THE CLASSIC MKANDAMIZAJI PT 1:KUJA MJINI NA NDOTO ZA KUA RAPPER/BYSER ALINIPA HASIRA/NILIFELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2023
  • Masanja Mkandamizaji ni muigizaji na mchekeshaji mwenye mafanikio makubwa,alikuja mjini akiwa na ndoto za kua rapper mkubwa na kufanikiwa,lakini safari yake ilikua na mambo mengi na mwishoe kuwa muigizaji,nni kilitokea?hii ndio hadithi yake

КОМЕНТАРІ • 24

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo 7 місяців тому +5

    Arudi tena jamani he is so amaizing💥💥💥💥

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 7 місяців тому +4

    Leo mmenifurisha mnoooo,,,mapicha picha hakuna kabisa

  • @mosesoballaonlinetv2579
    @mosesoballaonlinetv2579 7 місяців тому +3

    Dah! Ila Masanja eti pigo la mwisho la Getril dah nmecheka sana😅😅😅

  • @user-ti7nf4jc8g
    @user-ti7nf4jc8g 3 місяці тому

    Masanja nakupa big up sana unaongea kweli wa maisha yako toka

  • @rahimchardluck
    @rahimchardluck 7 місяців тому +4

    hii interview nzuri jamani....watu wako jamaica 😀😀😀😀😀😀 nimependa jamaa anaongea yeye yani hii sasa ndio interview..mwamba tangia kakaribishwa anafunguka mpaka mwisho yani iko bieeeee

  • @malickkasuga4805
    @malickkasuga4805 7 місяців тому +2

    Kumbe Jabil ndoulinibania BSS 2005 Bilcanas

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 7 місяців тому +1

    2008 alikuwa tayari star na ze comedy ilikuepo tayari unaongelea 2003 huko

  • @zenahussein2242
    @zenahussein2242 7 місяців тому +3

    Atakuua huyo na mikono yake huyoo 😂😂😂

  • @chambertalkshow9437
    @chambertalkshow9437 7 місяців тому

    Noma sana 😅

  • @AfricanAlphaBeats
    @AfricanAlphaBeats 6 місяців тому

    Sound mbov

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 7 місяців тому

    Masanja kanichekesha sn, Yani kipindi kimekuwa kifupi, umenikumbusha dar West tabata,

  • @dinyoabeli9028
    @dinyoabeli9028 7 місяців тому

    Mwendelezo plz

  • @samirmswahili
    @samirmswahili 7 місяців тому

    Kuvichaka

  • @abednego3876
    @abednego3876 7 місяців тому

    Mpo kwenye pipa au drum
    😅

  • @a-zproduction8143
    @a-zproduction8143 6 місяців тому

    Amazing sana ila please Kuvi boresha sound system please 🙏

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  6 місяців тому

      Ok ndugu japo naona iko fresh lakini tutafanyia kazi maoni ndugu

    • @a-zproduction8143
      @a-zproduction8143 6 місяців тому +1

      @@KuviFacts ndio ifanyie kazi maana inasound kama umerecord sauti Ina noise halafu uichuje kwa kutumia Adobe Audition Sasa Kuna namna itasound kama Ivo Sasa Kaka lkn bonge la kipindi Mzee keep it up Bro.❤

  • @stuartikonko1941
    @stuartikonko1941 7 місяців тому

    Cyo 2008 kala katoka bss ya Kwanza ilikuwa 2006 kwo itakuwa nyuma ya mwaka huo

  • @selemanimsangi7805
    @selemanimsangi7805 7 місяців тому +6

    Daah! Mbona fupi sana pia nilitaka kujua ile ngoma ya nakataa Ugali kwanini hakutoa video,pia kuna ile nyingine inaitwa Wadogo zangu aliwashirikisha Joti na Mpoki

  • @immabahatiimmabahati2373
    @immabahatiimmabahati2373 6 місяців тому

    Rudi tena

  • @niggahoodthemc9156
    @niggahoodthemc9156 7 місяців тому

    ✊🏿👮🏿‍♂️

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo 7 місяців тому +1

    Arudi tena jamani he is so amaizing💥💥💥💥