KUFAHAMU HEKIMA YA MUNGU KWAJILI YA ULINZI WAKO - PASTOR GEORGE MUKABWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 245

  • @FreddyNdayikunda
    @FreddyNdayikunda 5 місяців тому +3

    Watching you from Kenya Nairobi haki sijawai ona mwalimu wainjili kama huyu Man of God haki imebalikiwa wewe ni gift kwangu God bless you so much

  • @wilsonkahuthu6604
    @wilsonkahuthu6604 2 місяці тому +6

    AMEN N AMEN N AMEN 💟🙏 kwa Jina na Damu ya YESU KRISTO MWOKOZI WETU..AMINA

  • @lizmercynekesa1440
    @lizmercynekesa1440 20 днів тому +1

    From Cairo Egypt listening to the word of God I'm blessed

  • @shaddybajila761
    @shaddybajila761 Місяць тому +1

    Amen mtumishi ww n zaidi ya mwalimu kwel maisha ya kiroho yanataka ufahamu kiungu

  • @violethnyangasa9495
    @violethnyangasa9495 Місяць тому +2

    Yaani mtumishi WA Mungu Kila nikikusikiliza kama unaniona Mungu akubariki sana

  • @ResparGirbert
    @ResparGirbert 5 місяців тому +4

    From Saudi Arabia nmebarikiwa na neno na mafundisho pastor barikiwa sana na Bwana akuinue viwango

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 2 місяці тому +3

    Asante sana mtumishi wa Mungu barikiwa sana ninakukuangalia nikiwa hapa European Sweden ninabarikiwa sana na mafundisho yako ❤

  • @AbellaZaburi
    @AbellaZaburi Місяць тому +2

    Nimebarikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @cerecere5758
    @cerecere5758 11 місяців тому +3

    Mafunxo yako yananijenga sana pastor nimejifunza mengi kutoka kwako mungu na azidi kukujaza na nguvu utufuze zaidi 🙏🙏🙏🙏

  • @rodgers2626
    @rodgers2626 Місяць тому +1

    Asant nimebalikiwa Mungu akubariki

  • @Jenitha-ub8mr
    @Jenitha-ub8mr Місяць тому +1

    Mungu akubariki Baba napokea nguvu ya ulinzi amen

  • @yvettembavu9306
    @yvettembavu9306 2 місяці тому +1

    Amena Amena yani iko saa umetiya camera mu maisha yangu Pasteur kweli Mungu iko mbinguni anatujuwa niko nafata maubiri asaaaaante sana Papa Pasteur.

  • @catherinengunga3711
    @catherinengunga3711 9 місяців тому +4

    From Kenya nimebarikiwa sana mungu akuzidishie neema pastor

  • @NancyKinuthia-w5v
    @NancyKinuthia-w5v 11 днів тому

    Mtu wa mungu mimi nimeamua kubadilika mungu akubaliki paster

  • @CatherineMakokha-dg6ws
    @CatherineMakokha-dg6ws 11 місяців тому +2

    Amen and amen, I'm very blessed in spiritual teaching, my the lord Jesus Christ stay with you and your family over there pastor 🙏🙏🙏

  • @brendanawanga
    @brendanawanga 2 місяці тому +1

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙏

  • @YvonneMusyoka-z1d
    @YvonneMusyoka-z1d 10 місяців тому +3

    Am a new follower and I thank God for following you, am being blessed

  • @StellaKeneth-dg7jl
    @StellaKeneth-dg7jl 2 місяці тому +1

    Asante sana paster ubarikiwe na unanifungua mambo mengi🙏

  • @AllenNgoda
    @AllenNgoda 3 місяці тому +1

    Mungu akubariki Sana,nimekupenda Bure,na ni msaada wa kanisa Leo,nabarikiwa,hii ndio Injili ya Leo,insyopingana na wanaosema unafuatiliwa na mzimu wa ukoo.

  • @princesssidi9635
    @princesssidi9635 2 місяці тому +1

    My favourite pastor 🙌

  • @ashirahassan
    @ashirahassan 2 місяці тому +1

    baba asante kwachakura hikichakiroho mungu akubaliki sana

  • @FrankJackson-d6e
    @FrankJackson-d6e 19 днів тому

    Asnte sana mtumishi kwa mafundisho mazuri

  • @AnthonyLuhanya
    @AnthonyLuhanya Рік тому +1

    Hakika nina barkiwa kwa mafundisho ya neno la MUNGU asante pastor, karibu nairob Eastleigh

  • @NancyKinuthia-w5v
    @NancyKinuthia-w5v 11 днів тому

    Mimi niko Kenya mtu wa mungu amenizaidie na neno sana

  • @kmtcuniversity9310
    @kmtcuniversity9310 6 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Halleluya ...yesu ni mwema hakika Mungu asifiwe.. Mungu mkuu ni waajabu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
    Great man of God pastor Mkabwa Oye
    Niederoesterreich ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @CarolineMnyazi
    @CarolineMnyazi 14 днів тому

    Amen 🙌🙌 Glory to God 🙏🙏🙏 barikiwa pasta.

  • @AnnethBuzia
    @AnnethBuzia 15 днів тому

    Mahali kanisa lipo tafadhar huwenda kwa neema ya Mungu mwenyezi nikakusikiliza live

  • @DavidNdosa-mj4ei
    @DavidNdosa-mj4ei Рік тому +3

    Asante mtu wa Mungu maana hii injili ni ya kijeshi kabisa

  • @leocardiauzia3154
    @leocardiauzia3154 Рік тому +10

    Pasror tunafunguliwa wengi kwa mafundisho yako. Mungu azidi kukujaza. Ameen.

  • @carmipaul8745
    @carmipaul8745 2 дні тому

    Great and powerful sermon

  • @siatowo4090
    @siatowo4090 11 місяців тому +2

    Watumishi wa Mungu bila maombi bila kuja kanisani kwako nimepokea baraka zangu

  • @EdinaChepkemboi
    @EdinaChepkemboi 3 місяці тому +1

    Amen neno nzuri sanaa❤

  • @lufapavifapavi6277
    @lufapavifapavi6277 8 місяців тому +1

    Praise God. I'm blessed for the word of God teaches me and give s me more power by the grace of God Pst more grace n protection in Jesus Mighty Name..

  • @EdinaFrans-h2p
    @EdinaFrans-h2p 2 місяці тому

    Glory to God baba Mungu azidi kukutumia nakupenda sana.

  • @AnnaTarimo-j5z
    @AnnaTarimo-j5z Рік тому +1

    Utukufu kwa Mungu Asante kwa mafundisho haya yananiinua saana. Ubarikiwe naulindwe na Mungu.

  • @MuyisaMuhindo-qu6tp
    @MuyisaMuhindo-qu6tp 7 місяців тому +2

    Ohh yes. Niko d.r.congo nimegunduwa huyu mtu wa Mungu kumepita siku tu mbili na nimefata ujumbe wa Mungu kutoka baba mchungaji mupaka naona nimenenepa

  • @EmilyKituyi
    @EmilyKituyi 6 місяців тому

    umenijenga Sana baba may God continue keeping and lifting you for me pastor am humbled.

  • @sulizosawala2520
    @sulizosawala2520 9 місяців тому

    Ahsante Mungu kwa Neno la Uzima. Barikiwa pastor

  • @jacquelinelukambuzi5085
    @jacquelinelukambuzi5085 10 місяців тому

    Barikiwa sana Baba kwa chakula cha kiroho nimejifinza jambo kubwa sana khs hekima ya Mungu katika ulinzi wangu

  • @salimajosephine1673
    @salimajosephine1673 10 місяців тому

    Haleluya una nibarikisana nikiwa kazini 🇺🇲🇺🇲🇺🇲

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 3 місяці тому

    Asante sana pastor kwa mafundisho aki ñmejifunza mengi kutokana na mafundisho yako sana

  • @SeciliaSimony-dq7ks
    @SeciliaSimony-dq7ks Рік тому +24

    Nakupenda sana baba yangu wa kiroho umekuwa ni zaidi ya mwalimu. Mungu azidi kukutumia kwaajili yetu

  • @jhstationery5220
    @jhstationery5220 Рік тому

    Amina mungu akuzidishie mafundisho baba ni saidie maombi na mimi nikue kiimani

  • @Lily-t6l6f
    @Lily-t6l6f 5 місяців тому

    Pastor mungu akubariki am following you from Kenya siku Moja nitafika Tanzania kwa Ibada zako

  • @FortunataPasipanofu
    @FortunataPasipanofu 4 місяці тому

    Nashukuru sana Baba kwa mafundisho yako mazuri yanayojenga sana Imani yangu.

  • @Lorem-o8k
    @Lorem-o8k 5 місяців тому

    Mugu akuriki sana mafundisho yako yame ifanya nuru ingae kwetu huku lodwar asante bro mkambwa

  • @ruthmbwambo-c5l
    @ruthmbwambo-c5l 4 місяці тому

    Nabarikiwa sana na mafundisho yako Mungu aendelee kukutumia

  • @joshuaabell2033
    @joshuaabell2033 Рік тому

    Barikiwa saana nafwatilia haya mafundisho all the way from Mwenfe, Dsm

  • @SebastianMuthui-n5w
    @SebastianMuthui-n5w 11 місяців тому

    God is faithful ujumbe wa Bwana umenifikia kukupitia wewe mchungaji Mungu akuzishie umenibariki

  • @RichardMkomwa-eq9pu
    @RichardMkomwa-eq9pu 2 місяці тому +1

    NAKUPENDA SANA BABA MUNGU AKUPE MAISHA MALEFU MAFUNDISHO YAKO YAMENIPONYA SANAA

  • @NicholausSaid
    @NicholausSaid Рік тому

    Asante sana Baba, hakika umenipa zaidi ya milion za pesa .Ubarikiwe zaidi

  • @berthapatrick8287
    @berthapatrick8287 6 місяців тому

    Mungu akubariki sana Sina mch yeyote nae mfuatilia zaidi yako maana kwako ni mwalimu mzuri mno, Mungu aendelee kukupa mafuta,mapenda mafundisho yenye mafunuo, u mwalimu mwema, siku nikikanyaga mwanza lazima nije kuabudu hapo

  • @MiriamIbobo
    @MiriamIbobo 4 місяці тому

    Bwana Yesu asufiww,baba namuomba Mungu aniondolee Roho ya hofu na familia yangu tuwe na hofu ya Mungu

  • @dennomtotowasarah1519
    @dennomtotowasarah1519 Рік тому +1

    Watching @gigiri police station westlands nairobi city kenya

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un 2 місяці тому

    Amina amina🙏🙏🙏

  • @GodeliverKauzeni
    @GodeliverKauzeni Рік тому

    Unarikiwe Sana mtumishi wa mungu tunapona kupitia mahubiri yako mungu akutunze baba

  • @jacintanzilani62
    @jacintanzilani62 5 місяців тому

    Amen Amen nitafanikiwa katika jina kuu la Yesu🙏🙏

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 10 місяців тому

    Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen tuko pamoja Kwa jina la Yesu Kristo hallelujah hallelujah hallelujah ❤❤

  • @AndersonWale
    @AndersonWale 7 місяців тому

    Ubarikiwe sn mtumishi coz umekua sehemu yangu ,maana nainuliwa vyaajabu shallom

  • @KaraniTina
    @KaraniTina 6 місяців тому

    May God continue keeping you alive pastor .You have changed my spiritual life.Much love from Uganda

  • @MaryMwihaki-if7ry
    @MaryMwihaki-if7ry 7 місяців тому

    From nairobi ninambalikiwa sana na hii mafundisho utukufu na sifa imurudie mungu

  • @VioletMbezi
    @VioletMbezi Рік тому

    Amen pastor nabarikiwa sana na mafundisho yako natamani sana kujua mahali mlipo natamani sana kuja

  • @JoshuaMpogazi
    @JoshuaMpogazi Рік тому +1

    Nampenda Sana pastor George mukabwa nampenda sana

  • @adelinantangeki6865
    @adelinantangeki6865 Рік тому

    Yaani unanifundisha pastor mpaka nasikia kububujika moyoni mtumishi wa MUNGU.
    MUNGU akubariki sana.

  • @MarianaMajenga-uu2wj
    @MarianaMajenga-uu2wj Рік тому

    Mungj aendelee kukupa hekima nabarikiwa sana na mafundisho yako.

  • @evamusuruve3196
    @evamusuruve3196 Рік тому +1

    Very powerful message mtumishi 😭

  • @marymasha4803
    @marymasha4803 6 місяців тому

    Amen God bless you pastor, I 'm blessing from Iraq.

  • @marcelineshanga9811
    @marcelineshanga9811 Рік тому

    Ubarikiwe..pastakwe.neno..lauzima.wamilele.. mungu..unipekibali.chakuwa. mwana wamungu..

  • @elinaelinajepkazi3365
    @elinaelinajepkazi3365 Рік тому

    Poster mungu wa mbinguni akuinuwe Kila wakati nimebariliwa sana.happy 2024

  • @deborahmakokha5418
    @deborahmakokha5418 10 місяців тому

    Pastor barikiwa kwa hilo neno, nimebarikiwa sana.

  • @mwanaimamdee
    @mwanaimamdee 6 місяців тому

    Amen ninajengwa kupitia mafundisho yako Mungu akutunze Amen

  • @KisubiGrace-yk6ex
    @KisubiGrace-yk6ex 6 місяців тому +2

    Pastor uko zaidi ya baba kabisa mafundisho yako yamenitowa gizani huduma yangu imefufuka tena nakufata kutoka congo

  • @KabulaDanmark
    @KabulaDanmark 9 місяців тому

    Asante Pst nabarikiwa sana Mungu azidi kukutumia nipate kupona kiroho.Ameen

  • @ChristineMusyoki-d6z
    @ChristineMusyoki-d6z 7 місяців тому

    Ubarikiwe pastor kwa neno nzuri

  • @hazinamaduhu822
    @hazinamaduhu822 7 місяців тому

    Pastor George Mukabwa am.surely getting something special into my spiritual life through your semorn be blessed sana.

  • @ateyocosolata3683
    @ateyocosolata3683 9 місяців тому

    Hallelujah!!! Nimezikia Asante sana mtu wa mungu !!

  • @HellenMlay-ez5sq
    @HellenMlay-ez5sq Рік тому +2

    Ninabarikiwa sana kila iitwapo leo. Barikiwa PASTOR GEORGE

  • @jullyludovick4706
    @jullyludovick4706 Рік тому +1

    Amen nimeupata kupona

  • @naomifungo4840
    @naomifungo4840 10 місяців тому +2

    Hakika shetani ameaibika Namtukuza BWANA YESU kwa kunikulisha siri hii ya ufalme.

  • @AnnethBuzia
    @AnnethBuzia 15 днів тому

    Bwana Yesu Kristo asifiwe., ktk kristo Yesu hua natamani sana nijue kanisa pahala lipo,nakusikiliza nakuelewa sana mafundiaho yako yananijenga ila sijui upo Tanzania au wapi,. Nataman kuelewa

    • @AnnethBuzia
      @AnnethBuzia 15 днів тому

      Mahali lilipo kanisa please.

  • @AgnessKachele
    @AgnessKachele 2 місяці тому +1

    Mungu akubariki sana pastor unatufungua 🙏🙏🙏

  • @joycekaleli
    @joycekaleli 6 місяців тому

    Amen amen amen mm nimshindi 🙏🙏🙏🙏

  • @JemaRashidi
    @JemaRashidi 5 місяців тому

    Aminaaa sanaa baba asantee sana kwa kalama yako tunabalikiwa sana

  • @saranelima691
    @saranelima691 Рік тому +4

    Kupitia kwa hili neno mungu wangu nifunguwe

  • @Veronica-gr9gi
    @Veronica-gr9gi Рік тому

    Mungu mwenyezi atukuzwe Kwa ajili yako mtumishi

    • @Veronica-gr9gi
      @Veronica-gr9gi Рік тому +1

      Toka nipate mafundisho ya Mungu kupotia wewe nimeiona mabadiliko maku wa hofu imetoweka nina amani.

    • @Veronica-gr9gi
      @Veronica-gr9gi Рік тому

      Natamani niwe kama wewe ulivyo.

  • @MonicaRichard-zl7ny
    @MonicaRichard-zl7ny Рік тому

    Nabarikiwa sana na mafundisho yako Pastor.Mungu akubariki sana Amen.

  • @JuneMagolanga
    @JuneMagolanga Рік тому

    Mungu anatenda makuu,kupitia mafundisho haya kupitia mtumishi wake,umekua mchungaji mwema kwangu,be blessed

  • @NIVESKOMBA-m4i
    @NIVESKOMBA-m4i Рік тому

    Nabarikiwa sana sana pastor.Tunaomba no ya kutuma sadaka.

  • @tumpalesanga5242
    @tumpalesanga5242 Рік тому

    Ameni Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu

  • @MGINSURANCEAGENCY
    @MGINSURANCEAGENCY Місяць тому

    Hallelujah 🙏

  • @TeddyMrema
    @TeddyMrema Рік тому

    Ubarikiwe sana pastor

  • @RosaSamwel
    @RosaSamwel 11 місяців тому

    Ameen, nimepokea na kuvuka mm na familia yangu

  • @ElizabethNgwelo
    @ElizabethNgwelo Рік тому +2

    Asante Yesu umenifungua macho 😮😮😮

  • @Jameskariuki2014
    @Jameskariuki2014 Рік тому +4

    In Kenya i have been blessed alot...thanks for the word Pastor ...that's what we call the true Gospel

  • @hildaalex3572
    @hildaalex3572 4 місяці тому

    Pasta ubarikiwe nakupenda

  • @JentrixImbuka-f9z
    @JentrixImbuka-f9z Рік тому

    Pastor George umeni bariki sana kwa mahubiri Mungu akuinue katika jina la yesu

  • @SiangichaMakessy
    @SiangichaMakessy 8 місяців тому +1

    Ubarikiwe namwona Mungu

  • @JosephDismass-nk2kj
    @JosephDismass-nk2kj Рік тому

    Ameni.pst tunashinda.

  • @gracepeter7307
    @gracepeter7307 Рік тому

    Bwana yesu asifiwe baba sikupata siku zangu nina mwaka mzima baba ninaomba uniombee

  • @JolleetNiaze
    @JolleetNiaze 4 місяці тому

    Amen 🎉🎉🎉🎉🎉