FAHAMU NGUVU YA KIBALI CHA BWANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 154

  • @Millie-q6x
    @Millie-q6x 10 місяців тому +11

    God give me favour at work ,with my employer,clients,family members ,community,friends AmenAmen

  • @MorangaMaurice
    @MorangaMaurice Місяць тому +1

    Amen, nashukuru mtumishi kwa neno lako la matumaini.

  • @everlyneimili
    @everlyneimili Рік тому +2

    sante mtumishi Wa Mungu Kwa Haya mafunzo...barikiwa zaidi

  • @doreencenamonje9517
    @doreencenamonje9517 2 місяці тому +1

    MUNGU akubariki sana mtumishi

  • @JosephinaJohn-pb4gm
    @JosephinaJohn-pb4gm 13 днів тому

    Amina mtumishi wa Mungu umebarikiwa Sana Mungu azidi kukupa ulinzi iliuendelee kutuponya kiroho😂😂😂😂tunaanngamia Mungu tuponye.

  • @lizzymwangi9940
    @lizzymwangi9940 Рік тому +2

    I learn alot thro this Altar
    Thank Yuh Man of God ad God covered wth ur family wth Blood of jesus christ kwa mafuzo yako mazuri umenielemisha xana
    Nafurahi nikisikia mafuzo yko
    Tuned🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ErickSanga-we3ql
    @ErickSanga-we3ql 7 місяців тому +2

    Mungu akubariki sana nimepata kitu kizuri sana na nimeelewa

  • @MourineNamalwa
    @MourineNamalwa 6 місяців тому +2

    Kweli paster barikiwa sana haya maafundisho yamenitoa mahali imesonga kwa hatua Ya juu yakutengeneza jina langu mungu we neema awejuu yako siku zote 🙏🏿🙏🏿

  • @oscarmuhindo1786
    @oscarmuhindo1786 7 місяців тому +2

    Mungu akubariki sana muchungaji. Mafundisho yako yamejenga maisha yangu.

  • @haruonharounkithinji574
    @haruonharounkithinji574 8 місяців тому +2

    God bless pastor George and family

  • @melissazaina1440
    @melissazaina1440 5 місяців тому +1

    Kwa kweli Pastor unajuwa kufundisha kabisa, congratulations

  • @GetrudeJaliya
    @GetrudeJaliya 11 місяців тому +4

    Kwa mafundisho haya nashukulu kwakuwa nilikuwa najiuliza Mimi kwanini nakuwa hivi chochote ninacho kifanya ninijuwa nimelongwa .kumbe nimelosa kibali cha mungu, nashukulu kwamafundicho haya mutumishi mungu akubariki🤝

    • @JessieJonathan-p9i
      @JessieJonathan-p9i 4 місяці тому

      Ahsante Kwa maarifa mwl

    • @neemityhadijaanzazi
      @neemityhadijaanzazi Місяць тому

      Wachungaji wote wangekua hvi wakristo wangeokoka hii sio injili ya mchezo hii ni yakubadilisha mawazo na kuokoka kabsa

  • @melissazaina1440
    @melissazaina1440 5 місяців тому +1

    Alleluya ❤ napenda mafundishi kabisa

  • @LovelyTreasureMap-gy5et
    @LovelyTreasureMap-gy5et 6 місяців тому +2

    Mungu akubariki mchungaji navuka mno mungu snipe neema ya kukuombeya sana

  • @joanithaangelo
    @joanithaangelo Рік тому +4

    Pastor Mungu wambinguni akubariki kwa mafundisho yako pastor

  • @GraceWanjiruNganga
    @GraceWanjiruNganga 6 місяців тому +2

    Amen Mimi Na pénda kuvuzwa Sana ,juu Mutu husonga Sana kuriko kuhubiriwa, pokea pokea. God bless 🙏 u

  • @carolinakimuli3015
    @carolinakimuli3015 Рік тому +24

    Jamani huyu ni Mwalimu, au ni professor wa injili, sijapata kuona mchungaji mzuri kama huyu, kweli wewe ni mchungaji uliyepewa kibari na Mungu barikiwa sana baba❤❤

    • @lizzymwangi9940
      @lizzymwangi9940 Рік тому +4

      Absolutely ako n mafuzo mazuri wacha explanation yake iko deep and understanding yanii kuelezea mpkha n bible verses ata mtu akiwah busy unadikha vitabu then unajisombea ukifikha kw nyumba unaelewah wht God wht to do
      Ur blessed Man of God more power more grace

    • @kissamwamunyange1018
      @kissamwamunyange1018 Рік тому +3

      Yaani huyu pastor jamani nasikia kulia. Watu tumehangaika kusali bila matokeo chanya. Lakini kupitia huyu Baba Mimi nimsfanikiwa kuomba na kupata matokeo. Matokeo ukiomba vzr hata hupati shida ya kusubiri unayaona papo Kwa papo. Huyu mtumishi Mungu aendelee kumlinda ili tufaidie wanaadami. Kwani shetani anatumia vibaya mnooo. Nawaombea na wenzangu wasali kupitia huyu Baba waombe Roho mtakatifu awape macho ya Rohoni kuona na kutambua yaliyopo sirini kwenye bibilia. Nakutukuza eeh Mungu kupitia huyu mtumishi wako😢😢😢😢

    • @aminielyusufu4351
      @aminielyusufu4351 11 місяців тому +1

      Huyu ni mashine ya Mungu wa kweli. Tafuta somo la mbegu na kutembea katika mafanikio

    • @upendodominick
      @upendodominick 10 місяців тому +1

      Perfect nilikuwa natafuta mchungaji anaetoa neno kama huyu. Mungu assnte

    • @rehemamfunami1604
      @rehemamfunami1604 10 місяців тому +1

      Huy ni zaidi ya professor

  • @wilsonkahuthu6604
    @wilsonkahuthu6604 6 місяців тому +2

    💟 Naomba 💟 Kibali 💟,Neema 💟 na 💟 Imani 💟 ya 💟 Bwana 💟 Yesu 💟 Kristo 💟 Mwokozi 💟 Wetu 💟.
    .. AMEN 💟 N 💟 AMEN 💟 N 🖐️🙏 N AMEN 💟🙏.

  • @Happiness-cr7sv
    @Happiness-cr7sv 8 місяців тому +1

    Nabarikiwa saaana na mafundizo yako may the lord bless you more

  • @eunicenjonge2205
    @eunicenjonge2205 7 місяців тому +2

    Eee Mungu..wewe mtumishi huwa unanibari sana. Maisha yangu yamebadilika kwa mafundisho yako

  • @floraan4388
    @floraan4388 Рік тому +2

    Ooh yes wonderful and powerful message .glory be to God

  • @kmtcuniversity9310
    @kmtcuniversity9310 9 місяців тому +1

    Oooh Glorg
    Umeniona Mungu❤❤❤❤❤❤

  • @esterkivuyo2149
    @esterkivuyo2149 2 місяці тому

    Barikiwa mnoo,Huwa nakuelewa sana mafundisho yako

  • @EuniceMwange-p2i
    @EuniceMwange-p2i 26 днів тому

    Mafunzo mema, barikiwa sana mchungaji

  • @SimonLiwawa-u6w
    @SimonLiwawa-u6w 3 місяці тому

    Barikiwa mtumishi unalisha Roho yangu

  • @ezekieljohn9216
    @ezekieljohn9216 3 місяці тому

    Umenitibu baba nimekuelewa. Mungu akutumie.

  • @janeturio7414
    @janeturio7414 Місяць тому

    Nimefundishwa neno la Mungu na ninasema asante kwa yote zidi kuniombea nitoke kwa madeni hallelujah hallelujah Amen 👏🙏🙏

  • @floraan4388
    @floraan4388 Рік тому +1

    Ooh yes wonderful and powerful message be blessed

  • @perpetuajambia9021
    @perpetuajambia9021 2 роки тому +1

    Ubarikiwa mtumishi wa Mungu,, sina namna ya kueleza ,,, Mungu akubariki kwa Somo hili

  • @JosephinaJohn-pb4gm
    @JosephinaJohn-pb4gm 13 днів тому

    Ninaendelea kubarikiwa Ameee ubarikiwe mtumishi

  • @ruthabed
    @ruthabed 6 місяців тому +1

    Kiukweli postor una nibariki sana na mafundisho yako

  • @godfreycheyo3396
    @godfreycheyo3396 10 місяців тому +2

    Somo limenibariki

  • @luciamsuruja3968
    @luciamsuruja3968 Місяць тому

    Mch Mungu akubariki sana kwa kazi yake

  • @AsifiweGideon
    @AsifiweGideon 4 місяці тому

    nabarikiwa sana mafundisho mazuri

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un Місяць тому

    Amina,chochote nitakacjofanya mwezi wa kumi na mbili kikawe na matokeo

  • @josephwawuda3204
    @josephwawuda3204 Рік тому

    Ameen mtumishi MUNGU akubariki na ww pia kwa mafundisho yako yame tusaidia sana

  • @mercynafula6905
    @mercynafula6905 5 місяців тому

    Amen 🙌🙏 mutumishi wa mungu 🙌🙌nimebarikiwa 🙏mafundisho yako yamenichenga

  • @Emily-w3o
    @Emily-w3o 5 місяців тому

    Be blessed pastor, you have given us real sermon kupitia kibali ya mwenyezi mungu,I'm really blessed Glory to Jehovah God.

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 6 місяців тому +1

    Mungu anipe kibali cha ku husika na maisha yangu

  • @HellensindiyioKilitia
    @HellensindiyioKilitia 5 місяців тому

    Bwana akubariki mtumishi

  • @EDDOSTEVEN
    @EDDOSTEVEN 7 місяців тому

    Amen big servart of God nabarikiwa sana nikiwa live from dodoma

  • @CatherineMakokha-dg6ws
    @CatherineMakokha-dg6ws 5 місяців тому

    Amen and amen very blessings teaching pastor

  • @paulkipyegon3471
    @paulkipyegon3471 4 місяці тому

    Mungu akubariki pastor

  • @NdimyakeKennedy
    @NdimyakeKennedy 4 місяці тому

    Ubarikiwe sana pastar unanipeleka viwango.

  • @eliamichael6452
    @eliamichael6452 5 місяців тому

    Mungu akubariki sana mtumishi wa MUNGU ❤

  • @annshiroshish4661
    @annshiroshish4661 5 місяців тому

    Asante mutumishi wa mungu kwa neno la wakati

  • @christinechambuni9060
    @christinechambuni9060 6 місяців тому

    Mungu akubariki sana mtumishi Amen and Amen

  • @AzizalucasMbiduka
    @AzizalucasMbiduka 6 місяців тому

    Mt mungu akubariki jaman

  • @elizabethnduva3452
    @elizabethnduva3452 5 місяців тому

    true man of God watching from Nairobi Kenya

  • @austinemsuya1158
    @austinemsuya1158 Місяць тому

    Barikiwa Mtumishi

  • @neemashabaan
    @neemashabaan 4 місяці тому

    Asante mungu kwa kibal chako

  • @georgeswaiswai4581
    @georgeswaiswai4581 2 роки тому +2

    Balikiwa mtumish

  • @ShukuruManu
    @ShukuruManu 3 місяці тому

    Mungu akubariki mutumishi naomba atanambayako

  • @floraan4388
    @floraan4388 Рік тому

    Amen mtumishi wa mungu hakubariki sana sana

  • @moricephilipo3031
    @moricephilipo3031 10 місяців тому

    Amina.ukiwa.unahubiri.nakuerewa.vizuri.mungu.akubariki.sana

  • @darfursa8229
    @darfursa8229 2 місяці тому

    Asante kwa neno zuri🙏

  • @AlexLusekelo-y3t
    @AlexLusekelo-y3t 6 місяців тому

    Barkiwa sana baba

  • @liliankeyabaraka8195
    @liliankeyabaraka8195 Рік тому

    Powerful message MUNGU akubariki sana pastor

  • @EstherOmosa-bx1kt
    @EstherOmosa-bx1kt 5 місяців тому

    Mungu akuongose siku sote

  • @elinkailagelege983
    @elinkailagelege983 Рік тому

    Amina napokea kibali katika njina la Yesu

  • @adrostermethod6996
    @adrostermethod6996 6 місяців тому +4

    Huyu ni professor wa kiroho
    Ni mwalimu mwema sana amepata kibali cha Bwana
    Hakika ni mwalimu

  • @floraan4388
    @floraan4388 Рік тому +2

    AMEN AND AMEN 🙏🙏🙏🙏👏👏

  • @shirrangimedia4570
    @shirrangimedia4570 5 місяців тому

    Mchungaji mzuri katka kanisalake niyule anaeweza kufundisha. Waumini wake wamuelewe mungu nawafate maagizo yake hakika napendasana kuskiliza mafundisho yako baba nikipata kibari nitakuja kusali nawee kanisani kwako

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 місяців тому

    Mungu usika katika maisha yangu Mungu wa Ibrahim Mungu wa Isaac Mungu wa yakobo nibe kibali Mungu

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤Oooh My Goodness trueeeeeeeee😊

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 місяців тому

    Asante sana Yesu naomba kibali kitogo kutoka Kwako

  • @NdimyakeKennedy
    @NdimyakeKennedy 4 місяці тому

    Najiona kuwa kiwango kingine toka nimeanza kufwatilia mafundisho yako mtumish...ubarikiwe sana mtumish..

  • @liliansenelwa-s5k
    @liliansenelwa-s5k 9 місяців тому

    Am blessed man of God

  • @DanEma-l9t
    @DanEma-l9t Рік тому

    Amen 🙏🙏🙏 Mtumishi wa Mungu na wewe pia Ubarikiwe

  • @ianlukanu2386
    @ianlukanu2386 Рік тому

    Kwanzia leo na mtumainia Mungu kwa kibali cha maisha yangu siku zote Amen

  • @FredrickWanjala-lq6oo
    @FredrickWanjala-lq6oo 10 місяців тому

    God bless u following from Bungoma Kenya ,every day from 12 noon and 10pm I do follow u and am blessed,

  • @nellykadenyi
    @nellykadenyi 2 місяці тому

    amen neno la ushindi

  • @AaaBbb-fw3sw
    @AaaBbb-fw3sw Рік тому

    Amen ameen powerful message pastor

  • @mlongongomr9925
    @mlongongomr9925 Рік тому

    Amen 🙏🙏 ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @GetrudeJaliya
    @GetrudeJaliya 11 місяців тому +4

    Mutumishi umetoka kwamungu umejuwa maisha ninayo pitiya Mimi maisha yangu nayitaji musanda wamaombi😭😭 nilikuwa naomba niyende ije yamungu katika mawazoyangu SASA nachukulu kwamafundisho 🙏

  • @evamusuruve3196
    @evamusuruve3196 Рік тому

    MUNGU akubariki , mtumishi ,nakufatulia sana ,, 😭😭🇧🇭🇧🇭🔥 umetumwa na BABA mbinguni ,kwajili ya maisha yangu

  • @kainibachungege3430
    @kainibachungege3430 2 роки тому

    Mungu akubariki Mtumishi

  • @fredrickonesmo4023
    @fredrickonesmo4023 Рік тому

    Am following from Arusha and I can confidently agree that God is using Pastor George to understand the truth in a very unique and special way.

    • @floraamwakasita9273
      @floraamwakasita9273 11 місяців тому

      Amen

    • @deoelias841
      @deoelias841 4 місяці тому

      Amen and amen Mtumishi wa Mungu, nakufuatilia kutoka Elsies River, Cape Town South Africa...🙏🙏

  • @princesschumbaa98
    @princesschumbaa98 3 роки тому

    Nimegundua naitaji kibali,,santi sana mtumishi nimebarikiwa sana

  • @GeoffreyOseko-xe2tz
    @GeoffreyOseko-xe2tz 4 місяці тому

    Mungu unipe kibali ya mafanikio

  • @rehemakatana1137
    @rehemakatana1137 2 роки тому

    Amen, ooo yes aki wafunza ukweli kabisa

  • @michaelmaganga2359
    @michaelmaganga2359 2 роки тому

    Amin mtumishi

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 2 роки тому

    I came across this channel after Apostle Arome left ystdy. Heard heza great teacher. Let me pay attention

  • @CharlesMaghembe
    @CharlesMaghembe 3 місяці тому

    Kweli kabisa, kibali kinahitaji kupaliliwa. Hii ni elimu ya kweli.

  • @beatricekasambula1657
    @beatricekasambula1657 Рік тому

    Amina Mimi nabarikiwa na huyu baba Mchungaji jamani

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 Рік тому

    Yesu nakuitaj Sana

  • @gilbertwanje
    @gilbertwanje 6 місяців тому

    Amina🇰🇪🇰🇪

  • @floraan4388
    @floraan4388 Рік тому

    Ooh yes yes mungu tusaidie kutembea katika kibali

  • @favourndila8474
    @favourndila8474 2 роки тому +1

    Ameeen kwa Jina la Yesu kwa damu ya Yesu

  • @monicalaizer7596
    @monicalaizer7596 Рік тому

    Amen Mtumishi Mungu
    Mungu amekupa karama ya kufundi watu wakaelewa mimi Niko Arusha tawi la kanisa lipo wapi Arusha kwani nabarikiwa na mafundisho yako

  • @evilahmponzi5312
    @evilahmponzi5312 3 роки тому

    Nimebarikiwa Sana

  • @HendricaAjiambo
    @HendricaAjiambo 4 місяці тому

    Mungu alikupa kibali kweli sijawahi kuona kanisani pastor kama wewe unajua kuhubiri injili kabisa unaenda haswa kwa biblia na niukweli kila neno unatamka niukweli kwa biblia mungu akupe maisha marefu ulimwengu usaidie wengi umeninua. Kwa imani na maombi. Mm nko kenya

  • @mteulehalisi2352
    @mteulehalisi2352 3 роки тому

    Mungu akutie Nguvu Mtumishi wa Mungu

  • @mawembekojuka7670
    @mawembekojuka7670 3 роки тому

    Nimefunguliwa

  • @MaryShayo-h4k
    @MaryShayo-h4k 10 місяців тому

    Unanibariki mnoooooo nakumbuka ulishasema anarpasa kukubariki ni MUNGU pekoe au watumishi wa ngazi za juu yako, but naomba MUNGU akubarikiiii

  • @beatricemwamini2044
    @beatricemwamini2044 Місяць тому

    Amen.

  • @rehemakatana6106
    @rehemakatana6106 11 місяців тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @patrciaglass3904
    @patrciaglass3904 3 роки тому +1

    HALLELUJAH 🙌🙌🙌🙌

  • @Heavyweight1111
    @Heavyweight1111 Рік тому

    Nabarikiwa sana na mafundisho yako mtumishi yamenijena sana na kuzidi kunipa Imani kubwa

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 Рік тому

    Amen 🙏