Bwana yesu asifiwe Baba Mungu akubariki sana kwa huduma njema najifunza mengi ....Mungu aendelee kukupa kibali huduma ikuwe zaidi na zaidi kwa jina la yesu
1. Roho ya mipaka( limitations) 2. Roho ya kuchelewesha majibu yako 3. Roho ya hasara Haggai 1:6 4. Roho ya makosa( kukosea Mara kwa Mara) 1John 4: 6 5. Roho ya kushindwa katika ukingo wa mpenyo 2Wafalme 19:3 Isaya 66:9 6. Roho ya mavumbini 1Samwel 2:8 Luke 1:80 7. Roho ya utasa Kutokufanikiwa kwa lolote #Ahsante #Mungu #PstGeorge
Haya ndio nmekuwa nikiyapitia lkn baada ya kukuskia natangaza yamefika mwisho ,nafungua kurasa nyingine Kwa neema yake Mwenyezi Mungu ntatoa ushuhuda mpya katika jina la Yesu, Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Bwana yesu asifiwe pastor umenifunza mambo mengi katika maisha yangu kweli mm naenda kanisani lakini sifanikiwa ni vilio tu na madeni kuniandama na sina kazi hadi nashindwa ata kulipa madeni mungu anisaidie usiku wa Leo nifunguliwe katika jina la yesu
Asante baba, umezaliwa baba Tanzania tusaidiane bega kwa bega , kwa mawazo mapya Tanzania. Nafurahi sana, nasi tupo barabarani. Oooo mungu fungua macho. Mazuri. Just. One love.🙏❤️❤️❤️❤️
Mafundisho yako ni mazuri sana. Naomba ushauri nifanye nini ili nijitoe katika roho ya madeni. Maana napata mshahara lakini wote unachukuliwa kwa ajili ya kulipa madeni na hautoshi mpaka nikope sehemu nyingine tena.
Glory to God for His word through you His minister. Be filled with wisdom and understanding and more grace. Asante kwa kunifungua akili na fahamu jinsi ya kuomba,kusimama kiimani.
Neno la Mungu unalo lihubiri linanisaidia Sana Kwa muda mrefu mafundisho haya yamekosekana . pray for me.
Amen
Amina baba mungu kukutumia kutufundisha
Mungu atusaidie kupitia hili neno la Mungu litupe upenyo wa ushindi kila siku
Sifa na utukufu namrudishia Mungu kwa zawadi Yako mchungaji wewe ni mwalimu mzuri sana wa neno la mungu
Naomba mungu anisaidie nisifuate miujiza ila nifuate kristo maishani mwangu🙏
God bless you so much my Pastor,as i use to make follow up your teachings day by day, I see changes in my spiritual life. THANK YOU.
Bwana yesu asifiwe Baba Mungu akubariki sana kwa huduma njema najifunza mengi ....Mungu aendelee kukupa kibali huduma ikuwe zaidi na zaidi kwa jina la yesu
Baba MCHUNGAJI barikiwa sana kwa mafundisho mazuri
Unanibariki mnoo mtumishi wa Mungu
Baba nakushuru kweli we ni mwalimu wa neno la Mungu mafundisho yako lazima yatanibafirisha thank you so much dad
Asante mch kwa mahubiri hayo yamenifunza kitu katika kuamini
You are truly a servant of God
Mafunzo Yako yamenisaidia sana pastor,,,,nitume aje shukrani yangu Kwa mungu
Yaani na barikiwa sana na mafundisho yako ubarikiwe sana
Amen mtumishi wa Mungu nafurahia mafundisho Yako
Ameni mtumishi binafsi nabarikiwa na neema aliyokupa mungu mungu anikutanishe nawewe
balikiwa sana mwalimu wayesu nime jifusa mengi kupitia wewe🙏💯
Nampenda sana maubiri yako baba wewe kwel ni mteule wa mungu mwenyez mungu aendelee kukujaza upako
Asante Mungu kwa kunifanya kuyasikia mafundisho haya.mungu niwezeshe kuyaishi mafundisho haya
Mungu akubariki sana mtumishi nabarikiwa sana
Amina mtumishi wa mungu nimebarikiwa sana nawe mungu azidi kukuongeza hatua zaidi kwenye huduma yako
Unafundisha kweli nakuelewa mtumishi ubarikiwe
Amen baba tunabariwa ya kutosha maana hiizii roho inatusumbuaa nitaomba Mungu mpka kieleweke
I'm one of your child in Jesus
1. Roho ya mipaka( limitations)
2. Roho ya kuchelewesha majibu yako
3. Roho ya hasara
Haggai 1:6
4. Roho ya makosa( kukosea Mara kwa Mara)
1John 4: 6
5. Roho ya kushindwa katika ukingo wa mpenyo
2Wafalme 19:3
Isaya 66:9
6. Roho ya mavumbini
1Samwel 2:8
Luke 1:80
7. Roho ya utasa
Kutokufanikiwa kwa lolote
#Ahsante #Mungu #PstGeorge
Barikiwa
Mungu akutunze Sana. Unanifungua sanaaa..Kila somo lako linanifungua..
Barkiwa sana
Manueli
Maubiri mazuri
Hongera sana Pastor nafuatilia masomo na mafundisho yako toka Geita
Amen
Nimejiungamanisha na madhabahu hii na nimepata chakula chenye Afya njema, Barikiwa sana Mchungaji🙏🙏🙏
ninazidi kukomaa kiroho Mungu aabudiwe
Haya ndio nmekuwa nikiyapitia lkn baada ya kukuskia natangaza yamefika mwisho ,nafungua kurasa nyingine Kwa neema yake Mwenyezi Mungu ntatoa ushuhuda mpya katika jina la Yesu,
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
The real God's word teacher!
Ninakuelewa mwalimu George hakika unatufingua ufahamu.
Thank you pastor for this message,hakika nimeipokea wakati wa sawa God bless you
Amen pastor. Mafundisho haya yananibariki sana.
Bwana yesu asifiwe pastor umenifunza mambo mengi katika maisha yangu kweli mm naenda kanisani lakini sifanikiwa ni vilio tu na madeni kuniandama na sina kazi hadi nashindwa ata kulipa madeni mungu anisaidie usiku wa Leo nifunguliwe katika jina la yesu
A true teacher of the word....you are such a blessing pastor.
Hallelujah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤wow powerful❤❤❤❤❤❤❤❤shallom shallom shallom Utukufu ni wake Mtakatifu❤❤❤❤❤ Ameeeen Amen Hallelujah
Huyu mtumishi ana kipawa cha ualimu
anajua, mpole sana
Nikweli mwalim huyu wa neno la Mungu
Mungu mjalie mwanangu aje kuwa mhubiri kama huyu pastor
Asante yesu
Amen god bless you ukupatie nguvu tena
Pastor Mukabwa, wengi tunajifunza hapa, unaweza kutuelewesha kumjua Mungu na kumpenda kwa wakati huo huo tukaingia magotini
Past bwana asifiwe sana mtumishi wa Mungu akubariki sana mtumishi Mimi nina furahi sana yani kama Nina sikia kiu kama kunakitu nataka kutapika
Mungu aendelee kukuweka paster
Ooh God thanks for this man of God, am very blessed
Amen na mwalimu bola apana pokeya pokeya natuna vifungo
Hongera baba kwa ujumbe huu umenifungua barikiwa mno
Amen amen mungu akubariki kwa mafundisho ..mungu azidi kukuinuwa mm toka nikufwatilie naona mungu akinipeleka viwango vingine in jesus name🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@kayombog thank you for giving us the points
Kama umeona ninachokipitia ,asante Sana kwa hili somo ,Mungu akubaliki
Amen 👏
Power full massage God bless you
Wewe ni mwalimu hakika utatusaidia wengi kufikia hatima zetu barikiwa
Be blessed pastor
Pastor george.nakushukuru sana kwa ujumbe huu
Amina baba nabarikiwa sana na mafundisho yako
Mtumishi wa Mungu umenisaidia Sana kiimani hasa wakati nikiwa kwa mfungo najua ni nini hasa napaswa kufanya uiniliwe saidi
Ameen barikiwa sana Mutumishi waMungu hakika nimejifunza kitu kikubwa sana🙏🙏🙏
This is the message we need.pray for me.
Amen 🙏🙏
Thanks Jesus
Nabarikiwa sana mtumichi 🙏🙏
Mungu naomba unipe ufahamu wa kiroho
Asante baba, umezaliwa baba Tanzania tusaidiane bega kwa bega , kwa mawazo mapya Tanzania. Nafurahi sana, nasi tupo barabarani. Oooo mungu fungua macho. Mazuri. Just. One love.🙏❤️❤️❤️❤️
Naomba kujuwa kanisa liko wap
Asante pastor nakufuatilia kutoka South Africa nimefunguka sana macho ya kiroho na nimejitambua
God bless you for emrpowering teaching i am blessed
Neno Hilo Lina nguvu ubarikiwe sana mwalimu
Pastor - thank-you so much- for receiving revelations from God( am in Kenya eldoret- we- welcome you here-in Kenya)
Amina....nahisi kuinuliwa na mafundisho mazuri❤
Powerful
Amen 🙏
Mchg mungu akubarki cn hakika mungu anakutumia
Mungu akubariki sana mtumishi kwa neno
Yes good mtumishi wa mungu nabarikiwa na somo hili
Mafundisho yako yananisaidia sana pastor.
MUNGU AKUBARIKI SANA PASTOR UNAFUNDISHA KWELI KTK NENO LA MUNGU.
Huyu mtumishi Mungu kampa karama ya ualimu,nanifunza mambo makubwa mno yananitoa mahali na kunipeleka mahali
Amen...
Ubarikiwe mtumishi
Mungu niwezeshe
Eeh mungu wangu nionyeshe kusudi lako Kila ninalopitia
God bless the work of my hands
God bless you man of God
Mungu wetu ni wa mafanikio
Natoka katika jina la Yesu
halelluyah
Nakataa kubaki kiwango kimoja
Amen mtumishi
Barikiwa sana kwaneno nzuri
Mtumichi barikiwa sanaa Naitaji kutuma sadaka yangu ntatumaje
Kweli,pasta,unanifaligi
Namimungu,anijalie,
Nipate,iyoloho
NAPENDA hii kanisa
Mungu akubariki sana baba
Great sir
Barikiwa sana pastor
Mungu akubari pastor
Mafundisho yako ni mazuri sana. Naomba ushauri nifanye nini ili nijitoe katika roho ya madeni. Maana napata mshahara lakini wote unachukuliwa kwa ajili ya kulipa madeni na hautoshi mpaka nikope sehemu nyingine tena.
Nami nimebarikiwa mno ubarikiwe pastor
Ubarikiwe pastor🙏
Mungu akubariki Sana pastor
Mungu anisaidie kunitoa pale nilipo kwama
Barikiwa sana babaangu
Glory to God for His word through you His minister.
Be filled with wisdom and understanding and more grace.
Asante kwa kunifungua akili na fahamu jinsi ya kuomba,kusimama kiimani.
Asante kwa somo nzuri hakika nimebarikiwa na some hili amina pastor
Amen Amen Amen
Amen
Mungu wa mafanikio
Ubarikiwe mtumishi naona kutoka mahali nilipo na kwenda hatua nyingine kupitia Neno hili mungu akubariki sana
amen barikiwa sanaaaa mtumishi wa MUNGU