, uwezo wa Mume wako, na malengo ya kuolewa kwako lah! Sivyo unajiandaa kuua watoto wako.
Kama unaongelea Purpose halafu unaongelea suala la kuua watoto then nafikiri unahitaji kujifunza upya kuhusu purpose..labda kama unazungumzia mishe mishe za maisha lakini purpose is self sustaining hakuna aliyewahi kuishi purpose akawa na njaa au watoto wake wakafa njaa. Umeweka vitu viwili ambavyo haviwezi kuchangamana kamwe..purpose na njaa, never
Ubarikiwe Sana pastor kiukweli mafundisho yako yamenibarik namuomba Mungu anipe mume mwema mweye upendo wa kweli na mwenye sifa hizo tatu ulizo zitaja
Amen Mungu na akujalie sawa sawa na uhitaji wa moyo wako
Kaka Deo hari ya asubuhi,Mimi ni mwanamke nimeishi kwenye ndoa miaka 13 mme wangu tunapendana sana lakini nilikkuja gundua mwanamme wangu amezaa nje hapo hapo nikasikia Tena amempa mwingine ujauzito na tayari amefungs nae ndoa nimeumia sana kaka ukiangalia tumepambana kimeisha tukapambana tukafanikiwa lkaka Deo nimeumia sana nakuomba ushauri nifanye nini
Msamehe..ikiwa unakiri kuwa mnapendana basi itoshe tu kuona kuwa mwanadamu anaweza kukengeuka na kufanya maamuzi mabaya..ila kama unaona kabisa kilichotokea unashindwa kukumudu basi tafuta msaada wa kisaikolojia
kaka mimi sielewi hapa anaposema kua wanapendana sana na mume wake.
sioni kupendana hapo. ni upendo wa upande mmoja. miaka 13, azae na wanawake tofauti na kufunga ndoa na mtu mwingine bila mke kujua? hakuna upendo hapo. kuna interest fulani huyo mumeo anayo kwako ndo inamfanya asikuache.
Stor ni refu na unanaeleza polpol
😂😂😂yani umepigilia misumali kweli kweli khaa!? Shukran maana kuna ukweli mtu ❤
🤣🤣🤣..barikiwa sana
Asante sana kaka somo lako nilipenda sana mungu akupe nguvu zaidi🎉🎉
Amen amen ndugu
Thank you, pastor.
Previous lesson ulitubonda wanaume hadi nilichoka Lakini leo nimekuelewa kumbe unagusa pande zote.
"Thanks in advance pastor".
Huwa nagusa pande zote..endelea kunifatilia
Nashukuru kwa mafundisho mazuri pastor ila kwa kizazi cha leo waume na wake ni wachache,Mungu atusaidie
Ahsante kwa somo zuri, Theresia Malekela kutoka Njombe.
Barikiwa Theresia
Am Soo much blessed am still a student ad have learnt alot hence am about to get married thank you pastor for the reasonable lessons
You are very welcome
Kuna wanaume hakutunzi kabisa nahataki ufanye kazi itakuwaje
Amesema urudi kwenye sifa 3 za mwanaume ukazisikilize kwanza
Huyo hakutakii mema achana nae VP yyy😂😂🎉🎉
Mtumishi nakukubari sana yaani umeongea points mno yaani upewe tu, maua yako Mungu akubariki mno mno. Daa
Direct kwa point bro unazunguka sana
Pole sana ndio ninavyofundisha
Ameen mung akubariki mtumishi
Aksanti mwalimu kwa utafiti huo nipasteur DIDO
Naitwa Jimson kyando nipo Dar es salaam nakupata vizuri apostle endelea kuelimisha Jamii mungu akubariki
Thank you Pastor, I get something from your lesson, be blessed.
Kweli mtumishi wa Mungu umenena na Mungu akusaidie sana na kuzidi kukutumia mimi ni Petro Gabriel mtumishi wa Mungu nipo mkowani singida
Asante Sana❤❤
Dah! Kasheshee..... KUMILIKIWA, KUTAWALIWA(Mwamini sio kumpenda), KUWA MDHAIFU. Ahsantee sanaa
Karibu
Shukurni sana ❤❤
Asante kwa hao mwalimu ❤
Pastor we kiboko sana. Mafundisho mazuri saana barikiwa pastor
Amen amen ndugu
Ujumbe huu ume Toka kwa mungu ubarikiwe
Kaka DEO mungu akutunze maana unatufundishavitu vikumba Sana ambavyo hata wazazi hawaku wai kutuelezea
Amen amen amen..asante sana kwa maombi naamini Mungu ameniweka kwa wakati na majira haya
Wawooo amaizing sana! Somo zuri
Bwana akubariki sana ni kitu nilikuwa sijuii ila nimejua naam ni kweli
Amen amen
Mafundisho mazuri sana Mungu akubariki
Asante Pastor umetueleza ukweli
🎉Duu kwa sifa hizo najion sifa za kuwa mke uwiii
Yaani mimi sijui ntafanyaje uwiiiii😂😂😂😂
Aiseee mi mungu anisaidie jmn, ndio nina mshahara wangu lakini hpo penye kutunza hahahahah siokweli tutagombana, pesa yangu niyakwangu
HAKUNA NDOA ILIYOKAMILIKA HATA MOJA,WALA HAKUNA MTU MWENYE SIFA HIZI ZOTE
❤❤❤📌💯💯💯Somo zuri sana
Nikweli kabisa lakini huenda umefanya kazi kwakuwa hupati huduma tena kutoka kwa mume wala watoto hajali
Mimi ni mama mkaaji wa Burundi Niko wakufata 100%100
Asante kwa mafundisho
Asante sana kwa mafunzo mazuri,mimi ni muka aji wa Burundi
Unachanganya watu,KILA mtu aishi anavyoweza ,ndoa si saikolojia,
Uko sahihi mtumishi! Ubarikiwe sana
Amen amen
Daaaah Pastor mume wangu naishi naye vizuri na ni mume kweli ila Kuna vitu Mimi niliingia bila kuvijua, nimemuonea huruma mume wangu kweli nimemnyanyasa duh!! Mungu anisaidie ninakwenda kubadilika kabisa!!!Barikiwa mnoo
Asante sana nimeshukua ilimu kwa hi darasa
Baba nimekuelewa saana
Amen kwa kipindi kizuri
Mungu wambinguni uliejificha sirini atusaidie kwa neema zake na rehema zake
Amen nakusiliza toka Same .
Nimekuelewa
Kwakweli naomba nipate mwenye sifa za mume
Asante sana
Mafundisho haya mazuri sana sana umenipeleka kiwango kingine kabisa
Barikiwa na mungu
Asante sana ndugu..barikiwa
Kunavitu nakuwa sijavielewa mwanaume kazaa watoto wengine nje anachokipata anawekeza kwa wale watoto wake hichi ninacho kutafuta kwenye biashara zangu nimshirikishe kweli daa kwa dunia ya leo mungu atusamehe sanaa
Pole sana dada yangu..hiyo ni changamoto
Shiriki naye kwa watoto uliyozaa naye.
Kama hao watoto, wapo nyumbani, ungananae mfanye pamoja na watoto wenu wawili.
Maonevu hapo PIA naapazungumze naona hajaigusa iyo point
Bwana Deo, nitakutafuta pembeni.
ahsante sana pastor mejifunza meng
Ubarikiwe pastor nimejinza sana
Asante kwa somo zuri
Ubarikiwe kwa mafundisho sahihi
Barikiwa mtumishi wa mungu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thank you very much for the powerful message. Nimejifunza mengi! .. from Kenya 👌
Woow..thank you so much..my greetings
Ukweli mchungu🙆 🫣! Am inspired 💯 . You just hit the nail on the head 👊....I like such 😭🤔bcoz, najua sasa cha kufanya 🫶...
Be blessed pastor, from songea.
Pastor Sukambi God bless you. You are Blessing The people God. Channel yako ipo vizuri Sana!
Amen amen my brethren..glory be to God
tunaomba uwe unaweka nba yako ya WhatsApp kwa screen .
❤ Mafundisho hayo daah nimeyafurahia sana
Nikweli baba unaseme kweli❤
asante pastor kwa kunirudisha kwenye mstari
Nimekuelewa saana
Hallelujah ubarikiwe
Warching from Alhofu Saudi Arabia
Kweli kabisa juliana kutoka kenya
TRUE I AGREED THAT👌 UPSOLUTLY CORRECT N WRIGHTS👍😆👌
Utii ni mzr sana ila wake wengi pia kimewalamba ktk utii wa tendo wanaumewalioelekea njia ya kishetawani wamewafanya wake zao watii hata makosa lakini kwakuwa mume wangu kataka wacha nitii hii wengi wao wameharibikiwa
Kama mume hana sifa 3 za mume lazima akuharibu..ila tambua kuwa ukigoma kutii hata kwasababu za msingi unapoteza sifa za kuwa mke..so ni kweli wakati mwingine hupaswi kutii ila ukishagoma tambua kuwa umeshapoteza sifa za kuwa mke so inabidi ukubali matokeo ya kugoma kwako
Golden message pastor
Amen
Very educative,,,thanks 🙏🙏🙏
Mtumishi mm niko nazo zote hizo,but hua nakosa wakunimiliki kwa sababu nidhaifu sana, ety ninahofia😢
Asante sana pastor mungu anipiganie nipate chaguo langu🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Mimi nimejivunza sanasana.. waa.. kumbe ??? Barikiwa sana mtumishi
Hongera sana pasta Somo ni zuri sana... Na pia nimecheka sana Kuna sehemu unafundisha najikuta nacheka tu eti mwanamke Kila kitu anafanya yeye kutengeneza tv kuweka bablu Hadi kutengeneza gri😂😂😂😂
😂😂😂 what if havitengenezeki hata ukimpatia Hela Bado hafanyi mliyokubaliana imekaaje hii
@@glorylyimo6037ahahaaaaa boss wangu ni mwanamke nakwambia anazo hzo sifa zakufanya kazi zote
Asante kwa soma hiyi 🙏🙏