SHEKH DIWANI APIGIKA HADHARANI//KITOTO CHATANGAZA VITA YA ELIMU//

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 123

  • @hijahamadi5793
    @hijahamadi5793 Місяць тому +1

    Allahu akuhifadhi na akuzidishie elimu na hekima.

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 29 днів тому

    MashaaAllah Sh.Baqir💯

  • @ABDALLAMUSSA-fz9fh
    @ABDALLAMUSSA-fz9fh 12 днів тому

    Mashaallah

  • @hassanmohdally5217
    @hassanmohdally5217 Місяць тому +5

    Mungu amuongozee diwani aisee anakurupukaa sanaa nilikuwaa namsikilizaa sanaa Ila sasahivi nimtihani sanaa

  • @OmariOmari-y8h
    @OmariOmari-y8h Місяць тому +2

    Tatizo la diwani mmungu atamdhalilisha sana kwa sababu ya kukataa haq na kuwatukana wenzake allah atamlipa hapa hapa duniyani

  • @eidallyeidally5093
    @eidallyeidally5093 Місяць тому +4

    yusuf diwan kama hajui neno الله linamaana gani mnamuitaje shekhe

  • @HakimRamadan-kl1hx
    @HakimRamadan-kl1hx Місяць тому +1

    Twamuomba Allah kuidishie hekima ❤❤

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  Місяць тому

      @@HakimRamadan-kl1hx Amin kwa sote

  • @saidimatezo6273
    @saidimatezo6273 Місяць тому +1

    Mnapoandika neno Allah...msianze na herufi ndogo 'a'...anza na herufi kubwa 'A'

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  Місяць тому

      @@saidimatezo6273 ahsante kwa ukumbusho

  • @jafarikaoneka4890
    @jafarikaoneka4890 Місяць тому

    Baarak Allah fyk.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Місяць тому +2

    Diwan n mganga mbona tunajua wote
    JAZAKUM ALLAHU KHAYRAN

  • @hudhaifahsadru-xr2gg
    @hudhaifahsadru-xr2gg Місяць тому +3

    NI MAAJABU YAANI MTU ANAKATAA VIGAWANYO VYA TAWHEED LAKINI MTU HUYOHUYO ANASEMA ALLAH WAPO WENGI.

    • @FatmaaMussa
      @FatmaaMussa 17 днів тому

      Hakuna anasema Allah wapo wengi Bali Allah yupo hana mahali hahitajii mahali

  • @khadijaiddi9422
    @khadijaiddi9422 Місяць тому

    MaashAllah

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 Місяць тому

    Wallah Yusuphu hana imefikia hata Grama ya kiarabu anasema uongo pia anatumia vitabu vya mashia

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 Місяць тому +1

    Huyu Yusuf diwani ni Tapeli na mwizi Allah atamdidimiza!!!

  • @abuuhandhallah7567
    @abuuhandhallah7567 Місяць тому

    Kwani kunagombewa nini hadi kufikwa kwenye maneno yaajabu kiasi hiko maana hata kama hujasoma basi ndii utafsiri upuuuzi au lengo nikumkasirisha allah
    Allah atuongoze na awajalie utulivu wanao taka kuleta ufundi kwenye dini ambayo amesha ikamilisha

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu Місяць тому

    Katika majina yote 99 ya Allah sijawahi kuona mungu yoyote wa makafiri wamempa jina hilo sijaona diwani amelaaniwa ulimi wake kwa unafiki

  • @Bantu-u9m
    @Bantu-u9m Місяць тому +6

    Je Alla katika aya ya 65 Ankabuut Niipi kati ya namna ya Diwani na ya Maulamai? Eee!Diwani we Mche Alla . Nasema humu kwakuwa ametufungi comments .

    • @SalhaAlly-x8q
      @SalhaAlly-x8q Місяць тому

      Diwani ni mshirikina lazima atetee shirk yake ndo inampa maisha

  • @AthumanAthuman-b6q
    @AthumanAthuman-b6q Місяць тому +2

    Mshika mawili moja humponyoka,abaki nahuo uganga wake tu.

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 Місяць тому +4

    Mackini Diwali linashindwa na hiki kitoto kw elimu na hikima yy limekalia USHINDANI tu😂

  • @othmanramadhani6962
    @othmanramadhani6962 Місяць тому +3

    Amejichanganya diwani

  • @CheniShauri
    @CheniShauri Місяць тому

    Ahllwa akujaze hheri tutafika tu

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 29 днів тому

    AL-QURAN (2:269)
    Yeye humpa hikima amtakaye; na aliye pewa hikima bila ya shaka amepewa kheri nyingi. Na hawakumbuki ila wenye akili.

  • @abuhamissi9082
    @abuhamissi9082 Місяць тому +8

    Alafu diwani. Mwenyewe alivyo kua mnafiki. Kafunga coment. Maana anajua kua hana hoja. Yeye hojayake ni matusi tu.

    • @nasoros.mgungo5502
      @nasoros.mgungo5502 Місяць тому

      Mbona page nyingi za Masalafi wanafunga sehemu za comments.

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 Місяць тому

      ​@@nasoros.mgungo5502kiama utasimamishwa pekee yako kaka, acha kutetea upotovu

    • @AdnanMohammed-l6i
      @AdnanMohammed-l6i Місяць тому +1

      Acha uongo ww masalaf hawafungi coment bu mtaje mmoja ktk hao

    • @mahadhikawia3610
      @mahadhikawia3610 Місяць тому

      Wakati wa majadiliano yanayoendelea comments zisifungwe , Ila katika Darsa mahsuwsi kwa kundi fulani mnaelewana.

    • @abuhamissi9082
      @abuhamissi9082 Місяць тому

      @@AdnanMohammed-l6i ingia kwenye UA-cam. Uangalie. Hufunga coment Acha ubishi sheikh wangu

  • @mahadhikawia3610
    @mahadhikawia3610 Місяць тому +2

    Diwani alizidi,Wacha anyooshwe.

  • @Bantu-u9m
    @Bantu-u9m Місяць тому +3

    Sheikh Baqir,nakuomba umshauri Ndugu yoko Sheikh Alghazal atufungulie ulingo wa comments.

    • @jordan.3109
      @jordan.3109 Місяць тому

      Hahahaha
      Umeona enhe

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e Місяць тому +1

      😂😂😂😂hawezi kufungua kamwe anajua kua anavurundaaaa

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Місяць тому

      😂😂😂 mchokozi ww​@@RamadhaniShembilu-l1e

    • @lacroquetalacroqueta6813
      @lacroquetalacroqueta6813 29 днів тому

      Haahahahahahahahah ujasiri wao katika video kutukana lakini wanaogopa kufungua kibox cha comments

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 Місяць тому +1

    A.alaikum
    Yussuf Diwani ana kibri ni sawa na yule mshia Shaffii Basalim

  • @kassimumikdad1611
    @kassimumikdad1611 Місяць тому +1

    Hata katika maswahaba kulikua na vitoto viliwashinda kibari sahaba, kwahiyo siokiroja, wala dalili ya qiyam, ila upotoshaji umekua mkubwa sana, Allah anawaleta waibainishe haki ya Elim usi one ajabu.

  • @SaleheKhamis
    @SaleheKhamis Місяць тому

    Kikatoliki huchoooo

    • @hudhaifahsadru-xr2gg
      @hudhaifahsadru-xr2gg Місяць тому

      Umefika mbali, tunakupa udhuru huenda wewe ni jahil, kama una elimu, hili neno litakudhuru

    • @OmariOmari-y8h
      @OmariOmari-y8h Місяць тому

      Katoliki sheh wako na tafsiri yake mpaka mchungaji anmuunga mikono

  • @maralsaally4253
    @maralsaally4253 Місяць тому +2

    Mwlm una mbwe mbwe 😂 hadi raha

  • @abalkaram786
    @abalkaram786 Місяць тому

    @all
    HICHI KIJAMAA KINATAKA KUJUILIKANA KUPITIA DIWANI.

    • @MussaSeif5G
      @MussaSeif5G Місяць тому +1

      Acha ushabiki wa kipumbav ww
      Vitabu kadhaa wakadhaa anakuoneshen hapo hamuelwe nyinyi mbn mnakuw punguan nyny

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e Місяць тому +1

      Wewe nipunguani kwani husikii kinachosemwa au diwani nimgangawako ndomana watetea?😂😂😂

    • @suleali4915
      @suleali4915 Місяць тому

      Hahahahah nyie wabishi tutaenda hivyo hivyo munavyotaka hamuezi kutuvunja moyo nyie vikatoliki vichanga

    • @OmariOmari-y8h
      @OmariOmari-y8h Місяць тому

      Tatizo LA diwani anabainishiwa Haq ila hataki kazi yake ni ushirkina

  • @SharifRashid-g1j
    @SharifRashid-g1j Місяць тому

    Hujuwi Jambo

  • @AdnanMohammed-l6i
    @AdnanMohammed-l6i Місяць тому

    Diwani ka

    • @AdnanMohammed-l6i
      @AdnanMohammed-l6i Місяць тому

      Diwani kaishiwa hoja ya kielimu anasema Mawahabi wakisema Allah cyo Allah wa waislam je wanapo soma azana wanamkusudia nani?

  • @HamzaAmani-b5j
    @HamzaAmani-b5j Місяць тому

    Jamani acheni ushabiki ichikitoto bado kipo kwenye maelekezo qor an bado hajajua hatamimi nilikua mjinga hivyohivyo baada yakuelekezwa nakuzama nikajua tafasili anayo toa ninyepesi sio yakibobezi katikadini bado huyo msimpe kichwa

  • @aboubakarjimmy5465
    @aboubakarjimmy5465 Місяць тому +1

    Ao ma sheikh wetu na ujuzi wawo walio nawo wawe makini wasije kujikuta yote wanayo yafanya wasijikute Kwenye Dhambi la RIYAA na Riyaa hiyo ikaja kupelekeya Kwenye Shirki na Shirki ikaja kupelekeya kwenye KUFRU "
    WAWE MAKINI KABISA, WACHUKUWE TAHADHARI "

  • @elizabethandrea3122
    @elizabethandrea3122 Місяць тому

    Munaudharirisha uislamu kutwa mitandaoni

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b Місяць тому

      Kivipi dada yangu sijakuelewa?

    • @MbwanaHusein
      @MbwanaHusein Місяць тому

      Unao ushaid kama kusomasha elimu mitandaoni nikuzalisha uwisilamu au nitazamo wakotu

  • @SadickMussa-g6h
    @SadickMussa-g6h Місяць тому +1

    Msiwe mnamwandika sheikhe huyo Yusufu, bali yeye ni Muhuni Fulani tu

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 Місяць тому

    Diwani amekufaa bado kuzikwa tu

  • @mzeemmwinyihajihatibuhatib9331
    @mzeemmwinyihajihatibuhatib9331 Місяць тому +1

    Huenda sio akili zake kwa Diwani sababu amemshinda Hadi Abuu jahal.
    Tatizo mbona hafungui comment tumuulize maswali?
    الله المستعان

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 Місяць тому +2

    Diwani haja ghafilika diwani kilele zote anatetea uganga wake sababu ndo unampa ugali
    sasa lazima atumie quran kuwashawishi watu ili wamuamini hata kama qurani atachafua tafsiri yake

    • @issaabdallah1205
      @issaabdallah1205 Місяць тому

      Ndo maana diwani aksami 3 za tauhidi hazitaki hususan uluhiyya
      Hii uluhiyya inakataza uganga directly akizikubali aksami 3 hizi uganga atafanya wapi ?

    • @issaabdallah1205
      @issaabdallah1205 Місяць тому

      Yupo tayar akufuru lakini maslahi yake ya dunia yabaki salama

    • @issaabdallah1205
      @issaabdallah1205 Місяць тому

      Yisufu ana KIBRI mtume kasrma kibri ni kuikataa HAQI Baada ya kubainishiwa

    • @darajanida
      @darajanida Місяць тому

      ​@@issaabdallah1205 tahadhar na porojo zako izo

    • @saidimatezo6273
      @saidimatezo6273 Місяць тому

      Na hii ndio sababu kwanini diwani ako tayari kuichafua quran ili kutetea uganga wake...kwasababu asili ya kuwa mganga mpaka ukufuru...ndio maana yeye hajali...ashauza akhera yake kwa manufaa ya dunia yake....So kwake kutubu ni ngumu sana maana ashachukua ahadi na shetani kwakupatiliza dunia yake.....Kwahivyo masheikh endeleeni kuwafundisha wsislamu kwa kufafanua ili watu wamulewe na wselewe ushirikina wake na wa waganga wote kwa ujumla....

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 Місяць тому

    Tunaanza kushare ktk magroup ili watu wamjuwe Yusuph zwazwa

  • @MussaSeif5G
    @MussaSeif5G Місяць тому +1

    Diwan si sheikh ma matus yale nahis alikuw akivut bangi kwanz ndo anashik maiki kutukan wasomi

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q Місяць тому +1

    Diwani anahoma ya akili lazima mumtambue mtu jaman diwani anaugua kwan kibr ni maradh

  • @ramadhaniomary7083
    @ramadhaniomary7083 Місяць тому

    Diwani anajua shida ni kwamba hamheshimiani sasa kama huyu nae anabishana na wakubwa zake kwakua anaitwa shekhe hii sio sawa adabu inahitajika

    • @OmariOmari-y8h
      @OmariOmari-y8h Місяць тому

      Diwani SI mtume atakapokiseya atakosolewa haijalshi kakosolewa na nani

  • @Smart_jarm
    @Smart_jarm Місяць тому +1

    KATIKA HALI KAMA HIZO😂😂😂

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Місяць тому

      Katika hali za namna hyo😂😂😂

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 Місяць тому +1

      Nyie wajinga mmenichekesha hadi wife kanimaind😂 ktk hali y namna moja ama nyengine 😅

    • @zuberimussa5508
      @zuberimussa5508 Місяць тому

      HIYO KAULI ANAITUMIA KUPOZA MOYO MAANA UNAMSUTA KWA BATILI ANAYO ITETEA

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 28 днів тому

      😂😂😂

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Місяць тому

    Asalam aleykm Sasa kwann ukumfwata lv hili kumrekepisha hivi mna uzalilisha huislam 😢

  • @Kzm-c9u
    @Kzm-c9u Місяць тому

    Yusuf Diwani ni kijichawi tu cha kawaida mambo ya dini ayapishe

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 Місяць тому

    Pga dogo dogo huyo diwani hovyo kabsa,halafu endelea kumfundisha kuhusu jina Allah,
    Pia huwa anakosea sana ktk nahau hajui chochote ktk nahau

  • @eidallyeidally5093
    @eidallyeidally5093 Місяць тому

    ushauri alopewa na muhamad bachu yakwenda kuhufadhi qur an kwanza maana haya ni madhara yakuihama kur an

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 Місяць тому

    Mukiona vifaranga vinawika ! ni dadika za mwisho kusimama qiyama

    • @othmanramadhani6962
      @othmanramadhani6962 Місяць тому +1

      Sio vifaranga kama hauna elimu piga kimya

    • @AliJuma-k2t
      @AliJuma-k2t Місяць тому

      Hatahuyu hanaelimuyoyote qurani matinihaijuwi mm namnasihi kwamujibu waqurani inavyotakiwa isomwe anakosea 😂😂😂

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  Місяць тому

      Kafungue MADA YA NISHATI YA NAMBA umsikilize diwani anavyobadilisha aya katika kuzisoma, wataka nisome kwa hukmu kwani nswalisha hap, haya si mawaidha we mganga vip bhana

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 Місяць тому

      @othmanramadhani6962 wewe mwenye elimu tupe

  • @MwalimJecha
    @MwalimJecha Місяць тому

    Jamani hiki kitoto kimetokea wapi?

    • @OmariOmari-y8h
      @OmariOmari-y8h Місяць тому

      Katoto😂 ila kanajua kuliko huyo mtu mzima diwani ni matusi tu ndo anayoyajua sio kutafsir qurani

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa Місяць тому +1

    😁😁😁😁😁 shekh Diwali atupe ushahidi ile tafsiri ya ile aya amepokea kutoka wapi

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 Місяць тому +1

    Wewe kama ni sheikh wacha mabishano yasiyo na tija,jikite katika kufundisha darasani sio mitandaoni.

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  Місяць тому

      Nitaachaje kitu ambacho watu wanafaidika nacho

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 Місяць тому

      @ABJADACADEMY kama unaona hivyo sawa,endeleeni kubishana,kutukanana,kukejeliana,kuitana majina mabaya,kukufurishana,kujiona kila mmoja ndio anajua yeye,kuona wengine wamepotea nae ndie aliyeongoka ili hali Allah ndie anyejua nani kaongoka na nani kspotoka.Najua hamtaacha maana kuna vitu mnatafuta mitandaoni.Basi sawa.Mimi sina cha kupoteza kwa kutoa ushauri.

  • @shabankabarisa8785
    @shabankabarisa8785 Місяць тому +1

    Wewe Diwali poleee tuliya usome wewe .

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga Місяць тому

    Huo UTATU wenu mtakatifu ni BIDAAH iliopitiliza,hamtakaa mlete AYA wala HADITH inayogawanya hayo matawheed yenu.

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa Місяць тому

    Diwani kadhalilika sana kibri kibaya eti ni wasomi wa balagha kumbe Diwali ni shia

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa Місяць тому

    Acha wakudharau lakini kwa ALLAH una daraja kubwa.kauli ya mtume ni kweli.ukimwiita mwenzako kafiri ile kauli inamzunguka km hana ukafiri basi ile kauli inakurudia mwenyewe yy alimwiita shekh bachu kafiri ule ukafiri umemrudia

  • @RachidaIacine
    @RachidaIacine Місяць тому

    Diwani achunzwe. Kanza Apimwe akili, alafu ufanyike uchunguzi wakila aina, huyu Diwani kuna siri imejificha, diwani kila anapo tafsiri aya ya curaani lazima lazima aigeuze maanayake, jameni fuatilieni sana anapo tafsiri aya za kuraani kugeuza maanazake... Achunguzwe

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 Місяць тому

    Anakuambia sio hivyo na hakuambii ni vipi?😂😂😂 Kisha eti wewe ni mkatoliki mdogo

  • @Sarahmponjo
    @Sarahmponjo Місяць тому

    Yule mdogo wake shekh diwani ni kama mbuzi yeye anakwenda atakapo taka mchunga wake ata alipo kukosoa wewe ulipo tafsiri na kugunaguna, yeye akuleta tafsiri yake ata ukimsikiliza utagunduwa ni mtupu kabisa ajui kitu ata maneno ya kuongea anamezeshwa

  • @AliJuma-k2t
    @AliJuma-k2t Місяць тому +1

    Ww mwenyewe unawambia wenzako Hawajui quran wakati wewe mwenyewe matini unakosea kasome qurani kwanza usiitukane qurani hujuwi kuisoma inavyotakiwa kasome japo kitabu cha hidayatulmustafid kinauzwa sh Mia 500/ zatanzania

  • @twahamuhoro1656
    @twahamuhoro1656 Місяць тому +1

    hivi nyinyi mnaelewa kweli? sisi tunasikiliza hoja kotekote Shekhe Diwani ni Fwaswaha alafu anajuwa kujenga Hoja

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  Місяць тому

      Kwa kuleta tafsiri atakazo yeye au.......

    • @darajanida
      @darajanida Місяць тому

      ​@@ABJADACADEMYnawewe mpaka saiv hujaleta dalili ya taksimu.tauhid mwapiga makelele tu

    • @shabanihugo8332
      @shabanihugo8332 Місяць тому

      Mbona hujamjom dalili ya vigaqanyo vya elim na masharti ya swala​@@darajanida

    • @ABJADACADEMY
      @ABJADACADEMY  Місяць тому

      Faradhi za udhu katafute hadith au aya km utapata, nyie ni viziwi

    • @athumanikhamisi3377
      @athumanikhamisi3377 Місяць тому

      Diwani alishatoa hoja hiyo ya kwamba washirikina walimuita mungu Kwa jina la allah,,soma biblia ya kiarabu kwenye kitabu mwanzo 1-1 mwanzo.