Jaman Nampenda Sana huyu Muimbaji Nimuimbaji Nguli wa Mucis ya Injiri Asioteteleleka Toka Anaimba Mpk leo Bado yupo Imara Ubarikiwe Mtumishi wa Mbwana nani Anamkubali Agonge like twende Pamoja
Ujumbe mzuri na imara napenda sana hilo andiko na ndio faraja na njia yangu. Heri mtu yule asie kwenda katika shauri ya wasio haki, wala hakusimama katika njia ya wakosaji , wala hakuketi baradhani pa wenye mizaa . Bali sheria ya Bwana ndio impendezayo nayo huitafakari mchana na usiku. Zaburi sura ya kwanza
I love this lady so much , she has such a beautiful and natural voice ; God has blessed her with a natural melodic voice ... mama! continue to serve the Almighty God humbly.
huu wimbo ni wimbo ambao kwa hakika haujapatikana kwa maarifa ya mwanadamu bali ni kwa upako wa Bwana kwa hawa wanadada na ndugu zetu . Ni wimbo mojawapo ya zile ambazo zimetolewa na hili kanisa la AIC SHINYANGA ambazo znatoa msisimuko wa kirorho kwetu wanadamu....Asanteni sana na Mungu awabariki......AMINA
nawapenda sana CVC na wimbo huu ni mzuri sana Mungu awazidishie na vipawa hivyo vya utunzi maradufu kutumia kitabu kitakatifu....you are a very special choir for my spiritual life
Amen! Glory to God! Ninawapenda sana na kuwakubali sana tu. Nyimbo zenu nyingi zi katika mafungu ya Biblia, tunalisikia neno kupitia nyimbo zenu. Mungu awainue mnapomtumikia na kuwapa hekima na nguvu ya kutumika. Napenda utulivu wenu ktk kucheza, mmetulia...
Ninapotazama huu wimbo natokwa na machozi 😭😭😭ninapomuona Mariam kwa hii video ,akii aliyemuua Mariam nae akaione jehanamu hata kama hukumu si kwetu but alimtendea unyama dada yangu,Mariam natumia unadance na malaika rest in peace dada😢😢😢😢
Jamani huu ni wimbo mzuri mno wenye ujumbe kutoka Zaburi 1. AIC Chang'ombe Kwaya asante sana kwa uimbaji bora. Mungu wetu anapokea utukufu katika nyimbo zenu. Nami nabarikiwa sana.
Jaman Nampenda Sana huyu Muimbaji Nimuimbaji Nguli wa Mucis ya Injiri Asioteteleleka Toka Anaimba Mpk leo Bado yupo Imara Ubarikiwe Mtumishi wa Mbwana nani Anamkubali Agonge like twende Pamoja
. Mi
Dhe ripazi bend
Mama Diana James mama wa upako wa tofauti
Mm pia nampenda sanaa
Natamani sana ❤❤❤
Katika Kwaya ambazo huwa nazielewa vizuri na kunibariki ni AIC Chang'ombe.
Hakuna nyimbo wala mwimbaji asiye maridadi na hasa wamama wanajitaidi sana
🎉🎉🎉❤❤❤
Binafsi naupenda sana wimbo huu.....unanibariki sana " it's song of my choice" stay blessed
Munaimba vizuri sana ila hamfanyii promotion nyimbo zenu ndo maana youtube hazifanyi vizuri
Barikuwa Sana na huyu mama mwimbaji sauti nzur Sana wimbo mzuri ujumbe wake nafurai kukuona Bado upo kwenye ubora wako toka enzi umeanza kuimba
Mama anaimba kwa hisia Sana hongera Sana MAMA
MMBARIKIWE Hadi MSHANGAE nawapenda 😘❤️👌❤️ pongezi kwa waalimu🙏🙏🙏
Mama uko vizuri nakupenda sana na wengineo wate mungu awabariki
1million views glory to God +254 tunabarikiwa sana
Nzuri Hii Mmetukumbusha nyakati zilee Bwana Awabariki Sanaa.❤
Hata mim namkubali sana huyu mama❤
Tukilikataa NENO hukumu yatungoja..Asante kwa maonyo.MUNGU atusaidie🙏🙏
May the lord bless the choir for the good message,,,,, hallelujah hallelujah hallelujah
Mama Dorcas mimi nabalikiwa na nyimbo zenu na sana zile umeongoza.Bwana asindi kuwainua kiwango na kingine.
Thanks mama may God bless you
Ee mungu tufundishe kuifuata njia yako mbalikiwe sana nyimbo zenu zote zina upako
Nampenda Sana hii choir mungu awabariki Sana.
Kwa kweli we mwanamama, Mungu akuinue mnoooo, yan nakupenda
Ujumbe mzuri na imara napenda sana hilo andiko na ndio faraja na njia yangu.
Heri mtu yule asie kwenda katika shauri ya wasio haki, wala hakusimama katika njia ya wakosaji , wala hakuketi baradhani pa wenye mizaa . Bali sheria ya Bwana ndio impendezayo nayo huitafakari mchana na usiku. Zaburi sura ya kwanza
Nabarikiwa saaaana na utunzi na uimbaji huu.Bwana azidi kuutunza wimbo huu
Muñgu akuinue uzidi sana kwenye huduma hii.binafsi nyimbo zako nimezipenda zinanifariji kwenye mapito yangu
Hongera sana Dada yangu sololist
Hizo Melody jamani natamani kujiunga nao
jaman huu wmbo unanibariki asee yan nauchek mara kama zote!!!mungu awabariki
Mungu azdi kuwabariki nyimbo zenu zina bariki sana
Jaman mam huyu anaimba vizur mungu akubariki mam
Hawa vijana wa Keys n noma kweli 😍🥁🎸🔥🔥🎹🎺
Mmmmh ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I love this lady so much , she has such a beautiful and natural voice ; God has blessed her with a natural melodic voice ... mama! continue to serve the Almighty God humbly.
Wow,your biggest fan here at ziwani uinjilisti choir
Ningependa kuwaona live. Good song and voices.
Ooooooh Haleluuuuuuuuuuya,your blessedness to be a blesser
Barikiwa Sana mama, Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi pamoja na kwaya nzima
Wagaratia mko vizuri sana ipo siku tutaimba wimbo mpya mbinguni pamoja ubeti mmoja mda mrefu
Mbarikiwe sana
Ninapotazama nyimbo kama hii huwa sipendi MTU anisemeshesemeshe nataka utulivu mbarikiwe wanaaic chang'ombe
Nawapenda sana mnavoimba kwa nyimbo zenu zote
@@angerinamgaya5517 asante kwa uinjiilishaji wenu Mungu Awabariki
Heri MTU Yule, is a spiritually edifying song. Singing the scriptures, pleases the Lord God in no small way. Barikiweni Sana, Wana kwaya ya changombe.
huu wimbo ni wimbo ambao kwa hakika haujapatikana kwa maarifa ya mwanadamu bali ni kwa upako wa Bwana kwa hawa wanadada na ndugu zetu . Ni wimbo mojawapo ya zile ambazo zimetolewa na hili kanisa la AIC SHINYANGA ambazo znatoa msisimuko wa kirorho kwetu wanadamu....Asanteni sana na Mungu awabariki......AMINA
Nyimbo hii huwa inanibariki sana....... Mungu azidi kuwainua!!!
Asanteeeeeee mama ubarkiwe mungu awainueee Kwa viwango vingnee
Amina amina watumishi wa mungu saut nzuri biti nzuri solo ana saut nzuri very very
Vraiment votre prédication me bénisse
nawapenda sana CVC na wimbo huu ni mzuri sana Mungu awazidishie na vipawa hivyo vya utunzi maradufu kutumia kitabu kitakatifu....you are a very special choir for my spiritual life
my Tanzanian favorite choir..... nawakubali kwa asilimia kubwa sana Bwana azidi kuwatumia
Hiii nimeipenda aseeee
Mungu awabariki .mm napenda sana nyimbo zenu kutoka Mombasa kenya
Mungu awabariki sana waimbaji mlioimba huu wimbo mzuri wenye ujumbe
Huyu muimbaji kwakweli yupo vzr tunampenda mnoooo mungu ampe wepesi atfkishie ujumbe zaidi kuptia kwake kwa kipaji chake alichojaliwa nacho
African Inland Church Tanzania (AICT) Changombe Choir you are one my favourite choir, many congrats for attaining 30 years singing gospel music.
Huyu mama anaimba sn kweli ni mkongwe yupo vizuri sn
Nawakubali sana chang'ombe mungu awabaliki na hongeleni sana
Mungu amewainua katika kiwango cha juu sana katika kumtumikia yeye damu ya Yesu Kristo iwafunike nyote
Mungu na awabariki sana kwa nyimbo nzur sana
Mpo vizur sana toka nawasikiliza nikiwa form one mwaka 2009
Mama doricas Mwenyezi Mungu azidi kikuinua.kwa kweli nabalikiwa sana na sauti yako nakupenda hadi nahisi kuuguwa jaman
Sana'a anasauti huyu mama jamanii ,Mungu ambariki
Amen
Amen
Hii ni talanta,nynyi ni baraka kwangu,naomba mzidi kutubariki na nyimbo kama hizi
kudos......!!!!!!!! i rilly love the song
Napenda hii song sana sana...
Much love from kenya.That song blesses me.I must play it everday before i leave for work!
me too! I play it everyday.
Wow my people....l love Congratulations for this awesome. Make sure we get the tape here in Kenya. Nawapenda
Hamjawahi kukosea hata siku moja,Mungu azidi kuwainua.asante mama kwa sauti tamu
Love from kenya..you are truly a blessing to my life.i love your songs💕💕
Heri asiyekwenda katika shauri la wasio haki.
Kweli swala hili ni la kuzingatia ndi .
1:44 Atakuwa kama mti uliopandwa kando kando ya maji!
Nyimbo zinazozingatia Maandiko
Mama mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juuu
Love you guys!!! All the way from Nairobi Kenya.. Blessings
Amen! Glory to God! Ninawapenda sana na kuwakubali sana tu. Nyimbo zenu nyingi zi katika mafungu ya Biblia, tunalisikia neno kupitia nyimbo zenu. Mungu awainue mnapomtumikia na kuwapa hekima na nguvu ya kutumika. Napenda utulivu wenu ktk kucheza, mmetulia...
Kwa kweli nabarikiwa sana na nyimbo zenu,huu ni wimbo mzuri sana na Mungu awabariki sana
Amen nimebarikiwa na wimbo huu pamoja na kiongozi sauti nzuri sn
Amen wimbo wenu umenibariki sana mungu awabariki Sana na muendelee vivyo hivyo
Mbarikiwe sana CVC nyimbo zenu hazinichoshi hakika Mungu aendelee kuwabariki,Cathy from Tanga
Napenda huu wimbo jmn 🙌❤️
Hongereni sana cvc chang'ombe kwa wimbo mzur mungu awatunze muendelee kumtumikia mungu. Amen
Hakika Mungu awabariki sana
Asante CVC
my most favorite choir with my favorite soloist ,may God bless you abundantly as you attain 30 years ministering the gospel through music.
Nyimbo zenu zinani Bariki Sana
Huy mama atarii sn anajua
Nimebariki sana na hii nyimbo mungu awabariki sana
AICT Chango'mbe vijana choir is the best way to talk to GOD.May you be blessed!
Mungu awabariki sana, mnaimba vzr
Loveness God mungu awabalik san
I listened to this song and gave my life to Christ be blessed you touched my soul and changed my life for ever
Good work. May God bless you 🙏 smart choir
Heri mtu yule/ 20/8/2024. nyimbo nzur sana
Ubarikiwee soloo nakupenda sana we Mama❤️❤️❤️❤️❤️♥️♥️♥️♥️♥️
yaan hat mimi huy mumy nampnda san
Kwel kabisa nyimbo zote anazosolo zinabariki!!!
Napenda kazi yenu.
naupenda huu wimbo kwani unanibariki moyo wangu
Ninapotazama huu wimbo natokwa na machozi 😭😭😭ninapomuona Mariam kwa hii video ,akii aliyemuua Mariam nae akaione jehanamu hata kama hukumu si kwetu but alimtendea unyama dada yangu,Mariam natumia unadance na malaika rest in peace dada😢😢😢😢
Kwa kweli wa Tanzania wanaimba.
Nawapa pole sana wanakwaya wa iac chang'ombe, kwa kuondokewa /kufiwa na mmja wenu...Mungu awatie nguvu
Safi sana kwa ujumbe mzuri Mungu awabariki
Wandugu zandu turudilie mungu kabisa
GODBLESS You i like it so much
Jamani huu ni wimbo mzuri mno wenye ujumbe kutoka Zaburi 1. AIC Chang'ombe Kwaya asante sana kwa uimbaji bora. Mungu wetu anapokea utukufu katika nyimbo zenu. Nami nabarikiwa sana.
nawapenda sana nyie watu mwenyezi mungu awabariki sana
Nimependezwa na hii
Sending love to y'all from the U.S.
The song really blesses me
Ameeeeee barikiwa saaaaaana
wimbo huu inanibariki sana
Mungu awabariki na azidi kumpaka mafuta mabichi
A good music God bless you
Barikiwa sana waimbaji Mungu awabariki ktk kuitangaza lnjiri watu watubu waokoke
Nzuri