ELEWA SIRI YA NGUVU YA ZABURI 23 (SEH. A)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 чер 2019
  • ZABURI YA 23 INA NGUVU YA AJABU,WENGI WAMEKARIRI TU BILA KUJUA SIRI YAKE,FWATILIWA SOMO HILI UTAMBUE.

КОМЕНТАРІ • 202

  • @evamugusi3362
    @evamugusi3362 Рік тому +2

    Nimetumia hii Zaburi 23 kwakuikariri kabla ya kufanya mitihani yangu,,,,na nikiwa naendelea kufanya mitihani endapo sikumbuki nilichosoma nilikuwa nairudia kuukariri hata Mara 3 Kisha na mwambia Mungu "ahsante kwa kunikumbusha Mungu" kiukweli hivi navyoongea nimefaulu Mitihani yangu vizuri kabisaa,,,
    Ahsante pastor kwakutufundisha namna ya kuyajua na kuyatumia maandiko katika maisha yetu

  • @christinakitomari7702
    @christinakitomari7702 5 років тому +8

    Huu ujumbe ni wangu na nimefunguliwa ktk Jina LA Yesu

  • @elizamasatu4784
    @elizamasatu4784 4 роки тому +4

    Hili SoMo limeguza maisha yangu kabisa ya miezi Saba iliyopita. Nilipitia changamoto hizi hizi lakini yesu aliniokoa. Asante pastor kwa SoMo hili zuri limegusa maisha yangu halisi.

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 3 роки тому +2

    Amina sana pastor ubarikiwe nabarikiwa sana naposikiliza mahubiri mazuri unazidi kuniimarisha kimani🙏💗

  • @hellenratemo2813
    @hellenratemo2813 3 роки тому +3

    GOD bless you pastor ,am Soo blessed with ur sermon nimesonga atua kumbwa tangu nianze kusikiliza mahubiri yko, God bless u with more sermons

  • @eddahnyongesa9819
    @eddahnyongesa9819 5 років тому +11

    Hili somo hakika linahusu baba yangu kabisa God bless you so much pst

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 5 місяців тому +1

    It's four years ago but it has got me right, I really appreciate thank You Lord Amen Amen Amen 🙌

  • @anthonylaban713
    @anthonylaban713 5 років тому +4

    I am not a Sabbath but truly this man of is so much inspired to me and every who gets time watching his videos.
    Mungu akubariki sana mch. Mbaga. Najifunza sana sana kupitia ukombozi ibada usihubirizo.

    • @melissateddybearcossan9506
      @melissateddybearcossan9506 4 роки тому +1

      Habagui ndo maana Anabariki watu ,Yeye anahubiri tu bila kusema sabato kila siku maana wengine utakuta wanahubiri siku tu

    • @nelsonsalumu3064
      @nelsonsalumu3064 2 роки тому

      Mimi pia najifunza mengi Kwake,Mimi nazani tu ni mlokole aliye zaliwa SDA😀

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 4 роки тому +1

    AMEN🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞hakika wema na fadhili zake bwana zitanifuata milele;.na sitaogopa nipitapo katika magumu;hila nitazidi kukiri kwa imani mungu atasimama nami daima🙏🙏🙏barikiwa sana mtumishi wa mungu;mungu na akuzidishie daima.asante kwa maombj yako pia inanibarikinkika siku🙏🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞💞

  • @roseindekhwa7637
    @roseindekhwa7637 5 років тому +10

    Amina mm sio msabato ila napenda sana mafundisho ya baba naamin siku moja nitafika ibadani nipo kenya

    • @angel-y
      @angel-y 5 років тому

      Hi, Pastor will be in Kenya-Nairobi for a camp meeting during the 2nd week of August.

    • @felixsigns1001
      @felixsigns1001 4 роки тому

      Karibu sana

  • @bettygesare5948
    @bettygesare5948 Рік тому +1

    I really use that verse as my security all times and very thing is ok thanks for the sermon God bless you

  • @julianaharrison4356
    @julianaharrison4356 Рік тому +1

    Imekuwa zaburi miaka hii yote kwenye magumu yangu na marahisi yangu nimemuona Mungu sana

  • @barakajoseph1816
    @barakajoseph1816 4 роки тому +4

    Mungu aendelee kukutumia Pr

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb 7 місяців тому

    Amen bwana akubariki mtumshi

  • @sikanastima8754
    @sikanastima8754 4 роки тому +2

    Mwenyez Mungu akujalie miaka Ming ya neema.

  • @claudinebatamuriza7804
    @claudinebatamuriza7804 5 років тому +5

    Nimekuwa wa kwanza Mungu akumbaliki pastor

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 5 років тому +4

    Nimebarikiwa na neno mchungaji, dadangu Yuko katika Mapito ya madeni namuimbea mungu asimuache kamwe.ubarikiwe pastor

  • @ovidiokibuga1086
    @ovidiokibuga1086 5 років тому +2

    Mungu akubariki sana,umenikuna penyewe!Mungu hututendea mema siku zote

  • @mkubwahasani4916
    @mkubwahasani4916 Рік тому

    Amina Mungu akubariki mwalim

  • @jamesmussa3194
    @jamesmussa3194 4 роки тому +2

    Baba andiko na mahubir yako yananibarik kwa viwango vikubwa sana na MUNGU azid kkupa njia

  • @bidafumbuka855
    @bidafumbuka855 5 років тому +8

    Hii video sauti imetoka vzuri kuliko ile ya mwanzo hongera pastor bwana akupe rehema nyingi

    • @hadijahamis2795
      @hadijahamis2795 3 роки тому

      Napenda mafundisho yako yananitia moyo sana Mungu akubaliki sana

  • @rachelthomas8382
    @rachelthomas8382 4 роки тому +2

    Imenitia Nguvu tele Pr. Barikiwa sana

  • @magretmush7646
    @magretmush7646 7 місяців тому

    Nashukuru meelimika mengi kutoka mahu biri ya mtumishi wa mungu mmbaga

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 4 роки тому

    Amen hakika wema nazo fadhili yanifuata siku zote za maisha yangu Mungu akubariki sana pr

  • @tinawile7310
    @tinawile7310 Рік тому

    Amina Mungu ana jembe lake la kipare hapa

  • @user-fu7ep9tr1b
    @user-fu7ep9tr1b 5 місяців тому

    Asante yesu kwa upendo

  • @sheilaombongi8086
    @sheilaombongi8086 4 роки тому +1

    Alleluiah asante kwakutuinua kirhoo mungu akutiye nguvu usichoke aminaa

  • @paschalpaul1221
    @paschalpaul1221 5 років тому +11

    sio wa wasabato tu ni wetu sote ndugu kwani bible si inasema sisi sote ni mwili wa Kristo ubarikiwe pastor

  • @edithmunuve7733
    @edithmunuve7733 4 роки тому +2

    Nahisi uzito wa mafuta, Bwana akubariki mtumishi.

  • @lucynyigana2801
    @lucynyigana2801 6 місяців тому

    Aminaaaa barikiwa mtu wa MUNGU

  • @marthajepkogei5845
    @marthajepkogei5845 Рік тому

    Hili mafundisho limenipata siku ya Jana lakini mungu ni mwema Kila saa na Kila siku.asante mungu Kwa kuanda ibada kupitia pst.mbaga.barikiwa Kwa Jina la Jesus

  • @davidkilajaga8842
    @davidkilajaga8842 Місяць тому

    Hii ime kaa vizuri 👌👍🙏

  • @hellenratemo2813
    @hellenratemo2813 Рік тому

    Amen soo powerful courageous ND inspiring message God bless you pastor am soo blessed

  • @makindyakenani2535
    @makindyakenani2535 4 роки тому +5

    MUNGU anampango na mimi kwa lolote lile. Amen

  • @kizazigashane5960
    @kizazigashane5960 4 роки тому +1

    Amina ndugu katika kristo Yesu

  • @donaldmwahalende4841
    @donaldmwahalende4841 4 роки тому +1

    Pastor nimekuelewa ubarikiwe nami nimeptia maisha haya unayoyahubr ubarikiwe Sana niombe nami niwe mhubr

  • @tonnsimbasportsclub7168
    @tonnsimbasportsclub7168 5 років тому +48

    ***Wasabato mmependelewa kuwa na huyu MTU***

    • @ruthsamhenda5254
      @ruthsamhenda5254 5 років тому +2

      Amina, Karibu ubarikiwe pia

    • @janethdeus2127
      @janethdeus2127 5 років тому +4

      Karibu ujiunge na kundi hili. Mungu akubarik🙏

    • @kingjosse4781
      @kingjosse4781 5 років тому +2

      Amenn🙏

    • @magrethmkira6250
      @magrethmkira6250 5 років тому +4

      Mungu azidi kumuinua kwajili ya utukufu wake kwa jina la YESU
      Karibu ubarikiwe pia

    • @eliakanyika8443
      @eliakanyika8443 4 роки тому +3

      Amina Siyo huyu2 vipaji vya kuhuburi kwa wasabato kwa mtu kama paster mbaga ni wengi mno!

  • @lydianyachama2286
    @lydianyachama2286 Рік тому

    Nimebarikiwa sana hili somo,, ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU 🙏🏻

  • @josephinemwita8883
    @josephinemwita8883 2 роки тому

    Asante mchungaji kwa maombi

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 3 роки тому

    Mtumishi hakika mkono wa MUNGU ujuu yako unafundisha hata kama ajielewi una haza jielewa toka niaze kukusikiza unduma yako sijawai jutia bali ubarikiwa na kujegewa kitu kipya dani yangu MUNGU azidi kukupa ekima na baraka daima 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rosemwangome8996
    @rosemwangome8996 3 роки тому

    Barikiwa mtumishi wa mungu kwa mahubiri ya kuinua na kutia nguvu yanani bariki sana

  • @danielbabu2707
    @danielbabu2707 4 роки тому +3

    Mungu akuongoze kwa hayo mafunzo mazuri √√√

    • @stellandossy8107
      @stellandossy8107 3 роки тому

      Nimesikiliza hii nikatamami kupiga ukunga nikujikuta kumbe Niko kwenye gari, duu kwel mungu kanisrma,

  • @augustinemnzava8056
    @augustinemnzava8056 2 роки тому

    Barikiwa sana Mchungaji

  • @hajimajaliwa6452
    @hajimajaliwa6452 3 роки тому

    Asante mtumishi hata Mimi niliwahi kuota nasoma zaburi,asante kwa mafundisho mazuri

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 10 місяців тому

    Mungu ni mkuu amenitendea makuu

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 3 місяці тому

    Aminah

  • @ludowvickfedha4556
    @ludowvickfedha4556 7 місяців тому

    Thanks

  • @godfreywilliam993
    @godfreywilliam993 5 років тому +1

    Namuombea shangaz yang mke wa mjomba ambae n mama yang kpenz Mungu amsmamie katk maden yake kpteia somo hili amina

  • @joykapaya1970
    @joykapaya1970 3 роки тому

    Aminaa.

  • @LeathKahesi-qq1po
    @LeathKahesi-qq1po 4 місяці тому

    Mungu akutunze

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 Рік тому

    Amen.ubarikiwe pastor Mbaga

  • @emanuelymittango3741
    @emanuelymittango3741 Рік тому

    Amina ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @gladysiminza7782
    @gladysiminza7782 5 років тому +4

    Glory to God

  • @tikeydavid5989
    @tikeydavid5989 4 роки тому +1

    Nabarikiwa sana

  • @nickfranck5004
    @nickfranck5004 5 років тому +1

    Barikiwa sana mjoli wa BABA kwa somo zuri

  • @hondenisonmagufulinyabaro3923
    @hondenisonmagufulinyabaro3923 5 років тому +3

    Be blessed PR David

  • @furahajoy3168
    @furahajoy3168 4 роки тому

    Nashukuru sana kutuimarisha tena Mungu awazidishiye

  • @dorcasrhobi8211
    @dorcasrhobi8211 Рік тому

    Amen

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 роки тому

    Amina

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 5 років тому +7

    Ubarikiwe mchungaji somo zuri.Naomba unikumbuke ktk maombi niingie ktk ufalme wa Mungu.

    • @callennyacnchama1860
      @callennyacnchama1860 5 років тому

      Pastor naomba uniombee kijana wangu wa kiume tumbo inawaka moto karibu miezi tatu amejaribu kuenda hospital amepewa madawa amejaribu kunywa imekataa Niko America kijana ako nyumbani Kenya majina ya kijana ni Geoffrey mongare kinyosi,Mimi ninaye kukuandikia mama yake kutoka America napenda kufuatiria mahubiri yako pastor.

  • @mariasolomoni3884
    @mariasolomoni3884 5 років тому +2

    Hallelujah

  • @fgbeatricegg145
    @fgbeatricegg145 5 років тому +1

    Mungu akukumbuke katika ufalme wake

  • @anna19805974
    @anna19805974 5 місяців тому

    AMEN

  • @shimwekagwiza2300
    @shimwekagwiza2300 5 років тому +2

    Amina, nimebarikiwa kwa zaburi 23

  • @unclejonah7350
    @unclejonah7350 3 роки тому

    I this is good pastor amen 🙏

  • @magnifiquentkrtmna320
    @magnifiquentkrtmna320 5 років тому +1

    Amen wewe ubarikiwe,sijaona wa sabato wana hubiri ivyo. Mi ni murundi ila nikikusiklisa na erewa

  • @amidasinzoyiheba4716
    @amidasinzoyiheba4716 2 роки тому +1

    Amen 🙏 🙏

  • @joycewanjiru4160
    @joycewanjiru4160 Рік тому

    Amen, very powerful 💪🙏🙏🙏

  • @mashaelieazer6120
    @mashaelieazer6120 4 роки тому +1

    Pasta unanibariki sana

  • @anithakeza701
    @anithakeza701 4 роки тому

    Asante baba mcungaji mimi naishi Burundi napenda sana mafundisho yako

  • @biblianabibliapekee8113
    @biblianabibliapekee8113 5 років тому +2

    Ameni 💖💖💖💖💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💝💝💝💝💝💝💝💝

  • @cassianndimbo7297
    @cassianndimbo7297 5 років тому +2

    Nilitaka Lile somo la nguvu Za mungu kipindi yupo bungeni nitumie Kama lipo Kama unalo

  • @michaelezekielroswe9517
    @michaelezekielroswe9517 2 роки тому

    Siku moja nitatoa ushuhuda juu ya hili somo, Mungu atuweke hai

  • @ibrahimisack7788
    @ibrahimisack7788 5 років тому +1

    Amina mchungaji hubiri limenibariki hasa.

  • @neemadaud234
    @neemadaud234 5 років тому +2

    Nalianalia na mahubiri haya maana ndio yamekuwa kama maisha yangu Eeee MUNGU wangu nipiganie mdhambi mm

  • @benedictmwamburi7850
    @benedictmwamburi7850 2 роки тому

    Ubarikuwe mchungaji Kuna mahali umanifungua macho....kutoka kenya

  • @lilianmalibwa936
    @lilianmalibwa936 2 роки тому

    Huwa nafarijika Sana ninaposikiliza mahubiri haya.Zawadi kubwa ya kukupatia nakuombea Kwa Mungu siku Moja ukairithi nchi ya aHadi.Endelea kubarikiwa katika utumishi wa bwana maana ni heri kufariji kuliko kuhukumu.

  • @mirumbelevy8440
    @mirumbelevy8440 3 роки тому

    AMINA

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 4 роки тому

    Amina nime simamia katika kitabu cha Zaburi23:1-6

  • @hildajohn4526
    @hildajohn4526 4 роки тому +1

    Duh nimebarikiwa sana na hili neno

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 5 років тому +1

    Safi Kabisa Barikiwa

  • @JosephineKengaa
    @JosephineKengaa 2 місяці тому

    Ameen

  • @Martin-uq2kv
    @Martin-uq2kv 3 роки тому

    Amazing

  • @reallyworshipers1515
    @reallyworshipers1515 5 років тому +4

    Be blessed my teacher

  • @amossamwel2266
    @amossamwel2266 5 років тому +1

    aminaaa

  • @esthersimuli9952
    @esthersimuli9952 2 роки тому

    Bwana ndiye muchungaji mwema sitapungukiwa na kitu amina

    • @esthersimuli9952
      @esthersimuli9952 2 роки тому

      Wema na fadhilli zitanifuata siku sote za maisha yangu

  • @user-rf5tz5ft2y
    @user-rf5tz5ft2y 5 років тому +2

    Amen God bless you pastor contunue preaching the gospel

  • @aminamuhina9575
    @aminamuhina9575 3 роки тому

    Mungu awe nawe unanibariki

  • @irenejoseph5925
    @irenejoseph5925 2 роки тому

    Mungu anisaidie mimi asikie haja za moyo wangu

  • @lennybaabrah6752
    @lennybaabrah6752 4 роки тому

    Amen ubarikiwe pia

  • @josephmahuma8930
    @josephmahuma8930 4 роки тому

    Bwana ambariki mchungaji mbaga

  • @LeathKahesi-qq1po
    @LeathKahesi-qq1po 4 місяці тому

    Nimepata upendeleo Leo asante zaburi ya 23

  • @mwajumakitoro8582
    @mwajumakitoro8582 5 років тому +1

    Umenifariji sana

  • @shideashidea5570
    @shideashidea5570 5 років тому

    Nimebarikiwa Na somo hili Amina Amina!

  • @alexmushi9416
    @alexmushi9416 3 роки тому

    Mpareeeee ufupi una faida zake Nmependa ujumbe Babaaaaaa!

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 3 роки тому

    Aminaaa sana

  • @rispernyakundi7919
    @rispernyakundi7919 2 роки тому

    Nimebarikiwa mno Pastor

  • @arlettedebbiezaina6247
    @arlettedebbiezaina6247 5 років тому +1

    Somo nzuri kabisa baba Mchungaji, nime barikiwa.

  • @jameskenny1808
    @jameskenny1808 5 років тому +3

    MCHUNGAJI NA KUOMBA ULICHUNGE KUNDI HILI WALA KANISA HILI,SABABU LINA MPENDEZA MUNGU ,WALA HERENI NA VISUKO VISIONEKANAKE NDANI YAO,WALA VIPONDOZI HILO NI CHUKIZO KWA BWANAMUNGU WETU MWENYE UWEZO NA NGUVU .KAZA BUTI YESU ANA RUDI.

    • @melissateddybearcossan9506
      @melissateddybearcossan9506 4 роки тому

      Nawe ukumbuke kulichunga lile kundi pale tumekuachia nisisikie visuko wala dawa ya nywele wala heleni linapendeza ,Barikiwa ukibariki wengine nawe ubarikiwe .Mama Melissa

  • @alisaalisa4400
    @alisaalisa4400 3 роки тому +1

    Nakusoma nikiwa saudi arebia