THE CLASSIC ASHA BARAKA :MWANAMKE MWENYE NGUVU KWENYE MICHEZO NA MUZIK TZ/30 YRS + KWENYE GAME/HSTRY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • The Classic imekuletea Asha Baraka ambae nafahamika kama mwanamke mwenye nguvu sana katika muziki na michezo Tanzania,amemiiliki bendi mbali mbali za muzki mpaka sasa na pia kuongoza michezo katika ngazi za juu,hii ni shemu ya historia yake

КОМЕНТАРІ • 8

  • @victormkello9575
    @victormkello9575 2 місяці тому +1

    Oyah Kuvi umepigaje hapo😂😂.
    Nakubali mzee.

  • @rogersanga3235
    @rogersanga3235 2 місяці тому +1

    eeeeh...umetupia kaka

  • @sandromiyad8855
    @sandromiyad8855 2 місяці тому

    Kutoka komoro nakufwatilia sn

  • @MackameHassani
    @MackameHassani 2 місяці тому +1

    Interview ilikuwa kali sn kali mnooo but nilichokuja kukigundua majuzi siku ya jumamosi ni kwamba Kuvi ukiachana kuujua vizuri muziki wa Hip hop kiujumla pa1 na bingofleva pia unaujua pia miziki mingine kiujumla especially muziki wa dansi. Kuna tm ulikuwa umeingia kbs deep kuelezea muziki wa dansi. By the way ilkuwa kali sn hii interview.

  • @Drepsama
    @Drepsama 2 місяці тому

    Jamaa nakukubali kinoma