Thank brother Christopher Mwakasege ..I first heard of you during the Unga-limited meetings in the 1990s..nikiwa nasty macIlboru...japo niliokoa baadaye in 1992...glory to God .Nawapenda bure Wewe na Mke wako...May the Lord continue to humble you and increase your ministrations.
Asante Bwana Yesu nimepokea neno lako limekuwa nuru ndani yangu.unirehemu na kuniosha kwa damu yako unipe mbengu ya uaminifu nfani yangu.❤❤😭😭😭hakika unatupenda sana Yesu. Utukufufu ni wako.
Asante Baba kwa mafundisho yako, Eeeh Mungu unioendolee kila zuio la kiroho limalofanya nisikue kiimani ,uniondolee na zuio la kiroho limalofanya nisiinuke kiuchumi
Ukuwe na Maisha marefu Mwalimu wetuuu Hakika unafundisha na kulichambua Neno kwa uhalisia🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mungu akutunze mwalimu mwema na tuzidi kupata hekima ya Mungu kupitia wewe.
Thank brother Christopher Mwakasege ..I first heard of you during the Unga-limited meetings in the 1990s..nikiwa nasty macIlboru...japo niliokoa baadaye in 1992...glory to God .Nawapenda bure Wewe na Mke wako...May the Lord continue to humble you and increase your ministrations.
Baba mungu akubariki sana na barikiwa sana na masomo Yako watu wengi wana dini hawana mungu
Mungu akujalie uishi miaka mingi mtumishi ili tuendelee kupata hekima ya neno lake
Eeeh! Bwana utuhurumie
Mungu azidi kukuinua zaidi katika ya kutuimarisha kiimani na kumjua Mungu zaidi Amina.
Ameen
Asante Bwana Yesu nimepokea neno lako limekuwa nuru ndani yangu.unirehemu na kuniosha kwa damu yako unipe mbengu ya uaminifu nfani yangu.❤❤😭😭😭hakika unatupenda sana Yesu. Utukufufu ni wako.
😂😂😂😂😂 natamani kukuona Mwalim ukiwa unadaka wanaodondoka kwenye huduma ya Ben na mkanda wako wa ushemas h🥰🥰🥰🤣✊✊💪
Mungu niondolee vizuizi ambavyo adui ibilisi ameweka kwenye maisha yangu ya kiroho na kiuchumi
Mungu wangu na Baba yangu naomba umtoe mume wangu Edwin kwenye kesi inayokabili onekana maishani mwake katika nyakati hizi anazopita nakusihi ee Baba.
Aleluya, nami namuomba Mungu akawe hakimu juu ya yote anayopitia Somo wangu..na akaibariki Familia yake na uwezo ukawe juu yao...ameen.
Barikiwa!
Mungu wangu anitoshe kwenye bifungo byakijamaa Nina nitesa baba mushungaji mungu aniweke guru Mimi Niko kongo goma baba
Mungu akubariki sana napokea mafundisho yako kwa imani Mungu anisaidie nitembee sawa sawa na mafundisho ya bwana.
Ahsante YESU kwajili ya Mtumishi wako huyuu
Mungu nikumbuke katika maisha yangu na ndoa yangu,,niuone ukuu wako na nguvu zako YESU
Asante Baba kwa mafundisho yako, Eeeh Mungu unioendolee kila zuio la kiroho limalofanya nisikue kiimani ,uniondolee na zuio la kiroho limalofanya nisiinuke kiuchumi
ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Ee,Mungu unirehem mahali ambapo sikuwa mwaminifu
Mungu nisaidie
Asante mungu kwa nilinda
Ubarikiwe baba nimefungiliwa
Asante baba ubarikiwe
Ninaomba Baba uirehemu ndoa yetu, ondoa zuio la baraka katika Maisha ya ndoa yetu na watoto wetu. Usinipite Bwana nakuomba.
Ee Mungu naomba unipe nguvu ya kuwa mwaminifu
Amina baba yangu nashukuru sana Mungu Kwa somo hili jamani kweli hatumjui Mungu baba Mungu akubariki akupe maisha marefu utufundishe zaidi
Amina mtumishi kwa neno la hekima
Amina mtumishi wa Mungu
Asante mtumishi neno lako lonanguvu umenitoa mbali
Ubalikiwe mwalimu🙏🙏🙏
Amina.sifa na utukufu nivyako Mungu amina
Asante Baba kwa somo Ubarikiwe
Napokea kwa jina la Yesu kristo anazaret
Mungu apewe sifa.
Nimepata kitu kipya kikubwa mno ubarikiwe mwalimu
Nisaidie eee YESU KRISTO
Ahsate kwa neno lako Mungu wa mbinguni naomba neema yako linitoe katika maangamivu.Amen
Baba Mwakasege Mungu akubariki sana
Ubarikiwe mwalimu
Amina
Asante Mungu Kwa yote Unayo nionyesha na mengi unayo niepusha🙏 Imani yangu ni kufika Kanani....🤲🤲
Amen
Najifunza mengi Sanaa mwalimu
Barikiwa sanaa❤❤❤
AMEN
MUNGU asantee kwa neema hii..nakuinua wewe
Kindly put download access🙏🙏
Mungu wa mbinguni awabariki sana
❤amen
🙏🙏🙏
Amen ❤
Mungu nahitaji nione muujiza wako tarehe 25 mwezi huu
Wow
🙏🏾🙏🏾🙏🏾✝️
Ameni
Amen, ubarikiwe Mwl somo zuri limenivusha 💪🙏
Masomo sijawai yasikia mwalimu
Amee
Amina
Naomba muweka tuweke kudownload jamani vile naupenda kusikiliza muda wote
Piter magudi amezulum pesa zangu nyingi nakunfanya kuwa nyuma kiuchumi mungu shugulika name pesa zangu zirud mungu wewe muweza
VIGEZO VINAVYOTUMIKA KUPIMA MTU NI MTOTO AU MTU MZIMA KIROHO/ KUPIMA UKOMAVU KIROHO
1. Usemavyo
2. Ufahamu wako
3. Unafikiri nini?
.?
Mj.m
jmk.mk.m,
Ahsante YESU kwajili ya Mtumishi wako huyuu
Mungu wa mbinguni awabariki sana
Amen
Amina
Amen🙏🙏
Amina
Unanibariki sana mwalimu
Amen
Amen
Amina
Amin