AMINA🙏🙏nabarikiwa sana na mahubiri yako mchungaji.na mungu akubariki akuzidishie kwa wema wake,asante kwa maombi yako kwetu,barikiwa🙏unatufunza mengi katika maisha kupitia maandiko matakatifu jinsi unavyo tuelekeza na kuya dadavua kwa kina.barikiwa sana frm KENYA;...be blessed.🙏
Pr umenipa mbinu mpya ya kuomba, Asante Sana kwa somo hili, nmejua Maana halisi ya imani, nabadili mtazamo na namna ya kuomba Kuanzia leo. Ubarikiwee sana pr Mmbaga.
Kwa kweli Niko na njonzi moyo, nikiuliza nitaitimiza vipi, ila kwakisikia maubiri haya, nimeondoa maswali, mungu ashuulike. Amen thank you my lord from qatar.
1 Timotheo 2:9 Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;
Amin nimebarikiwa na neno
Nawaonea wivu watu unaowahudumia apo ana kwa ana,wewe nimtu mkuu sana,Mungu anakutumia kwa namna ya tofauti sana paster wetu👏👏
AMINA🙏🙏nabarikiwa sana na mahubiri yako mchungaji.na mungu akubariki akuzidishie kwa wema wake,asante kwa maombi yako kwetu,barikiwa🙏unatufunza mengi katika maisha kupitia maandiko matakatifu jinsi unavyo tuelekeza na kuya dadavua kwa kina.barikiwa sana frm KENYA;...be blessed.🙏
Huyu ni mwalimu wangu kama na wewe ni mwalimu wako gonga like twende sawa.
Aminaa, barikiwa sana mtumish kwa somo hili, hakka nmebarikiwa na somo hili
amen, hakika mhubiri umenisungumza kabizaa, ni kama tupo pamoja. Mungu akubariki Sana tena zaidi... Sifa kwake Maulana.
Amen Barikiwa sana mtumishi
Pr umenipa mbinu mpya ya kuomba, Asante Sana kwa somo hili, nmejua Maana halisi ya imani, nabadili mtazamo na namna ya kuomba Kuanzia leo. Ubarikiwee sana pr Mmbaga.
Amen powerful message 🙏🙏🙏🙏
Amen Glory to Jesus Christ and Asante sana kwa mafundisho kwa maana nafarijika sana
May God walk with you forever pastor! You have been a blessing to many
Asante Baba
Mungu wangu na akubariki .
Amina pastor,Mungu na atusaidie tuweze kufahamu jonzi zetu
Amina,Mungu akubariki sana pr ,najifunza mengi sana na nnapata mabadiliko maishan mwangu
Mtumishi ameni
Great u man of god
Be blessed a lot pastor
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kuna kitu kikubwa sana ndani yako wewe ni mwalimu mzuri sana
barikiwa sana pastor ,n imesikia nami nimeamini ,naenda kutendea kazi
Amen hakika mafundisho haya yananibariki sana naona tamaini jipya
Kwa kweli Niko na njonzi moyo, nikiuliza nitaitimiza vipi, ila kwakisikia maubiri haya, nimeondoa maswali, mungu ashuulike. Amen thank you my lord from qatar.
Mtumishi unanibariki sana Mungu ukimpendez naomb kuongea na wew
Amina, Mungu akubariki sana pastor
Wewe pastor unanibalikii sana 🇰🇪🇰🇪mungu aedele kukuinua
Mungu akubariki sana mchungazi ni mebarikiwa sana tena ninapo sikiliza mahubiri yako najiskia kuguswa kweli kweli
God bless you pastor 🙏❣️
pr atukuzwe Mungu kwa ajili yako....unazidi kufikisha ujumbe kwetu..ubarikiwe.
Barikiwa mtumishi wa mungu mana nabarikiwa vyaajabu
Asante Mungu anisaidie sana barikiwa mchungaji
Barikiwa sana Mchungaji
Haleluya
Mungu atukuzwe Sana Mungu akutunze na kukutumia vema kwa jina la Yesu
God bless you
Asante MUNGU
Amen 🙏
Ubarikiwe nawe, mchungaji
AMEN
Unani bariki Sana mtumishi
Amina!! Asante Mungu kwa mafundisho.
Amina
Amen Amen
yaani pastor unanibariki sana acha niombe MUNGU anipe raho y kukuombea
Nivizuri kabisa
Brother WILFRED NIMEKUONA LONG TIME SANA KANA BE BLESSED.
Jenifer John tunamshukuru Mungu,kwayote,,maana kama nichangamoto zabiashara tunajaribiwa sana
Barikiwa Sana Pr songa mbele natamani siku moja tuonane Mungu atusaidie.
Amen 🙏 Barikiwa Mtumishi wa Mungu..
May God uplift this minsirty forever
Barikiwa sana
Naji funza barikiwa sna
Amen Thank you
Namshukuru Mungu kwa Mahubiri Tv
Mchg nina tamani nipate nakala za vitabu vyako , nitavipataje. Mchg Samuel A. Kusina.
Mpigie huyu +255673888226
Joshua kutoka NyAmongo Tarime pastor nabarikiwa sana na mafundisho yako
Majuzi nilifika eneo moja linaitwa Nyarwana...je hapo ni karibu na Nyamongo?
Amina
Amen neno hili likawe baraka kubwa kwa watu wa MUNGU
Mafunzo mazuri ya kugusa roho Amen
Amina Barikiwa mana tunabarikiwa
Mbaga nakukubali kwa chakula unachonipa,nami nimekubali kuchapwa na nimemwambia MUNGU inatosha,nasubili mema.
NAKUELEWA SANA MTUMISHI
Swali la ufahamu kuhusu mavazi hasa wanawake je tuvaeje?
1 Timotheo 2:9 Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;
Amina
NIMEKUKUBALI SANA SANA
MCHUNGAJI
Amina
Amina