Shukran sana kaka ila kuna baadhi yatu wanawake tunajitahidi kwa kla jambo ttz tumeangukia pua mwanaume ajali wala huruma na mkewe hana 😢😢tunafnya kla ktu wanachotaka ama tunachokijua kitamfnya mwanaume awemwenye upendo na mkewe ila waap tunajinunulisha ata vizawadi ili akirudi apate mabadiliko lkn bdo ssa uyu cio wakuoneshwa tena kakangu maana hanatoa ata hisani ya mtu anaye fnya hayo yote mwanaume ananuna mwez mzma ata iwe kosa ni lake yaani amesikia mwanaume ndo kichwa cha familia bc anajifanya Mungumtu wallah wanawake tunavumilia mengi mengine ni siri za wanandoa c vzr kutoa inje😢😢
Nakuunga mkono 💯 Ndio maana kuna somo hapo linasema mambo 5 yakuzingatia kabla haujaingia katika mahusiano. Huko sasa ndio wengi mnafeli hadi mnaangukia pua. Litafute ilo somo nzuri sn lipo hapa hapa
Kaka asante sana jaman ila kwa upande wangu namshukuru Mungu mie sio mchafu kuanzia mwili wangu, ndani ya nyumba yangu na hata eneo nafanyia kazi pana usafi wa kutosha. Kingine mie sijawahi kunywa pombe tangu nimezaliwa na hata sina shauku nayo na kwenye mapishi nimpe sifa Mungu amenipa uelewa wa kutosha na kama kuna ninachoshindwa huwa nawauliza wamama wenye hekima na wananisaidia. Cha mwisho namshukuru Mungu mie sio mtu wa kuongea hata kama kitu kimeniumiza sana na siwezi kukiuliza huwa nachukua muda napiga magoti namweleza Mwenyezi Mungu vile naumia na yeye ni mwaminifu huwa anaondoa kile kinaniumiza na kunipa furaha ya kipekee. Ila kiukweli kuna baadhi ya wanawake wanawaumiza sana wanaume wao na hata mie nilikuwa na rafiki alikuwa na hiyo tabia nilimkanya akashupaza shingo nikaachana nae na ni mkubwa sana kwa umri na mpaka sahivi hajapata mtu kwasababu anamdomo wa kulaumu sana wanaume 😢 😢😢
@@mbekitv693 Nikuulize mtu akikwambia muachane kwanza eti mtafute maisha kwanza ndio mruadiane akuoe hio ni kweli ama ananicheza kwa sababu anasema anatafutia mtoto kwanza ndio ndoa ikuje
Hiyo ni kesi tofauti cos kila mtu ana namna yake yakutatua matatizo yako, so wewe ndio unapaswa umfahamu zaidi ili ujue nini ufanye kulingana na unavyomjua
Sawa ila nawao wnatakiwa wajue wake zao tabia gani awapendi kwa waume maana akuna mkamilifu chini ya jua kuna watu wanishi kwa vizur tu na waume lakini hao waume wanakuja kuyahalibu wenyewe wao ndo waanzilishi wao ndo wanakua chanzo mda mwingine
Umalaya katika dini yetu uwa ni deni, mkeo analupa bila ye kujua, au mwanao au dada au mama,kama upendi kusalitiwa usisaliti, ukimfanyia wa mwenzio na wako atafanyiwa, kujua tabia ya mme ata awe vp angalia ndugu zake wa kike au mkewe basi uampata
Mfano mi kaka nmekutwa kweny sim nachart na mwanamme akantumia na nauli ameona chart zote ila hajanioa apo itakuaje kweliiii ila skwenda nauli bad ipo kwa simu😢😢
Shukran sana kaka ila kuna baadhi yatu wanawake tunajitahidi kwa kla jambo ttz tumeangukia pua mwanaume ajali wala huruma na mkewe hana 😢😢tunafnya kla ktu wanachotaka ama tunachokijua kitamfnya mwanaume awemwenye upendo na mkewe ila waap tunajinunulisha ata vizawadi ili akirudi apate mabadiliko lkn bdo ssa uyu cio wakuoneshwa tena kakangu maana hanatoa ata hisani ya mtu anaye fnya hayo yote mwanaume ananuna mwez mzma ata iwe kosa ni lake yaani amesikia mwanaume ndo kichwa cha familia bc anajifanya Mungumtu wallah wanawake tunavumilia mengi mengine ni siri za wanandoa c vzr kutoa inje😢😢
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
Nakuunga mkono 💯 Ndio maana kuna somo hapo linasema mambo 5 yakuzingatia kabla haujaingia katika mahusiano. Huko sasa ndio wengi mnafeli hadi mnaangukia pua. Litafute ilo somo nzuri sn lipo hapa hapa
Wakati mkiwa kwenye mahusiano hauyaoni ukishaingia ndani ndo yanaonekana ss@@mbekitv693
Ahsantum kakaangu
Kweli mafundisho Yako ni mazuri sana hongera
Asante sana mpemdwa, usisahau ku subscribe
Elimu nzuri Sana hii, wanawake wenzangu tubadilike, tutunze mahusiano yetu jaman.
Shukrani
Kaka asante sana jaman ila kwa upande wangu namshukuru Mungu mie sio mchafu kuanzia mwili wangu, ndani ya nyumba yangu na hata eneo nafanyia kazi pana usafi wa kutosha. Kingine mie sijawahi kunywa pombe tangu nimezaliwa na hata sina shauku nayo na kwenye mapishi nimpe sifa Mungu amenipa uelewa wa kutosha na kama kuna ninachoshindwa huwa nawauliza wamama wenye hekima na wananisaidia. Cha mwisho namshukuru Mungu mie sio mtu wa kuongea hata kama kitu kimeniumiza sana na siwezi kukiuliza huwa nachukua muda napiga magoti namweleza Mwenyezi Mungu vile naumia na yeye ni mwaminifu huwa anaondoa kile kinaniumiza na kunipa furaha ya kipekee.
Ila kiukweli kuna baadhi ya wanawake wanawaumiza sana wanaume wao na hata mie nilikuwa na rafiki alikuwa na hiyo tabia nilimkanya akashupaza shingo nikaachana nae na ni mkubwa sana kwa umri na mpaka sahivi hajapata mtu kwasababu anamdomo wa kulaumu sana wanaume 😢 😢😢
Wooooow😀👏👏👏
Vizuri sana mpendwa huko vizuri kwakweli
tupe no ya mume wako tumuulze 😂 na majirani kwahyo wewe huna mapungufu😅😅
Karibu katika darasa langu la whatsapp tujifunze pamoja🤝 0659152333
@@mbekitv693 wooow nakutumia text now uniunge
Nakupenda brother unanishahuri nawunanicekesha sanaaa
@@BenimanaJeannette-b3r ahahah vizuri kama unaelewa pia😀
Brother Mungu Akuzidishie hekima zaaaaidi, Shukran saana
@@NasurAli-sx3bb asante sn mpendwa😊🙏
You have knowledge
@@BenimanaJeannette-b3r asante sn
Thank you Soo much for the lesson, watching from kenya
@@IreneLeonard-cw3xp Oh karibu sana
Noma sana
Yaani acha tu
Asante sana brother kwa mafundisho yako nmejifunza mengi, barikiwa🙏
Ahsante nakukubalii sana
Asante sana kijana wangu hata mimi mtu mzima nijifunza kitu kikubwa nitafanyia kazi Mungu akuongee marifa usadie wengi
Karibu sn mpendwa Mungu akuongoze pia🙏🥰
Kaka mawaidha mazuri sana pogezi sana
Asante sana🙏
Asante sana kwa ushauri mzuri, lakini tunaomba za wanaume wasiopendwa na wanawake.
Karibu sn mpendwa, Zinakuja soon😅
Thanks so much sister, my life changed so much after I started to follow and listern to your teachings, Iam learning everyday...❤❤🙏
Sister🤔 are you talking to me?
@@mbekitv693 😂😂😂😂😂😂 nilishtuka pia
Asante kaka kwa hiyo kumbe hakuhpi tendo la ndoa wewe yupo anayepewa duuu
Asante kakaangu mungu akubaliki
@@jasminikaundika Amina
Asante sana mwalmu mungu akuzdishie neema n marifa zaid maana nmjifunza mengi kupitia kwako yenye skkuw nmejuw n pia guzia kule kwngne,
@@AishaTrecy-t5h soon mpendwa😀
Kweli 💯 asante saaana mwalimu
Karibu
Mashaallah mafundisho mazuri sana,nimejifunza mengi,from Dubai
Ooh vizuri sn
Mafundsho mazuri sana,MUNGU akufikishe mbali sana❤
Amina mpendwa
Sana tuu
Ahsante sana
Karibu sn
Nimazuri sana hakika asante
Karibu saaana
Big up for your lessons Bruh unatufunza vyema🙌
Asante sn
Karibu kutazama video yangu mpya
Umenisaidia asante
Wooh 😊. Sasa usiache kusubscribe ili uendelee kupokea mafundisho mengi zaidi
Napenda kujifunza kupitia ww
Najiandaa kua mke bora
Wooow hiyo ni habari njema😀👏👏
@@mbekitv693 😊
Can I get your number for connection 😉plz
Mimi pia vingi alivozungumza huwa nafanya lkn ckujuwa km ni vya muhimu kwa mume
Kweli kabisaa
Napenda mafundisho yako watching from Saudi Arabia
Ooh asante sana wape salaam👋
Ushauri mzuri kabisaa
Kabisa mpendwa
@@mbekitv693 Nikuulize mtu akikwambia muachane kwanza eti mtafute maisha kwanza ndio mruadiane akuoe hio ni kweli ama ananicheza kwa sababu anasema anatafutia mtoto kwanza ndio ndoa ikuje
Sanaaa tu tumependana
Eeh
Mashauri mazuri
Asante sn
Asante kwa mafundisho ubarikiwe sana ntarekebsha
Good Mpendwa Mungu akubariki sn
Asante sana kaka kwa mafundisho najirekebisha pale nilikuwa nikikosea
@@Doreenkanario-o5u woow good mungu azidi kukupa hekima🙏
Atakaye fatiliya mafunzo yako hakika ayitaji kungwi.asante brother
😀
Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝
Asantee kwa mafundisho yako kaka
Karibu saana, na usiache ku subscribe🙂
Kweri kabisa kaka
Asante kwa somo Asante sana
Karirbu maana
Usisahau Ku Subscribe🙂
Asante sana baba yangu hakika umenielimisha sana
@@AnishaEmmanuelKananda oh vizuri sna kama umeelimika😊🙏
Sana tena sana nimekulibali
😀
waw asante san kwamaoni❤❤❤❤
Jazaakallah kheiry
🙏
Wakora waituu
😀
Mungu akujarie mwalimu ahsante Kwa masomo mzuri
Karibu sn mpendwa
nimependa mafundisho yako ni mazuri
@@blandinamanongi8818 asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
Sema basi na mwanaume ambae sisi wanawake hatuwezi kumpenda usilalie upande mmoja tu
Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
Nice
Shukran
Iyo nikweli kaka ang kutokuwa na heshima inatukost sana wanawake sema hatujui na ukiwwa na sifa hizi mwanaume atakupenda sana
Hakika
Asante kwa mafundisho mazuri ,mimi nimepona kwa sehemu
Good👏👏 basi usiache ku subscribe mpendwa ili tuendelee kuwa pamoja na kujifunza pamoja.
Asante kwa mafundisho
Karibu sn mpendwa Usiache Kusubscribe
Naomb no tafadhali
@@Neydanieldaniel 0659152333
Unayoyasema ni kweli kabisa,mwenye akil atayashika haya..darasa zuri kabisa
Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
😂😂 mbona midomo kweli wanawake midomo tupunguze 😂
@@elinazuberi2689 😀
Ushaur wako mzur sana asante ila tunaomba nayawanaume
Soon itakuja😀
umeongea ukweli sana aiseee
Asante sn
Mungu akubariki sana umeniamsha kwenye ndoa yangu
Wooow vizuri sana. Sasa subscribe ili uendelee kupokea masomo mazuri zaidi
Komaaa kabisa,Wasukuma ni wastaatabu na tunaheshima,futa kauli Yako chafu
🙏
Sijaolewa na ukoo mie sitaki nichanganyikiweeeeee😂😂😂😂
Yaani🤣
Mbona msimulizi ananichekesha jmn😂 karibunipsuke asante lkn❤
😅
Kaka nashukuru umeleta mafunzo bora kwa kweli
Asante sna mpendwa 🙂🙏
Nashukuru kwa ushaur naomb no yako tafadhali
@@Neydanieldaniel 0659152333
Mbona malaya😂😂😂😂
😅
❤❤❤ nakubali sana kaka
Asante sna sna mpendwa
Wafundeni nawao manakilasiku wanawake wanawake nanyie upeanesomo
Inshallah🙏
Vip kwa wale wanao kublock wakiwa na hasira unapta ata mwezi hakutafti,,,,,,iv mwanaume kma uyo utaendelea nae ,,,,naomb nishauri
Hiyo ni kesi tofauti cos kila mtu ana namna yake yakutatua matatizo yako, so wewe ndio unapaswa umfahamu zaidi ili ujue nini ufanye kulingana na unavyomjua
JE HII VIDEO IMEKUSAIDIA?
Ndio mwalimu imetusaidia saaana mungu akubariki🙏
@@Nonobellaaaaa Ameen🙏🏼
Imenisaidia Sana kwakweli Mungu akubariki asante
@@AugustPro-f3c Ameen🙏
Nice
Ansate 🎉🎉🎉🙏🙏🙏
Karibuu sana
Wanaopendwa wenzangu hapo kuna jirani yangu kila siku saa saanane anapomfungulia mmewake,yaani anaanza kumchamba dirishani😅😅😅😅
Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝
Ahaahahah🤣
Nimefurahi mafundisho yako nimejifunza mengi Allah akulipe
Amen🙏
Sawa ila nawao wnatakiwa wajue wake zao tabia gani awapendi kwa waume maana akuna mkamilifu chini ya jua kuna watu wanishi kwa vizur tu na waume lakini hao waume wanakuja kuyahalibu wenyewe wao ndo waanzilishi wao ndo wanakua chanzo mda mwingine
Sawa tutaongea nao pia..
Nashukuru kwa elimu hii najianda kuwa mke bora zaidi
@@روز-ق6ل Gooooood
😂😂😂😂😂umenichekesha umenielimisha siku nikimpata wakwangu ntajua pakuanzia
Kabisa 😂😂😂😂😂
Vizuri sana😀
@@janety1933 😀
Eeeeeeee😲😲😲😲😲😲😲tena
Sijaolewa na ukooo mm😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤aki ww unaongea kama ukona mmoja huwa unamuona ama ni wife😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤭🤭🤭🤭😷😷😷😷😷😷🙈🙈🙈🙈🙈
🤣
,🤣🤣🤣nmefurah san hapo kweny gubu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣haloooo nmefurah san😂😂😂😂
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
Nimesaidika haki from samburu
Karibu saana, na usiache ku subscribe🙂
Umenichekesha muelimishaji ety sjaolewa na ukoo!!😅😅😅mbavu zangu mimi
Ahahahah😅
Nimecheka Kwa Sauti 😂😂😂
Umalaya katika dini yetu uwa ni deni, mkeo analupa bila ye kujua, au mwanao au dada au mama,kama upendi kusalitiwa usisaliti, ukimfanyia wa mwenzio na wako atafanyiwa, kujua tabia ya mme ata awe vp angalia ndugu zake wa kike au mkewe basi uampata
😰
Asante kwa ukumbusho ila nmecheka kifala kwel kusikia Kulthum ndio nan 😂😂😂😂
😂 Ni vita🙌
Shukra sana
Karibu sana mpendwa
Wanaume wako waivio
@@adyeeribeatrice8136 wavipi
😂😂😂😂😂😂Kumbe kuna wanawake wanategemewa kwenda kusuta watu nimecheka kama mazuri
Aaah wapo hao😀
Asante kwa shauri
Karibu
Asante kakaake umetuerimisha
Karibu sn mpendwa
Ni kweli ❤😊
Hakika
Asante umenipa uelewa
karibu
Mwanaume não uwafunde
Sawa zamu yao inakuja
Jaman Kaka Mimi macho yangu ni ya aibu hata akinitambulisha kwa marafik zake siwez kuwakazia macho je na Mimi ni malaya
Asante mwalim mzri
Karibu sn
Asanteni kaka
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
Mmh
apo kwenye mdomo sasa ndio mana nimeachwa 😂😂😂😂
Kama atarudi najilekebisha😢asante Kaka May God bless you Amen
Hapa nilipo naitikia mhh mhh utadhani nimeolewa😂
Maandalizi ni mazuri kabla ya tukio so endelea kujifunza
Tena ngoja nikanunue savanna zangu ninywe nilewe zangu
Good😀
Hii video inafunza sana🤝
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
Asante!
Karibu sn
Anaongea peke ake kam anamajini😂😂😂😂😂...
😅
Yes thanks bro
Karibu sn
@@mbekitv693 asanet
Me kwenye kununa jamani mmh ndo tabia angu nmeacha kuanzia leo
@@DiannaJumanne-de1kk 😀
Video zako ni nzur zimenifunza kitu
@@JacklineMziba ooh nashukuru kusikia hivyo😊
Asante sana
@@PeterNambale-oq8ko karibu ssn
Mfano mi kaka nmekutwa kweny sim nachart na mwanamme akantumia na nauli ameona chart zote ila hajanioa apo itakuaje kweliiii ila skwenda nauli bad ipo kwa simu😢😢
@@davidnjile4995 umeharibu.. tulia na mmoja