Amen asante nimepata kujengeka imani asante mchungaji .imani huu utatenda makuu katika Jina la Yesu niko imani baba yangu amepona kupitia kwa haya maubiri ahsate
Amina! Hubiri ili ni zuri sanaaa! Na ombi hili limeponya ndugu zangu , Ubarikiwe, na MU NGU akulinde daima na akutie nguvu ya roho mtakatifu ili uendelee kuhu biri neno lake ubarikiwe sana
Haleluyaa hili ni somo muhimu saana. Nimelisikiliza mata kadhaa. Umelifundisha kwa namna ambayo kwa kweli limenigusa mno likapelekea kujitafakari sana. Kwa hiyo Pastor unaendelea kuongea nami hata kama imepita miezi kadhaa baada ya wewe kuhubiri live. Timu ya Mahubiri Tv mbarikiwe sana
Mjungaji na jina la bwana lizidi kuinuliwa nimetambua yakua malaika kweli utembea nasi na niko na ushuhuda tosha,naomba pia Mimi nizidi kunyenyekea kwake kila wakati ,tuzidi kuombeana hadi kristo arudi, Faith mose _marekani
Mchungaji naomba kujua je ile roho iliuota kwa MTU aliyeacha mwili, ndo inarudishwa kuumbwa upya au, maana xielewi vizuri hillo fungu LA zaburi linalosema hivo, niondelee mashaka
Mchungaji, Mungu Akubariki. Ulipokuja Moshi kwenye makambi, wengi tulibarikiwa na kuponywa. Ulitusogeza karibu na Mungu kuliko tulivyokuwa. Karibu kila siku ninafuatilia clips zako na kuwashuhudia wengine. Nina mpango wa kuchangia programs hizi kuanzia January 2020. Tuombee Mchungaji.
Mtumishi naomba kufahamu ikiwa MTU ameuwawa kwa makusudi je ni kweli kwamba dhambi zake zitahesabiwa kwa yule aliyemuua na yeye atakuwa hana dhambi tena?
Amina Mungu amenifanyia makubwa sana kipitia mahubiri Tv Mungu akubariki Mchungaji wetu.
Amen.
Thank you pastor.
Faith in the word of God.
Nimebarikiwa.
Hata mimi ningekuona ningelala na usingizi kabisa kwa hiyo ndege nikuache uendelee kuomba🤣🤣🤣
Amen asante nimepata kujengeka imani asante mchungaji .imani huu utatenda makuu katika Jina la Yesu niko imani baba yangu amepona kupitia kwa haya maubiri ahsate
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU 🙏🏻
Amina! Hubiri ili ni zuri sanaaa! Na ombi hili limeponya ndugu zangu , Ubarikiwe, na MU NGU akulinde daima na akutie nguvu ya roho mtakatifu ili uendelee kuhu biri neno lake ubarikiwe sana
Asante Pr, somo hili limenigusa sana, nalirudia kila siku
Pastor barikiwa zaidi
Good preaching and nice songs
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
Nabarikiwa sana na mafundisho mazuri
Tumesikia mbiu imekuwa kama kengele ndani yangu Kila ninapo fata maubiri TV.naipenda
Amen ubarikiwe sana
Kwa imani uliyo nayo najua umemwachia mungu maisha na amekupka ktk majarbu na umeshinda Huwez kuwa mhubr hivyo bila majarbu makali. Ubarikiwe Sana
Haleluyaa hili ni somo muhimu saana. Nimelisikiliza mata kadhaa. Umelifundisha kwa namna ambayo kwa kweli limenigusa mno likapelekea kujitafakari sana. Kwa hiyo Pastor unaendelea kuongea nami hata kama imepita miezi kadhaa baada ya wewe kuhubiri live. Timu ya Mahubiri Tv mbarikiwe sana
Asante Sana pastor some hili limebadilisha maisha yangu mungu akubariki xana
Nasema hayo nimeptia nami moto wa majaribu najua maana ya majaribu Mungu akusaidie pastor, Mungu mwema kwa masomo yako yananibarki
Amina Amina Amina
Mungu aendelee kukutumia na kukulinda daima Pastor
Asante ee Mungu wa uhai.....harikiwa mtumishi wa Mungu mimi nakufatilia tu
Barikiwa sana Mbaga
Amina.
Barikiwa Sana Pastor..... Unanibariki mnoooo
Somo zuri sana nabarikiwa
Kweli kabisa ! Kupitia imani makubwa yana tendeka. Barikiwa sana mtumishi
Napenda sana mahubiri yako pastor, Mungu akubariki sana kwa kazi yake
Ubarikiwe sana Imani nikitu kikubwa kweli navichekesho naona viko sawa
Amina PR ,,,nimebarikiwa na neno Lako ,,,,Mungu akubariki
AMEN...MUNGU akubariki mch leo nimejifunza👏👏👏
Mchungaji ubarikiwe sana mafundisho yako nayaelewa sana
Mungu niongezee Imanii
Amen
AMENI
Utukufu kwa MUNGU MWENYEZI AISHIE MILELE
Amina mchungaj
Amen
Tunashukuru mchungaji tulikua hatujui maana ya Amina.(tanks)
God bless you so much pst
Nabarikiwa sana na mahubiri 🙏
Somo la baraka
Ubarkiwe sana pr
Asante mchungaji mungu akupe ufunuo sanaaaa
Niombee pastor
Huwa sichoki mahubiri ya huyu mtumishi ,Bwana endelea kumtunza kwa ajiri ya watu wako.
Mjungaji na jina la bwana lizidi kuinuliwa nimetambua yakua malaika kweli utembea nasi na niko na ushuhuda tosha,naomba pia Mimi nizidi kunyenyekea kwake kila wakati ,tuzidi kuombeana hadi kristo arudi,
Faith mose _marekani
Amina, pastor naomba msaada wa namba yako
GLORY TO GOD.
Aweza kufanya mambo yore!! Amina!!
Hii sijawai kusikia leo nimeiona imenibarki sana
ubarikiwe pr
Amen 🙏
Powerful message
We have to walk by faith asante pastor ninabarikiwa na maubiri yako
Kati ya roho namwili nani anampa mwenzake uzima?
Hiyo sgida uliitoa wp mchungaji
Nakuappreciate sana mwl kwa mafundisho Mungu anayokupa utufundishe nataman km nipate namba yko baba uniombee
Christina Jackson Tuma ujumbe kwenye infomahubiritv@gmail.com
Mchungaji naomba kujua je ile roho iliuota kwa MTU aliyeacha mwili, ndo inarudishwa kuumbwa upya au, maana xielewi vizuri hillo fungu LA zaburi linalosema hivo, niondelee mashaka
Muchungaji mmbaga nani niobee hayo maobi machache nakuoba tuu,
Mungu akupe haja ya moyo wako
Mchungaji, Mungu Akubariki. Ulipokuja Moshi kwenye makambi, wengi tulibarikiwa na kuponywa. Ulitusogeza karibu na Mungu kuliko tulivyokuwa. Karibu kila siku ninafuatilia clips zako na kuwashuhudia wengine. Nina mpango wa kuchangia programs hizi kuanzia January 2020. Tuombee Mchungaji.
@@lennyahadi9261 Amen!! Mungu atukuzwe
Mtumishi naomba kufahamu ikiwa MTU ameuwawa kwa makusudi je ni kweli kwamba dhambi zake zitahesabiwa kwa yule aliyemuua na yeye atakuwa hana dhambi tena?
Kila mtu atabeba dhambi zake mwuwaji atabeba y kuuwa, n ww utabeba zako
Amina
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen