#livestream

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2023

КОМЕНТАРІ • 82

  • @frankmchomvu9447
    @frankmchomvu9447 Рік тому +17

    Mungu akutunze sana Pr. David. Hujui tu ni kwa kiwango gani unatubariki. Najifunza mambo mengi sana kutoka kwako. Natamani siku moja upate nafasi uje kuongea na vijana wetu wa TUCASA Chuo Kikuu Mzumbe. I know upo very busy ila naamini Mungu ataruhusu hilo siku moja. Ordinarily, I don't comment on these platforms ila leo imenibidi. May our Almighty God richly bless you.

  • @carolinemwugusi8945
    @carolinemwugusi8945 Рік тому +5

    Huyu pastor ni wabaraka sio kwangu tu ila kwa wengi Mungu akutunze na familia yako nimejifunza mengi kutoka kwako na maisha yangu ya wokovu yamebadilika sana God bless you abundantly

  • @etoabwe3451
    @etoabwe3451 11 днів тому

    PR.DAVID Mungu wetu azidi kukubariki mafundisho yako unayotufunza yananibariki sana tena yananiongezea imani maana yanaamsha kilicho kuwa Kinalala ndani ya maisha yangu.

  • @bahatijohn1958
    @bahatijohn1958 Рік тому +2

    Pr wewe ni peponi Moja Kwa moja Mungu akutunze mtumish wa Mungu

    • @suzanmohere5311
      @suzanmohere5311 2 місяці тому

      Mungu ndo ajaye aendaye peponi na wala si mwanadamu ndugu yangu Mungu njia zake hazichunguziki

    • @davidkilajaga8842
      @davidkilajaga8842 Місяць тому

      🤣🤣🤣 Najua ni upendo tu, na ku onyesha msisitizo

  • @stevenkaunda1124
    @stevenkaunda1124 Рік тому +14

    Kiukweli Mtumini nabarikiwa sana na mahubiri yako Mimi ni Anglikana lakini Mungu unaemuhubiri ndo huyu huyu anaehubiriwa Anglikana kwetu. MUNGU AKUBALIKI NA AKUPE AFYA

  • @nadinekatungu6987
    @nadinekatungu6987 Рік тому +1

    Asante pasta île unasema ni kweli ukifuturu unachiba sana inaweza ukaharishe tena damu matumbo yalikua hayatumike sasa unaitumikisha tena vilivyo vigumu ni shida.asante barikiwa

  • @davidkilajaga8842
    @davidkilajaga8842 Місяць тому

    Ki ukweli kabisa, Una ni bariki sana wajina Wangu, Mungu akutie nguvu

  • @eunicemund4454
    @eunicemund4454 Рік тому +1

    Pastor umenitoa mbali sana, umenijenga kiimani na kutokuogopa

  • @isabellanyamboga6325
    @isabellanyamboga6325 Рік тому +1

    Always blessed with your teaching

  • @felisterminja
    @felisterminja Рік тому +1

    Nimebarikiwa Sana leo Mch Mbaga umenifurahisha Namwomba Mungu atujalie Mch nasi tuwe na nyumba za maombi Kama Korea, hapa wenzetu Wana nyumba za maombi Mungu Tupe neema

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  Рік тому

      Wow!

    • @lydiamo2503
      @lydiamo2503 9 місяців тому

      Nyumba za maombi zipo ila ni za madhehebu mengine

    • @paulinacharles8969
      @paulinacharles8969 19 днів тому

      ​@@lydiamo2503Nyumba za ibaada ndizo nyumba za maombi. Lakini jua hili Lydia; mahali popote utakapotaka kukutana na Mungu kwa faragha, panafanyika mahali pa maombi maana hua Anashuka kukusikiliza. Hivyo tufanyapo ibaada jua Mungu yuko hapo. Fanya kwa unyenyekevu ukijua Mfalme wa mbingu na nchi uko naye. Ongea naye kwa ujasiri. Mungu awe nawe my dear.

  • @everlynemoraa6214
    @everlynemoraa6214 Рік тому +1

    Kazi nzuri mchungaji, naomba kujua tofauti ya moyo na roho????

  • @neemamwanjala
    @neemamwanjala Рік тому +1

    Mtumishi wa Mungu Mbaga,Mimi sitaongea Mengi, ila Maadui wako wote wa angushwe chini warudi Nyuma,watanyike,wakimbie kwanjia zaidi ya saba,Nitafurahi nikibahatika ukasoma ujumbe wangu, Nitumie vitabu vyako vyote ulivyo andika, nijulishe gharama zake nitume Hera, Naitwa Andrew Paulo Mwakitwange ,Niko mbeya,Dr. Wa Tiba asiri wa (Afya kwanza) TUKUYU.

  • @Grace-go3cr
    @Grace-go3cr Рік тому

    Ubarikiwe poster mungu ni nimwaminifu amen

  • @suzanmohere5311
    @suzanmohere5311 2 місяці тому

    Soma zuri sana la urahibu asantee nimebarikiwa sanaa.Mungu akutunzeee

  • @UserUser-gq1ir
    @UserUser-gq1ir Рік тому

    Asante pastor kwa fundisho sahii mungu akubariki

  • @WilliamOkoth-yv1kl
    @WilliamOkoth-yv1kl Рік тому

    Nabarikiwa sana Mungu anisaidie nataman kumcha Mungu kweli kwel

  • @veronicajimisha61
    @veronicajimisha61 Рік тому

    Nabarikiwa sana Pastor, all the way from Moshi Central

  • @danielmacharia1349
    @danielmacharia1349 Рік тому +1

    Pastor sahihisho kidogo tu,Ni 2 Corinthians 5:17 wala sio 1 Corinthians 5:17,

  • @stevenbamba7489
    @stevenbamba7489 Рік тому +1

    Hallelujah, Bwana apewe sifa

  • @gloriamasaka7635
    @gloriamasaka7635 Рік тому +1

    Asante sana tuombee hapa nyumbani na uraibu kwa kweli MUNGU atushindie

  • @Grace-go3cr
    @Grace-go3cr Рік тому

    Pastor niombee sababu chana niliambiwa napossy nakubeleka kasi tena akanirudisha naomber niombee

  • @ttuphenarutto653
    @ttuphenarutto653 Рік тому

    Asante mchungaji nimebarikiwa mno nasikia nimepata nafuu wa Imani

  • @Grace-go3cr
    @Grace-go3cr Рік тому

    Nataka uniombee nibate madam musuri Amen

  • @catherinekihengu2420
    @catherinekihengu2420 Рік тому

    Amina ubarikiwe pastor

  • @Rhoda_Mbagathei
    @Rhoda_Mbagathei Рік тому +2

    I pray to God one day I can visit Tz just to see you. God bless you all the from 🇰🇪 Kenya.

  • @sallahmwakalombwe454
    @sallahmwakalombwe454 Рік тому

    Amina mtumishi tunabarikiwa sana sana kila siku tunapiga hatua

  • @mussacharles5311
    @mussacharles5311 3 місяці тому

    Mchungaji kwakweli mimi kubet kunanigalimu sana.

  • @esthersimuli9952
    @esthersimuli9952 4 місяці тому

    Amen

  • @DorikasiMulemwa-r3y
    @DorikasiMulemwa-r3y 18 днів тому

    Amina

  • @tracysally-im7fw
    @tracysally-im7fw 8 місяців тому

    Mchungaji na betting pia imekuwa mzigo,mwombee mume wangu,

  • @hassanhussein6161
    @hassanhussein6161 Рік тому

    ameni mtumishi wa mungu nabarikiwa sana

  • @Kivukutv
    @Kivukutv 5 місяців тому

    Barikiwa

  • @mabenaluca6824
    @mabenaluca6824 Рік тому

    Nabarikiwa sana na somo la leo MAOMBI YA VITA

  • @danielkituku6275
    @danielkituku6275 Рік тому +1

    Mtumishi mahubiri Yako ni mazuri Naya hekima sana barikia sana

  • @rebeccalume3660
    @rebeccalume3660 Рік тому

    Ameen Mungu akubalik mtumishi

  • @lyliosenuwayo
    @lyliosenuwayo Рік тому

    Mungu abariki Neno lake na abariki nawewe mchungaji🙏🙏

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Рік тому

    Nashukuru mchungaji kwa kunibadilisha vitu vingi kwenye chakula na mahubili mazuri Sana Asante Sana

  • @jemimakengia7308
    @jemimakengia7308 Рік тому +1

    Siku yakikukuta

  • @tracysally-im7fw
    @tracysally-im7fw 8 місяців тому

    Pastor je Nikifuturu na matunda je?

  • @faithmtokambali9437
    @faithmtokambali9437 Рік тому

    Ameen,,nabarikiwa sana

  • @bernadettemuzaliwa8373
    @bernadettemuzaliwa8373 Рік тому

    Jambo mtumishi wa bwana.kweli nabarikiwa sana kwa somo la maombi ya vita. Mungu azidi kutiya nguvu. Neema ya bwana hikukumbatiye.

  • @amjudith
    @amjudith Рік тому +1

    God bless everyone

  • @claudinebatamuriza4936
    @claudinebatamuriza4936 Рік тому

    Amen 🙏🏿

  • @sebastianharun800
    @sebastianharun800 Рік тому

    Nabarikiwa Sana

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 Рік тому

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @priscakihengu1045
    @priscakihengu1045 Рік тому

    BWANA akulinde na kukufadhili

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Рік тому

    Leo nimepata madini ya kutosha kutoka kwako Hadi nashangaa

  • @felisterminja
    @felisterminja Рік тому +1

    Naomba Uniombee plaster laana ya magonjwa na uharibifu wowote kwangu na uzao wangu nakataa Kaka yangu amekuwa rahibu wa pombe na uzinzi ,naomba ugonjwa wa presha kwa jina la Yesu

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll Рік тому

    Ndiyo kamari urahibu

  • @adarashidi8178
    @adarashidi8178 Рік тому

    Amen Ubarikiwe sana mtumishi wa bwana

  • @jemimakengia7308
    @jemimakengia7308 Рік тому

    Saaa yaja

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll Рік тому

    Mchungaji na wali

  • @theopisterkalegea9899
    @theopisterkalegea9899 Рік тому +1

    Amen 🙏

  • @hadijamlokakuzenza2146
    @hadijamlokakuzenza2146 Рік тому

    Uhakika tumekuwa wahanga kwa hizi simu

  • @maryachuti4997
    @maryachuti4997 Рік тому

    It's James.who said.about anointing the patient not mark.

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  Рік тому +2

      Yakobo 5:14 Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana.
      Marko 6:13 Wakatoa pepo wengi, wakapaka mafuta watu wengi waliokuwa wagonjwa, wakawapoza.

    • @samsonelijah3897
      @samsonelijah3897 Рік тому

      Mungu akubariki

    • @rebecadaniel
      @rebecadaniel Рік тому

      Pasta tunabarikiwa mnoooo

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 5 місяців тому

    Amen

  • @zawadiamuli4186
    @zawadiamuli4186 Рік тому

    Mutumishi wa Mungu huishi milele

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 Рік тому

    Amen

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 Рік тому

    Amen

    • @danielmbari4647
      @danielmbari4647 Рік тому +1

      Very true indeed I'm Daniel from Nyahururu Kenya 🇰🇪..kindly find time n come here to take more souls to christ through gospel

  • @Ungwamissi
    @Ungwamissi Рік тому

    Amen

    • @odettemaman
      @odettemaman Рік тому

      Mimi ni mukongomani naitaji oponyezi waaroho namwili.

    • @bernadethanyarufunjo9518
      @bernadethanyarufunjo9518 6 днів тому

      Mchungaji Mungu akubariki sana,umenisaidia sana mtu wa Mungu.Mungu aitunze familia yako