Chanzo cha UGOMVI wako na KASSIM MAFUTA ni nini? | Sheikh Salim Barahiyan

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 380

  • @zedon2047
    @zedon2047 2 роки тому +15

    Wallah Sheikh Salim umeongea vizuri mno na umetuwekea wazi haya Majambo..!!
    Hakika endelea na Da’wah.. Allah akuhifadhi Sheikh wetu

  • @salehabri6957
    @salehabri6957 2 роки тому +5

    Shek mafuta KAZI ya kusafisha iendelee👍sms zinafika mahala pake.

    • @zedon2047
      @zedon2047 2 роки тому

      Jitu Ongo kama Mafuta asafisha nini zaidi ya Kuharibu.. jielewe ewe kijana

    • @bwagizoselemani8434
      @bwagizoselemani8434 2 роки тому

      Nikweli kasimu mafuta anaubish wa kidigo anakibri sana kila shekhe kwake hafai anamsema mpka kishki na hawezi fikia jitihada za shekhe kishki

    • @salehabri6957
      @salehabri6957 2 роки тому

      @@bwagizoselemani8434 ujahili umekuzidi

    • @hafidhsalum9149
      @hafidhsalum9149 2 роки тому

      @@bwagizoselemani8434 jitihada gani amefanya kishki tuelezee kidogo

    • @eng.saalim8646
      @eng.saalim8646 2 роки тому

      @@bwagizoselemani8434 hahahaha. Hebu acha kuchekesha watu

  • @user-hk6ls3yw9q
    @user-hk6ls3yw9q 10 місяців тому +1

    Allah akuhifadhi.

  • @nadirmahfoudh1812
    @nadirmahfoudh1812 2 роки тому +8

    Namuomba Allah aziunganishe nyoyo zenu kama ziiivyokuwa hapo awali.

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven Рік тому

      Hiyo haiwezekani kwasababu hiyo ni nature fitna ndio huenda hivyo. Hata huyo Mafuta atakuja kupingwa na yeye na kuendelea mpaka kiama wanafunzi wa wanafunzi wenu fitna huwa inaendelea

    • @salimakida95
      @salimakida95 4 місяці тому

      Haziwezi kwa sababu Nia zao zote ni tofauti,maslah mbele iwe mali au uongozi

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 9 місяців тому

    DHIKRI FIKFI SHUKRI SUBRI..

  • @sadambakari2579
    @sadambakari2579 Місяць тому

    Ndio mjue sasa kuwa uwahabi nifitna katika umma Kwahiyo elimu imekuja nanyi wengine wote waliopita hawajui dini mtihani huu Allah atunusuru nakina Barahiyan tufate wema waliotangulia

  • @AbdulkhadirMaulid
    @AbdulkhadirMaulid 4 місяці тому

    ALLAH akuhifadhi shekhe ila mioyo ilopigwa mihuri ya kiza na ALLAH haiwezi kupenya haki

  • @abuuirfan9523
    @abuuirfan9523 2 роки тому +4

    Tumekuelewa Mwalimu wetu Allah akuhifadhi

  • @Abuu-bakarHamzaAlawi-re6xq
    @Abuu-bakarHamzaAlawi-re6xq Рік тому +1

    Nashauri kama nyote ni Masheikh wa Da'awa ya Kisalafy basi muondoe tofauti zenu. Macho yetu waislam yako juu yenu

  • @hamadselfabdalla8344
    @hamadselfabdalla8344 2 роки тому +4

    Kundi la masalafi au kama mnavyojivuwa gamba mawahabi maanswari masalafi . mpasuko kwenu kitaifa na kimataifa ni tarajio .. Mnatumikia ajenda za kuwafitisha na kuwaf waislamu kwa kujuwa . HAKIKA ALLAH HAWAONGOZI WATU MADHALIM.

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 2 роки тому

      Maulidi kwisha alhamdulillah, uzushi ndani ya dini.

  • @abdallahjuma4397
    @abdallahjuma4397 2 роки тому +3

    Allah ajalie Yaishe haya nikikusikiliza ww naona kuna ukimsikiliza Abulfadhil poa naona kitu
    Mmekhitilafiana kwaajili ya Da awa wekeni nguvu kubwa katika kitafta Sulhu na si kuendelea kuyakuza.. Allah ni muweza wa kila kitu atalimaliza hili In Shaa Allaah watu wa Sunna wote watakuwa kitu kimoja Bi idhn Lilah

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 роки тому

      WALIGOMBANISHA WATU NA SASA ZAMU YAO😂. WAMEPIGWA HALBADIRI NA NAZI YA NJIA PANDA ZA SUFI😂😂😂. WANACHEZEA SUFI HAWAWAJUI. SUFI HAJIBU KWA MDOMO, ANASHITAKIA ALLAH SW TUU KWA KAFARA MOJA TU. MTUME SAW AMESEMA KUWA WAISLAMU IKIFIKA SIKU 3 HAWAJASEMESHANA BASI ATAEKUFA NI MOTONI. SASA HAWA NA MTUME WAO WA NAJDI KAZI WANAYO. mashekhe na dalili za motoni mnaziona. SASA WANAITANA MASUFI. WEE BABU BARAHIANI USHIKE ADABU YAKO MAANA MAFUTA HATUMTAMBUI KATIKA WATU WETU WA KISUFI NA UTUAMBIE KANYWA IJAZA WAPI???. WEWE MZEE HUYO MAFUTA NI MUWAHABI MWENZIO ATA UKIMKATAA NI BURE TUUU. SUFI HAKUNA WATU WAPUMBAVU KAMA HAO KWAIO USIMPE CHEO UKAMUITA SUFI, MAANA KUROPOKWA UPUUZI NDIO UPUMBAVU WENU.

    • @abdallahjuma4397
      @abdallahjuma4397 2 роки тому

      @@hilalkhalfan1452 muongope Allaah akisamehe ya akhy

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 роки тому

      @@abdallahjuma4397 HUO NDIO UKWELI. NA HIKO KIMAFUTA KAMA PICHA KAKATAA JEE SIMU KWANINI ANATUMIA NA ANATIZAMA PICHA ZA WATU WENGINE? 😂. AU KHARAMU NI PICHA YAKE TUU LAKINI YEYE KUTIZAMA PICHA ZA WENZAKE VIPI?. NA HUYU BARAHIANI KAVUNJA MAKABURI JEE NDIO ILIVYOKUWA TABIA YA MTUME SAW?. MAANA KAVUNJA KABURI LA MTU KISHA ANASINGIZIA KAVUNJA MIZIMU😂😂😂. MAWAHABI KWELI NI WEHU WAMEWEHUKA. MIZIMU IPO UKO KINYAMKERA AENDE AKAKATE MAPORI MAANA MIZIMU HUKAA MAPANGONI AU MAPORINI KWENYE MITI MKUBWA NA UKIENDA UNAO ANA LIVE NA MAJINI NA AENDE HUYO BARAHIANI KAMA CHUPI HAJAISHIKA MKONONI😂😂😂. ATI KAENDA KUVUNJA KABURI MASKINI NDIO ANAONA KAVUNJA MZIMU 🤣🤣🤣. MWEHU KUMBE HUYUU😳

  • @aishachande2224
    @aishachande2224 2 роки тому +2

    Mimi natamani ifike siku mupatane Allah aliwafikishe ilo

  • @alswahabein-99alkhazain91
    @alswahabein-99alkhazain91 2 роки тому

    Mashaa Allah sheikh ata uku 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wanatu sumbua sana

  • @abuuyusra6139
    @abuuyusra6139 2 роки тому +5

    Mzee uliulizwa maswali kumi na shekh Abul faadhl Qasim mafuta حفظه الله Fanya mpango wakuyajibu mamb yakae Waz me najuwa hauto wez basi jitahid ujibu ata Moja

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 2 роки тому +1

      Acha fitna na ushabiki kwenye dini!! Sasa kama tayar unajua hawez kuyajibu unakejeli ajibu nini sasa

    • @hamisrajab5340
      @hamisrajab5340 2 роки тому +3

      Uisilam nikuweka bayana Sasa kwanini asijibu kwahiyo unatetea ujinga

    • @abuuyusra6139
      @abuuyusra6139 2 роки тому

      Inamuwajibikia kutaraajai ktk Yale alio kosea jambo alijaisha Kwa kunyamaza kwake umetumia mzani gan mpaka ukaniona mshabik ktk dini lazima abainish ili mamb yakae saw

    • @emanuelkimalo4966
      @emanuelkimalo4966 2 роки тому

      @@Yu-jr9uf wewe ndiiyo unafitina nakingine aseme Ml 200 alitapeli saudia iko wapi

    • @zedon2047
      @zedon2047 2 роки тому

      Tutoleee Upuuzi hapa.. mambo yakielimu hatutaki Ujinga

  • @muniratalal9273
    @muniratalal9273 Рік тому +1

    Allah atuoneshe haqi tuifwate na baatil tuepuke

  • @user-nf6uk6kj6r
    @user-nf6uk6kj6r Рік тому

    جزاك اللهُ‎

  • @abdulhamidkassim7019
    @abdulhamidkassim7019 2 роки тому +1

    masha allah

  • @osmanabuu7989
    @osmanabuu7989 2 роки тому +7

    Allah akuweke sheikh Salim!!

  • @fadhilikizayi4182
    @fadhilikizayi4182 2 роки тому +6

    Nguzo kuu za mahizb ni tatu
    1.Uongo
    2.Hadaa
    3.Talbiis (Kuchanganya haki na baatil)

    • @costantinomnyanga8037
      @costantinomnyanga8037 2 роки тому +1

      Umeongea ukweli hawa mahizbi ni waongo na wenye kuchanganya haki na batili

    • @halidilikuse9742
      @halidilikuse9742 2 роки тому

      Una ushahidi gani kwa hilo usemaloo

    • @rajabumbendenga5480
      @rajabumbendenga5480 2 роки тому

      @@halidilikuse9742 UONGO namba 1 kusema kwake kuwa Sheikh Muqbil Rahmahullah alikuwa na ugomvi nao answar sunna wa Sudan

    • @halidilikuse9742
      @halidilikuse9742 2 роки тому

      Sahihi kwel kabisa nilisoma kwa nguzo za mawahabi

    • @zedon2047
      @zedon2047 2 роки тому

      @@rajabumbendenga5480
      Tukuletee ushawidi ewe kijana Mjinga usiyefanya Tafiti??

  • @abdallahabeid4138
    @abdallahabeid4138 2 роки тому +4

    Badala ya kuunga umma, tunajisifia ukubwa wa makundi na wingi wa misikiti. Tunatukuza mifarakano baina ya waislamu, makundi 72 aliyoyatabiri Mtume ndio haya.

  • @ramadhanswalehe8643
    @ramadhanswalehe8643 Рік тому

    Allah akufanyie wepes shekh barhiyan

  • @HasanatKhamis
    @HasanatKhamis 4 місяці тому

    Allah atujaalie tuwe ni wenye kufuata Qur'an na Sunna. Na atujaalie waislam woote tuwe kitu kimoja kwa kufuata nyayo za mtume صلى الله عليه وسلم. Na nyie masheikh pia Allah azidi kuwapa tawfiiq ili muweze kuondoa tofauti zenu na muweze kushikamana pamoja ktk Kamba ya Allah تبارك وتعالى ili Uislam uzidi kupata nguvu na kusonga mbele.

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 2 роки тому +11

    Salafy sio wabaya mm huwapenda zaidi pale wanapoingia peponi kabla ya kufa,na dini ni ya kwao tu ukienda kinyume na mitazamo yao ww ni kafiri sema bado kuvaa msalaba tu,Allah anatutazama tunavyoyakoroga halafu atupe tathmini ya matendo yetu,turudi ktk njia sahihi nayo ni kuheshimiana na kufuata muongozo sahihi wa qur an na sunna

    • @jabirmwalimu2104
      @jabirmwalimu2104 2 роки тому

      mjinga

    • @bilalhamisisalim1469
      @bilalhamisisalim1469 Рік тому

      دع الكذب!

    • @nassorsaleh2127
      @nassorsaleh2127 Рік тому

      ufaham wako mdogo kwenye dini

    • @majidiabdi424
      @majidiabdi424 4 місяці тому

      Eti sio WABAYA
      Wakati Kila asie jiita SALAFI wanamuiita ( HIZIBI ) au kuitana Majina MABAYA si katika UBAYA ?
      Usiwatakase Wanachama CHA kisalafi - wanawatusi sana Wasio kua wao Na Wana wadharau vile vile - Wakati Allah Mwenye Dini yake hakututaka Tue MASALAFI wala MTUME wake Hakuutangaza USALAFI - Na Hakuna Mlango kati ya Milango ( 8 ) ya JANNAH wa MASAFI.

    • @majidiabdi424
      @majidiabdi424 4 місяці тому

      ​@@nassorsaleh2127Mtume WETU ( S.A.W ) alitukataza DHARAU - lakini kwakua Mwatangaza USALAFI Badala ya UISILAMU madhambi kibao ya KUWATUSI WAISILAAM na KUA DHARAU - wakati Hakuna Mlango kati ya Milango ( 8 ) ya JANNAH kua Mlango huu Ni wa kila Alie jiita SALAFI

  • @ramaally9250
    @ramaally9250 2 роки тому +5

    shekh qasim unamsimulia lakini kumbe anaakili kweli kweli na anaonesha kumbe anaelimu kubwaa

  • @hafidhsalum9149
    @hafidhsalum9149 2 роки тому +7

    Na milioni 200 pia uzitolee ufafanuzi apo

    • @user-mt4rw1bu2f
      @user-mt4rw1bu2f 4 місяці тому

      Sahihi Akhuy milion 200 pia azitolee maelekezo

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 2 роки тому +1

    Allah amuongoze huyu mzee ktk haki kwasababu ni muongo sana tena sana wallahi yani ana chuki sana na sheikh QAASIM

    • @zedon2047
      @zedon2047 2 роки тому

      Wewe hutaki kuongozwa??! Au ushaongoka wewe..
      Hakika ujadida ni Maradhi

    • @ameerzulfiquar2111
      @ameerzulfiquar2111 2 роки тому

      @@zedon2047 na mbona mnatoa ilm kwa masalafi? Sheikh fawzan? Sheikh al albani rahimullah? Na sheikh wengi wengi tu,nyinyi ma ikhwani mnatabu sana, faham muhim sana omba dua sana kupata ilm ya manufa

    • @skozamsai2654
      @skozamsai2654 2 роки тому

      Ni kwa sababu wewe ni mfuasi wa sheikh kassim ndio maana umesema haya. Kuwa mfuasi wa Allah , acha kuwa mfuasi wa shekhe.
      Kitakachokutetea siku ya kiama na kaburini ni qur an na mtume muhammad tu na sio shekhe. Amka ndg qur an inatosha acha kutafuta kingine wakati qur an hujaimaliza kuisoma na kuilewa

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 2 роки тому

      @@skozamsai2654 UKITAKA KUJUA KUA ANACHUKI NAE SIKILIZA MANENO YAKE ANA UHAKIKA GANI GANI KAMA SHEIKH QAASIM ALIKUA AKIWATUPIA MAWE KAMA SIO CHUKI

  • @sheikhwalidalhadtv2950
    @sheikhwalidalhadtv2950 Рік тому +1

    Nyota mnasumbuliwa na I walaau na ubaraau na msipozitengeneza nafsi zenu mtaendelea kupata tabu na kupingana kila kukicha

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 2 роки тому +1

    Daaah painfull

  • @aboubakarynassor2508
    @aboubakarynassor2508 2 роки тому +2

    Sheikh asalaam alaikum
    Nauliza eti naskia uliwahi kusoma na mzee chilo

  • @mrangi4454
    @mrangi4454 2 роки тому +6

    Asalaam Aleykum sheikh hii ni Ramadan na unaposema kitu nivizuru uwe na ushahidi uoneshe

  • @kigu3
    @kigu3 Рік тому

    Mashaallah

  • @Kijokatv
    @Kijokatv 2 роки тому +2

    Changamoto hamtuungi ktk magroup ya sunna nandio mana tuna wa sikiliza sana kina mafuta tuungeni ili tupate hizi darasa

  • @hajjiramso1937
    @hajjiramso1937 5 місяців тому

    Shekh wang wa mahad

  • @ShabaniYusuph-ii1ru
    @ShabaniYusuph-ii1ru 4 місяці тому

    Yaani mizozo inayo endelea ndio napata picha kua hata uwe na elimu vipi lakini mpaka Allah akupe hekma na Busala na uwe na moyo wa kusubiri bila hivyo hata kama umesoma na ukiwa huna subira ndio ikitokea kukwazana tu kila mtu anaangalia mazwaifu ya mwenzie na kuanza kuyatangaza sijui utapata faida gani.

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 2 роки тому

    tatizo la watu wa zama hizi zetu kutoheshimiana , kuto fata maneno ya allah subhana wataala na mtume wake swalah allahu alayhiwasalam , kuona elimu za wenzao silolote wala sichochote wao na hii inaleta raka baina ya waislam na tumekatazwa kufarakana

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 роки тому +7

    Huyu kassim mafuta kila sheikh anagombana naye.Allah anamtosha

    • @halidilikuse9742
      @halidilikuse9742 2 роки тому +1

      Sio kweli wew ni muongoo

    • @emanuelkimalo4966
      @emanuelkimalo4966 2 роки тому

      Hivyo kama si mdogo wakuwaza watu wakikufuru wote nawe utawafuata kuwaridhisha au utafuata watu Acha ujinga wakuwaza

    • @lovepipy4811
      @lovepipy4811 2 роки тому

      Kaa usome kiazi wewe
      Huna unalojua...

  • @shaban6644
    @shaban6644 2 роки тому +2

    16:25 point to note

  • @darajanida
    @darajanida 3 місяці тому

    mtajuwana nyote nimawahab

  • @CalvinVenance
    @CalvinVenance 4 місяці тому

    Tatizo mane muogope mungu

  • @mrangi4454
    @mrangi4454 2 роки тому +3

    Kama kweli ni wailamu wazuri sio kukashifiana munge kaa chini mumalize tafauti zenu

  • @khalfansharji-ez7pg
    @khalfansharji-ez7pg Рік тому

    Miwahabi itamalizana oh oh oh kumbe Hela!!! Dini pembeni Hela Hela mshajulikana!!!

  • @saadahmed7459
    @saadahmed7459 2 роки тому

    Uyu mzee amejaa Hadaa,Talbis na urongoo

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 роки тому +2

    UWAHABI NI DINI MPYA BILA SHAKA
    NA MTUME WAO NI HUYO HUYO MUHAMMAD ABDUL WAHABI
    WALA HAWANA TOFAUTI NA WAKIRISTO KUJIFANYA NI WAFUASI WA NABII ISSA

  • @abuuqatada9791
    @abuuqatada9791 2 роки тому +5

    Chanzo hasa ni baada ya wew kuihalifu Haki tena uctafute chochoro

    • @zedon2047
      @zedon2047 2 роки тому

      Wewe waongea hivyo kama nani???

    • @zedon2047
      @zedon2047 2 роки тому +1

      Na ni Haki gani hiyo ambayo imekhalifiwa ambayo mwanzo ilikua inafuatwa??

    • @abuuqatada9791
      @abuuqatada9791 2 роки тому

      @@zedon2047 na wew umeniuliza ni Kam nan

    • @zedon2047
      @zedon2047 2 роки тому +1

      @@abuuqatada9791
      Lazma uulizwe kwasababu umeingilia mambo ambayo hayakuhusu..!
      Hapo pameongelewa chanzo cha Ugomgi baina ya Mafuta na Sheikh Barahiyan.. sasa wewe waongea hivyo kama nani!!?
      Wewe wahusika vipi kwenye Ugomvi huo??

    • @abuuqatada9791
      @abuuqatada9791 2 роки тому

      @@zedon2047 mhmmm yanayomuhusu ni Nani ikiwa humu yalimoekwa ni public media ?

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 2 роки тому +1

    MashaAllah

  • @sahirmwanyuki7091
    @sahirmwanyuki7091 Рік тому +6

    Sheikh muongo mie Kassim nimesoma nae na nimekuwa nae mtaa mmoja Kassim katika ukuwaji wake akuwa mtu wa kuweza kufanya hayo anayozungumza amtafute sababu nyingine

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 9 місяців тому

      We mjinga sana kwani yy nani
      Toka apa h
      Jahil mjinga ww

    • @Kombo2989
      @Kombo2989 6 місяців тому

      ukitaka kujua kuwa Mafuta ni shida kwanza hapendi kuksolewa wala kushauriwa. tafuta post za mafuta hasa anazokashif wezake kama coment zinaruhusiwa. sasa kama mafuta ni mkweli si aache watu wacomet

    • @massoudhaji8963
      @massoudhaji8963 5 місяців тому

      Tushakufahamu

    • @auroxenterprises8003
      @auroxenterprises8003 5 місяців тому

      Wale mbodigadi aiyo weka unna mtuju mafuta wewe Kwa kiburi

  • @hamzayusuf2999
    @hamzayusuf2999 2 роки тому

    nikweli mowlidi ni dini mungu amesema nyenye mawahabi ni makafiri

  • @allyjaffar7072
    @allyjaffar7072 7 місяців тому

    Narudia tena hizi ni POROJO...jizee hili Allaah alirehemu

    • @user-mi3cs9lc6y
      @user-mi3cs9lc6y 7 місяців тому

      Mimi no mtu was madufu ila hukutakiwa kusema jizee.

    • @allyjaffar7072
      @allyjaffar7072 7 місяців тому

      @@user-mi3cs9lc6y Bali nilitakiw kusem vipi kinyume na jizee

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 6 місяців тому

      Unatumia matako kufikria tumia akili Yako kenge ww

  • @abuunuumaan6590
    @abuunuumaan6590 2 роки тому

    Wacha Elimu iongoze, Sheykh Qaasim aliyemwinua ni Allaah sivinginevyo. Pana Elimu kubwa pale Pongwe. Tuitafute Elimu ndugu zangu, tuache kupoteza mda na uchochezi. Watu wanastafidi wanapanuka kifikra kila kukicha, Wallaah anaewasema vibaya masheykh wa Pongwe Bado Allaah hajamuinua au hawafaham wala hajawadiriki anasikia sikia tu. Pale ni Dammaj ya Tanzania, Wallaah, Elimu kubwa ipo pale. Namuomba Allaah atuoneshe Haqq.

  • @mkanash3144
    @mkanash3144 2 роки тому +3

    Binafsi bado sijaridhika na hatua yenu ya kunyoosheana vidole wenyewe kwa wenyewe

  • @jumasakatai5115
    @jumasakatai5115 2 роки тому

    Asalam alyekum shekh salim bariyan bado swali ulyoulizwa ninzuri ugovi wako na shek kasim mafuta ni dini au nimasilahi.kwasababu unatoa maelezo tu au tatizo ni picha ndio ugovi bado hujajibu swali.ugovi wako na kasim nini jibu

  • @user-vg3bf5vi1y
    @user-vg3bf5vi1y 2 роки тому +4

    As-lam a'aleykum 👋 Shekhe tafadhari chuo kipo wapi naitaji kusoma Dini pia 🙏

    • @osmanabuu7989
      @osmanabuu7989 2 роки тому

      Njoo Tanga Ansaar Muslim Youth centre. Tuta kupeleka Mahad Al Imamu Shafiy!!

    • @user-vg3bf5vi1y
      @user-vg3bf5vi1y 2 роки тому

      @@osmanabuu7989 Shukran mie Niko tabora hapa wilaya ya nzega

    • @abdujalilukilahama1209
      @abdujalilukilahama1209 2 роки тому

      @@osmanabuu7989 Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh vp Hali shekh Osman

    • @Abuuabdillah259
      @Abuuabdillah259 2 роки тому

      Nenda pongwe

    • @user-vg3bf5vi1y
      @user-vg3bf5vi1y 2 роки тому

      @@Abuuabdillah259 as-lam a'aleykum 👋 Shekhe nivuzur ninge pata ma wasiliano kwani mie katika mji huwo Ni mgeni kabisa 🙏

  • @saulomsangi5237
    @saulomsangi5237 2 роки тому +3

    assalamualaikum ningeomba muwaweke meza moja alafu muweke mada au hilo swali mbele yao

    • @mohdaliothman174
      @mohdaliothman174 2 роки тому +2

      Ni sahihi, ila kuna maelezo kutoka kwa sheikh Kassim kuwa alitaka mjadala na huyu mzee kuhusu tuhuma hizi lkn sheikh SALIM alikataa, cjui kuna nn hapa
      Ni vzr wawakutanishe meza moja tujue ukweli

    • @alihamisi1631
      @alihamisi1631 2 роки тому +1

      Itakua nzuri sana

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 2 роки тому

      Huyu muongo ndio maana ataki

    • @abuunuumaan6590
      @abuunuumaan6590 2 роки тому +1

      Wacha Elimu iongoze, Sheykh Qaasim aliyemwinua ni Allaah sivinginevyo. Pana Elimu kubwa pale Pongwe. Tuitafute Elimu ndugu zangu, tuache kupoteza mda na uchochezi. Watu wanastafidi wanapanuka kifikra kila kukicha, Wallaah anaewasema vibaya masheykh wa Pongwe Bado Allaah hajamuinua au hawafaham wala hajawadiriki anasikia sikia tu. Pale ni Dammaj ya Tanzania, Wallaah, Elimu kubwa ipo pale. Namuomba Allaah atuoneshe Haqq.

  • @mohamedali7544
    @mohamedali7544 Рік тому

    Tumuogope Mungu tendeee mbele dini baadae

  • @selemanijafari9225
    @selemanijafari9225 9 місяців тому +1

    Mimi toka nijue picha haramu sipingi na sijazurka chochot

  • @mohamedabdul2045
    @mohamedabdul2045 5 місяців тому

    Muulize million 200 za msikiti wa moshi zipo wapi na alimpa nani?Maana anadai alimpa abuu Na,anadai aliweka bank.Malaka ya barahiyan

  • @MohamedMgwami-nw6bl
    @MohamedMgwami-nw6bl 10 місяців тому

    Mawahabi ni sumu mbaya kwa waislamu,sasa ndio kila mmoja wetu awatambue hawa watu,watu hawa hawana kheir nasi,

  • @muhammadhassanmsaky375
    @muhammadhassanmsaky375 2 роки тому +4

    Muulize milioni 200 hikowap?

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 2 роки тому

    hapo sawa imeeleza vizuri juu ya swala la answari kua si madh-heb

  • @abuuammar4924
    @abuuammar4924 2 роки тому +3

    Kumbe aliijua sunnah akiwa kisauni mombasa,mbna unatwambie aliijua sunnah kupitia nyinyi?...alaf najua shekh Qaasim alitoka pongwe na akaenda tamta makao makuu kusoma wala hakuungana na nyinyi ila baada ya kutoka mombasa ambapo huko ndo aliifaham sunnah

  • @karamaabeid9697
    @karamaabeid9697 2 роки тому

    Mmmh hebu tusubiri ramadhani ipite tutajua ni ya kweli hayo uliozungumza maana kwa uongo pia hujambo

  • @lovepipy4811
    @lovepipy4811 2 роки тому

    ACHENI MHEMUKO VIJANA SHEKH WENU ANAPOTOSHA UMMA.....
    HUYU BARAHIYANI NI HISBI LABDA ABADILIKE..

    • @zedon2047
      @zedon2047 2 роки тому

      Toka na Upuuzi wako hapa.. Hatutaki Porojo wala Mipasho hapa.. hizi ni sehemu za kielimu

    • @auroxenterprises8003
      @auroxenterprises8003 5 місяців тому

      Milioni 200 mulize shekhe wako upo wapi

  • @attyambaraka3756
    @attyambaraka3756 2 роки тому +2

    Barahiyani jibu maswali uliyoulizwa.... Milioni 200 umezipeleka wapi

    • @zedon2047
      @zedon2047 2 роки тому

      Tutolee Mipasho hapa

  • @salumjabir813
    @salumjabir813 2 роки тому +1

    Raha jamani....mnovokurofshana wenyewe kwa wenyewe...RAHA MNO.

  • @rashidwesonga7475
    @rashidwesonga7475 Рік тому

    Hao mafuta wanaleta fitna msikitini lakini hawatafaulu kwa uwezo wa Allah

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 2 роки тому

    Wew kweli bado kumbe

  • @abuuqatadah6903
    @abuuqatadah6903 2 роки тому +2

    Nilichofrahi ni kuwa raddi anazokuchapa umeziskiliza.
    Lkn ttz ni kuwa kuna maswali amekuuliza ktk hz raddi na hujayajibu.

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 роки тому +4

    Kuna WATU ukiwajibu ,ktk Maisha na kuruhusu malumbano nao unashusha utu na heshima yako shekh,na huyo NI MTU anapenda kupewa cheo na uongozi,achana nae shekh atakupotezea muda .

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 2 роки тому

      Kwanza uko mbali na dini angalia picha uliyo weka ktk profile yako ni dalili kua huna ufahamu ktk dini yako

  • @abuuthauran9933
    @abuuthauran9933 2 роки тому +2

    Hujavunja kitu babu, dawa ya salafy inachanja mbuga, mahzibi nyinyi kazi yenu ni maslahi 2.
    Mbona huyasemi hayo babu.

    • @zedon2047
      @zedon2047 2 роки тому

      Hatutaki Mipasho hapa..

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 Рік тому

    Mawahabi mawahabi mawahabi mnataka nn ktk huu umma wa kiislamu...rudini ktk usufi muone namna uislam ulivyo mzuri....sio kufaraqana na kuugawa umma wa kiislam

  • @stn4873
    @stn4873 2 роки тому

    Mzee Nimekuelewa.

  • @mwambashiiddi9295
    @mwambashiiddi9295 7 місяців тому

    Mgogoro haukuanza kuhusu picha
    Chanzo ni ibn siinaa
    Na ww wasema imesemekana katubu na hakuna ubainifu kuhusu hilo .
    Ibn siina ni shiyaa qurmutwiiy.
    Halaf jambo lingine ww wawatukana baadhi ya wanawachuoni
    Halaf wawakumbatia mashekh waliopinda mpka sasaaa .
    Mambo yapicha sio chanzo cha mgogoroo

  • @abuuqatada9791
    @abuuqatada9791 2 роки тому +1

    Pale ulipochukuw millions 200 na ukasema kuw umempa Al akh Fulani haliyakuwa ni uongo na sheikh Qassim Mafuta anakutaka ukafanye mubaha na uyo uliejidai kuwa umempa millions 200 ten uctafute chochoro

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 2 роки тому

      Hayo ni mambo binafsi ambayo hakuna mwenye ushahid wa 100%, hukumu da'wah yake tuone wap amepotoka

    • @abuuqatada9791
      @abuuqatada9791 2 роки тому

      @@Yu-jr9uf Mh hapan anaeushahid vip wakat sheikh Qassim ameapa viapo vyote juu ya hili na mwenyew Barahiyan hajalikana hili na hatolikana katik maish yake yote maan Lina ukwel ndan yke

    • @samirhumud7408
      @samirhumud7408 2 роки тому

      Si mutafute za kwenu ,acheni izo tabia

    • @abuuqatada9791
      @abuuqatada9791 2 роки тому

      @@samirhumud7408 mhmm

    • @abuuqatada9791
      @abuuqatada9791 2 роки тому

      @@samirhumud7408 Apo sas sindano imefika sehemu husika

  • @muuhjunior3139
    @muuhjunior3139 Рік тому

    Nimefatilia huu mgogoro kwa mda mlefu hapa sasa naanza kupata mwanga

  • @swaleheurassa4535
    @swaleheurassa4535 4 місяці тому

    Kwanini mlitaka Riba? Kama kweli mnamuogopa Allah..

  • @mbaarakmuhammad671
    @mbaarakmuhammad671 Рік тому

    Nyie nyote vichwa hamna kila mtu million 200 ziko wap suala la din mbele maslahi baadae

  • @khadijabakari461
    @khadijabakari461 Рік тому

    Eti shekhe chombo ulichoweka nyama yangulue unakitwahalishaje?

  • @user-zz9bj1wh5i
    @user-zz9bj1wh5i 3 місяці тому

    Uhongo

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 5 місяців тому

    Mwambie huyu Biriyani arudi kwao Yemen aache kuishi Tanzania kuchonganisha watu na kuiba pesa za mawahabi wa Saudia

  • @abuuabdillahsalafimhapa3839
    @abuuabdillahsalafimhapa3839 2 роки тому

    twaijuwa da´awatussalafiyyah haya maneno yako yana kanganya

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 5 місяців тому

    Ugomvi wao ni kugombana mabasha kuwafira. Wote wawili Wasenge

    • @saidibahai3756
      @saidibahai3756 4 місяці тому

      Mche mola wako mbona maneno hayana afyaa jitaidi kuhifadhi ulimi na heshima za wenzio

    • @salehaljadidi8206
      @salehaljadidi8206 4 місяці тому

      @@saidibahai3756 Usimtetee mwizi aliyetoroka kwao Yemen.

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 9 місяців тому

    ,lambda mwalimu wakufundisha.zulma hiyo ndio fani yake

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 2 роки тому +1

    Sheikh mimi binafsi naona maulid nimazuri hatakama ni uzushi

  • @user-wy7om5ln7l
    @user-wy7om5ln7l 11 місяців тому

    kwaiyo kabla ya ww barahiyan kuanza daawaa hapa tz uislam ulikua haupo?

  • @user-wy7om5ln7l
    @user-wy7om5ln7l 11 місяців тому

    kumbe khitilafu unakiri kua zipo hata kwa wanazuoni inakuwaje muwatukane maibadhi nakuwaita makafiri kwa kukhitilifiana tu hamuoni kua munakosea?

  • @jumanasoro8903
    @jumanasoro8903 2 роки тому

    Hichi kimafuta tumbo tu lamsumbua na kutaka umaarufu kwa kumchafua mwenzie na kumvunjia heshima na wala hakuna kingine

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 2 роки тому

      Kalale

    • @jumanasoro8903
      @jumanasoro8903 2 роки тому

      Peleka uchizi wako, nyinyi ndio wale masalafi wavuta bangi wenye kuwatusi watu

  • @yahayasalum2943
    @yahayasalum2943 2 роки тому

    othman sheikh wa visa tuuuu

    • @mohamedhamismagoraonlinetv459
      @mohamedhamismagoraonlinetv459 Рік тому

      Kwahiyo kauli ya M'Mungu kuwa visa vina mazingatio uniapinga. una akili kuliko Mungu sasa eeeh? umekuwa eeh?

  • @alkharoussalim539
    @alkharoussalim539 4 місяці тому

    😂😂Nyote Mnangombania Mali Na Ulwa

  • @mashaurimvungi2232
    @mashaurimvungi2232 2 роки тому

    Habari yako imeishaga wadanganye hao ulionao hapo watu wameshakujua uhizibiya wako wa kisururii

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo Рік тому

    Hizbi barahiani na mazezeta...yake...jibu hojaaa ewe hizbi

  • @slimshariff1096
    @slimshariff1096 Рік тому

    Mafuta NA baraiyan hakuna zaidi ya ugomvi wenu zaidi ya maslah . mines has a mbar atoms NA bado

  • @saidjoka1282
    @saidjoka1282 2 роки тому

    ULITUKANA MASHEKH HUNA ADABU SASA NA WEWE WACHA UTUKANWE WEWE MUHUNI TU

  • @nassirmohd2851
    @nassirmohd2851 Рік тому

    Afsaddtum wallaaahi na hilo liko waz hilo

  • @jumaajunior7914
    @jumaajunior7914 5 місяців тому

    Tatizo matumbo masheghe

  • @leonardmbonea4117
    @leonardmbonea4117 2 роки тому

    eti hali wote ni answar sunna makhurafi kwao kila mtu ni answar sunna

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 Рік тому

    Hakuna picha yahalali zote niharam hakuna kitu kama hicho

  • @ashasaleh2719
    @ashasaleh2719 2 роки тому

    Kwanin redio unguja haipati kani

  • @salumrashidabdullashmely2558
    @salumrashidabdullashmely2558 5 місяців тому

    Mnagombea 200m zilizotoka kwa mayahudi.

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 2 роки тому +1

    Ishindeni fitna na kiwingu cha shetani pataneni nyie ni itikadi moja

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 2 роки тому +2

    Hawa masheikh wanoitwa "wabidaa" hawafanyi sunna katika ibada zao na sunna wanazikataa?Naona majina mabaya tu wanayopewa waislamu ili kuendeleza mgawano,kama huyu sheikh alivyitwa wa bidaa,hizbi,ni hivyohivyo kwa mashaikh wengine.Maadui wa uislamu wanachekelea.Ndio nguvu yao inapokua.

    • @rashidihemed5487
      @rashidihemed5487 2 роки тому

      Tufahamishe ni Sunna gani hatuifanyi mbona hujui hata kujieleza

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 2 роки тому

      @@rashidihemed5487 usikurupuke sheikh.soma vizuri uelewe ndipo ujibu,na jibu lako liwevla maana.

    • @rashidihemed5487
      @rashidihemed5487 2 роки тому

      @@mzeerajab9154 sema ulichokusudia ili tueleweshane